Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
-
- #3,181
Uzuri wa JF kama moderators hawajachakachuwa kila kitu kinakuwapo, soma ulichoandika na nilivyokujibu na kukupa darsa:
Uliandika hivi:
Nikakupa hint:
Hukunielewa kuwa nilikuwa nakusaidia kiuungwana, ndio maana nilikuwekea jina tu la Jimmy Cater bila maelezo, ili urejeshe kumbukumbu zako, ukajibu bila kufikiri:
Nikakupa darsa baada ya kuona kuwa kumbe huelewi unachokiandika na hata unaposaidiwa kwa kupewa hint bado unajifanya mjanja:
Nikakuta kwingine tena ulianza kupotosha kwa hili:
Nikaamuwa nikupe darsa lingine kwa kuwa huelewi unachokisema:
Sasa unarusha nini? vitu viko kinagaubaga.
Hehee post yako mkuu imenilazimu nirudi hapa,
Yaani wakati tumeufunga mjadala wewe sasa ndio nauona ujuzi wako mkuu,
Hongera sana umenifundisha kitu muhimu sana!
maajabu ya Dunia yahilahi.
Hata Bibi Titi Mohamed ambaye ndie kiongozi wa kwanza wa umoja wa akina mama wa TANU na mhamasishaji mkubwa sana wa Tanu katika mikoa ya Dar na Pwani hususan Rufiji leo hii hatambuliki kabisa.
Kwa kweli kuna mengi sana yalifichwa na Al Akhi Mohamed Said ametufungua macho.
Mchambuzi.
Mimi nilikuwa naomba unitajie members wa Baraza la wazee wa TANU la kwanza kabisa labda majina yaliyosahaulika katika waasisi yanaweza kuwemo humo.
halafu mtu anakuja na ka listi chake cha kivukoni kujidai hao ndio waasisi wa tanu. Inasikitisha sana, mpaka wanapouona ukweli hawataki kuusikia wala kuukubali, lakini ndio hivyo tena, "macho wanayo lakini hayaoni, masikio wanayo lakini hayasikii". Mioyo yao ina maradhi.
Mwenyeezi mungu azidi kumfungulia maalim wetu mohamed said na ampe umri mrefu yeye na sisi pia ili na sisi tufunguke zaidi kwa hii ilmu anayotupa. Leo hii katufanya tutembee kifua mbele na hakuna ataekuja kutupotosha bila msingi.
1.Ndugu, ukiniuliza malengo ya kivukoni kuandika na kuwatoa waislamu(kama kweli waliwatoa) ni mada mpya inayohitaji utafiti. Mathalani tunapaswa kujua nani walikuwa mandated kuandika hiyo historia, walitumia data gani, je historia hiyo ilihaririwa? Hakukuwa na waislamu hapo chuoni, kwenye timu ya waandishi au hata serikalini walioona upungufu huo?
2.Nimegusia udini mana ndio mwelekeo niliouana hapa. Na kama ingekuwa ingekuwa mhadhara wa kidini wala usingeona mchango wangu hapa maana tayari upo ndani ya uhuru wako. Ila kama tunataka kuandika historia ya nchi lazima tuwe na objective test! Otherwise tutakuwa na historia ya tanzania ya Kikristo.. Kiislamu nk! Itakuwa tunatengeneza misahafu mipya!
mkuu mohamed said aksante sana kwa kutoa darsa ingawa sisi wanafunzi wako umetuacha na kiu kubwa kwa kushindwa kujibu maswali ya msingi hasa yale ya mag3 .nasikitika unakimbia mnakasha huku vichwa vya ukweli jf vikizidi kumiminika ujio wa mwanazuoni mkandara na mheshimiwa mchambuzi unawaze kuwa sababu kubwa ya kutimua mbio ha ha ha ha.
Mkuu mohamed said hii ni pg ya 160 umeshindwa kutushawishi bila shaka yoyote kwamba wazee wako wa gerezani waliwekwa kando na utawala wa mwl nyerere.umeshindwa kubainisha pasipo shaka yoyote kwamba uhuru wa tanganyika ulipiganiwa na wazee wako wa gerezani.umeshindwa kusema ukweli kwamba uhuru wa tanganyika ulipiganiwa na watanganyika wote bila kujali imani za dini zao na makabila yao.ulitaka kutudanganya kwamba nyerere(mkristo) alibebwa na familia ya sykes (waislam) bila msaada wao nyerere asingekatiza wakati huo huo walikuwepo viongozi wakristo kama akina rupia hii inafuta dhana ya ustadhi mo kwamba taa ya wakati huo ilikuwa ya waislamu pekee yao.
Mkuu Mohamed Said aksante sana kwa kutoa darsa ingawa sisi wanafunzi wako umetuacha na kiu kubwa kwa kushindwa kujibu maswali ya msingi hasa yale ya Mag3 .Nasikitika unakimbia mnakasha huku vichwa vya ukweli JF vikizidi kumiminika ujio wa mwanazuoni Mkandara na mheshimiwa Mchambuzi unawaze kuwa sababu kubwa ya kutimua mbio ha ha ha ha.
Mkuu Mohamed Said hii ni pg ya 160 umeshindwa kutushawishi bila shaka yoyote kwamba wazee wako wa gerezani waliwekwa kando na utawala wa Mwl Nyerere.Umeshindwa kubainisha pasipo shaka yoyote kwamba uhuru wa Tanganyika ulipiganiwa na wazee wako wa Gerezani.Umeshindwa kusema ukweli kwamba uhuru wa Tanganyika ulipiganiwa na watanganyika wote bila kujali imani za dini zao na makabila yao.Ulitaka kutudanganya kwamba Nyerere(Mkristo) alibebwa na familia ya Sykes (Waislam) bila msaada wao Nyerere asingekatiza wakati huo huo walikuwepo viongozi wakristo kama akina Rupia hii inafuta dhana ya Ustadhi Mo kwamba TAA ya wakati huo ilikuwa ya waislamu pekee yao.
RONN,
mimi ningependa kukusaidia yafuatayo ikiwemo waTanganyika wote.
Kama umesoma mnakasha toka mwanzo mpaka mwisho utabaini kuwa kuna Historia mbili za wapigania uhuru wenu. Kuna wale waliotajwa katika kitabu cha Kivukoni na wapo katika tovuti ya CCM na wale waliotajwa na Mohamed Said ambao walisahaulika na tunawajua wengine ni maarufu sana kama akina Bibi TITI, Rashid Kawawa, Jumbe Tambaza, Sheikh Takadir, Sheikh Ramia, Mshume Kiate na akina Mtemvu.
Sasa cha msingi ni vijana wa Tanganyika sasa ni wakti muhimu kwenu kuvichukua vitabu hivyo viwili na kuanza kuvifanyia utafiti ili kutoa kitabu kimoja madhubuti chenye kuandika historia sahihi ya vuguvugu la uhuru wa Tanganyika.
Mimi naamini watu wengi bado wapo hai kama akina Mama Maria Nyerere na wengine ambao Mohamed Said amewataja katika kitabu chake ili kurahisisha utafiti wenu.
Siku zote tunaamini UTAFITI unapigwa kwa UTAFITI na si vinginevyo.
Mnakasha ulikuwa mzuri sana na tumejifunza mengi sana.
Mkuu wangu Mkandara, nakushukuru sana kwa somo murua ulilonipa kuhusu uislam na waislam. Nimekuwa natatizwa sana na maelezo ya baadhi ya wanaojiita waislam hapa jamvini kiasi cha kuona uislam ni kitu kibaya sana! Nakushukuru mkuu kwa kusahihisha mtazamo finyu dhidi ya uislam..Asalaam Alekum, Shalom, Peace be apon you guyz!..
damn hivi bado nyie wadanganyika mnazungumzia maswala ya Nyerere, Uislaam na Ukristu?... ama kweli mzungu alituweza sana kutupachika wingu hili ktk bongo zetu.... Dah! ama kweli adui yetu mkubwa ni kutawaliwa kifikra haswaaaa!
Kwako Muhammed Said, Hakuna mtu apaswaye kuitwa Muislaam ikiwa hajajisalimisha kwa Mwenyezi Mungu (Total submission to God), hizi habari za watu kuzaliwa ktk Uislaam wa majina na ukoo na nasaba, kuvaa kanzu na kubaraghashia hauwezi kutumiwa kama ushahidi hata mbele ya Mwenyezi Mungu isipokuwa wale walojinafsisha mioyo yao na wakafuata waloamrishwa na vitabu bya Mwenyezi Mungu..Na ndio maana wapo wale waliofuata vitabu enzi za Nabii Issa (Yesu) na kabla ya Muhammad waliitwa Masara na kwa sababu moja tu kwamba walifuata kitabu na wakawasamilisha kwa Mwenyezi Mungu...Hii inarudi nyuma hadi wakati wa Ibrahim walikuwepo walojisalimishakwa Mwenyezi Mungu na wakatofautiana na baba, mama au kaka zao wa tumbo moja..
Kwa hiyo mkuu wangu, ni dhambi kubwa sana kujaribu kuutafsiri Uislaam kama Wakristu maana hawa ni kundi la watu waliomfuata Yesu ama Wayahudi (Jews) ambao ni kundi la watu waliokubali kumfuata Judea, Uislaam ni dini ambayo humfuati mtu isipokuwa unajisalimisha kwa Mwenyezi Mungu na kufuata yale uloamrishwa. Infact Muslims are not followers of Muhammad bali Muhammad ni mjumbe tu (messanger)...Hizi habari za kuleta jamii ya waislaam kwa kuzaliwa ama kwa sababu anaitwa Abdul, Ally, Omar na kutuweka sote kundi moja ni ujinga mwingine kufuata utamaduni wa watu wengine ilihali ukweli sivyo!
Binafsi yangu nachukia sana mtu anapotaka kutumia dini kuhalalisha ujinga ambao ndio sababu kubwa ya hao unaowaita waislaam kuwa nyuma. Na nimeshakwambia sana tu ya kwamba ikiwa enzi ya Nyerere ni asilimia 5 tu waliweza kupata nafasi ya kuendelea ma na masomo shule za juu, ulitegemea Waislaam wangapi wachaguliwe na kwa kigezo gani? yaani unataka kunambia asilimia 95 ya watoto waloshindwa kuendelea na masomo wote waliokuwa Waislaam!!..
Kama swala ni ELIMU leo hii basi lizungumzwe na tusitake sana kukwepa ukweli maana lipo wazi kabisa na Nyerere hayupo duniani. Tumeujenga mfumo huu mpya sisi wenyewe tena kwa matusi na rais akiwa Mwinyi sasa iweje Nyerere ndiye wa kulaumiwa?..Ama rais anapokuwa Muislaam jina basi hakuna makosa isipokuwa yule mwenye jina la kizungu?
Historia inaonyesha Meya wa kwanza wa jiji la Dar es salaam ni SYKES wakati wa utawala wa Nyerere. Mohammed said alitaka awape nini ndio aone kwamba hawakutupwa?
Asalaam Alekum, Shalom, Peace be apon you guyz!..

Tumewalipa nini wapigania uhuru wafuatao.
1 Mkwawa
2. Mangi sina
3. Kimweri.
4. Kinjekitile.
5. Marealle.
6. Mirambo
7. mwakatumbula
8. Mandara
9 Na wengine.
Mohammed said anatudanganya kwamba uhuru wa Tanganyika ulianza kupiganwa mwaka 1929.
kuna machifu, watemi na watu wengi walipoteza maisha wakati wa mkoloni wakipigania uhuru, je wao hawana haki ya kudai familia zao zimenufanika vipi na uhuru au kudai fidia ya kupoteza babu zao kwenye vita hivyo???