Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Jasusi,

Unajua kama Bi Titi aliteswa sana gerezani?
Na aliyemtesa alijulikana?

Huyu mtesaji unaijua khatma yake ilikuwaje?

Nani ataikubali kauli ya mtu aliyeteswa?
Mohamed,
Yote hiyo najua. Actually dada yangu alifanya mazungumzo marefu tu na Bibi Titi. Nimemshauri aandike kitabu. Sidhani kwamba kuteswa kwake gerezani ndiko kulikopelekea akiri kuwa alihusika katika njama za EAMWS kumwondoa Nyerere madarakani. Hii aliisema kwa hiari yake kabisa siyo chini ya mateso. Nina hakika wana JF wangependa kujua khatma ya mtesaji wa bibi Titi. Usibanie unachokifahamu.
 
Mohamed,
Mnakasha umeshathibitisha kuwa hii quote yako si sahihi:

.it was during this time that Abdulwahid, for the second time, advised Nyerere to resign from teaching so as to concentrate fully on the work of the Association.

This idea did not appeal to Nyerere, just as it had not appealed to Chief Kidaha Makwaia four years earlier.
 
Na sio jicho la gerezani tu bali la ''umanyema tena wenye waislam asilimia 100''

Mbona upinzani dhidi ya ukoloni ulishaanza siku nyingi. Wapare na Mbiru walibadilisha political landscape kwa kiasi kikubwa sana kama ambavyo nyumbani wakata mkonge walivyofanya.
The fact that makao makuu ya ukoloni yalikuwa Dar inaongeza uzito zaidi kwanini Dar.

Wala sidhani uhuru ungepatikana bila kuungwa mkono na watu wengine wa bara.
Wazee wetu wakiotutangulia waliliangalia tatizo kama lilivyo na kwa umoja wao.
Sisi tunaliangalia kwa ''wale dhidi yetu'' na kubomoa hata ule urithi mdogo wenye thamani sana tulioachiwa.

Sad!

Uzushi mwingine unatia kinyaa! Abdulwahid Sykes aliyemweka nyerere nyumbani kwake ni Mmanyema?
 
Babu...

Hebu Insha Allah pitia tena huo ukurasa hizo taarifa hazipo katika ukurasa wa 96
ulotaja.

Huenda umesoma vibaya.

Lakini nataka nikutahadharishe jambo moja.

Mwakigagile ana kitabu kingine na ninacho.
Kinaitwa ''Life in Tangnayika in the Fifitees.''
New Africa Press, Dar es Salaam, 2010.

Hiki kitabu kilipotoka tu rafiki zangu Marekani wakanitaarifu kuwa huyu mwandishi
huenda ameninakili katika kitabu.

Yaani kakopi.
Lipo neno la Kiingereza sitaki kulitumia kwa kuwa siamini katika hilo.

Hawa rafiki zangu kila wakisoma wanasema hii mbona kama Mohamed Said.

Mie nikawajibu kuwa katika Uislam elimu ni kitu cha bure huyu mwandishi hajafanya kosa
hata kama hakunitaja kuwa yale ni maandishi yangu.

Elimu ni kitu cha bure na huyu bwana kafanya kheri kusambaza elimu ni wa kupongezwa si
wa kutiwa misukosuko na kufedheheshwa.

Katika kitabu hiki nimo sana lakini yeye nadhani hajui.
Kuna Appendix kaweka vitu.

Huyo katika Appendix ni mimi lakini asingejua kwa kuwa jina langu halionekani.

Babu...
Ahsante kwa taarifa.

Vintage Mohamed Said!

Kitabu cha Mwakikagile hiki hapa.
Life in Tanganyika in The Fifties - Godfrey Mwakikagile - Google Books

Kitabu hiki ni mkusanyiko wa simulizi za watu walioishi Tanganyika katika miaka ya 50. Hiyo Appendix anayoizungumzia Shehe hapa ni kumbukumbu za Ally Sykes juu ya rafiki yake Peter Colmore. Hiyo plagiarism anayoizungumzia Mohamed Said iko wapi? Au anataka kutuambia ni yeye peke yake anayeruhusiwa kuongea na wakina Sykes? Au kilichomuuma ni huyu ndugu wa Abdulwahid anamkumbuka kwa mapenzi makubwa mmisheni aliyekuwa rafiki na mfanyabiashara mwenzake? Au wasiwasi ni kuwa tofauti na simulizi zake huu ni ushahidi kuwa wakina Sykes anaowazungumzia hawakuwa wadini?

Mohammed Said ni mchonganishi. Ni mtu mwenye pretensions of grandeur. Hana kingine zaidi ya hicho.

Amandla..........
 
Tulimzika Nyerere Butiama. Hatukuhitaji roho ngumu kuikaribia maiti yake. Pale Msasani, kabla maafisa wa usalama hawajafunga jeneza, niliisogelea maiti na kuigusa kifuani.

Mie niliokuwa natazama kwenye tv niliona miji-nzi ikinyemelea maiti, mpaka maiti ikajengewa kioo haraka haraka, hukuona?
 
Vintage Mohamed Said!

Kitabu cha Mwakikagile hiki hapa.
Life in Tanganyika in The Fifties - Godfrey Mwakikagile - Google Books

Kitabu hiki ni mkusanyiko wa simulizi za watu walioishi Tanganyika katika miaka ya 50. Hiyo Appendix anayoizungumzia Shehe hapa ni kumbukumbu za Ally Sykes juu ya rafiki yake Peter Colmore. Hiyo plagiarism anayoizungumzia Mohamed Said iko wapi? Au anataka kutuambia ni yeye peke yake anayeruhusiwa kuongea na wakina Sykes? Au kilichomuuma ni huyu ndugu wa Abdulwahid anamkumbuka kwa mapenzi makubwa mmisheni aliyekuwa rafiki na mfanyabiashara mwenzake? Au wasiwasi ni kuwa tofauti na simulizi zake huu ni ushahidi kuwa wakina Sykes anaowazungumzia hawakuwa wadini?

Mohammed Said ni mchonganishi. Ni mtu mwenye pretensions of grandeur. Hana kingine zaidi ya hicho.

Amandla..........

Ningekuita punguani lakini itakuwa si vyema kimaadili, hebu tuambie uliposoma habari za Sykes kwenye hicho kitabu umeona zimeandikwa na nani? mie nimeona jina la gazeti, sasa nakuuliza, gazeti hujiandika lenyewe? msome vizuri Mohamed Said utamuelewa, wacha papara.
 
Vintage Mohamed Said!

Kitabu cha Mwakikagile hiki hapa.
Life in Tanganyika in The Fifties - Godfrey Mwakikagile - Google Books

Kitabu hiki ni mkusanyiko wa simulizi za watu walioishi Tanganyika katika miaka ya 50. Hiyo Appendix anayoizungumzia Shehe hapa ni kumbukumbu za Ally Sykes juu ya rafiki yake Peter Colmore. Hiyo plagiarism anayoizungumzia Mohamed Said iko wapi? Au anataka kutuambia ni yeye peke yake anayeruhusiwa kuongea na wakina Sykes? Au kilichomuuma ni huyu ndugu wa Abdulwahid anamkumbuka kwa mapenzi makubwa mmisheni aliyekuwa rafiki na mfanyabiashara mwenzake? Au wasiwasi ni kuwa tofauti na simulizi zake huu ni ushahidi kuwa wakina Sykes anaowazungumzia hawakuwa wadini?

Mohammed Said ni mchonganishi. Ni mtu mwenye pretensions of grandeur. Hana kingine zaidi ya hicho.

Amandla..........

FM,

Hapana hilo neno ''plagiarism'' unalitumia wewe.
Mimi nililikwepa.

Unaandika kwa hasira sijui kwa nini.
Maneno kama ''mmisheni'' yanaondoa utamu wa majibu yako.

Mimi siwezi kuumwa na chochote kwa kuwa hiyo Appendix
ni mimi niliyeandika.

Ilikuwa ni orbituary ya Peter Colmore ambae mimi nikimjua toka
wakati mimi ni kijana mdogo sana.

Ofisi na makao yake akiwa Dar es Salaam yalikuwa jirani na nyumbani
kwetu katika miaka ya mwanzo ya 1960.

Nikaja kukutananae ukubwani wakati naandika ''Under the Shadow of
British Colonialism...''

Nikimfanyia mahojiano nyumbani kwake Muthaiga au Muthaiga Club
Nairobi.

Kilichonisukuma kuandika ile taazia ni pale nilipoona taazia zilizochapwa
na magazeti ya Kenya hayakumtendea haki.

Orbituary hiyo iliyo kwenye Appendix ilichapwa na The East African.
Mhariri wa The East African, James Odindo alinipigia simu kuniuliza vipi
nilimjua Peter Colmore kwa kiasi kile.

Jibu langu nilimwambia alikuwa ni mzee wangu.

Ikiwa unajua staili yangu ya uandishi utanisikia humo nazungumza.

Sasa ukipenda pita ndani ya kitabu hicho cha Mwakikagile utanikuta.
Sina sababu ya kusema uongo.

Kwa kumaliza napenda kukufahamisha hii si mara ya kwanza kwa maandishi
yangu kutumiwa na waandishi wengine ndani ya kitabu.

Lakini kama nilivyosema katika Uislam hilo si kosa.

Hiyo hukumu juu yangu kuwa mimi napenda ''pretensions of grandeur''
hizo ni fikra zako na una haki nazo.
 
Mohamed,
Mnakasha umeshathibitisha kuwa hii quote yako si sahihi:

.it was during this time that Abdulwahid, for the second time, advised Nyerere to resign from teaching so as to concentrate fully on the work of the Association.

This idea did not appeal to Nyerere, just as it had not appealed to Chief Kidaha Makwaia four years earlier.

Jasusi,

Nifahamishe ndugu yangu ikiwa nimekosea.
 
Mohamed,
Yote hiyo najua. Actually dada yangu alifanya mazungumzo marefu tu na Bibi Titi. Nimemshauri aandike kitabu. Sidhani kwamba kuteswa kwake gerezani ndiko kulikopelekea akiri kuwa alihusika katika njama za EAMWS kumwondoa Nyerere madarakani. Hii aliisema kwa hiari yake kabisa siyo chini ya mateso. Nina hakika wana JF wangependa kujua khatma ya mtesaji wa bibi Titi. Usibanie unachokifahamu.

Jasusi,

Kumbe jamaa yangu fundi wa ''kukomalia.''

Huenda huu msamiati umekupita hiki ndicho Kiswahili
cha Dar siku hizi.

Maana yake unamshikilia mtu mpaka unajua mwisho wake.

Utasoma kichwa cha habari ''Waziri wa so and so Akomaliwa
Alete Majibu ya Ufisadi katika Wizara Yake.''

Huyu bwana yasemekana alimaliza siku zake za mwisho karukwa
na akili na mwishowe akajiua na kufa katika kifo cha maumivu
makubwa.

Hakika tuogope dua ya mwenye kudhulumiwa.
 
Mie niliokuwa natazama kwenye tv niliona miji-nzi ikinyemelea maiti, mpaka maiti ikajengewa kioo haraka haraka, hukuona?
Ni huyu ndiye aliyemkemea Mwanakijiji kwa kunukuu Korani! Akijinasibu ni muislam!!

Mwenyezi mungu tunakuomba maghfir na mswamaha,sisi ni viumbe wako dhaifu na hakika hakuna mkamilifu miongoni mwetu.Mwenyezi muumba msamehe Zomba na umfanyie wepesi katika kuielewa dini yako, amin.
Mfungue macho na masikio yarabi ili azione aya, hadithi na sunna, atambue halali, makuruh na haramu ili awe mja atakayeilingania dini yako na hakika awe miongoni mwa watoa daawa sio kati ya waliokufur.

Wanajamvi tuendelee na mnakasha
 
Amin na Amin
 
Mie niliokuwa natazama kwenye tv niliona miji-nzi ikinyemelea maiti, mpaka maiti ikajengewa kioo haraka haraka, hukuona?
Mode, kwa heshima ya utu, naomba uifute hii post!. Kama lugha zisizofaa kuwa zinawekewa nyota please do the need!.
Pasco.
 
Lipi uliloandika wewe lenye faida kwa taifa?

gari+ya+nyerere.JPG

Yericko Nyerere,

Hilo gari ndiyo unatuambia Nyerere alipewa na Mariale.
 
Last edited by a moderator:
Narudia maswali yangu na sasa nimeongeza la nane;

  1. Abdulwahid Sykes aliingia kwenye uongozi wa AA mwaka gani kwa mara ya kwanza na kwa wadhifa gani?
  2. Je mwaka 1946, Mwalimu Nyerere alipohudhuria mkutano wa AA Dar es Salaam kama katibu wa tawi la Tabora, Abdulwahid alikuwa na nafasi gani ndani ya AA?
  3. Je, Abdulwahid Sykes alihudhuria huo mkutano uliofanyika mwaka 1946 Dar es Salaam na kwa wadhifa upi ndani ya AA?
  4. Je, Abdulwahid Sykes kama alihudhuria, kwa nini idaiwe ni mwaka saba baadaye, 1953, ndio kakutana na Nyerere kwa mara ya kwanza?
  5. Je, kama mwaka 1946, Abdulwahid Sykes hakuwa na sifa wala wadhifa wa kuhudhuria huo mkutano wa AA, nani kati yake na kaka yake Mwalimu Nyerere alitangulia kwenye siasa?
  6. Je si kweli kuwa Dr. Kyaruzi, aliyefahamiana na Mwalimu Nyerere toka Makerere, ndiye aliongoza mapinduzi ndani ya AA mwaka 1950 na yeye kuchaguliwa Raisi wa kwanza wa TAA?
  7. Mkutano wa kwanza wa kuizindua AA mwaka 1929, ulifanyika nyumbani kwa nani na chini ya uongozi wa nani?
  8. Kwa nini hasa AA ilianzishwa mwaka 1929...je hiyo AA iliihusu Tanganyika peke yake? Ni wakati gani ilibidi ibadilike na kuitwa TAA na kwa sababu gani?
Nitatoa hapa nukuu kidogo kutoka kitabu cha Sanderson Beck, "Tanganyika and the British 1918-1950".
Wanajamvi na Mohamed, naomba tuyatendee haki haya maswali. Ninakwenda mbele nikiyakumbuka narudi nyuma. Hebu tuyaangalie kwa jicho mujarabu.
 
Ni huyu ndiye aliyemkemea Mwanakijiji kwa kunukuu Korani! Akijinasibu ni muislam!!

Mwenyezi mungu tunakuomba maghfir na mswamaha,sisi ni viumbe wako dhaifu na hakika hakuna mkamilifu miongoni mwetu.Mwenyezi muumba msamehe Zomba na umfanyie wepesi katika kuielewa dini yako, amin.
Mfungue macho na masikio yarabi ili azione aya, hadithi na sunna, atambue halali, makuruh na haramu ili awe mja atakayeilingania dini yako na hakika awe miongoni mwa watoa daawa sio kati ya waliokufur.

Wanajamvi tuendelee na mnakasha

Uliona Muislaam anaidharau na kuianika maiti ya jamaa yake? maiti hustiriwa haraka iwezekanavyo, huo ndio Uislaam.

Unataka kusema nini wewe? Unatafuta pakutokea? hapatokeki hapa mtajibadili kama vinyonga, nondo zile zile tu.

Jee, unajuwa kuwa nyerere alikuwa alikaribishwa na kuishi mtaa wa stanley nyumbani kwa Abdulwahid, Ally na Abbas Sykes?
 
Back
Top Bottom