Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

usibishane na mohamed said kuhusu nyerere kulibeba kanisa tanganyika tafuta kitabu kinaitwa kanisa katoliki na siasa za tanganyika 1954-1985 kimetungwa na padri john c.sivaloni ameweka waz kila kitu humo jinsi kanisa lilivyofanya kaz kwa kumtumia nyerere cyo hvyo tu kaeleza had waislam walivyokua wanachukuliwa na nyerere usropoke fanya utafit soma kitabu cha abdu jumbe mbona ushahid upo waz
 
Mpaka sasa bado wana tafakari, haa kumbe nyerere si muasisi wa TANU, hata jina lilitungwa zamani na watu wenye muono.

Mleta mada anahaha, mara Somalia mara Nigeria.
 
hyo hotuba yke baadae alitoa nishan ktk wote waliyokua tanu hata mmoja hakupewa hayo mazish ya abdulwahd sykes hakwenda unajua abdul sykes alikua nan tanu katbu mkuu wa kwanza nyerere anakuja kariakoo anakula nyumban kwa abdu mwaka 1929 Inaanzshwa taa ofisi ilikua kwa baba yke abdu cluyste sykes
 
WaTaliban ni watu wa ajabu sana, hapa wanapigana na wamarekani na kuwaita makafiri alafu kesho wanaenda ubalozi wa
marekani kuomba visa ya kwenda kuishi marekani kama wakimbizi.
 
kumbe katika kujibu wakati unatetea hoja yako unachagua nini cha kujibu! je unatarajia umma unaokusoma kuamini tungo zako?
adolay, huyu mchochezi na muongo tunaye...he can run but I can bet you he wont find a place to hide, not on our watch!

Mimi ninayo maswali kwake, anaruhusiwa kuchagua kujibu ama hapana...hiyo ni hiari yake.

Mohamed Said amedai kwenye kitabu chake kuwa ni mmoja wa wazee wake Abdulwahid Sykes aliyemwingiza Mwalimu Julis Nyerere kwenye siasa mwaka 1953, maswali;

  1. Abdulwahid Sykes aliingia kwenye uongozi wa AA mwaka gani kwa mara ya kwanza na kwa wadhifa gani?
  2. Je mwaka 1946, Mwalimu Nyerere alipohudhuria mkutano wa AA Dar es Salaam kama katibu wa tawi la Tabora, Abdulwahid alikuwa na nafasi gani ndani ya AA?
  3. Je, Abdulwahid Sykes alihudhuria huo mkutano uliofanyika mwaka 1946 Dar es Salaam na kwa wadhifa upi ndani ya AA?
  4. Je, Abdulwahid Sykes kama alihudhuria, kwa nini idaiwe ni mwaka saba baadaye, 1953, ndio kakutana na Nyerere kwa mara ya kwanza?
  5. Je, kama mwaka 1946, Abdulwahid Sykes hakuwa na sifa wala wadhifa wa kuhudhuria huo mkutano wa AA, nani kati yake na kaka yake Mwalimu Nyerere alitangulia kwenye siasa?
  6. Je si kweli kuwa Dr. Kyaruzi, aliyefahamiana na Mwalimu Nyerere toka Makerere, ndiye aliongoza mapinduzi ndani ya AA mwaka 1950 na yeye kuchaguliwa Raisi wa kwanza wa TAA?
Najua kuna watu hawana lolote jipya wanalochangia kwenye huu mjadala bali kumpigia debe huyu muongo na mpotoshaji kwa malengo ambayo hata kipofu aweza kuyaona. Nawaomba, kama Mohamed Said atashindwa kujibu hayao maswali wamsaidie, hapo watakuwa wamefanya angalau la maana.

Mwisho ni kwa watu wanaoona umuhimu wa kitabu kingine kuandikwa, nataka niseme hivi...hii kazi tunayoifanya humu JF si ndogo, kuuanika uongo wa huyu chochezi si jambo dogo na data zinazomwaga humu si haba. Napata faraja sana kwamba kwa kupitia huu mjadala watu wengi wameanza kuuona ukweli na kuchambua pumba na mchele.

Nasubiri majibu ya Mohamed Said kwa maswali yangu hapo juu.
 
Ritz,

Ahsante sana kwa picha hii adhim.

Kutoka kushoto: Wa kwanza na wa pili siwafahamu.
Watatu Robert Makange, wanne aliyavaa tai Zuberi Mtemvu, wanne aliyavaa kanzu koti na tarbush Idd Faiz Mafongo (Mweka Hazina wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika na TANU), watano Julius Nyerere, wasita John Rupia, wasaba Bibi Titi Mohamed wanamsindikiza Nyerere kwenda Umoja wa Mataifa (UNO) 1955.

Hii leo hakuna mtu anaemjua Idd Faiz Mafongo wala mchango wake katika safari ya Nyerere UNO haijathaminiwa wala jasho alotowa katika kuijenga TANU hadi uhuru ukapatikana.

Idd Faiz ndiye alikabidhiwa jukumu la kutafuta fedha za kumpeleka Nyerere UNO kazi ambayo aliitimiza kwa ufanisi mkubwa.

Nawawekea wanaukumbi maelezo mafupi ya Idd Faiz Mafongo muamuwe wenyewe:

Idd Faiz the TANU treasurer died on 9th January, 1987, at the age of 75.

In 1959 he was elected TANU National Treasurer while serving as member of TANU National Executive Committee.

It was because of his honesty and diligence that he was nominated to manage TANU funds which became enormous, as independence was approaching.

Idd Faiz died a poor disillusioned man.

In his last days after retirement from TANU Press he used to spend most of his time reading the Holy Qur'an.

Upon his death, Mzalendo, the Party Sunday paper published by the firm which he helped to form and owned by the Party he helped to build, announced his death two days after his funeral.

The small article in the paper reported the death of a former employee of the printing company completely obscuring his political career.

At his funeral the Party was not represented.

What befell Abdulwahid befell Idd Faiz Mafongo; and what a coincidence, both had been leaders in Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika and TANU; and both of them had once been close to Nyerere.

Father James Lynch, the founder of St. Francis’ College, died in Britain only a few days before Faiz.

His death was announced by both the Party daily Uhuru (8 th January, 1987) and the government owned paper, the Daily News (8 th January, 1987).

Th
e two papers highlighted his contribution to education to colonial Tanganyika.

Faiz, who founded TANU, supported Nyerere and fought for Tanganyika's independence, met his death in his humble house at Magomeni and not even the Party which he built, nor the government which he had helped to establish, were aware of his passing away.
Mkuu Maalim Mohamed Said, pamoja na tofauti zetu haswa katika uzushi kwa Nyerere, uchochezi, uwongo na fitna na uchonganishi, siku zote huwa nakupongeza kwa uwezo wako mkubwa wa kusimulia hadithi, natamani ningekuwa nimechumbia kwako ili wajukuu zako wafaidi hadithi za babu, hopping usingewalisha hii sumu ya udini iliyotamalaki katika simulizi zako.

Mmoja kati ya uliowataja kwenye picha hii ni Robert Makange, huyu na Baghdelah, waliwahi kufungwa gerezani kwa kuitumikia TANU.

Asante kutukumbushia. Asante na mleta picha!.
Pasco.
 
Kama kuna jeshi lolote la waarabu ambalo limewahi kupigana na wamarekani na wakashinda basi naomba nijuzwe hapa.

Kama hakuna basi hata hili jeshi la Mohamed Said(wataliban) litasambalatishwa vibaya sana na jeshi la Yericko nyerere
 
kitabu kiko sokoni huu mwaka wa 15

Hapa ndipo unapofanya makosa! kuna kesi nyingi hufunguliwa miaka kadhaa baada ya uhalifu kutokea na mhalifu hakujulikana. lakini baada ya upelelezi kesi hufunguliwa na mtuhumiwa hufikishwa mahakani kujitetea ukweli ukadhihili ( Sina maana ya kitabu chako nafafanua tu)

Kigezo cha kuimba miaka kumi natano ni kukosa maono na kwamba upo sahihi! ni jambo la aibu, Miaka kumi na tano sio tija! kinachokufanya upige kelele hapo ulipo ni mambo ya miaka zaidi ya 40 na mengine wala hukuyaona wala hukuwa umezaliwa, hapa ndipo nakuona hujitambui. lau ungelitambua hilo usingeimba miaka, miaka, miaka

Kama suala ni muda kupita kwanini unalalama na yaliyopita? kumbuka hakuna cha miaka kumi na tano au mia nane, popote duniani siku ukweli unapodhihili ndipo kinapokuwa kikomo cha upotofu.

Nakama haupo kujibu hoja za wanaokuuliza unfanya nini hapo? maana wote wanaofutilia mjadala huu ni matokea ya mrejesho na maulizo ya wadau mbali mbali.

Kutokujibu ni kukwepa kuumbuka
 
Kwenye kikosi cha Marekani kuna jamaa mmoja anaitwa Mag3' huyu jamaa siyo mchezo anawashambulia mahadui kwa silaha mzito mzito na yuko frontline...inasemekana hili ndiyo komandoo lililo mshika Osama bin laden na kumzika baharini.
 
Mohamed Said,

Mimi bado nipo kwa huyu mzee Idd Faiz mweka hazina wa TANU mwaka 1959.

Kama sikosei Katibu Mkuu alikuwa Oscar Kambona na Makamu wa rais wa TANU John Rupia.

Inakuaje huyu mweka hazina watu wamemtupa hata kupewa heshima yeyote.
 
Last edited by a moderator:
Sasa hapa ndio ukweli wa kwanini kazi yako huwezi KABISA kuiita ni kazi ya kihistoria. Katika uandishi wa historia kuna kitu kinaitwa "historical method" yaani namna ya kuandika au kusimulia tukio la kihistoria. Hii ni tofauti na mtu anapofanya kile kinachojulikana kama "scientific method". Sasa historical method kwa mujibu wa Wikipedia (unaweza kupata sources nyingine nzuri zaidi) ni:

comprises the techniques and guidelines by which historians use primary sources and other evidence to research and then to write histories in the form of accounts of the past.

Sasa, mwandishi wa historia anatakiwa aende karibu zaidi na primary sources kabla ya kwenda kwenye secondary sources. Unapoenda kwenye primary sources you are close to credibility of your information kuliko kwenda kwenye secondary or tertiary sources.

Sasa what constitutes a primary source? hiyo hiyo Wikipedia inaeleza hivi na kutoa mfano:

Primary sources
are original materials.[SUP][1][/SUP] Information for which the writer has no personal knowledge is not primary, although it may be used by historians in the absence of a primary source.
na inaendelea na kusema In the study of history as an academic discipline, a primary source (also called original source or evidence) is an artifact, a document, a recording, or other source of information that was created at the time under study.

Bahati mbaya sana katika maandishi yako unawataka wasomaji wako waamini kuwa documents ulizoziona wewe ndivyo zilivyo! Unasema ulioneshwa barua na familia ya Sykes na watu wengine lakini kwenye kitabu chako hujathubutu kuweka hata moja hadharani. Umedai kuwa Nyerere alidai kuwa hakufahamu cheo cha Abdul wakati anajiunga TAA lakini hujathubutu kuweka sehemu ya hotuba hiyo (unawataka wasomaji wakatafute TBC).

Sasa mzee mwenzangu hiyo siyo historia ndio maana nimeiita 'histohisia' yaani unaandika historia kwa kuongozwa na hisia. Historia ni taalum ambayo ina kanuni zake na misingi yake. Kuandika mambo yaliyotokea huko nyuma na ukayaelezwa kwa kirefu haitoshi kufanya historia. HIstoria ni pale ambapo unaweza kuonesha ushahidi wa kile kilichotokea kwa kutumia vyanzo vya msingi (primary sources).

Hili si kweli; kazi ya kusomi ili iweze kukosolewa kisomi inahitaji kuandikwa kisomi vile vile. Na ili iandikiwe kisomi ni lazima basi ifuate kanuni za taalum. Ya kwako siyo kazi ya kihistoria kwa hiyo ukosoaji wowote utakuwa ni kama huu unaofanyika ambao kwa kweli ni ukosoaji wa fasihi (literature review/criticism). Kwa sababu tayari tumeonesha kwa muda mrefu sasa kuwa kazi yako siyo ya kisomi na haifuati misingi ya uandishi wa kihistoria kilichobakia ni kukosoa uandishi wako tu kama kazi ya fasihi.

Randal Saldeir anaandika kwa kirefu juu ya kitabu chako -UNAWEZA KUSOMA KWA KIREFU HAPA - na anakutana na matatizo haya. Yeye anaeleza hivi katika review yake:

Lakini unaweza kusema huyu mtu aliwajua vipi: Well aliishi Tanganyika/Tanzania kuanzia 1943 hadi 1973 na anajielezea hivi kwenye hiyo review:

Huyu bwana tungeweza kumuita kwa uhakika kabisa kuwa ni "primary source" na maneno yake ni mazito. Katika hitimisho lake anasema hivi:

Sasa huyu mzee wakati anaandika review hii ilikuwa ni 1999 naamini ilikuwa ni baada ya toleo lako la kwanza; anasema hujaweza kumshawishi kuwa Nyerere alikuwa na chuki dhidi ya Waislamu au serikali na kanisa vilikuwa na njama dhidi ya Uislamu. Anasema case not proven! Na anasema akiwa mtu aliyeishi na kuwafahamu karibu wahusika wote wakuu wa kitabu chako. Sisi leo tunapohoji haya haya tunaangalia methodology uliyotumia ndio maana tunakukatalia kwua siyo kitabu cha historia. Ulichoandika huwezi kupeleka kwenye mahakama ya watu na ukawashawishi kwani kote wataulize 'show us your evidence"... so far you have failed miserably!

Nitafurahi sana Mzee wangu Ms umjibu huyu MM, Hasa katika mistari hii tu aloweka hapa,,
 
Mzee, chunga sana kauli zako za jumla jumla za kuwasemea watu.

Unafikiri wanaovinjari kwenye uzi huu wanakusoma wewe tu na kuamini usemayo?

Kishasema mara chungunzima, hana haja ya wewe au mwingine yeyote kumuamini, kitabu kipo madukani leo miaka kumi na mitano. Tupo wengi sana tunaouona ukweli na hao wote anaowataja wengine tunawajuwa kupitia maandiko yake.

Wewe uliwahi kumsikia Mshume kabla ya kujuzwa na Mohamed Said?
 
Hapa ndipo unapofanya makosa! kuna kesi nyingi hufunguliwa miaka kadhaa baada ya uhalifu kutokea na mhalifu hakujulikana. lakini baada ya upelelezi kesi hufunguliwa na mtuhumiwa hufikishwa mahakani kujitetea ukweli ukadhihili ( Sina maana ya kitabu chako nafafanua tu)

Kigezo cha kuimba miaka kumi natano ni kukosa maono na kwamba upo sahihi! ni jambo la aibu, Miaka kumi na tano sio tija! kinachokufanya upige kelele hapo ulipo ni mambo ya miaka zaidi ya 40 na mengine wala hukuyaona wala hukuwa umezaliwa, hapa ndipo nakuona hujitambui. lau ungelitambua hilo usingeimba miaka, miaka, miaka

Kama suala ni muda kupita kwanini unalalama na yaliyopita? kumbuka hakuna cha miaka kumi na tano au mia nane, popote duniani siku ukweli unapodhihili ndipo kinapokuwa kikomo cha upotofu.

Nakama haupo kujibu hoja za wanaokuuliza unfanya nini hapo? maana wote wanaofutilia mjadala huu ni matokea ya mrejesho na maulizo ya wadau mbali mbali.

Kutokujibu ni kukwepa kuumbuka

Miaka kumi na tano hujaja na hata moja la kulipinga liliopo ndani ya kitabu, unakuja na kupayuka kuhusu mwandishi wa kitabu. Upo hapo ulipo?
 
Mohamed Said, Mimi bado nipo kwa huyu mzee Idd Faiz mweka hazina wa TANU mwaka 1959. Kama sikosei Katibu Mkuu alikuwa Oscar Kambona na Makamu wa rais wa TANU John Rupia. Inakuaje huyu mweka hazina watu wamemtupa hata kupewa heshima yeyote.
Ritz hata kama wewe ni mpiga debe, hebu changanya na akili kidogo...ni katika nchi gani na ulimwengu upi ambapo mweka hazina wa chama cha siasa anatajwa au kuenziwa kwa mchango wake katika harakati za kisiasa?

Je chama ANC kilichoanzishwa na Zuberi Mtemvu, mweka hazina wake alikuwa nani?

Je chama cha CUF, Chadema, TLP na kile cha cha Mafisadi na wauaji, mbona hawatajwi?

Ingefaa zaidi kama ungemsaidia Mohamed Said kujibu maswali anayoulizwa, acha papara papara! Kwa kukumbusha maswali ni haya kumhusu mzee wake Mohamed, Abdulwahid Sykes, mjukuu wa mlowezi, Mzulu, aliyetumiwa na Wajerumani kuwapiga vita na kuwaua Watanganyika;

  1. Abdulwahid Sykes aliingia kwenye uongozi wa AA mwaka gani kwa mara ya kwanza na kwa wadhifa gani?
  2. Je mwaka 1946, Mwalimu Nyerere alipohudhuria mkutano wa AA Dar es Salaam kama katibu wa tawi la Tabora, Abdulwahid alikuwa na nafasi gani ndani ya AA?
  3. Je, Abdulwahid Sykes alihudhuria huo mkutano uliofanyika mwaka 1946 Dar es Salaam na kwa wadhifa upi ndani ya AA?
  4. Je, Abdulwahid Sykes kama alihudhuria, kwa nini idaiwe ni mwaka saba baadaye, 1953, ndio kakutana na Nyerere kwa mara ya kwanza?
  5. Je, kama mwaka 1946, Abdulwahid Sykes hakuwa na sifa wala wadhifa wa kuhudhuria huo mkutano wa AA, nani kati yake na kaka yake Mwalimu Nyerere alitangulia kwenye siasa?
  6. Je si kweli kuwa Dr. Kyaruzi, aliyefahamiana na Mwalimu Nyerere toka Makerere, ndiye aliongoza mapinduzi ndani ya AA mwaka 1950 na yeye kuchaguliwa Raisi wa kwanza wa TAA?
 
Last edited by a moderator:
adolay, huyu mchochezi na muongo tunaye...he can run but I can bet you he wont find a place to hide, not on our watch!

Mimi ninayo maswali kwake, anaruhusiwa kuchagua kujibu ama hapana...hiyo ni hiari yake.

Mohamed Said amedai kwenye kitabu chake kuwa ni mmoja wa wazee wake Abdulwahid Sykes aliyemwingiza Mwalimu Julis Nyerere kwenye siasa mwaka 1953, maswali;

  1. Abdulwahid Sykes aliingia kwenye uongozi wa AA mwaka gani kwa mara ya kwanza na kwa wadhifa gani?
  2. Je mwaka 1946, Mwalimu Nyerere alipohudhuria mkutano wa AA Dar es Salaam kama katibu wa tawi la Tabora, Abdulwahid alikuwa na nafasi gani ndani ya AA?
  3. Je, Abdulwahid Sykes alihudhuria huo mkutano uliofanyika mwaka 1946 Dar es Salaam na kwa wadhifa upi ndani ya AA?
  4. Je, Abdulwahid Sykes kama alihudhuria, kwa nini idaiwe ni mwaka saba baadaye, 1953, ndio kakutana na Nyerere kwa mara ya kwanza?
  5. Je, kama mwaka 1946, Abdulwahid Sykes hakuwa na sifa wala wadhifa wa kuhudhuria huo mkutano wa AA, nani kati yake na kaka yake Mwalimu Nyerere alitangulia kwenye siasa?
  6. Je si kweli kuwa Dr. Kyaruzi, aliyefahamiana na Mwalimu Nyerere toka Makerere, ndiye aliongoza mapinduzi ndani ya AA mwaka 1950 na yeye kuchaguliwa Raisi wa kwanza wa TAA?
Najua kuna watu hawana lolote jipya wanalochangia kwenye huu mjadala bali kumpigia debe huyu muongo na mpotoshaji kwa malengo ambayo hata kipofu aweza kuyaona. Nawaomba, kama Mohamed Said atashindwa kujibu hayao maswali wamsaidie, hapo watakuwa wamefanya angalau la maana.

Mwisho ni kwa watu wanaoona umuhimu wa kitabu kingine kuandikwa, nataka niseme hivi...hii kazi tunayoifanya humu JF si ndogo, kuuanika uongo wa huyu chochezi si jambo dogo na data zinazomwaga humu si haba. Napata faraja sana kwamba kwa kupitia huu mjadala watu wengi wameanza kuuona ukweli na kuchambua pumba na mchele.

Nasubiri majibu ya Mohamed Said kwa maswali yangu hapo juu.

Maswali yako hayana tija. Nilifikiri unaleta hoja kuwa hiki ulichoandika siyo sahihi na sahihi ni hiki hapa. Wewe utamjuwa Abdul Wahid kuliko MS? Usitake kuleta viroja.
 
Miaka kumi na tano hujaja na hata moja la kulipinga liliopo ndani ya kitabu, unakuja na kupayuka kuhusu mwandishi wa kitabu. Upo hapo ulipo?

huna hoja yakusumbua akili yangu, Lau ungelikuwa gaid kama Mohamed Said ningeshughulika nawewe, by the way unaweza

kujibu hoja kumsaidia Kibwetele (mohamedi) maana wewe nimfuasi wake. sana sana naweza kopi na kukuwekea maswali hapa

nikiona inafaa ukweli nikwamba huna majibu.
 
Mohamed Said,

Mimi bado nipo kwa huyu mzee Idd Faiz mweka hazina wa TANU mwaka 1959.

Kama sikosei Katibu Mkuu alikuwa Oscar Kambona na Makamu wa rais wa TANU John Rupia.

Inakuaje huyu mweka hazina watu wamemtupa hata kupewa heshima yeyote.

Ndugu yangu Ritz,

Hayo ndiyo maswali mimi nikijiuliza kila siku.

Bado hujamjua Idd Faiz Mafongo.
Hebu mtazame hapa chini nilivyomweleza katika kitabu:

In the early days the post of the Organising Secretary was always changing hands between Mtemvu (who was TANU's first organising secretary) Denis Phombeah, Oscar Kambona, Idd Faiz Mafongo and Stephen Mhando.

Hapo hapo alikuwa Mweka Hazina wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika na TANU.
Wakati ule siasa ilikuwa kazi ya hatari sana.

Watu walikuwa hawakimbilii chama maana hakuna ''kula'' ila kutoa tu.

Abdulwahid alikuwa na biashara ya Kituo Cha Mafuta (Filling Station) kituo hiki kipo hadi
leo pale Ilala Boma mkabala.

Abdu alifilisika kwa kupeleka fedha TANU na kulipa mishahara ya baadhi ya watendaji wa chama.

Kuja uhuru kusahauliwa ndiyo ikaja kuwa ijaza yao.
Ukiwataja katika magazeti.

Magazeti yanakusanywa na kutiwa moto.
 
huna hoja yakusumbua akili yangu, Lau ungelikuwa gaid kama Mohamed Said ningeshughulika nawewe, by the way unaweza

kujibu hoja kumsaidia Kibwetele (mohamedi) maana wewe nimfuasi wake. sana sana naweza kopi na kukuwekea maswali hapa

nikiona inafaa ukweli nikwamba huna majibu.

Adolay,

Huu ndugu yangu ni mjadala tu tunabadilishana mawazo hapana haja
ya kunitukana.

Mimi naandika na wanangu wanasoma michango yangu na majibu
yenu.

Mimi ni mtu mzima sasa yanapokuja matusi huwa wanangu wanafadhaika
na mimi pia.

Ondoa ghadhabu huu ni mjadala tu tushindanishe hoja tukiwa hatukubaliani
basi tunasonga mbele na nukta nyingine.

Huu ndiyo ustaarabu.
Huu ndiyo uungwana.
 
usibishane na mohamed said kuhusu nyerere kulibeba kanisa tanganyika tafuta kitabu kinaitwa kanisa katoliki na siasa za tanganyika 1954-1985 kimetungwa na padri john c.sivaloni ameweka waz kila kitu humo jinsi kanisa lilivyofanya kaz kwa kumtumia nyerere cyo hvyo tu kaeleza had waislam walivyokua wanachukuliwa na nyerere usropoke fanya utafit soma kitabu cha abdu jumbe mbona ushahid upo waz
Mada nzima hujaielewa ndugu yangu, tuliza murkali soma kwa umakini kisha njoo na hoja yamsingi utajibiwa.
Hicho kitabu na vingine vyote tayari nimeshavipitia na tumevieleza hapahapa pitia comment zote
 
Maswali yako hayana Tina. Nilifikiri unaleta hoja kuwa hiki ulichoandika siyo sahihi na sahihi ni hiki hapa. Wewe utamjuwa Abdul Wahid kuliko MS? Usitake kuleta viroja.
Ndugu yangu, ukitulia nakuwa msomaji tu huoni kuwa utapata mafaa?
 
Back
Top Bottom