Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Sawa huko sikupita sasa na nyie si ndiyo vyema mkaangalie kuna kitu gani?
Mkipata nanyi muandike?

Huko kwengine si na wewe uende kwani nani kakutazeni?

Kazi za kisomi anaekuja baadae anapita kule mwenzake hakufika.
Kwa njia hii kila siku kunakuwa na jipya.

Yaani nimetafuta kote nimesoma thread hii toka mwanzo mpaka mwisho hapa umeshikwa huwezi kuandika kitabu unakandia upande fulani kwamba historia ya waislamu ilificha then wale watu uliwahoji wote waislamu hujatendea haki kitabu chako mzee wangu mchunguzi na muandishi wa mambo ya kihistoria ni yule anachunguza side a na side b kisha anakuja na hitimisho.

Kumuambia Mwanakijiji eti huko ukipita yeye ndo anaende haina maana inaonekana ulijazwa chuki kabla ya kuandika hiki kitabu chako ungekua mtenda haki kama unavyojiita ungeenda pale msaani kwenda kuongea na ubavu wa pili mwa Mwl Nyerere lakini hakuwish kwenda.

Hivi ni kumwaga sumu tu kwenye isio na maana yoyote na kuipotosha jamii kwa historia ya upande mmoja,ukisoma kitabu cha historia ya Lumumba mwaandishi alikwenda side zote kuhoji upande wa lumumba,upande wa belgium,upande kina Mabout kote walikwenda kuhoji na kuja na kitabu.

Sasa leo wewe mzee unakuja na kitabu umehoji watu wa jamii moja unakuja kutulisha hilo tango pori wewe sio muandishi wewe ni mtu mwenye chuki na jamii fulani.

Hivi mbona wachaga na wahaya hawalalamiki kuhusu ukandamizaji kipindi cha uhuru si tumejenga taifa moja ilikua ni lazima haya makabila yangeshushwa chini ili tujenge taifa moja la mshikamo.umeona wapi wachaga na wahaya leo wamekuja na vitabu vya upotoshaji kama vyako.

Wakati upande wa kaskazini ukishusha chini usijione wao wana uwezo sana ili tujenge taifa la tanganyika moja maana kuna mpambanaji mmoja kutoka arumeru jina limetoka alitaka uhuru kwa upande wa kaskazini pia mangi mareale naye alitaka kaskazini ipate uhuru kwanza sehemu nyingine baadae nyerere alitaka tanganyika yote kwanza uipate uhuru.

Sasa nyerere baada ya kufanikisha uhuru wote wa tanganyika nia ya kwanza ilikua kuleta umoja na mshikamano unaleta umoja na mshikano ni kuvunja nguvu ya yale makabila superior yaje chini pamoja na yote hao kaskazini waliendelea kujikomboa kwa elimu.

Nenda kafanye research yako mpya uje na kitabu chako kilichoshiba sio upotoshaji.
 
Mohamed Said anaandika kuhusu Tanganyika wao wanauliza kuhusu Somalia.

kwi kwi kwi teh the teh. Kwanini hamuulizi kuhusu alichokiandika na mnarusha mada? Hakuna moja aliloandika mmelipinga au kuliletea japo aya moja kusema hili si ukweli na ukweli ni huu? Wapi?

Ukweli ukidhihiri uongo hujitenga. Tumeona Kikwete akikabidhi nishani za mashujaa "aliowasahau" nyerere, Jee hamkuona?
 
Ndugu yangu huko nishapita.

Siko hapa kutaka ushindi.

Nia yangu ni dunia ielewe upande wetu Waislam tunasema nini kuhusu
kuhujumiwa tusipate elimu.

Hilo nimelieleza na wapo watafiti wa nje na wao wamepita nilikopita mimi.
Ushapita kwa kushindwa kutetea hoja.
Hata ile hotuba ya Nyerere uliyompandikizia maneno kinywani nayo pia huna unasubiri ushahidi wa video na audio.
Kipande alichoweka Jokakuu kwa mtu mzima aliyekuwepo 1985 na aliyesikiliza hotuba ile wala hahitaji tena audio au video. Kibaya zaidi wewe ulipata wapi maneno hayo ukayatumbukiza kinywani kwa marehemu ukijua fika kuwa marehemu hana jukwaa la kujitetea!

Mohamed ile hotuba ikipatikana audio tu ,hata wenye nakala za kitabu chako wengine watazichoma. Ni aibu!

Hebu tujaribu hili labda unaweza kujibu
1. Nyerere alikuja kwa mara ya kwanza lini Dar kama ulivyoulizwa?
2. Akienda UNO baada ya kuchangiwa fedha na wazee wako safari yake ilianzia wapi?

Wanajamvi, kumbukeni kuwa baada ya Nyerere kufundishwa namna ya kukunja chapati, kuvaa suruali za kariakoo, ile hotuba ya UNO hakushiriki kuiandika. Iliandikwa akakabidhiwa kwenda kuisoma UN.
Hayo ni kwa mujibu wa Mohamed Said.

Kwa maneno mengine Alumni wa Makerere na Edimburgh, mwalim Tabora na Pugu, bado alikuwa hana uwezo wa kushiriki katika kuandaa hotuba kama kiongozi wa chama. Alichokifanya ni kubeba hotuba na kuwa kasuku pale New York!

Eeeh Mola, tunusuru na uzito wa ngano hii!
 
Mkuu,
1) Maswali 9 niliyouliza yanamsingi mpana wa kumleta Mohamed kuyatetea maandshi yake!

2) Unasema Mkapa na Kikwete waliwahi kutoa maelezo yenye kuthibitisha kiile ukiaminicho,

Swali:

A) Walitoa kupitia takwimu zipi?

B) Walitolea wapi?

C) Walisema kama marais au walisema kama wao tu?

NB: Nafadhaika sana kusikia mtu anasema fulani alisema hivi, au alisema vile! Nafarijika sana mtu akija na ushahidi usiiotiliwa shaka kwa hoja yake!

Wewe umekuja na ushahidi upi zaidi ya pumba tu? Maswali yako yote yamejibiwa na Mohamed Said ukarukia Somalia na Nigeria. Duhhh, Mohamed Said kakupa za USO mpaka hujijui hujitambui.
 
Nimekosoma na nina heshimu fikra zako.

Hatuna haja ya sisi kunasa katika ubishi
katika namna ya nipe nikupe.

Hali hii huwa hakuna mwisho.
 
Ndugu yangu zomba, karibu sana kwenye huu uzi tunaitaji michango yako.
 
Last edited by a moderator:
Wakuja na kitabu kwa sasa ni wewe.

Maana hiyo ndiyo itakuwa fursa nzuri
ya kufanya masahihisho katika yale
uloona nimekosea.
 
Uisilamu ni dini ya kijinga na kikatili. ujinga wake unakuja hivi, wakati ukristo unaenda sambamba na kutafuta maarifa ili mwanadam ayamudu na kuyaweza mazingira aliyomo, waislamu wao wamekalia madrasa tu na kulinda dini yao isinajisiwe. hakuna ubishi kuwa ukiristo ndo jimbuko la ustaarabu wote wa dunia hii. haukwepi kuhusisha ukristo ukizungumzia maendeleo makubwa katika sayansi na teknolojia, na hata kiuchumi leo. maendeleo yanatabia ya kuleta mabadiliko ya kiutamaduni na kimazingira pia. hasa ili kuendelea lazima tamaduni zisizo tija zife na tamaduni zingine zilizo bora zaidi zizaliwe ndipo ustaarabu uje. uisilamu ni dini inayopinga mabadiliko haya kwa nguvu zote. mathalani ndiyo maana myaka nenda myaka rudi hawataki kutumia kijiko, uma wala kisu wakati wa kula. sharti wakae kwenye mkeka na kukunja miguu, kisha wale kwa mikono yao. ukiwauliza watakwambia mtume alifanya hivyo. wakristo wanaamini mungu wao ni muumba wa mbingu na ardhi na viumbe vyote pamoja na wanadam. yuna mamlaka yote na nguvu na uweza wote. naye ndiye huwagawia wanadamu uwezo,mamlaka na nguvu. hivyo mungu wa wakristo hawazi kupiganiwa, bali hujipigania mwenyewe na kuwatetea wanadam. siyo wanadam kumpigania na kumtetea yeye. mungu wa waislam hawezi kujitetea mwenyewe. sharti alindwe na kutetewa kanakwamba ni sanamu isiyokuwa na uwezo wowote. ndiyo maana muhammad akikashifiwa tu tayari watu watameza na kujifunga mabomu ili kumwaga damu. yesu akikashfiwa wakristo kimya. make wanajua mungu wao anajitosheleza na huwatetea wao pia. islam ni neno ambalo wanasema lina maanisha peace. sasa nashangaa marungu na kumeza mabomu kwa nini! ni dini namba moja inayo promoti chuki duniani. inafundishwa toka madrasa kuwa adui yao mkubwa ni ukristo. kwamba mtu yeyote asiye mwislamu ni kaffir, yaani hayawani au najisi au chukizo. na hayawani namba moja kwa waislamu ni mkristo. ndiyo maana nyama ikichinjwa na mwislamu swadata, hata wakristo wala tu, lakini ikichinjwa na mkristo haramu! hiyo ndo islam yaani peace.
 

Issue hapa inatokana na Dhana ya Serikali kutokuwa na Dini au Serikali ya Kisekula Dhana hiyo ni maarufu Tanzania. Mara nyingi katika masuala yahusuyo dini, viongozi wa serikali husikika wakisema «serikali haina dini, ila wananchi wake wana dini zao ». Hoja ya usekula wa serikali ni ya kihistoria. Ilijengwa kiasi cha miaka miambili iliyopita ikitaka serikali ijiepushe na shughuli za kidini hususan katika masuala ya elimu, mafundisho ya maadili na na ibada.Japokuwa Tanzania imekuwa ikidai kwamba serikali yake ni ya kisekula, hali halisi haioneshi hivyo. Pamoja na madai hayo, serikali ya Tanzania imewahi kuingia katika msuguano na Waislamu na baadhi ya wasiokuwa waislamu pale Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ilipotaka kuanzisha somo la dini au maadili ya nchi. Kadhia hii ni maarufu kwa jina la “dini mseto”. serikali ya kisekula haiwezi ikaja na mipango ya kusomesha dini kwa jina lolote lile liwe la maadili au vyovyote vile.

Mifano mingine inayotia wasiwasi usekula wa serikali ya Tanzania ni hii ifuatayo:

1. Wimbo wa Taifa – unaomba mungu aibariki nchi

2. Dua ya Bungeni – ina muomba mungu

3. Kuapishwa kwa wanaochukua nafasi za uongozi.
Japo wanaoapa huapa kwa dini zao, aneapishasi kiongozi wa dini husika bali wa serikali au wabunge.

Utaratibu huo hauendani na madai kuwa nchi au serikali ya Tanzania haina dini, bali wananchi wake ndiyo wenye dini. Swali ni je, tunapomtaja Mungu katika wimbo wa taifa au katika dua ya bungeni, na kadhalika, tunamkusudia mungu yupi? Mungu wa Waislamu? Wa Wakristo? Wa dini za asili? Je, kuna mungu wa kitaifa? Mungu huyo wa kitaifa ni yupi na ni wa dini gani?Je, katika hali hiyo, ni kweli serikali haina dini? Katika mazingira ya Waislamu kuandamwa na kukandamizwa na mila ya Mfumokristo, mfumo ambao unajidhihirisha zaidi katika vitendo vya kibaguzi vinavyofanyiwa Waislamu na sehemu kubwa ya watendaji serikalini na katika taasisi mbalimbali, kwa nini mwananchi Muislamu asiamini kuwa serikali hii si ya kisekula bali ni ya kidini; na dini yenyewe ni Mfumokristo.

According to TRA / HAZINA....

attachment.php



attachment.php


attachment.php


attachment.php


attachment.php



Mbinu zinazotumiwa na Mfumokristo katika Kujihakikishia Fursa Tanzania


Mfumokristo ni hali ambayo Wakristo wa Tanzania wamehodhi madaraka ya ngazi zote muhimu katika serikali na katika vyombo vya maamuzi, na kuzitumia nafasi hizo kuwaendeleza Wakristo na Ukristo na kuwabagua Waislamu na dini yao.

1. Kuendeleza mfumo wa kibaguzi katika elimu kama ulivyoachwa na wakoloni.
Wakoloni wa kijerumani ndio walioanzisha mfumo wa kuwabagua Waislamu katika elimu baada ya kushinikizwa na makanisa. Ushahidi wa mashinikizo hayo unaweza kupatikana katika rejea zifuatazo: Cameroon and Dodd 1970:56, Kurtz1972:19, Smith 1963:16. Hatimaye kutokana na mashinikizo hayo serikali ilikubali kufaya yafuatayo:-

i. Kuwafukuza kazi Waislamu waliokuwa serikalini na kuwaingiza Wakristo (Tazama Cameroon and Dodd1970: 25, 56, pia Roland 1970:205)

ii. Kuzipa shule za wamisheni msaada wa kifedha kutoka kodi za wananchi huku wakizibagua zile za Waislamu (Tazama Roland: 1970: 205,na Cameroon and Dodd 1970:50)

iii. Kuweka mpango mkakati wa kuwabagua na kuwahujumu Waislamu na Uislamu wao. Tazama Roland 1970:205, Kurtz 1972:29. Cameroon and Dodd 1970:114.





iv. Kujenga hoja kwamba Waislamu kwa asili yao si watu wa kuendelea na kuwa ni wavivu. Tazama E.B Castle 1966:37 ambaye anasema, “ Islam hinders progressive attitude to change in society and a community that accepts Islam is less likely to advance in social welfare and education”, yaani Uislamu ni kikwazo cha fikra za maendeleo na mabadiliko katika jamii, na kwamba jamii ikiukubali Uislamu haiwezi kamwe kupiga hatua za katika ustawi wa na elimu. Pia Abel Ishumi 1980:208 anasema, “From the beginning Muslims were opposed to western type formal education”, Kwamba Waislamu walipinga elimu. Pia Abel Ishumi 1981:43, “Muslims believe highly in fatalism” Kwamba Waislamu wanabweteka na kuamini kwao kuwa mambo yameshakadiriwa.






2. Kuhujumu taasisi za Waislamu na kuweka viongozi mamluki.

Baada ya uhuru Serikali ya Tanzania imekuwa na muelekeo wa kuziandama taasisi zinazoonekana kuwa na mipango madhubuti ya kuwakomboa Waislamu kuondokana na ujinga na umaskini. Rejea Bergan 1981:26 na Sivalon 1992:3 kuhusu kuvunjwa kwa EAMWS na kuanzishwa kwa BAKWATA. Pia soma Anuur na. 13 la Agosti 1992 juu ya taarifa ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ya kuitaka Serikali kuifuta EAMWS. Pia tazama Njozi 2000:31. “Mwembechai Killings and the Political Future of Tanzania kuhusu kadhia ya kuvamiwa kwa Msikiti wa Mwembechai na hatimaye kuuliwa kwa Waislamu.



3. Kuhodhi mfumo wote wa elimu nchini.


Tangu kuondoka kwa Mkoloni Wakristo wamekuwa kama mabaki ya wakoloni na ukoloni. Ukiondoa shule za msingi na sekondari za Kata, huko katika shule za sekondari za Serikali, vyuo vya kati na vyuo vikuu wanafunzi na wafanyakazi ni Wakristo kwa zaidi ya asilimia 80. Siku hizi katika shule za Kata wanafunzi Waislamu wameanza kuonekana. Katika taasisi za elimu mfano T.I.E, TEA, NECTA, Bodi ya Mikopo, I.A.E na vyuo vyote nchini, uongozi umekuwa ni mali ya Wakristo.



Huko mwanzo walidai kwamba hamna Muislamu mwenye elimu ya kutosha kuongoza. Kwa siku za hivi karibuni madai yao kwa wale Waislamu wachache waliofanikiwa kupata elimu ni kuwa hawafai kwa vile wana, “udini”.



Aidha katika Wizara ya Elimu (MOEVT) tangu Wizara hiyo kuundwa uongozi umekuwa mali ya Wakristo kwa zaidi ya asilimia 90. Nafasi kama ya Kamishina wa Elimu haijawahi hata kuwa na Kaimu Muislamu na wala haitarajiwi chini ya Mfumochristo. Nafasi zawakurugenzi nazo zimemilikiwa na Wakristo. Mfumokristo umejikita barabara.


Uongozi wa Shule za Sekondari na Vyuo vya Ualimu nao umemilikiwa vilivyo. Nafasi za Maafisa elimu Wilaya na Mikoa na wakaguzi wakuu wa elimu wa Kanda kwa zaidi ya asilimia 85 zinaendelea kuwa miliki ya hawa Wakristo.



Mfumokristo ni hali ambayo Wakristo wa Tanzania wamehodhi madaraka ya ngazi zote muhimu katika serikali na katika vyombo vya maamuzi, na kuzitumia nafasi hizo kuwaendeleza Wakristo na Ukristo na kuwabagua Waislamu na dini yao.


1. Kuendeleza mfumo wa kibaguzi katika elimu kama ulivyoachwa na wakoloni. Wakoloni wa kijerumani ndio walioanzisha mfumo wa kuwabagua Waislamu katika elimu baada ya kushinikizwa na makanisa. Ushahidi wa mashinikizo hayo unaweza kupatikana katika rejea zifuatazo: Cameroon and Dodd 1970:56, Kurtz1972:19, Smith 1963:16. Hatimaye kutokana na mashinikizo hayo serikali ilikubali kufaya yafuatayo:-


i. Kuwafukuza kazi Waislamu waliokuwa serikalini na kuwaingiza Wakristo (Tazama Cameroon and Dodd1970: 25, 56, pia Roland 1970:205)


ii. Kuzipa shule za wamisheni msaada wa kifedha kutoka kodi za wananchi huku wakizibagua zile za Waislamu (Tazama Roland: 1970: 205,na Cameroon and Dodd 1970:50)


iii. Kuweka mpango mkakati wa kuwabagua na kuwahujumu Waislamu na Uislamu wao. Tazama Roland 1970:205, Kurtz 1972:29. Cameroon and Dodd 1970:114


iv. Kujenga hoja kwamba Waislamu kwa asili yao si watu wa kuendelea na kuwa ni wavivu. Tazama E.B Castle 1966:37 ambaye anasema, “ Islam hinders progressive attitude to change in society and a community that accepts Islam is less likely to advance in social welfare and education”, Yaani Uislamu ni kikwazo cha fikra za maendeleo na mabadiliko katika jamii, na kwamba jamii ikiukubali Uislamu haiwezi kamwe kupiga hatua za katika ustawi wa na elimu. Pia Abel Ishumi 1980:208 anasema, “From the beginning Muslims were opposed to western type formal education”, Kwamba Waislamu walipinga elimu. Pia Abel Ishumi 1981:43, “Muslims believe highly in fatalism” Kwamba Waislamu wanabweteka na kuamini kwao kuwa mambo yameshakadiriwa.


2. Kuhujumu taasisi za Waislamu na kuweka viongozi mamluki. Baada ya uhuru Serikali ya Tanzania imekuwa na muelekeo wa kuziandama taasisi zinazoonekana kuwa na mipango madhubuti ya kuwakomboa Waislamu kuondokana na ujinga na umaskini. Rejea Bergan 1981:26 na Sivalon 1992:3 kuhusu kuvunjwa kwa EAMWS na kuanzishwa kwa BAKWATA. Pia soma Anuur na. 13 la Agosti 1992 juu ya taarifa ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ya kuitaka Serikali kuifuta EAMWS. Pia tazama Njozi 2000:31. “Mwembechai Killings and the Political Future of Tanzania kuhusu kadhia ya kuvamiwa kwa Msikiti wa Mwembechai na hatimaye kuuliwa kwa Waislamu.

3. Kuhodhi mfumo wote wa elimu nchini. Tangu kuondoka kwa Mkoloni Wakristo wamekuwa kama mabaki ya wakoloni na ukoloni. Ukiondoa shule za msingi na sekondari za Kata, huko katika shule za sekondari za Serikali, vyuo vya kati na vyuo vikuu wanafunzi na wafanyakazi ni Wakristo kwa zaidi ya asilimia 80. Siku hizi katika shule za Kata wanafunzi Waislamu wameanza kuonekana. Katika taasisi za elimu mfano T.I.E, TEA, NECTA, Bodi ya Mikopo, I.A.E na vyuo vyote nchini, uongozi umekuwa ni mali ya Wakristo. Huko mwanzo walidai kwamba hamna Muislamu mwenye elimu ya kutosha kuongoza. Kwa siku za hivi karibuni madai yao kwa wale Waislamu wachache waliofanikiwa kupata elimu ni kuwa hawafai kwa vile wana, “udini”. Aidha katika Wizara ya Elimu (MOEVT) tangu Wizara hiyo kuundwa uongozi umekuwa mali ya Wakristo kwa zaidi ya asilimia 90. Nafasi kama ya Kamishina wa Elimu haijawahi hata kuwa na Kaimu Muislamu na wala haitarajiwi chini ya Mfumochristo. Nafasi za wakurugenzi nazo zimemilikiwa na Wakristo. Mfumokristo umejikita barabara. Uongozi wa Shule za Sekondari na Vyuo vya Ualimu nao umemilikiwa vilivyo. Nafasi za Maafisa elimu Wilaya na Mikoa na wakaguzi wakuu wa elimu wa Kanda kwa zaidi ya asilimia 85 zinaendelea kuwa miliki ya hawa Wakristo.

4. Kukataa kutunga sera za kuondoa upendeleo wa Wakristo katika elimu na kuendeleza ulaghai dhidi ya wananchi wasiokuwa Wakristo. Mara baada ya uhuru ilielezwa na viongozi wetu akiwemo Mwl. Nyerere kuwa serikali itachukua hatua kuondoa mpango ulioasisiwa na Wakoloni wa kuwabagua Waislamu. (tazama A. Jumbe 1994:123, Court 1976 na Nyerere in Hansard Desemba 10, 1962). Badala yake hatua zilizochukuliwa hazikulenga kuondoa tatizo la ubaguzi wa kidini katika elimu nchini na kuwaondoa pia katika ajira na madaraka.Mfano wa hatua hizo ni pamoja na:

i. Kufuta ada shule za msingi na sekondari miaka ya 1960/70.

ii. Kuweka kikomo cha elimu ya msingi kuwa miaka 7 bila kusita.

iii. Kuondoa mitihani ya darasa la 4 na 5. iv. Kuanzishwa kwa mpango wa UPE.

v. Kujenga shule za msingi za bweni kwa watoto wa wafugaji na wavuvi wanaoishi kwa kuhamahama

vi. Kutaifisha shule za binafsi zilizokuwa chini ya mashirika ya dini na watu binafsi. Mpango huu haukuhusisha seminari za Wakristo.

vii. Kupeleka wanafunzi sekondari kwa kigezo cha KUCHAGULIWA badala ya KUFAULU kulikoendana na kuyafanya matokeo ya mtihani wa darasa la saba kuwa ni siri.

viii. Kuanzishwa utaratibu wa “quota system” ambapo kila mkoa ulipangiwa idadi ya wanafunzi watakaochaguliwa kwenda sekondari.

ix. Kuweka utaratibu mgumu wa kuanzisha na kuendesha shule binafsi chini ya sheria ya elimu ya mwaka 1978, hivyo watu wote kulazimika kusoma katika shule chache za sekondari za Serikali

x. Kuanzishwa kwa shule maalum za vipaji katika miaka ya tisini mfano: Kibaha, Kilakala, Ilboru, n.k.

xi. Kutoa upendeleo maalum (Affirmative Action) kwa watoto wa kike kuingia sekondari na vyuo. Aidha kuwepo pia kwa mipango ya kuwasomesha watoto wa kike kutoka familia maskini.

xii. Ujenzi wa Shule za Sekondari za Kata. Sera hizi zote pamoja na nyinginezo hazikusaidia kuondoa uwiano mbaya au ubaguzi wa elimu kwa Waislamu. Tuangalie mfano michache ifuatayo: Ni ukweli usiopingika kwamba UPE awamu ya kwanza iliyosukumwa na UNESCO na awamu ya pili iliyosukumwa na Malengo ya Milenia (MDGs) na Mpango wa Elimu kwa wote (EFA) zimesaidia kuwahakikishia watoto wengi wa Kiislamu elimu hiyo ya msingi. Lakini sera hii ilikuja katika kipindi ambacho elimu ya msingi haikuwezi tena kumpatia mtu ajira katika sekta rasmi na hata ile ya binafsi.

Ikumbukwe kwamba katika kipindi hicho cha miaka ya 60 hadi 2000 nafasi za masomo ya sekondari ziliendelea kuwa haba. Wakati wote huu watoto wa Kikristo ndiyo walioendelea kufaidika na elimu ya sekondari. Masomo hayo ya sekondari hatimaye yaliwapatia fursa za kuingia vyuo vikuu na hivyo kuwa katika nafasi za kuajiriwa serikalini, kuteuliwa katika vyeo na nyadhifa mbalimbali huku Waislamu waliowaacha shule za msingi wakiambulia ajira za usafi na utarishi.

Naam, Mfumokristo umefanikiwa kuwafanya Wakristo kuwa warithi wa wazungu wakoloni na kuwaacha Waislamu katika hadhi lie ile waliokuwa nayo wakati wa ukoloni. Aidha kutaifishwa kwa shule hakujasaidia Waislamu kupata elimu ya sekondari kama inavyodaiwa kuwa Nyerere alitaifisha shule ili Waislamu wasome.

Kama tulivyoona awali kuwa tangu wakati wa Mjerumani serikali ya kikoloni ilikuwa ikitoa pesa kusaidia ujenzi na uendeshaji wa shule za Wakristo ni dhahiri kuwa shule hizi zilikuwa zimeshalemazwa na pesa za serikali kwa kipindi cha miaka 55, tangu mwaka 1914 hadi mwaka 1969 zilipotaifishwa. Tazama maandiko ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maskofu Katoliki (TEC) Fr Robinson, D.W 1965:14 kwamba, “The Church is now totally dependent on State aid for the administration of these schools. If this aid were withdrawn the church will be forced to close its schools”

Yaani, Kwa sasa Kanisa limekuwa tegemezi kabisa kwa serikali katika kutoa pesa za kuendesha shule zake na ikiwa serikali itasita kutoa fedha kwa shule hizi basi Kanisa litalazimika kuzifunga. Ni dhahiri basi kwamba hatua aliyochukua Julius Nyerere ilikuwa na malengo makuu ya kuziokoa shule za Kanisa kufungwa kwa sababu ingekuwa jambo la kiroja kwa serikali ya Tanzania kuendelea kutoa pesa za kuendesha shule za Kanisa kwa wakati ule, na pili kuhakikisha kwamba malengo ya shule zile ya kuwasomesha Wakristo yanaendelea kutekelezwa kwa kutumia pesa za umma.

Kimsingi kilichobadilika ni jina la mmiliki tu uongozi na malengo ya shule yalibaki vile vile. Ndiyo maana hakuna mtu yoyote aliyethubutu au atakayethubutu kudai eti kwamba ukienda katika shule zilizotaifishwa mfano, Pugu, Minaki, Tambaza, Zanaki, Jangwani, Kibasila, Ilboru, Weruweru, Tosamaganga, Msalato, Umbwe, Ndanda n.k, utakuta idadi ya kuridhisha ya wanafunzi Waislamu wanaosoma huko. Lakini hata katika shule za sekondari chache mpya ambazo serikali ilijenga au kujengewa mwishoni mwa miaka ya 70, kama vile: Kibiti, Ruvu, Karatu, Bagamoyo n.k , kote walimu, wafanyakazi na wanafunzi ni Wakristo kwa zaidi ya asilimia 80.

Watoto wachache wa Kiislamu wanaosoma huko huonekana kama wakimbizi wanaosaidiwa katika nchi ya ughaibuni. Kuhusu kuingia sekondari kwa kigezo cha kuchaguliwa na mpango wa quota system, watendaji Wakristo waliojazana katika mfumo wa elimu nchini wamekuwa wakihakikisha kwamba Waislamu hawasomi kutokana mbinu zifuatazo:-

i. Kufanya matokeo ya darasa la saba kuwa ni siri hivyo kuweza kuibadili nafasi walizoshinda Waislamu na kuwapa wengine. Tazama ushahidi mzito uliotolewa na Njozi mwaka 2000; katika kitabu cha Mwembechai Killings and the Political Future of Tanzania uk. wa 62 -70. Hapa vijana wa Kiislamu waliofaulu darasa la saba walinyimwa nafasi kuingia sekondari na wale waliofaulu kidato cha nne walinyimwa kuingia kidato cha tano. Kazi hii ya kuwakwamisha vijana wa Kiislamu ilifanywa vyema na mawakala wa Mfumokristo waliojazana katika mfumo wote wa elimu nchini.

ii. Kuhamisha wanafunzi Wakristo kutoka maeneo yenye ushindani mkubwa kwenda Mikoa iliyokuwa na alama ndogo za kuchaguliwa kama Pwani, Dar, Lindi, Mtwara na Tanga ambayo pia ni maeneo ya Waislamu . Tazama Malekela 1983 in “Access to secondary education in Sub- Sahara Africa”

iii. Huko nyuma kabla ya wanafunzi kupangiwa shule za sekondari namba zao za mtihani ziliambatanishwa na majina ili kujua nani Mkristo apendelewe na nani siyo awachwe iv. Kuhakikisha kwamba viongozi na watendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) wote ni Wakristo. Aidha kwa asilimia kubwa kabisa watungaji wa mitihani na wasahihishaji pia ni dini hiyo hiyo. Tazama kitabu cha Miaka Thelathini ya NECTA, 2004 au www.necta.ca.tz





Ahsante sana, si yericko wala Jericho ataeweza kujibu haya bila kujikanyaga.

Ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.
 
Mwisho nina ombi kwa jukwaa (hii ni JF)...imeonekana kitabu/vitabu alivyoandika Mohamed Said havina ukweli na kama upo ni asilimia kidogo sana, sasa tusiishie hapa...tuende next step...wapotoshaji kama yeye adhabu yao ipo. Their works have to be discredited as academic dishonesty...a deliberate attempt to falsify, fabricate data, records, or information. Taasisi, Waandishi na wachapishaji wote aliowawekea maneno mdomoni kwa nukuu zisizo sahihi, juhudi zifanyike wajulishwe hatua ziweze kuchukuliwa. Nawapa changamoto wana JF.
.......Kwa vile kitabu kiko published kwa miaka 15 sasa na kinasomwa kote, its about time ukweli halisi uandikiwe kitabu na kum denounce rasm Maalim Mahamed Said kama muongo, mzushi na mpotoshaji!, na hiyo truth ipelekwe kule kule alikopeleka uwongo na uzushi wake ili uwe scraped off toka katika literacy books!.
Pasco.
......
 
Yaani nimetafuta kote nimesoma thread hii toka mwanzo mpaka mwisho hapa umeshikwa huwezi kuandika kitabu unakandia upande fulani kwamba historia ya waislamu ilificha then wale watu uliwahoji wote waislamu hujatendea haki kitabu chako mzee wangu mchunguzi na muandishi wa mambo ya kihistoria ni yule anachunguza side a na side b kisha anakuja na hitimisho.

Kumuambia Mwanakijiji eti huko ukipita yeye ndo anaende haina maana inaonekana ulijazwa chuki kabla ya kuandika hiki kitabu chako ungekua mtenda haki kama unavyojiita ungeenda pale msaani kwenda kuongea na ubavu wa pili mwa Mwl Nyerere lakini hakuwish kwenda.

Hivi ni kumwaga sumu tu kwenye isio na maana yoyote na kuipotosha jamii kwa historia ya upande mmoja,ukisoma kitabu cha historia ya Lumumba mwaandishi alikwenda side zote kuhoji upande wa lumumba,upande wa belgium,upande kina Mabout kote walikwenda kuhoji na kuja na kitabu.

Sasa leo wewe mzee unakuja na kitabu umehoji watu wa jamii moja unakuja kutulisha hilo tango pori wewe sio muandishi wewe ni mtu mwenye chuki na jamii fulani.

Hivi mbona wachaga na wahaya hawalalamiki kuhusu ukandamizaji kipindi cha uhuru si tumejenga taifa moja ilikua ni lazima haya makabila yangeshushwa chini ili tujenge taifa moja la mshikamo.umeona wapi wachaga na wahaya leo wamekuja na vitabu vya upotoshaji kama vyako.

Wakati upande wa kaskazini ukishusha chini usijione wao wana uwezo sana ili tujenge taifa la tanganyika moja maana kuna mpambanaji mmoja kutoka arumeru jina limetoka alitaka uhuru kwa upande wa kaskazini pia mangi mareale naye alitaka kaskazini ipate uhuru kwanza sehemu nyingine baadae nyerere alitaka tanganyika yote kwanza uipate uhuru.

Sasa nyerere baada ya kufanikisha uhuru wote wa tanganyika nia ya kwanza ilikua kuleta umoja na mshikamano unaleta umoja na mshikano ni kuvunja nguvu ya yale makabila superior yaje chini pamoja na yote hao kaskazini waliendelea kujikomboa kwa elimu.

Nenda kafanye research yako mpya uje na kitabu chako kilichoshiba sio upotoshaji.

Ndiyo uzuri wa munakasha tunajifunza mengi hebu tupe kisa cha Wachaga na Wahaya walivyokandamizwa kipindi cha uhuru.
 
Mag3,

Umekasirika sana.

Kuhusu kumweka Sivalon hivi lazima niweke mie. Hiki kitabu mbona maarufu tu si hata na wewe unaweza kukitafuta?
Basi unanishambulia kwa jambo dogo kama hili?
Msikiti wa Mtambani kimejaa tele bei shs: 2000 hadi shs: 1500.

Idara ya Historia Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wapo wahadhir waliobobea katika historia si wafuatwe waambiwe wakichunguze
hiki kitabu changu kwani kuna tatizo gani?

JF si watu khasa wanaoweza kukufanyia kazi hiyo.
Hiyo changamoto umeipeleka sipo.

Kama hilo kubwa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam si wakifanyie hata pitio (review) mbona vyuo vya Ulaya na Marekani wamefanya?

Ingawa miaka 15 ishapita bado hujachelewa.
Fanya hayo na mimi Insha Allah utanikuta ni mwenye kusubiri.

Lakini nakuambia hawataweza na nakuambia tena hawataweza.
Kuna mengi usiyoyajua kama ulivyokuwa hujui kuwa ipo historia ya uhuru wa Tanganyika ambayo kabla ya leo hukujua ipo.

Nakuongeza watu ambao wanaweza kufuatwa kwa ajili ya kutazama nyaraka za historia ya uhuru wa Tanganyika.
Naamini watu hawa watatoa ushirikiano kama walivyotoa kwangu.

Wangine wa hai wengine weshatangulia mbele ya haki.

Nakuwekea hapa shukurani kama nilivyoandika katika ''The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against Colonialism in Tanganyika,'' Minerva Press London 1989.


[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] I am grateful to the pioneers of change in Southern Province, Said Alley Mwalimu and late Mohamed Ali Abdallah ‘Makarios’ both of Mikindani; to Salum Mpunga and Yusuf Chembera of Lindi, both of them now deceased, for letting me draw from their colonial experiences in southern Tanganyika; to Tewa Said Tewa, Dossa Aziz, Zuberi Mtemvu and Sheikh Haidar Mwinyimvua of Dar es Salaam; to Yusuf Ulotu of Moshi, popularly known as Yusuf Ngozi,Mohamed Kajembe, Rashid Sembe and Mmaka Omari of Tanga for providing me with unique information on colonial politics as it related to the ‘educated’ African Christians on the one hand and the ‘uneducated’ Afro-Arabs and African Muslims on the other. This information has helped me understand and interprete the conflict between Muslims and Christians which surfaced soon after independence and the contradictions which I have tried to depict in this work.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] I am also grateful to Omar Suleiman, Haruna Taratibu and Hassan Suleiman,[1] the brilliant political organiser of the period between the two World Wars, and to Germano Pacha, the last TAA provincial secretary and a TANU founder member, for his information on the formation of the Party; and to Rashid Mussa who, not knowing that the person he was referring to was my grandfather, informed me about my grandfather’s early political career and his role in the first General Strike in colonial Tanganyika in 1947. I wish to pay special gratitude to Bilali Rehani Waikela, a Manyema gentleman and a devout Muslim. At twenty-five years of age in 1955, Waikela was one of TANU founding members in Tabora. [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Waikela educated me about how Muslims as a political force supported Nyerere and the struggle for independence. He also briefed me about his days in detention with my grandfather at Uyui Prison for ‘mixing religion and politics’. I am indebted to him for putting at my disposal photographs of the period and his personal papers on the Muslim ‘crisis’which emerged soon after independence. I am grateful to Waikela for encouraging me to write this book and to write on the plight of Muslims as a result of their marginalisation by Nyerere’s regime. Unlike many of my informants, Waikela allowed me to quote him without any fear. He was pleased to see that the information he had was being put to good use in preserving the history of our country for the benefit of future generations. He also put me in touch with other patriots like Mohamed Mangiringiri, Ramadhani Singo and others, whom I interviewed at length. [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] This work would not have been possible if it were not for the moral and material assistance I received from Ally Sykes. Ally Sykes allowed me to interview him on many occasions in spite of his busy schedules managing his business from his city center office. He allowed me to consult his own private files, personal letters, diaries and other family records. These records were kept in a safe which I was informed remained untouched for over thirty years. Going through the files I was amazed by Ally Sykes’ obsession with record keeping. Every piece of paper with information was kept, however trifling it may have seemed during the struggle -a 1954 pencil note from Zuberi Mtemvu to Ally Sykes, informing him of a discussion he had with Nyerere about him and TANU; a 1953 money order receipt from Ally Sykes to Japhet Kirilo during the Meru Land Case; an undated copy of the letter from TAA to Queen Elizabeth signed by the entire executive (the President, Julius Nyerere, Vice-President Abdulwahid Sykes, General Secretary Dome Okochi, Assistant Secretary Dossa Aziz, Treasurer John Rupia, Assistant Treasurer Ally Sykes) congratulating Her Majesty on her coronation; a 1952 letter from Rashid Mfaume Kawawa from Bukoba to Ally Sykes informing him of the political situation in the Lake Region; a 1963 letter from Lady Judith Listowel; letters from Kenneth Kaunda, Julius Nyerere, Kasella Bantu ... the list is endless. This habit was apparently inherited from his father who used to file each and every piece of paper which had any information worth noting. [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] It is a pity that I could not get access to Abdulwahid’s diaries, which I understand had many entries in shorthand and are untranscribed. I was also not able to obtain World War I memoir of Kleist Sykes. There is no doubt whatsoever that these documents are invaluable. It is my hope that one day these important documents on the history of the Party and of our nation will find their way to the Tanzania National Archives for the benefit of future generations.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Over the years, I had many discussions with members of the family, and got very useful information out of our casual talks. The result of all this is what I believe to be an authenticated historical narration of the life and times of Abdulwahid Sykes and other forgotten patriots to whom the country, CCM and the Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, owe so much in one way or another.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] I wish to thank all those who allowed me to interview them but have asked for anonymity. Even those who refused to talk to me about the subject, and to publishers who rejected my manuscript out of fear and those who preferred silence, I must admit, in their own peculiar way contributed to this work.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Msemaji mmoja kanambia ningekuwa na uwezo wa kutunga kitu kama hiki kitabu hiki kiwe ni ''fiction'' tungelikuweka katika hadhi sawa na waandishi maarufu wa Kimarekani kama Irving Wallace, Ernest Hemingway, Mark twain na wengineo.

Bahati mbaya kitabu changu ni kazi ya kweli si ''fiction.''
Nimekosa bahati ya kuwekwa sawa kwa sawa na mabingwa hawa watunzi.

[SUP][SUP][1][/SUP][/SUP]A biography of Hassan Suleiman appears in Iliffe (ed) ‘The Politicians Ali Ponda and Hassan Suleiman,’ in Modern Tanzanians, pp.227-253.

Nikizisoma tu hizi Shukrani, naiamini picha niipatayo akilini mwangu kuwa uliegemea upande mmoja,

Ulielekeza shutuma kwa Mwalimu Nyerere na Wakristu, lakini hakuna sehemu inayotuaminisha kuwa mkristu au familia ya Mwalimu Nyerere uliwahi kuthubutu kuongea nayo japo nukuu moja tu,

Kwa ujumla ni mawazo yako tu ndio umeyafanya kuwa Historia ya Watanzania milioni 45.5 jambo ambalo ni ukosefu wa nidhamu wa daraja la juu kabisa!
 
Nimekosoma na nina heshimu fikra zako.

Hatuna haja ya sisi kunasa katika ubishi
katika namna ya nipe nikupe.

Hali hii huwa hakuna mwisho.

Nasikitika sana kuwa Moh' Said kwa sasa hujibu hoja,kuna maswali umeulizwa sisi wafuatiliaji tungependa sana ujibu ili tuendelee kujifunza.
 
Ili uweze kupembuka na kufaidi mang'amuzi ya nera, ni vema ukaangalia kkilichoandikwa kuliko kuniangalia mimi!

Mimi sijamjadili Mohamed Said binafsi, bali nimeyazungumzia maandiko yake, vivyohivyo kaa katika dhana hii!

Unaonesha hujielewi, umesahau kuwa Mohamed Said anaandika kuhusu Tanganyika wewe unauliza kuhusu Somalia?
 
Nasikitika sana kuwa Moh' Said kwa sasa hujibu hoja,kuna maswali umeulizwa sisi wafuatiliaji tungependa sana ujibu ili tuendelee kujifunza.

Sote tunafuatilia huu munakasha na tunajifunza labda umkumbushe hayo maswali. Mohamed Said atajibu.
 
Nikizisoma tu hizi Shukrani, naiamini picha niipatayo akilini mwangu kuwa uliegemea upande mmoja,

Ulielekeza shutuma kwa Mwalimu Nyerere na Wakristu, lakini hakuna sehemu inayotuaminisha kuwa mkristu au familia ya Mwalimu Nyerere uliwahi kuthubutu kuongea nayo japo nukuu moja tu,

Kwa ujumla ni mawazo yako tu ndio umeyafanya kuwa Historia ya Watanzania milioni 45.5 jambo ambalo ni ukosefu wa nidhamu wa daraja la juu kabisa!

Sasa hao wa kina nyerere wana historia ipi ambayo haijaandikwa hata awaulize? Wewe kama unayo si uiweke hapa au ukawaulize, unangoja nini?

Mohamed Said katuletea tuliokuwa hatuyajuwi, sasa wewe leta hayo uyatakayo tusioyajuwa ili tufaidike. Unalo?
 
MM,

Hivi unataka tubishane kwa hilo?

Iwe itakavyo kuwa kwani kuja Dar we umeona jambo kubwa sana.

Ni jambo kubwa kwa sababu wewe umelifanya hivyo siyo mimi. Ni wewe uliyedai kuwa Nyerere alikuwa hajaja Dar kwa mara ya kwanza hadi 1952, na kuwa mwaka 1953 akaingizwa kwenye siasa na Abdul. Sasa this fits in your narrative where by Nyerere analetwa mshamba mmoja anayekuja Dar na kupokelewa na wazee mashuhudi wa Dar ambao walikuwa hawajawahi kumsikia kwa sababu kama alikuja mwaka 1952 kwa mara ya kwanza na akaingizwa kwenye chama 1953 na 1954 akachaguliwa kuongoza TANU ni wazi kuwa muda huo haumtoshi kabisa kumfanya aonekane alikuwa na mizizi Dar.

So, swali la kuja kwa 'mara ya kwanza Dar" ni la muhimu sana. Miye napendekeza kwako kuwa Nyerere alishakuja Dar katikati ya miaka ya 1940 (probably 1946) utanikatalia?


Mbona mimi sijakuja kutoka popote nimezaliwa pale Sewa Haji karibu na
Traffic Police.

Kulikuwa na hospitali pale.

Wewe siye unayetuhumiwa kuwabagua mamilioni ya Waislamu!
 
Back
Top Bottom