Mohamed,Jasusi,
Unajua kama Bi Titi aliteswa sana gerezani?
Na aliyemtesa alijulikana?
Huyu mtesaji unaijua khatma yake ilikuwaje?
Nani ataikubali kauli ya mtu aliyeteswa?
Tulimzika Nyerere Butiama. Hatukuhitaji roho ngumu kuikaribia maiti yake. Pale Msasani, kabla maafisa wa usalama hawajafunga jeneza, niliisogelea maiti na kuigusa kifuani.Mwisho wake ikawa inahitaji mtu "mwenye roho ngumu" kwelikweli kuikaribia maiti ya "mtakatifu"
Na sio jicho la gerezani tu bali la ''umanyema tena wenye waislam asilimia 100''
Mbona upinzani dhidi ya ukoloni ulishaanza siku nyingi. Wapare na Mbiru walibadilisha political landscape kwa kiasi kikubwa sana kama ambavyo nyumbani wakata mkonge walivyofanya.
The fact that makao makuu ya ukoloni yalikuwa Dar inaongeza uzito zaidi kwanini Dar.
Wala sidhani uhuru ungepatikana bila kuungwa mkono na watu wengine wa bara.
Wazee wetu wakiotutangulia waliliangalia tatizo kama lilivyo na kwa umoja wao.
Sisi tunaliangalia kwa ''wale dhidi yetu'' na kubomoa hata ule urithi mdogo wenye thamani sana tulioachiwa.
Sad!
Babu...
Hebu Insha Allah pitia tena huo ukurasa hizo taarifa hazipo katika ukurasa wa 96
ulotaja.
Huenda umesoma vibaya.
Lakini nataka nikutahadharishe jambo moja.
Mwakigagile ana kitabu kingine na ninacho.
Kinaitwa ''Life in Tangnayika in the Fifitees.''
New Africa Press, Dar es Salaam, 2010.
Hiki kitabu kilipotoka tu rafiki zangu Marekani wakanitaarifu kuwa huyu mwandishi
huenda ameninakili katika kitabu.
Yaani kakopi.
Lipo neno la Kiingereza sitaki kulitumia kwa kuwa siamini katika hilo.
Hawa rafiki zangu kila wakisoma wanasema hii mbona kama Mohamed Said.
Mie nikawajibu kuwa katika Uislam elimu ni kitu cha bure huyu mwandishi hajafanya kosa
hata kama hakunitaja kuwa yale ni maandishi yangu.
Elimu ni kitu cha bure na huyu bwana kafanya kheri kusambaza elimu ni wa kupongezwa si
wa kutiwa misukosuko na kufedheheshwa.
Katika kitabu hiki nimo sana lakini yeye nadhani hajui.
Kuna Appendix kaweka vitu.
Huyo katika Appendix ni mimi lakini asingejua kwa kuwa jina langu halionekani.
Babu...
Ahsante kwa taarifa.
Tulimzika Nyerere Butiama. Hatukuhitaji roho ngumu kuikaribia maiti yake. Pale Msasani, kabla maafisa wa usalama hawajafunga jeneza, niliisogelea maiti na kuigusa kifuani.
Mie niliokuwa natazama kwenye tv niliona miji-nzi ikinyemelea maiti, mpaka maiti ikajengewa kioo haraka haraka, hukuona?
Vintage Mohamed Said!
Kitabu cha Mwakikagile hiki hapa.
Life in Tanganyika in The Fifties - Godfrey Mwakikagile - Google Books
Kitabu hiki ni mkusanyiko wa simulizi za watu walioishi Tanganyika katika miaka ya 50. Hiyo Appendix anayoizungumzia Shehe hapa ni kumbukumbu za Ally Sykes juu ya rafiki yake Peter Colmore. Hiyo plagiarism anayoizungumzia Mohamed Said iko wapi? Au anataka kutuambia ni yeye peke yake anayeruhusiwa kuongea na wakina Sykes? Au kilichomuuma ni huyu ndugu wa Abdulwahid anamkumbuka kwa mapenzi makubwa mmisheni aliyekuwa rafiki na mfanyabiashara mwenzake? Au wasiwasi ni kuwa tofauti na simulizi zake huu ni ushahidi kuwa wakina Sykes anaowazungumzia hawakuwa wadini?
Mohammed Said ni mchonganishi. Ni mtu mwenye pretensions of grandeur. Hana kingine zaidi ya hicho.
Amandla..........
Ndugu zanguni,
Tusitoke katika utu.
Haya hayafai.
Sisi tufanye mjadala katika mada ya haya matatizo yanayokabili nchi yetu.
Hilo halihusiana na mada iliyombele yetu mkuu,
Na jambo hilo ni la ndani zaidi (binafsi) halina mafaa kwa taifa kabisa!
Vintage Mohamed Said!
Kitabu cha Mwakikagile hiki hapa.
Life in Tanganyika in The Fifties - Godfrey Mwakikagile - Google Books
Kitabu hiki ni mkusanyiko wa simulizi za watu walioishi Tanganyika katika miaka ya 50. Hiyo Appendix anayoizungumzia Shehe hapa ni kumbukumbu za Ally Sykes juu ya rafiki yake Peter Colmore. Hiyo plagiarism anayoizungumzia Mohamed Said iko wapi? Au anataka kutuambia ni yeye peke yake anayeruhusiwa kuongea na wakina Sykes? Au kilichomuuma ni huyu ndugu wa Abdulwahid anamkumbuka kwa mapenzi makubwa mmisheni aliyekuwa rafiki na mfanyabiashara mwenzake? Au wasiwasi ni kuwa tofauti na simulizi zake huu ni ushahidi kuwa wakina Sykes anaowazungumzia hawakuwa wadini?
Mohammed Said ni mchonganishi. Ni mtu mwenye pretensions of grandeur. Hana kingine zaidi ya hicho.
Amandla..........
Ndugu zanguni,
Tusitoke katika utu.
Haya hayafai.
Sisi tufanye mjadala katika mada ya haya matatizo yanayokabili nchi yetu.
Mohamed,
Mnakasha umeshathibitisha kuwa hii quote yako si sahihi:
.it was during this time that Abdulwahid, for the second time, advised Nyerere to resign from teaching so as to concentrate fully on the work of the Association.
This idea did not appeal to Nyerere, just as it had not appealed to Chief Kidaha Makwaia four years earlier.
Mohamed,
Yote hiyo najua. Actually dada yangu alifanya mazungumzo marefu tu na Bibi Titi. Nimemshauri aandike kitabu. Sidhani kwamba kuteswa kwake gerezani ndiko kulikopelekea akiri kuwa alihusika katika njama za EAMWS kumwondoa Nyerere madarakani. Hii aliisema kwa hiari yake kabisa siyo chini ya mateso. Nina hakika wana JF wangependa kujua khatma ya mtesaji wa bibi Titi. Usibanie unachokifahamu.
Ni huyu ndiye aliyemkemea Mwanakijiji kwa kunukuu Korani! Akijinasibu ni muislam!!Mie niliokuwa natazama kwenye tv niliona miji-nzi ikinyemelea maiti, mpaka maiti ikajengewa kioo haraka haraka, hukuona?
Ni huyu ndiye aliyemkemea Mwanakijiji kwa kunukuu Korani! Akijinasibu ni muislam!!
Mwenyezi mungu tunakuomba maghfir na mswamaha,sisi ni viumbe wako dhaifu na hakika hakuna mkamilifu miongoni mwetu.Mwenyezi muumba msamehe Zomba na umfanyie wepesi katika kuielewa dini yako, amin.
Mfungue macho na masikio yarabi ili azione aya, hadithi na sunna, atambue halali, makuruh na haramu ili awe mja atakayeilingania dini yako na hakika awe miongoni mwa watoa daawa sio kati ya waliokufur.
Wanajamvi tuendelee na mnakasha
Mode, kwa heshima ya utu, naomba uifute hii post!. Kama lugha zisizofaa kuwa zinawekewa nyota please do the need!.Mie niliokuwa natazama kwenye tv niliona miji-nzi ikinyemelea maiti, mpaka maiti ikajengewa kioo haraka haraka, hukuona?
Lipi uliloandika wewe lenye faida kwa taifa?
Wanajamvi na Mohamed, naomba tuyatendee haki haya maswali. Ninakwenda mbele nikiyakumbuka narudi nyuma. Hebu tuyaangalie kwa jicho mujarabu.Narudia maswali yangu na sasa nimeongeza la nane;
Nitatoa hapa nukuu kidogo kutoka kitabu cha Sanderson Beck, "Tanganyika and the British 1918-1950".
- Abdulwahid Sykes aliingia kwenye uongozi wa AA mwaka gani kwa mara ya kwanza na kwa wadhifa gani?
- Je mwaka 1946, Mwalimu Nyerere alipohudhuria mkutano wa AA Dar es Salaam kama katibu wa tawi la Tabora, Abdulwahid alikuwa na nafasi gani ndani ya AA?
- Je, Abdulwahid Sykes alihudhuria huo mkutano uliofanyika mwaka 1946 Dar es Salaam na kwa wadhifa upi ndani ya AA?
- Je, Abdulwahid Sykes kama alihudhuria, kwa nini idaiwe ni mwaka saba baadaye, 1953, ndio kakutana na Nyerere kwa mara ya kwanza?
- Je, kama mwaka 1946, Abdulwahid Sykes hakuwa na sifa wala wadhifa wa kuhudhuria huo mkutano wa AA, nani kati yake na kaka yake Mwalimu Nyerere alitangulia kwenye siasa?
- Je si kweli kuwa Dr. Kyaruzi, aliyefahamiana na Mwalimu Nyerere toka Makerere, ndiye aliongoza mapinduzi ndani ya AA mwaka 1950 na yeye kuchaguliwa Raisi wa kwanza wa TAA?
- Mkutano wa kwanza wa kuizindua AA mwaka 1929, ulifanyika nyumbani kwa nani na chini ya uongozi wa nani?
- Kwa nini hasa AA ilianzishwa mwaka 1929...je hiyo AA iliihusu Tanganyika peke yake? Ni wakati gani ilibidi ibadilike na kuitwa TAA na kwa sababu gani?