zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,930
Ndugu yangu,huww sijibu maswali ya kejeli.
Tusonge mbele mkuu
Tupe basi habari za Mashado kidogo bila kumnukuu Mohamed Said. Au japo za Dosa Aziz.
Nakuhakikishia huwezi, thumma huwezi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu yangu,huww sijibu maswali ya kejeli.
Tusonge mbele mkuu
Inawezekana leo ndio umeona historia ya uhuru wetu mkuu?Ha ha ha!
Usichokijua ni kuwa katika ile hotuba wengi wamefunguka macho pale nyerere mwenyewe alipokuwa anakiri kuwa hata jina la TANU alilikuta tayari limeshafikiriwa.
Swali langu kwako wewe unayetaka kutuandikia historia inayotugusa zaidi ya watu milioni 40, una uhusiano gani na Julius nyerere?
Ndugu yangu,huww sijibu maswali ya kejeli.
Tusonge mbele mkuu
Naona wewe bado hujaelewa kuwa nyerere aliwekwa nyumbani kwa Abdulwahid. Au nalo ulilijuwa kabla ya kumsoma MS?
Bursar,
Mimi ni mpenzi wa mijadala.
Nimefunzwa na maalim wangu Sheikh Haruna adab
za minakasha.
Kubwa ni kutoingia katika mjadala kwa kuonyesha kuwa wewe
ni mjuzi kuwapita wenzako.
Usiingie mjadala na mtu alieghadhibioka na mtu atukanae na kutumia
lugha chafu pamoja na kejeli.
Usilazimishwe kujibu kitu.
Shauri nafsi yako kwa kutafuta kusema lile lenye kheri.
Mnakasha uongeze ilm.
Ikiwa hilo halipatikani jitoe.
Wapime watu hawa unaoniomba nisemezanenao je wanaingia wapi katika
usia wa maalim wangu?
Ndugu yangu,huww sijibu maswali ya kejeli.
Tusonge mbele mkuu
Mkuu hao vijana wafuta viatu wa Shehe Mohamed Said ikiwezekana usiwajibu tu,wanayumbisha mjadala tu huu.Kijana, ungekaa pembeni kidogo kwani hakuna unachochangia cha maana...msaidie mentor wako kujibu maswali aliyoulizwa. Wakati nasubiri majibu kwa maswali yangu sita ya mwanzo, nimeongezea na la saba...maswali yenyewe ni haya;
Uzuri moja wa ukweli ni kuwa uongo hauthubutu kukaa nao chumba kimoja...ukweli ukidhihirika uongo huoooo...hutokomea huko huko gizani kuliko maskani yake ya siku zote hata kama uliweza kudumu kwa miaka 15.
- Abdulwahid Sykes aliingia kwenye uongozi wa AA mwaka gani kwa mara ya kwanza na kwa wadhifa gani?
- Je mwaka 1946, Mwalimu Nyerere alipohudhuria mkutano wa AA Dar es Salaam kama katibu wa tawi la Tabora, Abdulwahid alikuwa na nafasi gani ndani ya AA?
- Je, Abdulwahid Sykes alihudhuria huo mkutano uliofanyika mwaka 1946 Dar es Salaam na kwa wadhifa upi ndani ya AA?
- Je, Abdulwahid Sykes kama alihudhuria, kwa nini idaiwe ni mwaka saba baadaye, 1953, ndio kakutana na Nyerere kwa mara ya kwanza?
- Je, kama mwaka 1946, Abdulwahid Sykes hakuwa na sifa wala wadhifa wa kuhudhuria huo mkutano wa AA, nani kati yake na kaka yake Mwalimu Nyerere alitangulia kwenye siasa?
- Je si kweli kuwa Dr. Kyaruzi, aliyefahamiana na Mwalimu Nyerere toka Makerere, ndiye aliongoza mapinduzi ndani ya AA mwaka 1950 na yeye kuchaguliwa Raisi wa kwanza wa TAA?
- Mkutano wa kwanza wa kuizindua AA mwaka 1929, ulifanyika nyumbani kwa nani na chini ya uongozi wa nani?
Tupo hapa tangu 12/1/2013, pole sana kwakuchelewa kujiunga na mjadala huu, nakusihi rudia kusoma uzi huu na post zake zote, hayo yote yamejibiwa vema
Mimi si sheikh ingawa cheo hicho nakipenda.
Mimi ni Muislam wa kawaida tu.
Hivi leo? siye wewe uliyekuwa ukimkejeli Mohamed Said na kudai kuwa imo katika kanuni za mijdala hapa JF?Ndugu yangu,huww sijibu maswali ya kejeli.
Tusonge mbele mkuu
Delusion of grandeur!Yericko Nyerere said:je utaelewa chakusikliza tu bila kusisitizwa na kukaziwa kam tufanyavyo hapa kwako?
Hayo ni maoni au swali? eleweka...ikiwa huwezi kuelezea sentensi moja na kueleweka vipi utakuja kueleweka wakati ukiiandika historia ya Tanzania? au unafikiri kuwa na jina la nyerere tu kuna kupa wewe haki ya kuwaandikia Watanzania wote historia yao?Yericko Nyerere said:Inawezekana leo ndio umeona historia ya uhuru wetu mkuu?
mkuu hao vijana wafuta viatu wa shehe mohamed said ikiwezekana usiwajibu tu,.
Tuendelee na shehe wao angalau yeye anajaribu kujibu baadhi ya hoja na kujenga hoja pia.
Hakika nachagua kipi cha kujibu kipi cha kukinyamazia.
Mimi sihitaji kushawishi mtu kuniamini.
Mbona hili nishalisema sana humu?
Kwani kuna faida gani kwa mimi kuaminika kile nisemacho khasa
wakati huu ambapo kitabu kiko sokoni huu mwaka wa 15 na
''reviews'' zimekamilka.
Mimi sihitaji kushawishi mtu kuniamini.
Mbona hili nishalisema sana humu?
Mkuu hao vijana wafuta viatu wa Shehe Mohamed Said ikiwezekana usiwajibu tu,wanayumbisha mjadala tu huu.
Tuendelee na Shehe wao angalau yeye anajaribu kujibu baadhi ya hoja na kujenga hoja pia.
...hata akitiwa chupani hutoa kidole chake"Yericko Nyerere,
Unazidi kujivunjia tatizo umejaa dharau na kibri wewe mwenyewe umetoka kusema huwa hujibu kejeli halafu wewe huyo huyo unawaandikia wenzako kejeli.