Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Leo Waislamu wanaweza kuanzisha chuo na wana miradi chungu nzima; unafiiri serikali ya Kikwete inakula njama na Kanisa kuangamiza miradi hii ya Waislamu ndio maana mashehe wamefungwa Zanzibar na Bara?
 
muda unavozid kwenda ndivo watu wanavozid kuishiwa hoja.
Ndugu moh' said kwa busara zake anaendelea kumwaga darsa huru kwa wale wenye kuhitaji.
 
leo waislamu wanaweza kuanzisha chuo na wana miradi chungu nzima; unafiiri serikali ya kikwete inakula njama na kanisa kuangamiza miradi hii ya waislamu ndio maana mashehe wamefungwa zanzibar na bara?

ndugu zangu hii ni nin sasa?
Hizi nazo ni hoja tena?
Unaturudisha kwenye hoja ya serikali ya kikwete hali ya kuwa unafaham fika hoja kuu ya mjadala huu hii ni haki?
Haipendezi namna hii,tuheshimiane.
 
Mkuu wangu Mzee Mwanakijiji dhuluma dhidi ya uislamu inaendelea hadi leo au unajifanya hujui kiwanja cha Chang'ombe kimeuzwa na baraza la maaskofu !.Pale Chang'ombe tulikuwa na mpango wa kujenga chuo kikuu kikubwa kuliko UDOM wakatoliki wakapata hofu kubwa wakatia fitina zao kiwanja kikauzwa.

Leo Waislamu wanaweza kuanzisha chuo na wana miradi chungu nzima; unafiiri serikali ya Kikwete inakula njama na Kanisa kuangamiza miradi hii ya Waislamu ndio maana mashehe wamefungwa Zanzibar na Bara?
 
ndugu zangu hii ni nin sasa?
Hizi nazo ni hoja tena?
Unaturudisha kwenye hoja ya serikali ya kikwete hali ya kuwa unafaham fika hoja kuu ya mjadala huu hii ni haki?
Haipendezi namna hii,tuheshimiane.
Sasa mtapataje haki bila kujadilia serikali ya Kikwete? Ndiye rais aliyeko mamlakani kwa wakati huu.
 
sasa mtapataje haki bila kujadilia serikali ya kikwete? Ndiye rais aliyeko mamlakani kwa wakati huu.

hamtaki na kumchukia kikwete sababu ya uislam wake?au hamtaki na hampendi kikwete sababu ya mfumo mbovu alioukuta ccm ambayo imehasisiwa na kina julius?
Tusipende kumeza meza maneno,yaliyomkuta kikwete kayarith kutoka kwa serikali ile ile ya julius,mwinyi,mkapa na mwisho ni yeye,so mada hiyo ni pana,na tukianza kuizungumza hoja hiyo ni kuuhamisha mnakasha huu na kuupeleka kusiko stahili.
Msijitoe ufaham wa kupoteza mantiki kuu ya mnakasha huu,mnajidhalilisha na kuonesha ujinga wenu wazi wazi,darsa hili mnalopewa ni bora mkashukuru kuliko kukufuru na kukejeli,haitawasaidia.
 
Sasa hapa unataka kupingana na mzee wetu Mohamed. Takwimu hizo nizitoe wapi wakati hata kanisani sijakanyaga miaka mingi tu. Sisumbuliwi na makanisa. Mimi na Mungu wangu asiye na DINI na Tanzania yangu tu.

Mimi napingana na wewe auende kanisani wala msikitini lakini habari za misikitini unazijua na unazitolea maelezo lakini habari za kanisani uzijui...
 
Na ufisadi je, nao ameurithi kwa Julius? Namchukia Kikwete kwa sababu ni fisadi aliyekubuhu!
 

Hivi unatumia akili kweli au hisia za kiimani mkuu?

Hebu tuthibitishie madai yako hayo!
 
Last edited by a moderator:
Ndiyo hapa najaribu kuufahamisha umma kuwa lipo tatizo
la dhulma katika jamii.

Jamii ikisha kubali ni rahisi kuishughulikia hiyo dhulma na
kuitokomeza.

Hatukatai kwamba kuna dhulma katika jamii.
Tunachokataa ni wewe kudai kuwa dhulma hiyo ipo kwa waislam tu.
Tunakataa unapolazimisha kuwa watu wanaohubiri upendo kila siku, eti wamekuwa wana njama za kuwahujumu waislam.
Tunakataa unapoingiza hisia zako na kuzifanya kama sehemu ya ukweli (na kudai kuwa umefanya research) huku ukijua kuwa unachofanya ni kupandikiza chuki katika jamii.
Tunakuambia kuwa matatizo unayowaona nayo waislam wa mtwara, hata wakristo na wapagani wa mtwara huko huko wanayapata.
Na wala hatukatai kuwa Nyerere alikuwa na mapungufu, lakini tunakataa unapo mpakazia mambo yasiyo na uhakika huku ukitumia maneno kama "inasemekana" na mara nyingine hata unajaribu kutoa mawazo yake ilhali wewe hata hukuwahi kumhoji.
 
Mimi napingana na wewe auende kanisani wala msikitini lakini habari za misikitini unazijua na unazitolea maelezo lakini habari za kanisani uzijui...

Ndugu yangu, kuyajua mambo sio lazima uwe sehemu ya tukio,

Mbona mimi na wewe tunayajua mengi yaliyotukia miaka 1927 hapa tanganyika?

Kuna njia nyingi sana za kujua mambo!
 
Nina akili lakini sitaki kuzitumia vyema nikizitumia vizuri hoja yangu ya kuwagawa waTanzania kwa misingi ya dini itakufa na ikifa mialiko ninayoipata toka vyuo vikuu vya ulaya na Marekani wasiojua ukweli wa historia ya Tanganyika itakoma.Historia ya wazee wangu wa Gerezani ndiyo historia ya mapambano dhidi ya ukoloni bila wao kushiriki Tanganyika mpaka leo ingekuwa koloni la mwingereza.

Hivi unatumia akili kweli au hisia za kiimani mkuu?

Hebu tuthibitishie madai yako hayo!
 

Bwana mdogo acha hizo!
Kama wewe unamtegemea Moh Said kama source of knowledge basi hiyo ni juu yako. Usifikiri kuwa wote hapa ni vijana wadogo wanaosikiliza hizo simulizi kwa mara ya kwanza. FYI, tumeisha pambana naye sana hapa katika miaka hii mitatu. Tafuta thread zake za nyuma, utatukuta. Halafu kuwa na adabu kidogo kama alivyo Moh Said kwenye mnakasha, vinginevyo nenda kacheze chandimu kama alivyokushauri Nguruvi3.
 
Mimi napingana na wewe auende kanisani wala msikitini lakini habari za misikitini unazijua na unazitolea maelezo lakini habari za kanisani uzijui...
Sina habari za misikiti. Nimeuliza tu swali: Misikiti mingapi Tanzania hii ina computer zilizounganishwa na internet? Ninyi Waislam "wachache" mliosoma ndani ya mfumokristo mmekuwa kama mtu wa jicho moja ndani ya kundi kubwa la vipofu( sorry, wanaitwa wasioona). Mnawadanganya mambo mengi mno mwisho siku mnawambia "Takbir"!
 

Wild Card,

Somo la Bakwata, Nyerere na Kanisa ni somo zito sana.
Naamini katika nchi hii hakuna aliyelifanyia utafiti kunishinda.

Si somo mtu unaloweza ukasomesha kwa muda mfupi.
Linataka muda na hapa muda haupo.

Juu ya hayo hebu soma kidogo hapa chini na Insha Allah kama
yapo maswali nitajibu huku tukienda kidogo kidogo:

It is said that at this juncture the Christian Council of Tanzania (CCT)
sent a secret delegation to the Minister of Home Affairs Augustine
Mrema, a Roman Catholic to request him to use his powers to prevent
the new Muslim leadership from coming to power in BAKWATA for what
it feared was a strong Muslim independent leadership which will challenge
Christian hegemony wherever it existed and would promote "Muslim
fundamentalism."

The Caretaker Committee requested a meeting with the Minister of Home
Affairs and the Registrar of Societies in order to have their co-operation
for a peaceful and orderly transition but all of them refused to meet the
Committee.

The registrar wrote to the committee accusing it of flouting the constitution.

Meanwhile rumours were circulating in Dar es Salaam that BAKWATA
leadership had asked Nyerere to intervene and use his powers to prevent
the new leadership into coming to power.

This incensed Muslims and hostility to BAKWATA leadership was intensified
to the extent that it had to be provided with security by the government.
Sheikh Hemed bin Juma the Grand Mufti nor the Acting Secretary General
Rajab Kundya, who was at the centre of criticism because he was married
to a Christian, could freely go to their offices for fear of being physically
attacked by Muslims.

BAKWATA was overwhelmed by hostility from the Muslim community.

BAKWATA leadership under the Grand Mufti Sheikh Hemed bin Juma refused
to hand over power to the popular will of Muslims.

BAKWATA issued a statement which stated that the constitution of the
organisation protected its leadership from being ousted and therefore
the leadership was still in power.

(Inatoka ''Christian Hegemony and the Rise of Muslim Militancy in Tanzania'').

Wild Card ndugu yangu wewe ni Mkristo ni shida sana wewe kuhisi hata kwa
mbali nini Waislam wa Tanzania tunapitia.

Wala usipuuze na kubeza haya niandikayo.
Jitulize piga magoti muombe mungu wako mtake msaada akuongoze.

Muulize hivi Mungu na Yesu Kristo huyu Mohamed haya anenayo ni kweli
au ni mchochezi?
 
Hivi unatumia akili kweli au hisia za kiimani mkuu?

Hebu tuthibitishie madai yako hayo!
Mkuu, soma vizuri katikati ya mistari utajua mkuu ngongo alikuwa na maana gani...kama kanisa lilizuia waislam kujenga shule wakati ule, je ni kanisa lililo uza kiwanja cha chang'ombe kilichokuwa kinatakiwa kijengewe chuo cha waislam? Jibu ndiyo ujumbe wa ngongo...
 
Ya kwako mwenyewe haya. Ya kuokoteza kwenye vijiwe vya gahawa na mitaani. "Rumours" hapa Bongo ndio penyewe. Ukiambiwa ulete ushahidi wa hiyo memo ya CCT kwenda kwa Mrema hautaweza. Mzee Mohamed, matatizo ya Waislam hapa Tanzania na kwingineko duniani yako kwa Waislam wenyewe. Ukiyaelekeza matatizo haya kwingine unazidi tu kuyalea na kuyakuza matatizo haya. Tabia moja mbaya ya matatizo ni kuitana.
 

Wild Card,

Waislam sisi ni masikini katika miskiti yetu.

Walianza watu kama kina Aljabr Iringa na wengine
kuanza kusaidia kunyanyua hali hii.

Ilipopitishwa sheria ya ugaidi wakakamatwa wakaambiwa
wanafadhili magaidi.

Sasa Waislam tajiri wamekuwa waoga hawatoi tena misaada.

Tumeomba na sisi tupewe mabilioni kama wanayopewa Wakristo
katika MoU.

Tumenyimwa.

Hiyo takbri unayoikejeli ni kauli kubwa sana.
Ina uzito mkubwa mbele ya Allah.

Kwetu ni faraja tunaposikia Waislam wakimtukuza Allah juu ya haya yote.
Wangeliweza wakaritadi (Allah pishia mbali) na wao wakawa kama Wakristo.

Wakapata fursa kama Wakristo.

Elimu, kazi nzuri, magari na majumba ya fahari.

Lakini wameridhia katika Uislam wao na umasikini wao.

Iko siku niko msikitini wakati wa kadhia ya mauaji ya Mwembechai.
Sheikh Ponda anasalisha.

Ponda Mashaallah ana kiraa (kisomo) kizuri cha Qur'an.

Anaingia katikati ya mashafu anasoma sura.

Allah anawakumbusha Waislam shida na dhiki watakazopata...
Kisha anamtaja mjumbe wake na wale waliokuwa pamoja na yeye..

Kijana mmoja kushotoni kwangu kashindwa kuvumilia Qur'an imepiga
sawasawa.

Kaanza kulia taratibu...
Ponda anaendelea na kiraa...

Mwisho sasa analia kwa sauti kubwa na wengine wanaanza kulia...

Hawa ndiyo Waislam wa kweli wanaposikia Qur'an nyoyo zinaathirika.
Na tunao Waislam wa Bakwata.
 
Wild Card ndugu yangu wewe ni Mkristo ni shida sana wewe kuhisi hata kwa
mbali nini Waislam wa Tanzania tunapitia.

Wala usipuuze na kubeza haya niandikayo.
Jitulize piga magoti muombe mungu wako mtake msaada akuongoze.

Muulize hivi Mungu na Yesu Kristo huyu Mohamed haya anenayo ni kweli
au ni mchochezi?

Mimi ni Mkristo. Rais wangu Muislam, Makamu wa Rais Muislam, Mkuu wangu wa Mkoa Muislam, Kamanda wangu Polisi wa Zone, Kova, Muislam, ZCO wangu Msangi, Muislam,... Sioni shida. Sioni tatizo. Haya, huku chama twawala, Mwenyekiti Taifa Muislam. Mwenyekiti wa Mkoa wangu, Mzee wa ARV feki, Muislam. Mwenyekiti wa wilaya yangu Muislam. Sioni tatizo. Sioni shida. Haya, nyumba ndogo yangu ni Muislam. Jana alinipikia pilau nzuri tu.

Tatizo ni wewe tu Mzee Mohamed. Unataka kutuvuruga. Unataka tuchukiane Watanzania kwa DINI zetu. Unazeeka vibaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…