Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Sasa kikosi cha wamarekani kimeshaingia mji mkuu Kabul na wanapandisha bendera ya USA...wataliban wote wamekimbilia
milimani kwenda kujipanga upya.
 
Wnajeshi wa kamanda Mohamedi Said wanamwambia boss wao kama wamezidiwa na hawana pa kujificha.

Lakini boss wao anawaambia piganeni hadi tone la mwisho kama alivyofanya Osama bin laden....vita inaendelea.
Yericko,

Tunaomba umwambie kijana wako JF kuna majukwaa mengi aende kule CHit-Chat nadhani ndiyo saizi yake, analeta utoto.
 
Last edited by a moderator:
Unazidi kumdhalilisha unayemwita baba yako kuwa hakuwa na uwezo hata wa kujinunulia mavazi yake mwenyewe!

...kama hali yenyewe ndiyo kama hiyo uliyotuelezea ina maana kuna waliokuwa wakiikimu familia yake wakati akiwa safarini!

Ni hivi nadhani Bwana Nyerere yeye hana habari kamili za TANU ilivyokuwa mwaka 1954/55.

Chief Marealle wakati ule yeye chief wa Wachagga na wao machifu wote walikuwa wakifanya kazi kwa karibu sana na serikali.

Chief Marealle hakupata kuwa karibu ya TANU kwa kiwango ambacho anachosema Yericko.

Na si Marealle peke yake walikuwapo wengi kama Abdiel Shangali, Msabila Lugusha, Abdallah Said Fundikira, Kidaha Makwaia na wengineo.

Yapo mengi lakini ya nini hayo yote?
 
Hivi kikwete alipopewa suti na mwarabu yule alikuwa hana mavazi kweli?
 
Kabla ya umauti wa Mwalimu,uliwahi kwenda ukasikia kauli yake juu ys madai uliyoyaumba?

Yericko,

Mimi sikuingia humu ili nipashane na watu iwe nipe nikupe.

La hasha.

Nimo humu kueleza mengi ambayo hayakuwa yanafahamika.
Narudia maneno yangu.

Si lazima mtu aamini nisemayo.

Uzi huu sasa unasikizwa na watu 22,000+.

Hawa ndiyo ninaozungumzanao mimi.
 
Ni hivi nadhani Bwana Nyerere yeye hana habari kamili za TANU ilivyokuwa mwaka 1954/55.

Chief Marealle wakati ule yeye chief wa Wachagga na wao machifu wote walikuwa wakifanya kazi kwa karibu sana na serikali.

Chief Marealle hakupata kuwa karibu ya TANU kwa kiwango ambacho anachosema Yericko.

Na si Marealle peke yake walikuwapo wengi kama Abdiel Shangali, Msabila Lugusha, Abdallah Said Fundikira, Kidaha Makwaia na wengineo.

Yapo mengi lakini ya nini hayo yote?
Ndugu yangu ukitaka kujua ushiriki wa machifu katika mbio za Mwalimu kulikomboa taifs hili nitakufahamisha,naamini huns habari zao za kutosha,

Machifu wengi walikuwa ndio watoa baraka
 
Kwenye red!Naona umeshaanza kuchanganyikiwa sasa, vipi tukuongezee dozi au umeshajifunza kuzungumza kwa heshima?
 
Nakusikitikia, hapo kwa Kiswahili cha Kariakoo huwa tunasema "umeuvaa mkenge".

Yangu macho.
 
Maswali haya ya Nguruv3 yamenivutia, sijaona majibu yake. baada ya mihangaiko ya nimejaribu kupitia sijaona majibu.

quote_icon.png
By Nguruvi3

1. Nyerere alikuja kwa mara ya kwanza lini Dar kama ulivyoulizwa?
2. Akienda UNO baada ya kuchangiwa fedha na wazee wako safari yake ilianzia wapi?
3.Halafu ulishaulizwa EAMWS ilianzia wapi na kwanini huko ilikoanzia haipo kwa sasa?
4.Unapozungumzia umoja wa waislam, ni upi huo kati ya Sunni, Shia, Bohora, Ismailia n.k.?
Nini kinashindikana kurudisha umoja huo?
5.Umeulizwa, mlezi wa iliyokuwa EAMWS alikuwa Agakhan, vipi mbona yeye anarudi na kujenga chuo kikuu kingine katika serikali ile ile iliyoua EAMWS 1968?
6.Ushahidi wa kanisa kushinikiza kifo cha EAMWS ni upi?

Tusaidiane kumkumbusha Mohamed

Yericko,

Tunaomba umwambie kijana wako JF kuna majukwaa mengi aende kule CHit-Chat nadhani ndiyo saizi yake, analeta utoto.
Jeshi la watalibani sasa wanaomba msaada kutoka Iran...na Iran wanawapa jibu kuwa hakuna jeshi la kuweza kupambana na hao makafiri(America) Sasa wanafanya mawasiliano na masalia ya marehemu Gadaffi. Vita inaendelea.
 
Maswali haya ya Nguruv3 yamenivutia, sijaona majibu yake. baada ya mihangaiko ya nimejaribu kupitia sijaona majibu.

quote_icon.png
By Nguruvi3

1. Nyerere alikuja kwa mara ya kwanza lini Dar kama ulivyoulizwa?
2. Akienda UNO baada ya kuchangiwa fedha na wazee wako safari yake ilianzia wapi?
3.Halafu ulishaulizwa EAMWS ilianzia wapi na kwanini huko ilikoanzia haipo kwa sasa?
4.Unapozungumzia umoja wa waislam, ni upi huo kati ya Sunni, Shia, Bohora, Ismailia n.k.?
Nini kinashindikana kurudisha umoja huo?
5.Umeulizwa, mlezi wa iliyokuwa EAMWS alikuwa Agakhan, vipi mbona yeye anarudi na kujenga chuo kikuu kingine katika serikali ile ile iliyoua EAMWS 1968?
6.Ushahidi wa kanisa kushinikiza kifo cha EAMWS ni upi?

Tusaidiane kumkumbusha Mohamed

Pitia post kwa utulivu nimejibu kama saa tatu zilizopita nimesema huwa
sijibu kila kitu.

Kubwa ni kuwa siko katika ushindani kwa hiyo hujibu lile lenye tija.
Nikiona swali halina maana huwa sijibu.

Siko humu kushinda mjadala.
Nimo humu kueleza yale ambayo wengi hamkuwa mkiyafahamu.

Mathalan nilipoona picha ya Idd Faiz na Nyerere safari ya UNO
niekwenda kwenye kumbukumbu zangu na nikabandika maelezo
Idd Faiz ambayo nadhani yameelimisha wengi.

Hii ndiyo staili yangu.
 
Nikiona swali halina maana huwa sijibu

kumbe katika kujibu wakati unatetea hoja yako unachagua nini cha kujibu! je unatarajia umma unaokusoma kuamini tungo zako?

Wanaozipinga hadithi zako wanakupa maswali ili uthibitishe, unasema hayana maana. Yepi yanamaana.

Unaweza wewe kutuwekea maswali yenye maana kisha ukajijibu? daima swali huwa na maana kwa anayeuliza jukumu lako

nikutuwekea majibu kutushawishi tukubaliane na unachokitetea.

unazunguuka kitu gani?
 
Kwenye red!Naona umeshaanza kuchanganyikiwa sasa, vipi tukuongezee dozi au umeshajifunza kuzungumza kwa heshima?

Katika mantiki nzima ya hoja yangu hilo tu ndio umeona lamaana mkuu?

Jitahidi kufikiri kesho na keshokutwa sio kuganda na ya sasa tu.
 
Yericko Nyerere said:
Katika mantiki nzima ya hoja yangu hilo tu ndio umeona lamaana mkuu?
Angalia sasa unakiri kuwa hoja zako nyingine hazina maana!
Jitahidi kufikiri kesho na keshokutwa sio kuganda na ya sasa tu.
Unafikiri ninafikiria ya sasa wakati nikitaka kukujua wewe unayetaka kuiandika historia itakayosomwa na mtoto wangu?
 
kumbe katika kujibu wakati unatetea hoja yako unachagua nini cha kujibu! je unatarajia umma unaokusoma kuamini tungo zako?

Wanaozipinga hadithi zako wanakupa maswali ili uthibitishe, unasema hayana maana. Yepi yanamaana.

Unaweza wewe kutuwekea maswali yenye maana kisha ukajijibu? daima swali huwa na maana kwa anayeuliza jukumu lako

nikutuwekea majibu kutushawishi tukubaliane na unachokitetea.

unazunguuka kitu gani?

Hakika nachagua kipi cha kujibu kipi cha kukinyamazia.

Mimi sihitaji kushawishi mtu kuniamini.
Mbona hili nishalisema sana humu?

Kwani kuna faida gani kwa mimi kuaminika kile nisemacho khasa
wakati huu ambapo kitabu kiko sokoni huu mwaka wa 15 na
''reviews'' zimekamilka.
 
Yericko,

Mimi sikuingia humu ili nipashane na watu iwe nipe nikupe.

La hasha.

Nimo humu kueleza mengi ambayo hayakuwa yanafahamika.
Narudia maneno yangu.

Si lazima mtu aamini nisemayo.

Uzi huu sasa unasikizwa na watu 22,000+.

Hawa ndiyo ninaozungumzanao mimi.

Mzee, chunga sana kauli zako za jumla jumla za kuwasemea watu.

Unafikiri wanaovinjari kwenye uzi huu wanakusoma wewe tu na kuamini usemayo?
 
Back
Top Bottom