Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
-
- #2,281
Acha kunilisha maneno kinywani mwangu ndugu, wapi nimesema sijui mchango wa Idd Faiz Mafongo?Mohamed Said,
Umetupa habari nzito kuhusu huyu mzee Mzalendo Idd Faiz Mafongo.
Hao wazee wamepambana siku nyingi lakini historia imewatupa mkono.
Yericko, aliandika humu kuwa mchango mkubwa wa pesa alitoa Maliale, Nyerere kwenda UNO Bahati mbaya huyu mzee Idd Faiz Mafongo hajawahi kumsikia wala hajui mchango wake kwenye harakati za kupigania uhuru. Hii picha muhimu sana.
Mbaya zaidi akijitokeza mtu akawaelezea watanzania mchango wao anaonekana anamkejeli Nyerere.
Thanks for the information.
Acha kunilisha maneno kinywani mwangu ndugu, wapi nimesema sijui mchango wa Idd Faiz Mafongo?
Siyo Nyerere tu, Abdul Sykes alifariki bila kusema neno hadi anaingia kaburini kwa mujibu wa Mohamed.Pasco
Pole sana kwa kukwazika..Ila nadhani ambaye alipaswa kukwazika zaidi alikuwa ni Mzee Nyerere..yeye kwenye kitabu kile ametajwa kwa jina na yooote aliyoyafanya yamaorodheshwa. Haya yalifanyika yeye akiwa hai. Sasa wewe Paco, kaka yangu Mgosi Nguruvi3, Mzee wa Uhamishoni Mwanakijiji, Yericko n.k.n.k ...hivi mtakuwa na ukweli upi kumshinda mwalimu Nyerere..au unataka kufurahisha baraza tu kaka?Kikwebo.
Wana jamvi,
Nimejaribu kufuatilia mjadala huu kwa kipindi kirefu na nimeelimika sana. Nashukuru sana kwa elimu niliyopata kuhusu mjadala huu. Mtunzi yeyote wa kitabu kabla ya kutunga lazima kwanza ajue anatunga kitabu kwa madhumini gani hii inanipa picha kwamba Mohamed Saidi amefanikiwa katika kitabu chake kwani asilimia ya watu aliowataka wafahamu historia hiyo wameijua.
Pili kwa wale ambao wanamkosoa wapo sawa kabisa kwani nakumbuka wakati nasoma sekondari kulikuwa na kitu kinaitwa uhakiki wa vitabu, hapa tuliweza kupitia vitabu kama SHIDA, HARAKATI ZA UKOMBOZI n.k Tuliweza kuangalia wapi mwandishi amefanikiwa na wapi mwandishi akufanikiwa.
Na hitimisha kwa kuwaomba wale wote wanaompinga Mohamedi Saidi waandike kitabu ambacho kitafanya kitabu cha Mohamed kionekane kina makosa mengi hivyo kukitoa kwenye vitabu vya kuaminika vinginevyo ni sawasawa na kumpigia mbuzi gitaa.
Jeshi la Mohamed Saidi(wataliban) na wapambe wake chali!....jeshi la marekani linaloongozwa na Yericko Nyerere wanakaribia kuuteka mji mkuu Kabul...mapambano bado yanaendelea
Kumbe shida yako ni kumtaja tu? Katika kisa cha chifu Marealle hapakuwa na ulazima wa kumtaja Idd Faiz MafongoWala sikulishi maneno hebu tupe bandiko lako lolote ambalo umemueongelea Idd Faiz Mafongo.
Umetoa kisa cha Nyerere kwenda UNO mpaka ukataja na wafadhili wake waliofanikisha safari yake ukamtaja Maliale kama mfadhili mkuu.
Bila mimi kuweka hiyo picha na Mohamed Said kutueleza habari zake wewe ungemtaja wapi wakati hizi habari unaita ngano.
Bado ninakusubiri unijbu maswali yangu.Kumbe shida yako ni kumtaja tu? Katika kisa cha chifu Marealle hapakuwa na ulazima wa kumtaja Idd Faiz Mafongo
Kumbe shida yako ni kumtaja tu? Katika kisa cha chifu Marealle hapakuwa na ulazima wa kumtaja Idd Faiz Mafongo
Siyo Nyerere tu, Abdul Sykes alifariki bila kusema neno hadi anaingia kaburini kwa mujibu wa Mohamed.
Lakini lazima ia utambue kuwa Nyerere na Mohamed Said ni vitu viwili tofauti. Nyerere alisimama katika utaifa na ni mwanadiplomasia, ndugu yangu Mohamed yeye ni mchochezi, mzushi na muongo.
Ingekuwa jambo la kusikitisha sana endapo Nyerere angesimama kumjibu Mohamed.
Nikupe mfano mzuri utakaokupa picha Mohamed ni wa daraja gani.
Siku zote amekuwa anasema 'wazee wake'' akimaanisha wazee wa kiislam.
Katika hotuba ya kuwaaga wazee Nyerere alitumia neno wazee wa Dar es Salaam.
Nyerere alisema hayo kwasababu wazee ni pamoja na wale waliomsomea dua na wale waliofanya matambiko.
Kuna vitu viwili hapo, waliomsomea dua na waliofanya matambiko.
Kwahiyo Nyerere alitambua kuwa kutumia neno waislam kunaweza kutoeleweka kwa baadhi (kama Mohamed) na hivyo kuwadhalilisha wazee wa kiislam waliofanya dua na waioamini tambiko, au wazee wa jadi waliofanya tambiko lakini si waumini. Kwa msingi huo Nyerere anawaita wazee wangu.
Kwa upande mwingine Mohamed anawaita wazee kama waislam. Hilo halina tabu, tatizo ni kuwa inapofika mahali pa tambiko tayari amewashawaondoa wote katika Uislam kwa vile dini ya Uislam hairuhusu tambiko za jadi.
Kw vile anaongozwa na ushabiki, mara nyingi hujifunga magoli yasiyo ya lazima na hata kuiweka jamii katika wakati mgumu.
Sasa huyu ndiye alihitaji kujibiwa na Nyerere! real! Mo!
Mody Said Salum Abdallah Myukwa Mwekapopo Samtungo, tete a tete with Nyerere! real!
unatumia kigezo chakutomtaja katika kisa cha chifu kuchangia nauli na suti za mwalimu?Ndiyo maana nakuambia humjuhi Idd Faiz Mafongo. Wewe ndiyo unataka kuandika historia mpya ya uhuru unaelezea kisha cha Nyerere kwenda UNO halafu unasema hapakuwa na ulazima kumtaja Idd Faiz Mafongo ambae alikuwa mtunza pesa za safari ya Nyerere kwenda UNO.
Vita inazidi kusonga mbele. Ila kusema ukweli siraha wanazotumia hawa watalibani ni dhaifu mno kulinganisha na siraha za
jeshi la marekani...watalibani wanatumia migobore ya enzi hizo wakati wamarekani wanatumia siraha za kisasa na zenye
masafa marefu. Watalibani wanatwangwa vibaya sana hapa na wanarudi nyuma
Kabla ya umauti wa Mwalimu,uliwahi kwenda ukasikia kauli yake juu ys madai uliyoyaumba?Nguruvi3,
Unanisoma nusunusu.
Nimeeleza vizuri sana hapa ukumbini kuwa Abdu alinyamza kimya baada ya kugundua kuwa
Nyerere alitaka historia ya TANU iwe historia yake Nyerere peke yake.
Hii ilikuwa baada kuvurugika ule mradi wa kuandika historia uliokuwa ukishughulikiwa na Abdu
na Dr Klerruu pale New Street.
Abdu alianza historia kwa kumtaja baba yake alivyoasisi African Associationn 1929 na akaendelea
kuandika historia ya African Association inaelekea hadi kufika kwa Nyerere 1952 pale nyumbani kwake
Stanley Street.
Hii haikumfurahisha Nyerere maana alijiona kama vile kapewa kupiga fidla namba mbili wakati yeye alipenda
ndiye awe anaetajika.
Hebu soma haya maneno kutoka ''The Life and Times of Abdulwahid Sykes...'':
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] The first serious attempt to record the history of TANU was done by none other than Abdulwahid himself.
When TANU captured state power from the British in 1961 and was in the first phase of consolidating itself as a mass party, it is said that Abdulwahid was asked by Julius Nyerere, then Prime Minister of the country, to record the history of the struggle of the Africans of Tanganyika against the British.
This, in essence, was to be the history of TANU.
To assist him in the research was the late Dr Wilbert Kleruu, recently returned from studies in the United States.
Abdulwahid occupied his former office at the TANU headquarters; the one which he had occupied in the 1950s when he was TAA President. Abdulwahids personal files, dairies and his late fathers papers dating back to the days of the formation of African Association in 1929 were made available to researchers for the first time as primary sources of information.
Abdulwahids version, analysis, presentation of facts and interpretation of forces at play which led to the rise of nationalism were, however, not acceptable to the TANU leadership. We shall see in the following pages reasons why Abdulwahids version of history could not be allowed to flourish.
Abdulwahid abandoned the assignment after being convinced that the new leadership in TANU was not really interested in documenting an authenticated history of Tanganyika but was interested in merely creating a personality cult for Nyerere.
Dr Kleruu went ahead with the research and completed the work.
This manuscript remains unpublished, at least in its original form.
The manuscript disappeared from Party archives and was published for the first time in 1971 under a different name after changes had been done by the author on the original manuscript to prevent detection by the Party.
After the book was published, the Party silently tried to stop the second edition of the book from being published but failed.
The work has now been published several times.
The approach, style and analysis of the subject is not very much different from the book on TANU published in 1981 by the Party ideological college. [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Baada ya Abdu kujiondoa katika ubishi wa nani kaasisi TANU akawa anawaeleza rafiki zake mmojawapo akiwa Ahmed Rashad Ali kuwa ''Ikiwa Nyerere alikuwa anataka sifa ya kuwa yeye ndiye muasisi wa TANU mwacheni.'' Na huu ukawa ndiyo msimamo wake hadi anaingia kaburini.
Mimi nilipokuja kusema kwa mara ya kwanza kuwa Abdu ndiye aliyeasisi TANU gazeti la Africa Events (March/April 1988) toleo zima lilikusanywa na kuchomwa moto.
Hii ndiyo tofauti wa ukimya wa Abdu na Nyerere.
Unazidi kumdhalilisha unayemwita baba yako kuwa hakuwa na uwezo hata wa kujinunulia mavazi yake mwenyewe!unatumia kigezo chakutomtaja katika kisa cha chifu kuchangia nauli na suti za mwalimu?
Kumbe shida yako ni kumtaja tu? Katika kisa cha chifu Marealle hapakuwa na ulazima wa kumtaja Idd Faiz Mafongo
Kabla ya umauti wa Mwalimu,uliwahi kwenda ukasikia kauli yake juu ys madai uliyoyaumba?