Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Hata Wavulana Wa Jf Siku Iz Ukiwasema WanabadilikaDuh..... hako lazima ni kavulana ka JamiiForums maana tuvulana siku hizi tujinga kabisa
sasa vuta picha....Watoto wa mabaa med ni shida tupu mama auze mbunye ndio tule
Yaani wanaume wa dar kupenda dezo
Yy kujibidisha hataki anamwambia mke akazane kazi kweli kweli siku akichapiwa asije lalamika coz ndio anamtumaKuna walakini mahali hapo...
Mwanaume uliyekamilika huwezi kusema maneno hayo...Eti unamwambia mkeo apige kazi usiku na mchana halafu unasingizia Mungu hajakujalia umekaa tu unapost insta!!
Mungu husaidia wale wanaosaka na kuonesha bidii...sio unakaa umtegemee mkeo tu kwa kila kitu
Pathetic!!!
Mbona shishi ana tag kwa uchebe na siyo uchebe 1i dont know, labda anaichukulia hiyo page kama ya fans wao... hiyo page ameikana sana na alisema anashangaa page imepata umaarufu zaidi ya page yake kutokana na kutokushinda mtandaoni...hii ni kama ile page fake ya ITV yenye umaarufu mkubwa ambayo ITV, CAPITAL radio, radio one waliikana sio yao..
UPDATE
account ya uchebe ni UCHEBE1 something like that...
Hivi ni mwezi wa ngapi linaanza?Natesekaga jamani kukesha!!Na mimi Mama Gaude wangu inabidi apige kazi ili mumewe nisikose hela za bia. Unajua Kombe la Dunia linachezwa mwaka huu? Bila kula bia Kombe la Dunia halinogi kabisa, linakuwa kama Kombe la Mbuzi tu.
Hivi ni mwezi wa ngapi linaanza?Natesekaga jamani kukesha!!
Hahhahaha [emoji1]Uanaume wake utenguliwe atapangiwa majukumu mengine ya kivulana
Haipendezi kiukweli mkuuYy kujibidisha hataki anamwambia mke akazane kazi kweli kweli siku akichapiwa asije lalamika coz ndio anamtuma
HIYO ACCOUNT NI FAKE, REAL ACCOUNT NI @uchebe1Mnalalamika watu wanawaonea oneni sasa nini hiki!? Kweli kidume anamwambia mkewe ahustle kwa bidii ili wasije kosa hela!? You hoes ain't loyal kabisa!
Oneni akili za wanaume wa Dar!