Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Tusaidiane kumkumbusha Mohamed
 

Ukiisoma post namba moja vizuri utakuta juliasi ananukuliwa akikiri kuwa kaja na kukutana na wazee wa Dar hata Kiswahili hakijui vizuri, unajuwa ni mwaka gani huo?

Ikiwa alikuja 46 au 36 una maana wakati huo alikuja kisiasa? Au kikanisa?
 
Unaonesha hujielewi, umesahau kuwa Mohamed Said anaandika kuhusu Tanganyika wewe unauliza kuhusu Somalia?

Umechelewa sana kufuatilia mnakasha huu bwana Zomba,

Lakini nakuarifu kuwa Mohamed Said ameshindwa kututhibitishia kuwa kitabu chake ni cha historia ya Tanganyika,

Hizo ni ngano za shekhe Mohamed Said tu!
 
Umechelewa sana kufuatilia mnakasha huu bwana Zomba,

Lakini nakuarifu kuwa Mohamed Said ameshindwa kututhibitishia kuwa kitabu chake ni cha historia ya Tanganyika,

Hizo ni ngano za shekhe Mohamed Said tu!

"Ngano" zimekugusa pazuri sana mpaka ukarukia Somalia na Nigeria, cha kushangaza ndio hicho. Unalo?
 
Sasa hao wa kina nyerere wana historia ipi ambayo haijaandikwa hata awaulize? Wewe kama unayo si uiweke hapa au ukawaulize, unangoja nini?

Mohamed Said katuletea tuliokuwa hatuyajuwi, sasa wewe leta hayo uyatakayo tusioyajuwa ili tufaidike. Unalo?

Ilikuwa ni jambo la maana sana kama angepata maoni kutoka upande wapili ambao ameutuhumu,

Katika kuonyesha hakuwa makini, hata hao wazee wake hakuna mahali alipowanukuu zaidi ya kusimuliwa na baba yake tu!
 
"Ngano" zimekugusa pazuri sana mpaka ukarukia Somalia na Nigeria, cha kushangaza ndio hicho. Unalo?

Nimeeleza mengi sana yenye mafaa katika uzi husika, tumia mda kusoma na kutafakari mkuu,

Usiweke siasa wala itikadi za kiimani, soma na tafakari kitanganyika tu!
 
Nimeeleza mengi sana yenye mafaa katika uzi husika, tumia mda kusoma na kutafakari mkuu,

Usiweke siasa wala itikadi za kiimani, soma na tafakari kitanganyika tu!

Na Somalia? imo katika kitabu cha Mohamed Said? Au ulikuwa unaleta "siasa" na "itikadi za kiimani" au nazo ni "tafakari" za "kitanganyika tu"?
 
Nitafute kwa muda wako nitakupa nitakua naingia nje ya mada.

Hapa tunajadili mada za uhuru weka humu tujadili ni sehemu ya munakasha. Mie sina muda wa kukutafuta na mambo mengi sana ya kufanya.
 
Sawa huko sikupita sasa na nyie si ndiyo vyema mkaangalie kuna kitu gani?
Mkipata nanyi muandike?

Huko kwengine si na wewe uende kwani nani kakutazeni?

Sasa hapa ndio ukweli wa kwanini kazi yako huwezi KABISA kuiita ni kazi ya kihistoria. Katika uandishi wa historia kuna kitu kinaitwa "historical method" yaani namna ya kuandika au kusimulia tukio la kihistoria. Hii ni tofauti na mtu anapofanya kile kinachojulikana kama "scientific method". Sasa historical method kwa mujibu wa Wikipedia (unaweza kupata sources nyingine nzuri zaidi) ni:

comprises the techniques and guidelines by which historians use primary sources and other evidence to research and then to write histories in the form of accounts of the past.

Sasa, mwandishi wa historia anatakiwa aende karibu zaidi na primary sources kabla ya kwenda kwenye secondary sources. Unapoenda kwenye primary sources you are close to credibility of your information kuliko kwenda kwenye secondary or tertiary sources.

Sasa what constitutes a primary source? hiyo hiyo Wikipedia inaeleza hivi na kutoa mfano:

Primary sources
are original materials.[SUP][1][/SUP] Information for which the writer has no personal knowledge is not primary, although it may be used by historians in the absence of a primary source.
na inaendelea na kusema In the study of history as an academic discipline, a primary source (also called original source or evidence) is an artifact, a document, a recording, or other source of information that was created at the time under study.

Bahati mbaya sana katika maandishi yako unawataka wasomaji wako waamini kuwa documents ulizoziona wewe ndivyo zilivyo! Unasema ulioneshwa barua na familia ya Sykes na watu wengine lakini kwenye kitabu chako hujathubutu kuweka hata moja hadharani. Umedai kuwa Nyerere alidai kuwa hakufahamu cheo cha Abdul wakati anajiunga TAA lakini hujathubutu kuweka sehemu ya hotuba hiyo (unawataka wasomaji wakatafute TBC).

Sasa mzee mwenzangu hiyo siyo historia ndio maana nimeiita 'histohisia' yaani unaandika historia kwa kuongozwa na hisia. Historia ni taalum ambayo ina kanuni zake na misingi yake. Kuandika mambo yaliyotokea huko nyuma na ukayaelezwa kwa kirefu haitoshi kufanya historia. HIstoria ni pale ambapo unaweza kuonesha ushahidi wa kile kilichotokea kwa kutumia vyanzo vya msingi (primary sources).


Kazi za kisomi anaekuja baadae anapita kule mwenzake hakufika.
Kwa njia hii kila siku kunakuwa na jipya.

Hili si kweli; kazi ya kusomi ili iweze kukosolewa kisomi inahitaji kuandikwa kisomi vile vile. Na ili iandikiwe kisomi ni lazima basi ifuate kanuni za taalum. Ya kwako siyo kazi ya kihistoria kwa hiyo ukosoaji wowote utakuwa ni kama huu unaofanyika ambao kwa kweli ni ukosoaji wa fasihi (literature review/criticism). Kwa sababu tayari tumeonesha kwa muda mrefu sasa kuwa kazi yako siyo ya kisomi na haifuati misingi ya uandishi wa kihistoria kilichobakia ni kukosoa uandishi wako tu kama kazi ya fasihi.

Randal Saldeir anaandika kwa kirefu juu ya kitabu chako -UNAWEZA KUSOMA KWA KIREFU HAPA - na anakutana na matatizo haya. Yeye anaeleza hivi katika review yake:


Lakini unaweza kusema huyu mtu aliwajua vipi: Well aliishi Tanganyika/Tanzania kuanzia 1943 hadi 1973 na anajielezea hivi kwenye hiyo review:


Huyu bwana tungeweza kumuita kwa uhakika kabisa kuwa ni "primary source" na maneno yake ni mazito. Katika hitimisho lake anasema hivi:


Sasa huyu mzee wakati anaandika review hii ilikuwa ni 1999 naamini ilikuwa ni baada ya toleo lako la kwanza; anasema hujaweza kumshawishi kuwa Nyerere alikuwa na chuki dhidi ya Waislamu au serikali na kanisa vilikuwa na njama dhidi ya Uislamu. Anasema case not proven! Na anasema akiwa mtu aliyeishi na kuwafahamu karibu wahusika wote wakuu wa kitabu chako. Sisi leo tunapohoji haya haya tunaangalia methodology uliyotumia ndio maana tunakukatalia kwua siyo kitabu cha historia. Ulichoandika huwezi kupeleka kwenye mahakama ya watu na ukawashawishi kwani kote wataulize 'show us your evidence"... so far you have failed miserably!
 
Na Somalia? imo katika kitabu cha Mohamed Said? Au ulikuwa unaleta "siasa" na "itikadi za kiimani" au nazo ni "tafakari" za "kitanganyika tu"?

Muislamu wa Tanzania anatofuti gani na wa Somalia?
 
Mkuu Nguruvi3, kiukweli andiko la Mohamed Said ni Changamoto!, kuandika kitabu ni changamoto!.
Mara baada ya kifo cha Regia, baadhi ya wana jf, tulikutana pale British Council na tukaazimia kumuenzi kwa kuchapisha kitabu cha aliyoyapigania!. Hapo ndipo ilipozaliwa RMF.

Juzi wakati tunaadhimisha mwaka 1 wa kifo chake, nikitegemea kitabu kitazinduliwa, ndipo nikaelezwa na Mkuu Sanctus Mtsimbe, kitabu kimekwama kwa sababu hakuna funds, ilihitajika TZS 2,000,000 kuchapisha nakala 1000 za kwanza!.

Kiukweli nilisikitika na kujijutia nafsi yangu kwa sababu mimi ni mmoja wa wahusika, kama nilispend six figure kwenye msiba hadi mashishi, na kila mwaka ninaspend six figure as direct contri to support jf, tumeshindwaje ku raise TZS 2,000,000 ndani ya mwaka mzima!. Niliumia na kama mmoja wa waendeshaji wa kumbukumbu ile, niliiniate harambee na pale pale zilipatikana zaidi ya TZS 2,000,000!.

Hivyo hili suala na kuandika historia ya kweli, tukiamua, tunaweza!.
Nashauri, kwa vile Maalim Mohamed Said was "a man with a mission", na ame acomplish his mission for the past 15 years, tusiendelee kumbana humu, haisaidii zaidi ya kurefusha tuu huu mnakasha, lets be serious and do something positive as a counter measure!.

Kwa kuanzia liandaliwe tuu andiko dogo lenye kicha cha habari
Uwongo, Uzushi, Uchochezi na Upotoshaji wa Mohamed Said Dhidi ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere.
Humo tuweke ile mistari ya uwongo na ushushi ya Mhamed Saidi along side ukweli halisi wa mambo kama hatua ya awali ya kumfunga mdomo, asiendelee kupotosha humu, ili upotoshaji na uchochezi wake aendelee nao huko kwenye mihadhara, not jf, not anymore!.
Pasco.
 
hivyo mungu wa wakristo hawazi kupiganiwa, bali hujipigania mwenyewe na kuwatetea wanadam. siyo wanadam kumpigania na kumtetea yeye. .......yesu akikashfiwa wakristo kimya. make wanajua mungu wao anajitosheleza na huwatetea wao pia.
Naam naona umeonelea tuwapumzishe kidoogo washiriki na wasomaji wa huu munakasha...

Luke 19:27 But those mine enemies, which would not that I should reign over them, bring hither, and slay them before me".
Katika kuifanyia kazi nukuu hii ndio Wakristo wa Tanzania haraka haraka waliamua kuanzisha tume ya majeshi nchini ili wakati muafaka utakapowadia wale wote ambao si Wakristo waanze kuchinjwa ili ipatikane nafasi ya "kingdom of god" kuitawala Tanzania rasmi.
 
Ilikuwa ni jambo la maana sana kama angepata maoni kutoka upande wapili ambao ameutuhumu,

Katika kuonyesha hakuwa makini, hata hao wazee wake hakuna mahali alipowanukuu zaidi ya kusimuliwa na baba yake tu!

soma vizuri:


 
hapana sio jambo baya kuwa mwanamke.
Amekufananisha nao ni kutokana na hulka zao za umbeya kutaka wasipitwe na kila jambo.
La saluni analitaka,la sokoni analitaka,la kisimani pia analitaka
Ametumia balagha
At first i took you as an intelligent man, i was wrong, you have shown your embecility vividly!
 
Nitakua nimetoka nje ya mada mkuu.

Basi nakuomba kwa faida ya JF na wengine wote wanaofuatilia huu mjadala anzisha uzi.

Tena itakuwa vizuri kama utaupa jina "Wachagga na Wahaya walivyokandamizwa"

Fanya hivyo mkuu kuna mengi tutajifunza kupitia kwako.
 

Pasco,

Mimi nilikushaurini muda mrefu sana muandike kitabu.
Nakuungeni mkono kwa hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…