Ucheleweshwaji wa Pasipoti: Changamoto na Maswali Yasiyojibiwa

Shukrani anko
 
Hii ndio bongo bana. Hakuna anaekemea huo ukiritimba, wote wanamuona mtoa mada zwazwa kwa kushindwa kutoa rushwa ahudumiwe haraka.

Bado tuna safari ndefu sana.
Umemsikia CDF alichosema? hao wakikaza watu wa Kigoma hamtopata passport, acha ibaki hivihivi, wanaharakati endeleeni na harakati zenu tu.
 
Nchi zenye rushwa ndio nzuri kufanikisha mambo yako, unadhani wazungu wangekuwa watu wa rushwa viza za Marekani si zingekuwa za kununuwa tu kama Brazil?
yeah sure.
Hivi brazil kuna maisha kweli?mpaka watu wananunua visa?
au watu wanakimbilia nini huko
 

Pole sana mkuu!

Picha ya haraka haraka ni kwamba uliwekewa mazingira ya wewe kujiongeza. Pamoja na sababu za kukosekana paspoti kutolewa bado kuna viashiria/mazingira ya wewe kunyoosha mkono.

Wewe usikate tamaa kwa sababu fursa ya ufadhili ushakosa basi endelea kufuatilia upate paspoti yako iwe tayari tu muda wowote Mungu anaweza kukufungulia mlango mwingine wa ufadhili.
 
Reactions: apk
Jiongeze bwashee, watu wanakula kwa urefu wa kamba zao.

Mimi nilipata passport yangu ndani ya siku 3 za kazi. Nilikamilisha mambo yote ya picha na finger print tarehe 14 August na tarehe 19 Aug nilienda kuchukua passport yangu.

Kwa nchi hii ukitaka kwenda kama ilivyoelekezwa utadoda mzee.

Soon utaambiwa ukaonyeshe kaburi la babu wa babu yako kudhihirisha utanzania wako.
 
Nchi imeoza hii,ngojea watakuja kujibu kwa mbwembwe,na utaambiwa unapotosha na kuleta taaruki
 
Pole sana!

Nilifikiri Uhamiaji wamebadilika kumbe bado ni business as usual! Safari bado ni ndefu!!!
 
Waliniomba matokeo ya Form Four nikawapa, nikapata Passport 21days
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…