Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mbona umeshikilia sana Somalia wakati ishu ni Tanganyika?hayo mataifa ya kiislam zinajulikana cku nyingi ni Propaganda na chuki za mataifa ya Magharibi dhidi ya Uislamu,,,Zungumzia Tanganyika usitolee mifano ya Somalia hapa
 
Haya mbona ya kawaida kwa binadamu mbona wewe pamoja Dr Slaa mlikuwa CCM zamani. Leo mmeamia Chadema na CCM imekuwa adui yenu mkubwa. Kubadilika ni sehemu ya ubinadamu.
 
hahahahahahahaaaa.......duh!!!
JF kiboko, ukisikia watu wasioweza kujisimamia wenyewe, ndio hawa sasa.
 
Mbona umeshikilia sana Somalia wakati ishu ni Tanganyika?hayo mataifa ya kiislam zinajulikana cku nyingi ni Propaganda na chuki za mataifa ya Magharibi dhidi ya Uislamu,,,Zungumzia Tanganyika usitolee mifano ya Somalia hapa

Hilo tu ndio umeliona katika maandishi yote hayo?
 
Wakuu tulitendee haki jamvi Mzee Mohamed Said angetusaidia kujibu haya maswali mawili madogo sana hakika angekata kiu yangu pengine na baadhi ya wanajamvi.

Last edited by a moderator:
Wakuu tulitendee haki jamvi Mzee Mohamed Said angetusaidia kujibu haya maswali mawili madogo sana hakika angekata kiu yangu pengine na baadhi ya wanajamvi.

Mkuu Ngongo,

Nyerere alikwenda Ney York kuhutubia Baraza la Udhamini la Umoja wa Mataifa, tarehe 17 Feb 1955. Kama takuwa nimekosea nisahihishwe.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu tulitendee haki jamvi Mzee Mohamed Said angetusaidia kujibu haya maswali mawili madogo sana hakika angekata kiu yangu pengine na baadhi ya wanajamvi.
Mzee wetu Mohamed Said amechoka Ngongo. Hawa walio upande wake hawana wanalomsaidia. Ni kumsifia tu. Wakipata nafasi wanatukana hadi maiti ya Mwalimu. Thread hii imekuwa ndefu, hoja nzito na ELIMU kubwa kabisa kupata kutolewa nchi hii na chombo chochote cha habari.
 
Last edited by a moderator:
Wanajamvi na Mohamed, naomba tuyatendee haki haya maswali. Ninakwenda mbele nikiyakumbuka narudi nyuma. Hebu tuyaangalie kwa jicho mujarabu.

Haliingii hilo neno kwenye hiyo sentensi, maana ya mujarab ni iliyojaribiwa "tested" au expirimented (and proven).
 
Kwa kusoma maandishi, je Mwalimu alikulea, mlikua majirani mpaka ukamwita, alikua swahib (rafiki) wa baba yako mzazi au mahusiano gani ya karibu sana mpaka umwite Mwalimu "kama baba yangu mzazi"

Lazima pawe pana uhusiano wa karibu sana mpaka uweze kusema maneno haya
 
Hilo tusi liko wapi? uwepo wa nzi na maiti kutengenezewa kioo cha haraka haraka na kuhifadhiwa kuzuia ma nzi ni kitu kilichotokea na hakuna ambae hajakishuhudia, tusi liko wapi hapo? na ni mimi niliyeyasema hayo na hakuna aliyekuwepo hata kwenye tv kama mimi ambae hajashuhudia hayo.

Mkikosa hoja mnaanza viroja.
 
Mkuu Ritz Maswali,

[1] Nyerere alikuja kwa mara ya kwanza Dar mwaka gani ?

[2] Alipokwenda UNO safari ilianzia wapi ?.

[3] Nani aliandaa hotuba Nyerere aliyoitumia UNO ?.

[4] Ni wazi Mwl Nyerere kipindi anakutana na wazee wa Dar alishapita Makerere,Edimburgh.Je kitongoji cha Gerezani kilikuwa na ustaharabu kuliko wakaazi wa Jiji la Edimburgh na Makekere ?.

Mkuu Ngongo,

Nyerere alikwenda Ney York kuhutubia Baraza la Udhamini la Umoja wa Mataifa, tarehe 17 Feb 1955. Kama takuwa nimekosea nisahihishwe.
 
Last edited by a moderator:

Kwanini usiseme Mwanakijiji alipewa darsa? hujui maana ya mtu kupewa darsa unakuja na uzushi wa kukemea? huoni hata haya wala hujui vibaya? Hata Mohamed Said alimpa darsa, fatilia nyuzi vizuri, punguza munkar.
 
Mbona nimemjibu au wewe unataka jibu gani. Kumbe na wewe kejeli zinakuuma nilidhani wewe unavyotoa kejeli dhidi ya wengine humu una moyo wa jiwe. Vumilia ndiyo mambo.

Mohamed Said anakusanya nondo zingine labda wewe ndiyo umechoka.
 
Last edited by a moderator:

Ustaarabu under whose eyes? British eyes? American? African? Scots?
Ustaarabu is a very subjective topic my friend.

Kuvaa sari, mavazi ya akina mama ya kihindi ambayo yanaonyesha matumbo yao, ni ustaarabu mzuri India lakini si ustaarabu mzuri Uarabuni, nchi za Kiafrika

Ninawasilisha
 
Last edited by a moderator:
We kweli KichwaNgumu jibu maswali kama yamekushinda kaa pembeni watakuja wajuzi wa hstoria hapa watamwaga nondo zao bila chenga ha ha ha.

Last edited by a moderator:
Mimi nilikwenda mara mbili pale uwanja wa Taifa. Ule mwili wa Mwalimu ulikuwa umekuwa treated vizuri. Hakukuwa na nzi. Kioo kile kiliwekwa mahsusi kwa kuzuia vumbi kwa kuwa banda lile lilikuwa wazi pande mbili. Katika mambo ambayo sitamsahau Mkapa ni namna alivyo u-handle msiba wa Mwalimu. Tumlaumu kwa mengine.
 
Mkuu adabu na heshima ni kitu adhimu sana hasa ukiwa binadamu,

Unafadika nini kwa dhihaka na matusi hayo kwa Mwalimu Nyerere?

Wewe hukuwepo? hukuona? hakuna dhihaka hapo, historia ibaki kuwa historia ya ukweli. Ngoja nikukumbushe, kwanza iliwekwa maiti ya nyerere bila kioo, baada ya siku mbili kukaanza kujaa nzi wakifata harufu iliyokuwa ikitoka na wapo watu waliokwenda huko waliinusa hiyo harufu, likatengenezwa banda haraka haraka kusitiri hali. Jee, tusi au kejeli liko wapi hapo? ni mambo ya kawaida yaliyotokea.

Pale (uwanja wa taifa) paliwekwa maiti ya nyerere kuagwa, kiwiliwili kisichoona, wala kusikia, wala kuhisi na maiti ikikikaa bila kustiriwa huharibika na ndio maana huwa wengine wanazika na wengine wanachoma moto. Nini cha ajabu au mliloliona nyinyi kubwa sana na ilhali ni ukweli usiopingika?
 
Mbona nimemjibu au wewe unataka jibu gani. Kumbe na wewe kejeli zinakuuma nilidhani wewe unavyotoa kejeli dhidi ya wengine humu una moyo wa jiwe. Vumilia ndiyo mambo.

Mohamed Said anakusanya nondo zingine labda wewe ndiyo umechoka.
Unapokejeli hadi maiti iliyo sandukuni kunakuwa na haja ya kupimana akili. Mohamed Said hana nondo mpya tena zaidi ya historia hii ya wazee wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…