Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uzuri wa JF kama moderators hawajachakachuwa kila kitu kinakuwapo, soma ulichoandika na nilivyokujibu na kukupa darsa:

Uliandika hivi:

Nikakupa hint:

Hukunielewa kuwa nilikuwa nakusaidia kiuungwana, ndio maana nilikuwekea jina tu la Jimmy Cater bila maelezo, ili urejeshe kumbukumbu zako, ukajibu bila kufikiri:

Nikakupa darsa baada ya kuona kuwa kumbe huelewi unachokiandika na hata unaposaidiwa kwa kupewa hint bado unajifanya mjanja:

Nikakuta kwingine tena ulianza kupotosha kwa hili:

Nikaamuwa nikupe darsa lingine kwa kuwa huelewi unachokisema:

Sasa unarusha nini? vitu viko kinagaubaga.

Hehee post yako mkuu imenilazimu nirudi hapa,

Yaani wakati tumeufunga mjadala wewe sasa ndio nauona ujuzi wako mkuu,

Hongera sana umenifundisha kitu muhimu sana!
 
Hehee post yako mkuu imenilazimu nirudi hapa,

Yaani wakati tumeufunga mjadala wewe sasa ndio nauona ujuzi wako mkuu,

Hongera sana umenifundisha kitu muhimu sana!

Usijali, JF ni shule ya kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu, na ingekuwa nzuri zaidi kama administrators na moderators wa JF wasingekuwa ma dictator na wabaguzi wa ujinga.
 
maajabu ya Dunia yahilahi.

Hata Bibi Titi Mohamed ambaye ndie kiongozi wa kwanza wa umoja wa akina mama wa TANU na mhamasishaji mkubwa sana wa Tanu katika mikoa ya Dar na Pwani hususan Rufiji leo hii hatambuliki kabisa.

Kwa kweli kuna mengi sana yalifichwa na Al Akhi Mohamed Said ametufungua macho.

Mchambuzi.

Mimi nilikuwa naomba unitajie members wa Baraza la wazee wa TANU la kwanza kabisa labda majina yaliyosahaulika katika waasisi yanaweza kuwemo humo.

Halafu mtu anakuja na ka listi chake cha kivukoni kujidai hao ndio waasisi wa TANU. Inasikitisha sana, mpaka wanapouona ukweli hawataki kuusikia wala kuukubali, lakini ndio hivyo tena, "macho wanayo lakini hayaoni, masikio wanayo lakini hayasikii". Mioyo yao ina maradhi.

Mwenyeezi Mungu azidi kumfungulia Maalim wetu Mohamed Said na ampe umri mrefu yeye na sisi pia ili na sisi tufunguke zaidi kwa hii ilmu anayotupa. Leo hii katufanya tutembee kifua mbele na hakuna ataekuja kutupotosha bila msingi.
 
Mkuu Mohamed Said aksante sana kwa kutoa darsa ingawa sisi wanafunzi wako umetuacha na kiu kubwa kwa kushindwa kujibu maswali ya msingi hasa yale ya Mag3 .Nasikitika unakimbia mnakasha huku vichwa vya ukweli JF vikizidi kumiminika ujio wa mwanazuoni Mkandara na mheshimiwa Mchambuzi unawaze kuwa sababu kubwa ya kutimua mbio ha ha ha ha.

Mkuu Mohamed Said hii ni pg ya 160 umeshindwa kutushawishi bila shaka yoyote kwamba wazee wako wa gerezani waliwekwa kando na utawala wa Mwl Nyerere.Umeshindwa kubainisha pasipo shaka yoyote kwamba uhuru wa Tanganyika ulipiganiwa na wazee wako wa Gerezani.Umeshindwa kusema ukweli kwamba uhuru wa Tanganyika ulipiganiwa na watanganyika wote bila kujali imani za dini zao na makabila yao.Ulitaka kutudanganya kwamba Nyerere(Mkristo) alibebwa na familia ya Sykes (Waislam) bila msaada wao Nyerere asingekatiza wakati huo huo walikuwepo viongozi wakristo kama akina Rupia hii inafuta dhana ya Ustadhi Mo kwamba TAA ya wakati huo ilikuwa ya waislamu pekee yao.
 
Last edited by a moderator:
halafu mtu anakuja na ka listi chake cha kivukoni kujidai hao ndio waasisi wa tanu. Inasikitisha sana, mpaka wanapouona ukweli hawataki kuusikia wala kuukubali, lakini ndio hivyo tena, "macho wanayo lakini hayaoni, masikio wanayo lakini hayasikii". Mioyo yao ina maradhi.

Mwenyeezi mungu azidi kumfungulia maalim wetu mohamed said na ampe umri mrefu yeye na sisi pia ili na sisi tufunguke zaidi kwa hii ilmu anayotupa. Leo hii katufanya tutembee kifua mbele na hakuna ataekuja kutupotosha bila msingi.

amiin thumma amiin..!

"fii qu'lubihim maradhw' fazada'hum llahu maradhwaa",,

katika mioyo yao kuna maradhi na mungu akawazidishia maradhi kutokana na ukaid wao huo juu ya hakiiliyo wazi wazi..

Kwa kweli namshukuru sana ndugu yetu moh said kwa kusimama kidete kuuonesha ukweli huu,mungu amlipe kheri insha allah here and here after..
Tunauthamin na daima tutauenz sana ukweli huu,nimezicopy page zote za elimu yake hii kwa madhumuni ya kuelimisha jamii yangu na kizazi changu,,
thanks a lot ndugu moh said..
 
mohammed said anasemaje kuhusu hili tukio... huu ni mfumo gani?

[h=2]Wednesday, May 16, 2012[/h] [h=3]A PASTOR ARRESTED, REMANDED ACCUSED OF SLAUGHTERING ANIMAL IN SINGIDA TANZANIA[/h] Posted by Daniel Mwankemwa on 12:45 PM

Pastor James Moses of The Pentecostal Evangelistic Fellowship of Africa (P.E.F.A) at Kalakala village, Nduguti Council, Kiomboi District, Singida region in Tanzania, 691 km from Dar es Salaam, on 6th May, 2012, was remanded for 2 days at Nduguti Police Post, Kiomboi District, Singida region in Tanzania, being accused of slaughtering animal for meal purpose. The event took place during the burial service of the P.E.F.A’s church member, who had passed away a day before. The accusation was reported by Sheikh Hamza Thabit, a Muslim village leader.He was bailed on the following day by Pastor Steven of P.E.F.A

Earlier, before the meal time, Pastor James Moses, told the mourners that the funeral will follow the Christianity rituals and norms including meals. Apart from meat, he also prepared fish for non-Christians who could opt what to eat.
Muslims who also attended the funeral, refused to partake the meal, they, furiously, claimed that the meat was slaughtered against the Islamic shariah and law, and later reported the same at the Police Post, where the Pastor was remanded.

The accused Pastor will again face the same accusation at Kiomboi District on Friday 18th May, 2012 before it is taken to the District Court.

Such accusation is illegal, since there is no any provision in the laws of Tanzania which forbids non-Muslim to slaughter animals for their consumption.Christians have been charged for the same trials, although the Government refused a right of animals slaughtering to any sect of religion.

Animal slaughtering is one of the many indicators which reveal the Islamic hegemony over other religions in the secular state like Tanzania. It is a yoke which render other religions submit to Islam coercively in the state. More information about this crisis will come soon.

Such oppression must be immediately abolished to restore the peace co-existence in our community, hence discourage religiosity.
 
1.Ndugu, ukiniuliza malengo ya kivukoni kuandika na kuwatoa waislamu(kama kweli waliwatoa) ni mada mpya inayohitaji utafiti. Mathalani tunapaswa kujua nani walikuwa mandated kuandika hiyo historia, walitumia data gani, je historia hiyo ilihaririwa? Hakukuwa na waislamu hapo chuoni, kwenye timu ya waandishi au hata serikalini walioona upungufu huo?

2.Nimegusia udini mana ndio mwelekeo niliouana hapa. Na kama ingekuwa ingekuwa mhadhara wa kidini wala usingeona mchango wangu hapa maana tayari upo ndani ya uhuru wako. Ila kama tunataka kuandika historia ya nchi lazima tuwe na objective test! Otherwise tutakuwa na historia ya tanzania ya Kikristo.. Kiislamu nk! Itakuwa tunatengeneza misahafu mipya!

RONN,

mimi ningependa kukusaidia yafuatayo ikiwemo waTanganyika wote.

Kama umesoma mnakasha toka mwanzo mpaka mwisho utabaini kuwa kuna Historia mbili za wapigania uhuru wenu. Kuna wale waliotajwa katika kitabu cha Kivukoni na wapo katika tovuti ya CCM na wale waliotajwa na Mohamed Said ambao walisahaulika na tunawajua wengine ni maarufu sana kama akina Bibi TITI, Rashid Kawawa, Jumbe Tambaza, Sheikh Takadir, Sheikh Ramia, Mshume Kiate na akina Mtemvu.

Sasa cha msingi ni vijana wa Tanganyika sasa ni wakti muhimu kwenu kuvichukua vitabu hivyo viwili na kuanza kuvifanyia utafiti ili kutoa kitabu kimoja madhubuti chenye kuandika historia sahihi ya vuguvugu la uhuru wa Tanganyika.

Mimi naamini watu wengi bado wapo hai kama akina Mama Maria Nyerere na wengine ambao Mohamed Said amewataja katika kitabu chake ili kurahisisha utafiti wenu.

Siku zote tunaamini UTAFITI unapigwa kwa UTAFITI na si vinginevyo.

Mnakasha ulikuwa mzuri sana na tumejifunza mengi sana.
 
Rejea hotuba ya Nyerere ITV jana saa 3 usiku......Nyerere akisema kwa kinywa chake alimwita nyumbani kwake msasani JOHN MALECELA ( akiwa waziri Mkuu) na Horace Korimba akiwa katibu mkuu wa chama (CCM) na kuwaambia wajiuzulu enzi za utawala wa Ally hassan Mwinyi. Wote waliachia ngazi.

Je hapo Nyerere alikuwa anapambana na Uislamu?
 
mkuu mohamed said aksante sana kwa kutoa darsa ingawa sisi wanafunzi wako umetuacha na kiu kubwa kwa kushindwa kujibu maswali ya msingi hasa yale ya mag3 .nasikitika unakimbia mnakasha huku vichwa vya ukweli jf vikizidi kumiminika ujio wa mwanazuoni mkandara na mheshimiwa mchambuzi unawaze kuwa sababu kubwa ya kutimua mbio ha ha ha ha.

Mkuu mohamed said hii ni pg ya 160 umeshindwa kutushawishi bila shaka yoyote kwamba wazee wako wa gerezani waliwekwa kando na utawala wa mwl nyerere.umeshindwa kubainisha pasipo shaka yoyote kwamba uhuru wa tanganyika ulipiganiwa na wazee wako wa gerezani.umeshindwa kusema ukweli kwamba uhuru wa tanganyika ulipiganiwa na watanganyika wote bila kujali imani za dini zao na makabila yao.ulitaka kutudanganya kwamba nyerere(mkristo) alibebwa na familia ya sykes (waislam) bila msaada wao nyerere asingekatiza wakati huo huo walikuwepo viongozi wakristo kama akina rupia hii inafuta dhana ya ustadhi mo kwamba taa ya wakati huo ilikuwa ya waislamu pekee yao.

victory won..!
Ukweli uliofichwa umeshafichuliwa na sasa wenye akili zao timamu na wenye kuona mambo kwa upeo wameshauona na kuuthamini ukweli huo,,
endeleeni kulia lia na kusaga meno..
 
Historia inaonyesha Meya wa kwanza wa jiji la Dar es salaam ni SYKES wakati wa utawala wa Nyerere. Mohammed said alitaka awape nini ndio aone kwamba hawakutupwa?
 
Mkuu Mohamed Said aksante sana kwa kutoa darsa ingawa sisi wanafunzi wako umetuacha na kiu kubwa kwa kushindwa kujibu maswali ya msingi hasa yale ya Mag3 .Nasikitika unakimbia mnakasha huku vichwa vya ukweli JF vikizidi kumiminika ujio wa mwanazuoni Mkandara na mheshimiwa Mchambuzi unawaze kuwa sababu kubwa ya kutimua mbio ha ha ha ha.

Mkuu Mohamed Said hii ni pg ya 160 umeshindwa kutushawishi bila shaka yoyote kwamba wazee wako wa gerezani waliwekwa kando na utawala wa Mwl Nyerere.Umeshindwa kubainisha pasipo shaka yoyote kwamba uhuru wa Tanganyika ulipiganiwa na wazee wako wa Gerezani.Umeshindwa kusema ukweli kwamba uhuru wa Tanganyika ulipiganiwa na watanganyika wote bila kujali imani za dini zao na makabila yao.Ulitaka kutudanganya kwamba Nyerere(Mkristo) alibebwa na familia ya Sykes (Waislam) bila msaada wao Nyerere asingekatiza wakati huo huo walikuwepo viongozi wakristo kama akina Rupia hii inafuta dhana ya Ustadhi Mo kwamba TAA ya wakati huo ilikuwa ya waislamu pekee yao.

Soma kichwa cha uzi huu halafu utajuwa ni nani aliyetakiwa kuthibitisha nini. Ni nani kati yenu alithibitisha madai ya mleta mada kwenye kichwa chake cha habari? iweje leo yeye atoe shutuma bila uthibitisho msimuulize? au umeona kuna uthibitisho wowote wa madai ya Yericko? kama upo tuoneshe.

Sijapato kusikia mtuhumiwa akihukumiwa bila mtuhumu kuleta ushahidi. Labda mahakama ya kivukoni?
 
RONN,

mimi ningependa kukusaidia yafuatayo ikiwemo waTanganyika wote.

Kama umesoma mnakasha toka mwanzo mpaka mwisho utabaini kuwa kuna Historia mbili za wapigania uhuru wenu. Kuna wale waliotajwa katika kitabu cha Kivukoni na wapo katika tovuti ya CCM na wale waliotajwa na Mohamed Said ambao walisahaulika na tunawajua wengine ni maarufu sana kama akina Bibi TITI, Rashid Kawawa, Jumbe Tambaza, Sheikh Takadir, Sheikh Ramia, Mshume Kiate na akina Mtemvu.

Sasa cha msingi ni vijana wa Tanganyika sasa ni wakti muhimu kwenu kuvichukua vitabu hivyo viwili na kuanza kuvifanyia utafiti ili kutoa kitabu kimoja madhubuti chenye kuandika historia sahihi ya vuguvugu la uhuru wa Tanganyika.

Mimi naamini watu wengi bado wapo hai kama akina Mama Maria Nyerere na wengine ambao Mohamed Said amewataja katika kitabu chake ili kurahisisha utafiti wenu.

Siku zote tunaamini UTAFITI unapigwa kwa UTAFITI na si vinginevyo.

Mnakasha ulikuwa mzuri sana na tumejifunza mengi sana.

Hakuna utafiki unaozungumzia mabaya tu huo ni uchochezi. Mohammed said hajawazungumzia wakristo wengi tu ambao walipata tatizo moja na walilopata waislamu. Lengo la utafiti huo lilikuwa moja kuonyesha mwalimu alikuwa mbaya lakini pia kwamba hakuna wakristo walipata mataizo ya aina moja na waliopata waislamu wakati wa mwalimu.

Kwa nini Maaskofu kama Macaurous wa Syprus alipofukuzwa na Mwalimu na wengine hakuwaeleza kwenye utafiti huo?

kwa nini kawaacha akina Johhn Malecella alipomwita na kmwambia ajiuzulu uwaziri mkuu hakugusia.

Lowassa alikutana na mkono wa Mwalimu pia hakugusia

na wengine wengi tu.
 
Asalaam Alekum, Shalom, Peace be apon you guyz!..
damn hivi bado nyie wadanganyika mnazungumzia maswala ya Nyerere, Uislaam na Ukristu?... ama kweli mzungu alituweza sana kutupachika wingu hili ktk bongo zetu.... Dah! ama kweli adui yetu mkubwa ni kutawaliwa kifikra haswaaaa!

Kwako Muhammed Said, Hakuna mtu apaswaye kuitwa Muislaam ikiwa hajajisalimisha kwa Mwenyezi Mungu (Total submission to God), hizi habari za watu kuzaliwa ktk Uislaam wa majina na ukoo na nasaba, kuvaa kanzu na kubaraghashia hauwezi kutumiwa kama ushahidi hata mbele ya Mwenyezi Mungu isipokuwa wale walojinafsisha mioyo yao na wakafuata waloamrishwa na vitabu bya Mwenyezi Mungu..Na ndio maana wapo wale waliofuata vitabu enzi za Nabii Issa (Yesu) na kabla ya Muhammad waliitwa Masara na kwa sababu moja tu kwamba walifuata kitabu na wakawasamilisha kwa Mwenyezi Mungu...Hii inarudi nyuma hadi wakati wa Ibrahim walikuwepo walojisalimishakwa Mwenyezi Mungu na wakatofautiana na baba, mama au kaka zao wa tumbo moja..

Kwa hiyo mkuu wangu, ni dhambi kubwa sana kujaribu kuutafsiri Uislaam kama Wakristu maana hawa ni kundi la watu waliomfuata Yesu ama Wayahudi (Jews) ambao ni kundi la watu waliokubali kumfuata Judea, Uislaam ni dini ambayo humfuati mtu isipokuwa unajisalimisha kwa Mwenyezi Mungu na kufuata yale uloamrishwa. Infact Muslims are not followers of Muhammad bali Muhammad ni mjumbe tu (messanger)...Hizi habari za kuleta jamii ya waislaam kwa kuzaliwa ama kwa sababu anaitwa Abdul, Ally, Omar na kutuweka sote kundi moja ni ujinga mwingine kufuata utamaduni wa watu wengine ilihali ukweli sivyo!

Binafsi yangu nachukia sana mtu anapotaka kutumia dini kuhalalisha ujinga ambao ndio sababu kubwa ya hao unaowaita waislaam kuwa nyuma. Na nimeshakwambia sana tu ya kwamba ikiwa enzi ya Nyerere ni asilimia 5 tu waliweza kupata nafasi ya kuendelea ma na masomo shule za juu, ulitegemea Waislaam wangapi wachaguliwe na kwa kigezo gani? yaani unataka kunambia asilimia 95 ya watoto waloshindwa kuendelea na masomo wote waliokuwa Waislaam!!..

Kama swala ni ELIMU leo hii basi lizungumzwe na tusitake sana kukwepa ukweli maana lipo wazi kabisa na Nyerere hayupo duniani. Tumeujenga mfumo huu mpya sisi wenyewe tena kwa matusi na rais akiwa Mwinyi sasa iweje Nyerere ndiye wa kulaumiwa?..Ama rais anapokuwa Muislaam jina basi hakuna makosa isipokuwa yule mwenye jina la kizungu?
Mkuu wangu Mkandara, nakushukuru sana kwa somo murua ulilonipa kuhusu uislam na waislam. Nimekuwa natatizwa sana na maelezo ya baadhi ya wanaojiita waislam hapa jamvini kiasi cha kuona uislam ni kitu kibaya sana! Nakushukuru mkuu kwa kusahihisha mtazamo finyu dhidi ya uislam..
 
Historia inaonyesha Meya wa kwanza wa jiji la Dar es salaam ni SYKES wakati wa utawala wa Nyerere. Mohammed said alitaka awape nini ndio aone kwamba hawakutupwa?

Tazama Kleist Sykes alikuwa meya mwaka gani. na huyu ni mtoto na mjukuu tu wa kina Sykes anaowaongelea Mohamed Said.

Sijui hiyo historia unayoisema wewe nayo ni ya wapi? kivukoni? au umebuni tu? Nyerere hapo alishakuwa marehemu.

Unataka tukupe listi ya kabla ya hao? au hii inatosha?
 
Tumewalipa nini wapigania uhuru wafuatao.

1 Mkwawa
2. Mangi sina
3. Kimweri.
4. Kinjekitile.
5. Marealle.
6. Mirambo
7. mwakatumbula
8. Mandara
9 Na wengine.

Mohammed said anatudanganya kwamba uhuru wa Tanganyika ulianza kupiganwa mwaka 1929.

kuna machifu, watemi na watu wengi walipoteza maisha wakati wa mkoloni wakipigania uhuru, je wao hawana haki ya kudai familia zao zimenufanika vipi na uhuru au kudai fidia ya kupoteza babu zao kwenye vita hivyo???
 
Asalaam Alekum, Shalom, Peace be apon you guyz!..
damn hivi bado nyie wadanganyika mnazungumzia maswala ya Nyerere, Uislaam na Ukristu?... ama kweli mzungu alituweza sana kutupachika wingu hili ktk bongo zetu.... Dah! ama kweli adui yetu mkubwa ni kutawaliwa kifikra haswaaaa!

Kwako Muhammed Said, Hakuna mtu apaswaye kuitwa Muislaam ikiwa hajajisalimisha kwa Mwenyezi Mungu (Total submission to God), hizi habari za watu kuzaliwa ktk Uislaam wa majina na ukoo na nasaba, kuvaa kanzu na kubaraghashia hauwezi kutumiwa kama ushahidi hata mbele ya Mwenyezi Mungu isipokuwa wale walojinafsisha mioyo yao na wakafuata waloamrishwa na vitabu bya Mwenyezi Mungu..Na ndio maana wapo wale waliofuata vitabu enzi za Nabii Issa (Yesu) na kabla ya Muhammad waliitwa Masara na kwa sababu moja tu kwamba walifuata kitabu na wakawasamilisha kwa Mwenyezi Mungu...Hii inarudi nyuma hadi wakati wa Ibrahim walikuwepo walojisalimishakwa Mwenyezi Mungu na wakatofautiana na baba, mama au kaka zao wa tumbo moja..

Kwa hiyo mkuu wangu, ni dhambi kubwa sana kujaribu kuutafsiri Uislaam kama Wakristu maana hawa ni kundi la watu waliomfuata Yesu ama Wayahudi (Jews) ambao ni kundi la watu waliokubali kumfuata Judea, Uislaam ni dini ambayo humfuati mtu isipokuwa unajisalimisha kwa Mwenyezi Mungu na kufuata yale uloamrishwa. Infact Muslims are not followers of Muhammad bali Muhammad ni mjumbe tu (messanger)...Hizi habari za kuleta jamii ya waislaam kwa kuzaliwa ama kwa sababu anaitwa Abdul, Ally, Omar na kutuweka sote kundi moja ni ujinga mwingine kufuata utamaduni wa watu wengine ilihali ukweli sivyo!

Binafsi yangu nachukia sana mtu anapotaka kutumia dini kuhalalisha ujinga ambao ndio sababu kubwa ya hao unaowaita waislaam kuwa nyuma. Na nimeshakwambia sana tu ya kwamba ikiwa enzi ya Nyerere ni asilimia 5 tu waliweza kupata nafasi ya kuendelea ma na masomo shule za juu, ulitegemea Waislaam wangapi wachaguliwe na kwa kigezo gani? yaani unataka kunambia asilimia 95 ya watoto waloshindwa kuendelea na masomo wote waliokuwa Waislaam!!..

Kama swala ni ELIMU leo hii basi lizungumzwe na tusitake sana kukwepa ukweli maana lipo wazi kabisa na Nyerere hayupo duniani. Tumeujenga mfumo huu mpya sisi wenyewe tena kwa matusi na rais akiwa Mwinyi sasa iweje Nyerere ndiye wa kulaumiwa?..Ama rais anapokuwa Muislaam jina basi hakuna makosa isipokuwa yule mwenye jina la kizungu?

Japo mnakasha umefungwa lakin nilitaka niweke sawa maneno yako niliyo BLUE.
Mkandara

Kama umesoma vizuri Qur'an au Uislam kijumla utagundua kuwa kuna waislam na waumini (walioamini) ambao wamebainishwa wazi wazi. Utagundua kuwa hao wote uliobainisha juu ni waislam na wana haki kabisa ya kujinasibu kwa nasaba, mavazi na mengine yote kama ulivyobainisha kuwa ni WAISLAM, lakin waumini nao wamebainishwa katika mambo maalum. Mfano suala la kufunga ramadhwani, hapa hawakutajwa waislam bali wametajwa WAUMIN ndio waliofaradhwishiwa kufunga wmezi wa ramadhwani. na kama unazitaka swifa za waumini zimebainishwa katika Surat Al baqara 2:4 -7.

Lakin siku zote ukweli unasimama na uongo unajitenga kwani hata siku moja Batwil haiwezi kuishinda haki.

Ahsantum Al Akhiy Mohamed Said kwa kutubainishia haki dhidi ya Batwil. Alllah akuzidishie zaidi na zaidi katika umri, hekima, busara , Ilmu ili uweze toa darsa muruwa kama hili.
 
Utafiti wa mohammed said haujawatendea haki wapigania uhuru wengine ambao hawakuwa waislamu lakini hawakunufaika chochote baada ya uhuru.

wapo ambao kupata uhuru tu ilikuwa ni mafanikio kwao na hawakuhitaji ziada.

wapo ambao kwa kiwango chao cha elimu wakati wa kuunda serikali mpya wasingeweza kumudu changamoto mpya.

badala ya kuangalia wapigania uhuru tuangalie ukweli kwamba baraza la kwanza la mwalimu lilikuwa na waislamu wasomi wa kutosha kulinda maslahi ya waislamu ndani ya serikali.
 
Tumewalipa nini wapigania uhuru wafuatao.

1 Mkwawa
2. Mangi sina
3. Kimweri.
4. Kinjekitile.
5. Marealle.
6. Mirambo
7. mwakatumbula
8. Mandara
9 Na wengine.

Mohammed said anatudanganya kwamba uhuru wa Tanganyika ulianza kupiganwa mwaka 1929.

kuna machifu, watemi na watu wengi walipoteza maisha wakati wa mkoloni wakipigania uhuru, je wao hawana haki ya kudai familia zao zimenufanika vipi na uhuru au kudai fidia ya kupoteza babu zao kwenye vita hivyo???

Huoni kuwa hao " na wengine" ulioweka namba 9 ndio wametajwa habari zao na Mohamed Said?

Au una wengine zaidi utuelimishe?
 
RONN,

mimi ningependa kukusaidia yafuatayo ikiwemo waTanganyika wote.

Kama umesoma mnakasha toka mwanzo mpaka mwisho utabaini kuwa kuna Historia mbili za wapigania uhuru wenu. Kuna wale waliotajwa katika kitabu cha Kivukoni na wapo katika tovuti ya CCM na wale waliotajwa na Mohamed Said ambao walisahaulika na tunawajua wengine ni maarufu sana kama akina Bibi TITI, Rashid Kawawa, Jumbe Tambaza, Sheikh Takadir, Sheikh Ramia, Mshume Kiate na akina Mtemvu.

Sasa cha msingi ni vijana wa Tanganyika sasa ni wakti muhimu kwenu kuvichukua vitabu hivyo viwili na kuanza kuvifanyia utafiti ili kutoa kitabu kimoja madhubuti chenye kuandika historia sahihi ya vuguvugu la uhuru wa Tanganyika.

Mimi naamini watu wengi bado wapo hai kama akina Mama Maria Nyerere na wengine ambao Mohamed Said amewataja katika kitabu chake ili kurahisisha utafiti wenu.

Siku zote tunaamini UTAFITI unapigwa kwa UTAFITI na si vinginevyo.

Mnakasha ulikuwa mzuri sana na tumejifunza mengi sana.

Hilo ndilo ninalilizungumzia! Tufanye utafiti wa kina na siyo kuendesha mambo kwa mrengo wa hisia au mapendekezo yetu!
 
Tumewalipa nini wapigania uhuru wafuatao.

1 Mkwawa
2. Mangi sina
3. Kimweri.
4. Kinjekitile.
5. Marealle.
6. Mirambo
7. mwakatumbula
8. Mandara
9 Na wengine.

Mohammed said anatudanganya kwamba uhuru wa Tanganyika ulianza kupiganwa mwaka 1929.

kuna machifu, watemi na watu wengi walipoteza maisha wakati wa mkoloni wakipigania uhuru, je wao hawana haki ya kudai familia zao zimenufanika vipi na uhuru au kudai fidia ya kupoteza babu zao kwenye vita hivyo???

Kazimoto.

Nilipo underline. Nafikiri huko ni kumuhukumu Ahali yangu Mohamed Said, Kwani yeye ameandika Historia na mchango wa wazee wake katika kupigania uhuru wa Tanganyika. Na mara zote amekuwa akitoa changamoto kuwa kila mtu aandike historia ya wazee wake kama walishiriki kupigania uhuru wa Tanganyika. Hivyo na wewe au jamaa za hao uliobainsha wana nafasi kubwa kulinda historia zao na za jamii yao. Mfano mdogo tu PM wenu Pinda last few days alizindua historia ya kabila moja dogo sana kule kwao Katavi. Hivyo nafasi bado ipo changamkia.

Lakin vile vile kama utatumia utaratibu na lugha muafaka Mohamed Said anaweza kutupa mengi sana kuhusiana na hao kwani katika mnakasha huu alianza kubainisha kidogo kuhusu Mkwawa. Labda kwa hishma kubwa na taadhwima kubwa tuombe al Akhiy Mohamed Said atupe darsa kidogo kuhusu hao na michango yao sio tu katika kulinda himaya zao bali pia ukombozi wa Tanganyika.
 
Back
Top Bottom