Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Yaani nimetafuta kote nimesoma thread hii toka mwanzo mpaka mwisho hapa umeshikwa huwezi kuandika kitabu unakandia upande fulani kwamba historia ya waislamu ilificha then wale watu uliwahoji wote waislamu hujatendea haki kitabu chako mzee wangu mchunguzi na muandishi wa mambo ya kihistoria ni yule anachunguza side a na side b kisha anakuja na hitimisho.

Kumuambia Mwanakijiji eti huko ukipita yeye ndo anaende haina maana inaonekana ulijazwa chuki kabla ya kuandika hiki kitabu chako ungekua mtenda haki kama unavyojiita ungeenda pale msaani kwenda kuongea na ubavu wa pili mwa Mwl Nyerere lakini hakuwish kwenda.

Hivi ni kumwaga sumu tu kwenye isio na maana yoyote na kuipotosha jamii kwa historia ya upande mmoja,ukisoma kitabu cha historia ya Lumumba mwaandishi alikwenda side zote kuhoji upande wa lumumba,upande wa belgium,upande kina Mabout kote walikwenda kuhoji na kuja na kitabu.

Sasa leo wewe mzee unakuja na kitabu umehoji watu wa jamii moja unakuja kutulisha hilo tango pori wewe sio muandishi wewe ni mtu mwenye chuki na jamii fulani.

Hivi mbona wachaga na wahaya hawalalamiki kuhusu ukandamizaji kipindi cha uhuru si tumejenga taifa moja ilikua ni lazima haya makabila yangeshushwa chini ili tujenge taifa moja la mshikamo.umeona wapi wachaga na wahaya leo wamekuja na vitabu vya upotoshaji kama vyako.

Wakati upande wa kaskazini ukishusha chini usijione wao wana uwezo sana ili tujenge taifa la tanganyika moja maana kuna mpambanaji mmoja kutoka arumeru jina limetoka alitaka uhuru kwa upande wa kaskazini pia mangi mareale naye alitaka kaskazini ipate uhuru kwanza sehemu nyingine baadae nyerere alitaka tanganyika yote kwanza uipate uhuru.

Sasa nyerere baada ya kufanikisha uhuru wote wa tanganyika nia ya kwanza ilikua kuleta umoja na mshikamano unaleta umoja na mshikano ni kuvunja nguvu ya yale makabila superior yaje chini pamoja na yote hao kaskazini waliendelea kujikomboa kwa elimu.

Nenda kafanye research yako mpya uje na kitabu chako kilichoshiba sio upotoshaji.
 
Mohamed Said anaandika kuhusu Tanganyika wao wanauliza kuhusu Somalia.

kwi kwi kwi teh the teh. Kwanini hamuulizi kuhusu alichokiandika na mnarusha mada? Hakuna moja aliloandika mmelipinga au kuliletea japo aya moja kusema hili si ukweli na ukweli ni huu? Wapi?

Ukweli ukidhihiri uongo hujitenga. Tumeona Kikwete akikabidhi nishani za mashujaa "aliowasahau" nyerere, Jee hamkuona?
 
Ndugu yangu huko nishapita.

Siko hapa kutaka ushindi.

Nia yangu ni dunia ielewe upande wetu Waislam tunasema nini kuhusu
kuhujumiwa tusipate elimu.

Hilo nimelieleza na wapo watafiti wa nje na wao wamepita nilikopita mimi.
Ushapita kwa kushindwa kutetea hoja.
Hata ile hotuba ya Nyerere uliyompandikizia maneno kinywani nayo pia huna unasubiri ushahidi wa video na audio.
Kipande alichoweka Jokakuu kwa mtu mzima aliyekuwepo 1985 na aliyesikiliza hotuba ile wala hahitaji tena audio au video. Kibaya zaidi wewe ulipata wapi maneno hayo ukayatumbukiza kinywani kwa marehemu ukijua fika kuwa marehemu hana jukwaa la kujitetea!

Mohamed ile hotuba ikipatikana audio tu ,hata wenye nakala za kitabu chako wengine watazichoma. Ni aibu!

Hebu tujaribu hili labda unaweza kujibu
1. Nyerere alikuja kwa mara ya kwanza lini Dar kama ulivyoulizwa?
2. Akienda UNO baada ya kuchangiwa fedha na wazee wako safari yake ilianzia wapi?

Wanajamvi, kumbukeni kuwa baada ya Nyerere kufundishwa namna ya kukunja chapati, kuvaa suruali za kariakoo, ile hotuba ya UNO hakushiriki kuiandika. Iliandikwa akakabidhiwa kwenda kuisoma UN.
Hayo ni kwa mujibu wa Mohamed Said.

Kwa maneno mengine Alumni wa Makerere na Edimburgh, mwalim Tabora na Pugu, bado alikuwa hana uwezo wa kushiriki katika kuandaa hotuba kama kiongozi wa chama. Alichokifanya ni kubeba hotuba na kuwa kasuku pale New York!

Eeeh Mola, tunusuru na uzito wa ngano hii!
 

Wewe umekuja na ushahidi upi zaidi ya pumba tu? Maswali yako yote yamejibiwa na Mohamed Said ukarukia Somalia na Nigeria. Duhhh, Mohamed Said kakupa za USO mpaka hujijui hujitambui.
 
Nimekosoma na nina heshimu fikra zako.

Hatuna haja ya sisi kunasa katika ubishi
katika namna ya nipe nikupe.

Hali hii huwa hakuna mwisho.
 
Ndugu yangu zomba, karibu sana kwenye huu uzi tunaitaji michango yako.
 
Last edited by a moderator:
Wakuja na kitabu kwa sasa ni wewe.

Maana hiyo ndiyo itakuwa fursa nzuri
ya kufanya masahihisho katika yale
uloona nimekosea.
 
Uisilamu ni dini ya kijinga na kikatili. ujinga wake unakuja hivi, wakati ukristo unaenda sambamba na kutafuta maarifa ili mwanadam ayamudu na kuyaweza mazingira aliyomo, waislamu wao wamekalia madrasa tu na kulinda dini yao isinajisiwe. hakuna ubishi kuwa ukiristo ndo jimbuko la ustaarabu wote wa dunia hii. haukwepi kuhusisha ukristo ukizungumzia maendeleo makubwa katika sayansi na teknolojia, na hata kiuchumi leo. maendeleo yanatabia ya kuleta mabadiliko ya kiutamaduni na kimazingira pia. hasa ili kuendelea lazima tamaduni zisizo tija zife na tamaduni zingine zilizo bora zaidi zizaliwe ndipo ustaarabu uje. uisilamu ni dini inayopinga mabadiliko haya kwa nguvu zote. mathalani ndiyo maana myaka nenda myaka rudi hawataki kutumia kijiko, uma wala kisu wakati wa kula. sharti wakae kwenye mkeka na kukunja miguu, kisha wale kwa mikono yao. ukiwauliza watakwambia mtume alifanya hivyo. wakristo wanaamini mungu wao ni muumba wa mbingu na ardhi na viumbe vyote pamoja na wanadam. yuna mamlaka yote na nguvu na uweza wote. naye ndiye huwagawia wanadamu uwezo,mamlaka na nguvu. hivyo mungu wa wakristo hawazi kupiganiwa, bali hujipigania mwenyewe na kuwatetea wanadam. siyo wanadam kumpigania na kumtetea yeye. mungu wa waislam hawezi kujitetea mwenyewe. sharti alindwe na kutetewa kanakwamba ni sanamu isiyokuwa na uwezo wowote. ndiyo maana muhammad akikashifiwa tu tayari watu watameza na kujifunga mabomu ili kumwaga damu. yesu akikashfiwa wakristo kimya. make wanajua mungu wao anajitosheleza na huwatetea wao pia. islam ni neno ambalo wanasema lina maanisha peace. sasa nashangaa marungu na kumeza mabomu kwa nini! ni dini namba moja inayo promoti chuki duniani. inafundishwa toka madrasa kuwa adui yao mkubwa ni ukristo. kwamba mtu yeyote asiye mwislamu ni kaffir, yaani hayawani au najisi au chukizo. na hayawani namba moja kwa waislamu ni mkristo. ndiyo maana nyama ikichinjwa na mwislamu swadata, hata wakristo wala tu, lakini ikichinjwa na mkristo haramu! hiyo ndo islam yaani peace.
 



Ahsante sana, si yericko wala Jericho ataeweza kujibu haya bila kujikanyaga.

Ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.
 
......
 

Ndiyo uzuri wa munakasha tunajifunza mengi hebu tupe kisa cha Wachaga na Wahaya walivyokandamizwa kipindi cha uhuru.
 

Nikizisoma tu hizi Shukrani, naiamini picha niipatayo akilini mwangu kuwa uliegemea upande mmoja,

Ulielekeza shutuma kwa Mwalimu Nyerere na Wakristu, lakini hakuna sehemu inayotuaminisha kuwa mkristu au familia ya Mwalimu Nyerere uliwahi kuthubutu kuongea nayo japo nukuu moja tu,

Kwa ujumla ni mawazo yako tu ndio umeyafanya kuwa Historia ya Watanzania milioni 45.5 jambo ambalo ni ukosefu wa nidhamu wa daraja la juu kabisa!
 
Nimekosoma na nina heshimu fikra zako.

Hatuna haja ya sisi kunasa katika ubishi
katika namna ya nipe nikupe.

Hali hii huwa hakuna mwisho.

Nasikitika sana kuwa Moh' Said kwa sasa hujibu hoja,kuna maswali umeulizwa sisi wafuatiliaji tungependa sana ujibu ili tuendelee kujifunza.
 
Ili uweze kupembuka na kufaidi mang'amuzi ya nera, ni vema ukaangalia kkilichoandikwa kuliko kuniangalia mimi!

Mimi sijamjadili Mohamed Said binafsi, bali nimeyazungumzia maandiko yake, vivyohivyo kaa katika dhana hii!

Unaonesha hujielewi, umesahau kuwa Mohamed Said anaandika kuhusu Tanganyika wewe unauliza kuhusu Somalia?
 
Nasikitika sana kuwa Moh' Said kwa sasa hujibu hoja,kuna maswali umeulizwa sisi wafuatiliaji tungependa sana ujibu ili tuendelee kujifunza.

Kama lipi ambalo hajajibu?
 
Nasikitika sana kuwa Moh' Said kwa sasa hujibu hoja,kuna maswali umeulizwa sisi wafuatiliaji tungependa sana ujibu ili tuendelee kujifunza.

Sote tunafuatilia huu munakasha na tunajifunza labda umkumbushe hayo maswali. Mohamed Said atajibu.
 

Sasa hao wa kina nyerere wana historia ipi ambayo haijaandikwa hata awaulize? Wewe kama unayo si uiweke hapa au ukawaulize, unangoja nini?

Mohamed Said katuletea tuliokuwa hatuyajuwi, sasa wewe leta hayo uyatakayo tusioyajuwa ili tufaidike. Unalo?
 
MM,

Hivi unataka tubishane kwa hilo?

Iwe itakavyo kuwa kwani kuja Dar we umeona jambo kubwa sana.

Ni jambo kubwa kwa sababu wewe umelifanya hivyo siyo mimi. Ni wewe uliyedai kuwa Nyerere alikuwa hajaja Dar kwa mara ya kwanza hadi 1952, na kuwa mwaka 1953 akaingizwa kwenye siasa na Abdul. Sasa this fits in your narrative where by Nyerere analetwa mshamba mmoja anayekuja Dar na kupokelewa na wazee mashuhudi wa Dar ambao walikuwa hawajawahi kumsikia kwa sababu kama alikuja mwaka 1952 kwa mara ya kwanza na akaingizwa kwenye chama 1953 na 1954 akachaguliwa kuongoza TANU ni wazi kuwa muda huo haumtoshi kabisa kumfanya aonekane alikuwa na mizizi Dar.

So, swali la kuja kwa 'mara ya kwanza Dar" ni la muhimu sana. Miye napendekeza kwako kuwa Nyerere alishakuja Dar katikati ya miaka ya 1940 (probably 1946) utanikatalia?


Mbona mimi sijakuja kutoka popote nimezaliwa pale Sewa Haji karibu na
Traffic Police.

Kulikuwa na hospitali pale.

Wewe siye unayetuhumiwa kuwabagua mamilioni ya Waislamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…