Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Mchambuzi,
..Lakini inasemekana Mwalimu alipendekeza uhuru upatikane miaka ya 70.
..wananchi walipopata habari hizo walichukizwa sana na kumshinikiza kwamba hawataki uhuru ucheleweshwe.
..Gavana alikuwa anawaogopa TANU kwasababu walikuwa ni radicals, na walikuwa hawafanyi juhudi zozote zile kuandikisha wanachama wa kiasia, au kizungu.
..hicho ndicho kikasababisha gavana, Chifu Marealle, na ma-settler, kuanzisha chama cha UTP ambacho kiliruhusu wanachama wa rangi zote.
..TANU ilikuwa inawatishia machifu kwasababu ilikuwa ndiyo kimbilio la watu wengi waliokosa nafasi za uongozi ktk mfumo uliopo. kwa mfano waliokosa kuchaguliwa kutumikia ktk mabaraza ya machifu walikuwa wakikimbilia kujiunga na TANU. Kwa msingi huo, gavana na machifu, hawakuwa wamekosea kwamba TANU ilikuwa tishio kwa machifu. the fact kwamba Mwalimu alikuja ku-abolish Uchifu ni uthibitisho wa madai ya gavana.
Hapana Nyerere alifikiria Uhuru ungekuwa mwanzoni mwa miaka ya sitini siyo sabini. Katika majibu yake kwenye Fourth Committee ya UN Disemba 21, 1956 Nyerere alisema hivi:
Mr. Caprio (Phillipines) asked whether the petitioner felt that the Committee should set a target date for the Territory's independence and, if so what date.
Mr. Nyerere: (TANU) was strongly in favor of fixing a target date. That would dispel the people's fears about the country's future and make it possible to intensify the Territory's development. It was difficult to specify a date in such cases, but he thought that Tanganyika should be independent in about ten years' time.
Kwa hiyo walikuwa wanafikiria sometime katikati ya miaka ya sitini.