Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

tangu mjadala huu umeanza hujatoa hoja hata moja zaidi ya kubwabwaja ujinga wa kumuunga mkono huyo mzee wako muovu na zandiki mohamed saidi. Uovu wenu hautaleta tija yoyote katika nchi hii!

unataka hoja gani zaid ya hizo anazotoa ndugu yetu moh said??wewe umetoa hoja gani ya maana zaid ya matusi na kashfa dhidi ya waislam na moh said?
Hizi hasira na ghazabu zako ni ishara tosha ya kuumwa kwako kwa fikra na machungu ya kuumbuliwa na kuwekwa wazi kwa hii historia fichwa,
ndugu moh said namfananisha kama na simba dume mkali anaeng'ata kwa hoja.,amejitosheleza kila kona,hana hasira,hana jazba wala ghazabu,ama kwa hakika mmeshikwa pabaya safari hii.
 
Naam huu ndio ujinga uliotamalaki ndani ya bichwa lako tupu!
 
naam huu ndio ujinga uliotamalaki ndani ya bichwa lako tupu!

unge-log out kwenye mjadala huu ungekuwa umefanya jambo la manufaa sana kuliko kutuongezea comments zisizo na tija,kwani umekosa la kufanya?
Watu wazima wanaongea mambo ya msingi humu ndani,hebu tuondolee vurugu zako.
 
unge-log out kwenye mjadala huu ungekuwa umefanya jambo la manufaa sana kuliko kutuongezea comments zisizo na tija,kwani umekosa la kufanya?
Watu wazima wanaongea mambo ya msingi humu ndani,hebu tuondolee vurugu zako.
Ajabu! na wewe chandimu unajiita mtu mzima? ebu ondoa uvundo wako hapa!
 
Nitashiriki kuandika historia ya nchi yangu kama mtanzania, hivyo nifahamu kama mtanzania.
Unafikiri wakati wote huu nilikuwa nikikufahamu wewe kama Mdanish?
Yericko Nyerere said:
Ikiwa kutakuwa na sababu za msingi za taifa kutujua wasifu wawashiriki wa uandishi huo basi itakuwa fursa kwako kunijua ndugu yangu
Unataka kuandika Historia inayowahusu watu zaidi ya milioni 45 halafu huoni sababu ya msingi kujulikana wasifu wako mwandishi?!

Beyond that, una uhusiano gani na julius Nyerere?
 


Safari ya UNO.

Ritz,

Ahsante sana kwa picha hii adhim.

Kutoka kushoto: Wa kwanza na wa pili siwafahamu.
Watatu Robert Makange, wanne aliyavaa tai Zuberi Mtemvu, wanne aliyavaa kanzu koti na tarbush Idd Faiz Mafongo (Mweka Hazina wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika na TANU), watano Julius Nyerere, wasita John Rupia, wasaba Bibi Titi Mohamed wanamsindikiza Nyerere kwenda Umoja wa Mataifa (UNO) 1955.

Hii leo hakuna mtu anaemjua Idd Faiz Mafongo wala mchango wake katika safari ya Nyerere UNO haijathaminiwa wala jasho alotowa katika kuijenga TANU hadi uhuru ukapatikana.

Idd Faiz ndiye alikabidhiwa jukumu la kutafuta fedha za kumpeleka Nyerere UNO kazi ambayo aliitimiza kwa ufanisi mkubwa.

Nawawekea wanaukumbi maelezo mafupi ya Idd Faiz Mafongo muamuwe wenyewe:

Idd Faiz the TANU treasurer died on 9th January, 1987, at the age of 75.

In 1959 he was elected TANU National Treasurer while serving as member of TANU National Executive Committee.

It was because of his honesty and diligence that he was nominated to manage TANU funds which became enormous, as independence was approaching.

Idd Faiz died a poor disillusioned man.

In his last days after retirement from TANU Press he used to spend most of his time reading the Holy Qur'an.

Upon his death, Mzalendo, the Party Sunday paper published by the firm which he helped to form and owned by the Party he helped to build, announced his death two days after his funeral.

The small article in the paper reported the death of a former employee of the printing company completely obscuring his political career.

At his funeral the Party was not represented.

What befell Abdulwahid befell Idd Faiz Mafongo; and what a coincidence, both had been leaders in Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika and TANU; and both of them had once been close to Nyerere.

Father James Lynch, the founder of St. Francis' College, died in Britain only a few days before Faiz.

His death was announced by both the Party daily Uhuru (8 th January, 1987) and the government owned paper, the Daily News (8 th January, 1987).

Th
e two papers highlighted his contribution to education to colonial Tanganyika.

Faiz, who founded TANU, supported Nyerere and fought for Tanganyika's independence, met his death in his humble house at Magomeni and not even the Party which he built, nor the government which he had helped to establish, were aware of his passing away.
 

WC,

Umesema kweli.

Mimi historia ninayoifahamu kwa hakika kabisa ni hii ya wazee wangu hapo Kariakoo.
Hili umesema kweli kabisa.

Kwa kweli huwa nawaambia rafiki zangu kuwa dunia yangu ilikuwa pale Livingstone na Kipata kwa Bi Mkubwa wangu, kisha kwetu Kipata huku Swahili huku Nyamwezi basi.

Sikuwa najua nini kinatendeka nje ya hapo hadi nilipoanza shule darasa la kwanza.

Ni kweli Nyerere mimi simjui kama wanavyomjua akina Shivji, Butiku nk.

Lakini ukiniuliza chochote kuhusu Mzee OmariLondo, Saleh Muhsin, Abdu Sykes, Sheikh Hassan bin Amir, Titi Mohamed, Hawa biti Maftah, Bantu Group, TANU yenyewe, Rashid Sisso nitakupa habari.

Nyerere ni kweli aliwapita wenzake takriban wote kwa elimu.

Ila Nyerere hakuasisi TANU.
Ni hilo tunalogombania.
 
I like ur previous comment before this one.

 

unafikiri MS hajui? anajua sana ila anachokifanya ni kupindisha tu ukweli halisi. Na hii ni tabia walionayo waislam hata wa kwenye mihadhara hupindisha ukweli ulio wazi wakijiita kuwa ni mafundi wa kufundisha.
 
Thanks for the information.
 
Mohamed Said,

Umetupa habari nzito kuhusu huyu mzee Mzalendo Idd Faiz Mafongo.

Hao wazee wamepambana siku nyingi lakini historia imewatupa mkono.

Yericko, aliandika humu kuwa mchango mkubwa wa pesa alitoa Maliale, Nyerere kwenda UNO Bahati mbaya huyu mzee Idd Faiz Mafongo hajawahi kumsikia wala hajui mchango wake kwenye harakati za kupigania uhuru. Hii picha muhimu sana.

Mbaya zaidi akijitokeza mtu akawaelezea watanzania mchango wao anaonekana anamkejeli Nyerere.
 
Last edited by a moderator:

Kama alivyosema Muhammad Ali aliporejea ulingoni 1970.

Alikuwa anaingiwa na huruma anapopambana na bondia asiyejiweza.

Idd Faiz Nyerere hakumpa medali.
Ni wajibu wetu sisi lau kama hatuna uwezo wa kumpa medali angalau tukamuadhimisha.

Idd Faiz alihudhuria mkutano wa kwanza wa TANU Arnatouglo Hall 1954.
 

mmmh!mbaba mkali wewe!
 
Wana jamvi,

Nimejaribu kufuatilia mjadala huu kwa kipindi kirefu na nimeelimika sana. Nashukuru sana kwa elimu niliyopata kuhusu mjadala huu. Mtunzi yeyote wa kitabu kabla ya kutunga lazima kwanza ajue anatunga kitabu kwa madhumini gani hii inanipa picha kwamba Mohamed Saidi amefanikiwa katika kitabu chake kwani asilimia ya watu aliowataka wafahamu historia hiyo wameijua.

Pili kwa wale ambao wanamkosoa wapo sawa kabisa kwani nakumbuka wakati nasoma sekondari kulikuwa na kitu kinaitwa uhakiki wa vitabu, hapa tuliweza kupitia vitabu kama SHIDA, HARAKATI ZA UKOMBOZI n.k Tuliweza kuangalia wapi mwandishi amefanikiwa na wapi mwandishi akufanikiwa.

Na hitimisha kwa kuwaomba wale wote wanaompinga Mohamedi Saidi waandike kitabu ambacho kitafanya kitabu cha Mohamed kionekane kina makosa mengi hivyo kukitoa kwenye vitabu vya kuaminika vinginevyo ni sawasawa na kumpigia mbuzi gitaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…