edon66
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 2,907
- 9,135
Kwakweli mkuuUnawezakuta hata si bahili bali masharti ya ubosi wake huo ndiyo yanayomuendesha, mali zina siri nyingi sana.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli mkuuUnawezakuta hata si bahili bali masharti ya ubosi wake huo ndiyo yanayomuendesha, mali zina siri nyingi sana.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Na hapa ndipo tatizo lilipo, wengi wanafosi kujenga chini wakati jengo lilishakamilika toka muda matokeo yake ndio haya.Kwa jinsi nilivyoelewa, ni kwamba Jengo Hilo la Ghorofa lilijengwa Kwa plan ya kawaida tu, ikiwa na Ghorofa kadhaa...!
Ila kutokana na Tamaa za Wamiliki, na inaonekana ni mchezo wa kawaida Kariakoo Kwa Majengo mengi Kwa Sasa.
Mmiliki akaamua kuchimba Chini ili apate kujenga Frame zitazokua Underground, bila kuzingatia Usalama na plan ya Jengo...!
Matokeo yake hata zile Nguzo zilizoshika Jengo zikawa weak, na kupelekea Jengo kuanguka.....!
Serikali ingeanza kufanya Uchunguzi coz ni majengo mengi Sasa wanaamua kuchimba Underground wakati Jengo lilishajengwa na kuisha zamani.
Ubinafsi wa kuongeza sehemu za kufanyia biashara.Kwa nini kuwe na uchimbaji wa maduka ya chini?🤔
Naona watu wengi hawaelewi wakisikia neno"walikua wanachimba chini undergroun"Kwa mujibu wa mashuhuda, ghorofa hilo lilianguka ghafla saa tatu na dakika tano asubuhi wakati mafundi ujenzi walipokuwa kazini wakitoboa kwa ajili ya kuongeza sehemu ya maduka.
"Tulianza kusikia kelele za mtikisiko, kisha kwa ghafla jengo zima likaanguka. Wananchi wameshindwa kujiokoa na zoezi la ujenzi lilianza tangu jana hivyo angetaka urahisi angebomoa tu jengo lote," amesema mmoja wa mashuhuda, Harrison Shayo.
Mfanyabiashara mmoja ambaye hakujitambulisha kwa majina, ameeleza kuwa uchimbaji wa maduka ya chini ndio chanzo cha jengo la ghorofa kuporomoka katika eneo la Kariakoo, mtaa wa Congo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema hadi sasa mtu mmoja amefariki dunia na wengine 28 wameokolewa katika ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Soma pia: Ghorofa limeporomoka Kariakoo asubuhi ya leo Novemba 16
View attachment 3153698
View attachment 3153756
Chanzo: Bongo FM, Mwananchi
😍😍 Ahsante kwa kujali min, mimi niko mzima ila nimeondokewa na rafiki yangu Neema na mdogo wake Pude 😭😭
Ooooh pole sana nilikua nakuwazia , nimefurah upo salama.😍😍 Ahsante kwa kujali min, mimi niko mzima ila nimeondokewa na rafiki yangu Neema na mdogo wake Pude 😭😭
Asilimia 100.Wata
alam ujenzi/wahandisi watueleze kitaalmu ni kwa % ngap hii inaweza sababisha jengo kuporomoka!?,na kama ni hatari je serikali haikulijua hilo na wametoboa majengo mangap mpaka sasa!?
Sahihi, lile Jengo lilikua Mzigo wa Mabalo ya Nguo kila Floor, lilikua kama Ghala.Na hapa ndipo tatizo lilipo, wengi wanafosi kujenga chini wakati jengo lilishakamilika toka muda matokeo yake ndio haya.
Hatari tupu, kuna mstari mwembamba kati y’a uhai na kifo, utajiri na ufukara..Ooooh pole sana nilikua nakuwazia , nimefurah upo salama.
Jana nilikukumbuka sana sema na mimi nilikuwa na hekaheka kuna mdogo wangu yuko kariakoo eneo hilo kila nikipiga Simu yake ilikuwa haipatikani nilichanganyikiwa mno ila ni mzima.😍😍 Ahsante kwa kujali min, mimi niko mzima ila nimeondokewa na rafiki yangu Neema na mdogo wake Pude 😭😭
Wengi sikuhizi wanafanya hivyo tena hata katika hatua za mwanzoni wakati jengo likijengwa ili kupata nafasi kubwa ya kuhifadhi mizigo (Store)Kwa nini kuwe na uchimbaji wa maduka ya chini?🤔
StoreAisee hii ni mpya.
Watu wanachimba maduka chini ya magorofa.
Wanachimba na kuongeza nguzo pembeni so inakuwa ni vyumba kabisa au Hall...sikuhizi wengi wanajenga hivyo wakati ujenzi unaanzaYaan wanachimba maduka jengo ambalo liko tayari ama inakuaje?
Acha wifi yangu jana ilikuwa hatari haya mambo ni mazito, mimi jana nilichelewa kwenda nilitanguliza vijana km kawaida yangu..Jana nilikukumbuka sana sema na mimi nilikuwa na hekaheka kuna mdogo wangu yuko kariakoo eneo hilo kila nikipiga Simu yake ilikuwa haipatikani nilichanganyikiwa mno ila ni mzima.
Usikute ni kigogo m1 maarufuAlafu usije ukashangaa mpaka sasa hivi mmiliki wa hilo gorofa bado yupo uraiani
Ni mbena mmoja hivi alianzia biashara zake Tunduma, sema serikali yetu haiko makini inawapa vibali holela wanawapa rushwaUsikute ni kigogo m1 maarufu
Poleni sana aisee, Huyo jamaa ashughulikiwe ..!!Ni mbena mmoja hivi alianzia biashara zake Tunduma, sema serikali yetu haiko makini inawapa vibali holela wanawapa rushwa
Majengo mengi kariakoo yapo hivyo, floor za chini ni frem, za juu ni stoo za kuhifadhia bidhaa.Asilimia 100.
Sahihi, lile Jengo lilikua Mzigo wa Mabalo ya Nguo kila Floor, lilikua kama Ghala.
Kwa serikali yetu hilo sahau 😥Poleni sana aisee, Huyo jamaa ashughulikiwe ..!!