Lakini hata real Account anaandikaga maneno ya hhovyo hovyo tu.Ni ngumu kuamini ni fake AccountHIYO ACCOUNT NI FAKE, REAL ACCOUNT NI @uchebe1
Afadhali maana.Ni mwezi june mkuu. Kwa vile mwaka huu linachezwa Russia, Afrika ya Mashariki watu wataangalia games mapema tu.
Nikakupita beach sku ile na kigauni chako chekundu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uchebe ananifurahisha sana aisee
Kwa nini usiniite lakiniNikakupita beach sku ile na kigauni chako chekundu
Haha.Kwa nini usiniite lakini
Kiben10 cha nini mie hakina nafasi hapa nani anataka kulea mfugo aina ya binadamuHaha.
Ningekutoa kwenye mood.
Tafutaga kiben ten uwe unaenda nacho beach
Hii account Shilole alishaikana kua sio ya Mume wake,Mnalalamika watu wanawaonea oneni sasa nini hiki!? Kweli kidume anamwambia mkewe ahustle kwa bidii ili wasije kosa hela!? You hoes ain't loyal kabisa!
Oneni akili za wanaume wa Dar!
Ukiona wamebadilisha jua uliandika upumbavuJamiiForums nani amewapa permission ya kubadilisha heading ya thread yangu!? Mnajua nimeumiza kichwa kiasi gani mpaka kufikia conclusion ya kutumia heading mliyoedit? Si sawa kabisa.