Hiyo BAKWATA waliundiwa akina nani? Waislam vibaraka ambao walikuwa hawaioni dhulma ya kanisa na Mwalimu? Kwa nini BAKWATA bado ipo miaka kadhaa baada ya Mwalimu kuondoka madarakani na duniani. Jana ulihudhuria ile Maulid iliyoongozwa na Makamu wa Rais?
Wild Card,
Somo la Bakwata, Nyerere na Kanisa ni somo zito sana.
Naamini katika nchi hii hakuna aliyelifanyia utafiti kunishinda.
Si somo mtu unaloweza ukasomesha kwa muda mfupi.
Linataka muda na hapa muda haupo.
Juu ya hayo hebu soma kidogo hapa chini na Insha Allah kama
yapo maswali nitajibu huku tukienda kidogo kidogo:
It is said that at this juncture the Christian Council of Tanzania (CCT)
sent a secret delegation to the Minister of Home Affairs Augustine
Mrema, a Roman Catholic to request him to use his powers to prevent
the new Muslim leadership from coming to power in BAKWATA for what
it feared was a strong Muslim independent leadership which will challenge
Christian hegemony wherever it existed and would promote "Muslim
fundamentalism."
The Caretaker Committee requested a meeting with the Minister of Home
Affairs and the Registrar of Societies in order to have their co-operation
for a peaceful and orderly transition but all of them refused to meet the
Committee.
The registrar wrote to the committee accusing it of flouting the constitution.
Meanwhile rumours were circulating in Dar es Salaam that BAKWATA
leadership had asked Nyerere to intervene and use his powers to prevent
the new leadership into coming to power.
This incensed Muslims and hostility to BAKWATA leadership was intensified
to the extent that it had to be provided with security by the government.
Sheikh Hemed bin Juma the Grand Mufti nor the Acting Secretary General
Rajab Kundya, who was at the centre of criticism because he was married
to a Christian, could freely go to their offices for fear of being physically
attacked by Muslims.
BAKWATA was overwhelmed by hostility from the Muslim community.
BAKWATA leadership under the Grand Mufti Sheikh Hemed bin Juma refused
to hand over power to the popular will of Muslims.
BAKWATA issued a statement which stated that the constitution of the
organisation protected its leadership from being ousted and therefore
the leadership was still in power.
(Inatoka ''Christian Hegemony and the Rise of Muslim Militancy in Tanzania'').
Wild Card ndugu yangu wewe ni Mkristo ni shida sana wewe kuhisi hata kwa
mbali nini Waislam wa Tanzania tunapitia.
Wala usipuuze na kubeza haya niandikayo.
Jitulize piga magoti muombe mungu wako mtake msaada akuongoze.
Muulize hivi Mungu na Yesu Kristo huyu Mohamed haya anenayo ni kweli
au ni mchochezi?