Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Kama wewe ulivyomeza mazima kuambiwa wapigania uhuru wa Tanganyika walikuwa 17 tu.
Mwambie ndugu yako alete ushahidi wa tuhuma zake...wapi niliposema au kukubali kwamba wapigania uhuru walikuwa 17 tu? Nionyeshe tafadhali!
 
Bravo Nguruvi3! you have made my day! i hail you intellectuality.
 

Watu wa matusi na kejeli mnajulikana. Tunachofanya hapa ni kurekebishana.
 


yericko ndugu yangu,hii haitakusaidia,kukaa hapa jukwani huku ukikosa hoja za kutetea madai yako,huku ukitegemea back up kutoka kwa ikhuani zako kwa hakika haikutasaidia,,

kukaa kusema alichokiandika ndug moh said ni uchochez pasi na kuonesha hoja zako wazi wazi wapi kwenye uchochez haitasaidia kuufanya ukweli huo usisemwe,usisomwe na usiaminiwe,,
haitasaidia hata kidogo,hoja zilizotolewa na ndug moh said zimejitosheleza sana,na kila mwenye akili timamu amekiri hilo,,
yericko unashangaza sana,inafikia kipindi unakuja na kukiri wazi wazi ya kwamba umenufaika na hoja zake,zipo sehem huku nyuma katika posts zako una kiri kwa ndug moh said na kusema ya kwamba maarifa mengine mengi anayokupa ulikuwa huyafam hata kidgo,,

sasa unakuja tena na madai haya ni upuuz na uchochez huna haya??
Umekosa hoja yericko "x",,cha kushangaza zaid ulivo limbuken na chakubimbi unafikia hadi hatua ya kujinasibisha na familia ya julius hali ya kuwa huna nasaba naye ya aina yoyote ile,
si babu yako,si baba yako,na bila shaka hutokei hata kwenye ukoo huo,kama umeshindwa kwa hili dogo tuh la kusema wewe ni nani katika familia ya julius,utaaminika kwa kipi kama sio uzandiki katika hizo porojo zako??

We ni mwepesi sana yericko,viatu vya ndugu moh said sio tuh kuvivaa bali hata uwezo wa kuvifuta huna..
Tunakuona na kukupuuza jins unavozid kutapa tapa.
 

Kaka Ritz, si ndo nikasema "dichotomous" na watu hawakuelewa. Ndo haya sasa. Mfumokfristo unawabeba lakini hawa jamaa hawabebeki. Vichwa vizito.
 
Hapo ulipo umeshaogopa na kuanza kuzuwa eti "uchochezi wa Mohamed Said..." utishwe nini na ilhali muoga hata wa kivuli chako?

Ninachoshukuru Mungu nikuwa watu zaidi ya 35,000 wameona kwa macho yako uchochezi na uzandiki wa huyu Babu
 
Chandimu, acha kudandia hoja usizoziweza, mpuuzi mwenzio Mohamed Said hana anachotueleza hapa zaidi ya kujisifu ".... mara.... hoo, mimi ni mme mkubwa.... mara mje watu 20....... nimetembelea dunia..... " yote hayo ya ninini? Mkuu sana Nguruvi3 kamuonesha udhaifu wote na uwongo wake wote, cha ajabu wewe unakuja hapa kama zuzu kushabikia upumbavu. Kaa mbali wewe, huna hata chembe ya usomi zaidi ya ushabiki wa kidini!
 
Mwambie ndugu yako alete ushahidi wa tuhuma zake...wapi niliposema au kukubali kwamba wapigania uhuru walikuwa 17 tu? Nionyeshe tafadhali!

Tuhuma tupo mahakamani hapa? Mohamed Said hata hawaletee nini hata siku moja amuwezi kukubali roho zenu zijaa "Husda" na chuki kubwa dhidi ya Uislam huo ndiyo ukweli.
 
Tembo mwenyewe anakuwa kama yule wa India. Anataka apendwe na kusikilizwa na kila mtu.
 
Msaidie mpuuzi mwenzio Mohamedi Saidi kwa kufikiri na kuwadanganya kuwa juhudi na mapambano ya uhuru yalifanywa na wazee wake wakiislam na sio watanganyika wote kwa ujumla wao!

Niliwahi kuambiwa na wazee wangu kule Zanzibar kuwa ukimuona mtu anaanza kuporomosha matusi basi ujue kaishiwa hoja kwa kuwa umemshika pabaya. Nakupa pole kwalo.

Haijapata tokea duniyani watu wote wakajitokeza kupigania uhuru. Bali siku zote ni watu wacheche miongoni mwa wengi wale ambao wanapata madhila na mateso ya utawala dhwalim miongoni mwa wengi ndio wanaoanzisha vuguvugu la vita ya kupigania uhuru.

Na hao ndio Al Khiy Mohamed Said ametu Darsisha hapa na kutuwekea utafiti wake ambao hauna shaka ndanimwe na ndio huo unaofanyiwa kazi na wasomi mbalimbali duniyani. Na sio porojo za wachache waliotaka ku dominate kila kitu katika uhuru wenu.

Pole sana
 

Ikiwa kweli unavyosema

"Tunakuona na kukupuuza jins unavozid kutapa tapa"

Nilitarajia kweli upuuze, kumbe kinyume chake hujapuuza,

Unapopuuza jambo yakupasa kunyamaza!

Hata mantiki ya kupuuza huijui je utaujua uchochezi wa Mohamed Said ambao ni dhahiri shahiri nimeonyesha tena kwakila lugha ya kimang'amuzi?
 


uzuri wa hapa jukwaani kila kitu kipo wazi,kila hoja zinazoanishwa zipo wazi na watu wenye akili zao timamu wanapima,na wanajua ni kina nani wana hoja na kina nani wana viroja,,

chagua majina yote na matusi yote ya kuyasema,lakini katu hayawez batilisha ukweli ambao tayari umekwisha tamkwa na kuainishwa wazi wazi.
Zaid zaid watu wenye akili timamu wakisoma mawazo yenu huzid kuwapuuza na kuwadharau..

Mmefika hadi hatua ya kumvisha julius hadhi ya "utakatifu" ,,hakuna la kushangaza katika kauli zenu..

All in all ukweli ushafahamika,zingine mengine ni blah blah zenu tuh..
Hamtauweza ufuta ukweli huu.
 
Tuhuma tupo mahakamani hapa? Mohamed Said hata hawaletee nini hata siku moja amuwezi kukubali roho zenu zijaa "Husda" na chuki kubwa dhidi ya Uislam huo ndiyo ukweli.

Ni kweli kabisa. Mohamed said amejitahidi kwa kadri ya uwezo aliojaaliwa na muumba kutambulisha dhulma walizokuwa wanafanyiwa waislam huko Tanganyika. Na hili ni somo tosha sana watu kuweza kujifunza.

haiingii akilini hata siku moja katika waasisi wa TANU asiwemu Mzee Kawawa ambaye baadae alikuwa waziri mkuu wa pili wa Tanganyika, Bibi Titi Mohamed ambaye alikuwa Mwenyekiti wa umoja wa akina mama wa TANU, achilia mbali akina Jumbe Tambaza, Sheikh Ramia na Sheikh Takaridir na ndugu zangu wa mtaa wa Likoma pale kariakoo akina Mzee Mtemvu.

Je walisahaulika kwa bahati mbaya au kwa nia maalum ya kupotosha historia ya kweli ya uhuru wenu.

Mwenye akili na afikiri ...
 
Tuhuma tupo mahakamani hapa? Mohamed Said hata hawaletee nini hata siku moja amuwezi kukubali roho zenu zijaa "Husda" na chuki kubwa dhidi ya Uislam huo ndiyo ukweli.
Mimi sizungumzii ya Mohamed Said. Nazungumzia ya huyo mwenzako kuhusu yule mtoto wa kike wa kiislam(very bright) aliyenyimwa nafasi ya kwenda form 1 kwa sababu ni muislam. Nikauliza mlipewa ushahidi au mnameza tu ngano za ustaadhi ilunga? jina lake ni nani? jina la huyu mkristu aliyechukua nafasi yake ni nani? Kama ilunga ana ushahidi si auweke hadharani watu tufatilie tuwasaidie kuondoa hii dhulma kama kweli ipo?
Ila ukitumia common sense utajua hizo zote ni porojo tu zenye lengo la kuwachota akili watu wasiotaka kutumia hata chembe moja ya akili zao.
 


kumpuuzia mtu mpuuzi na asielewa mambo si kumyamazia pekee..!
Pia unaweza kumwambia wazi wazi ya kwamba,kwa moja,mbili,tatu nakupuuza na nakudharau,,

wewe unachokifanya kwa sasa ni kutapa tapa yericko,unaangalia huku na huku miongoni mwa ikhuani zako nini walichokisema wewe unakuja kukisherehesha,bila kuangalia mantiki ya ushereheshaji wako,,

watu wenye akili zao timamu hawapimi uelewa wa mtu kwa kuangalia kejeli anazozitoa,au matusi anayoyatoa,bali hupima hoja na fact za mtu husika,tumejeribu kukufatilia post yako moja baada ya nyingine tokea mwanzo wa mjadala huu,hatujaona cha maana ulichosema kuprove uchochez wa ndugu moh said,hii imekuvunjia heshima sana na kutufanya tukudharau kupita maelezo,,

ukaja tena na kutamka kwa kinywa chako,na kusema ya kwmba julius ni "mtakatifu",,tukakuhoji,kwa vipi unampa hadhi ya utakatifu?umekosa kuleta majibu hadi sasa,kisha tukakuuliza kwani una nasaba nae gani hadi ufikie hatua ya kumshupalia na kujikweza kweza kwake?ni nani yako?baba au babu yako?
Hutoi majibu,umekalia hizi nganooo ngano,umekalia huu uchochezii uchochezi,,
sasa kwa nini tusikupuuze na kukudharau??
 
Wewe mbona uleti ushahidi wa waasi waliopewa vyeo na kusamehewa na Nyerere. Mkuu tutende haki tuwekee hiyo orodha juu.

Ushahidi alete si mpaka awe nao au mpaka uwepo?

Hana ishu huyu dogo. Nilitegemea yeye kwa kuwa anatoka nyumbani kabisa kwa Mwalimu alete ushahidi kede wa kede, lakini "MAWEE"!

Manake alivomweupe hata ushahidi wa picha hana, ushahidi wa barua hana, ushahidi wa nyaraka za nyumbani kwao hana, ushahidi ya "wahaini walipewa nyadhifa mbalimbali nje" hana

Another description of him "Glory hunter"

Mtafuta umaarufu kwa nguvu
 

Mjomba mpaka sasa naona hujanijibu swali langu. Labda nikukumbushe

Je angetokea mtu mwengine na ku-base majibu yake kutoka kwa kitabu cha mzee wetu, gwiji wa historia ya Tanganyika, ungekubali majibu hayo? Kama hujaelewa swali nambie nikurakhisishie

Maa´saalaam
 
Tuhuma tupo mahakamani hapa? Mohamed Said hata hawaletee nini hata siku moja amuwezi kukubali roho zenu zijaa "Husda" na chuki kubwa dhidi ya Uislam huo ndiyo ukweli.
Sumu yake ndio hatari. Na kama husda mzee huyu anaongoza kwa aliyoyaandika na anayoyahubiri kumhusu Mwalimu. Alitamani sana akina Sykes wawe maRais wa NCHI hii isiyo yao ya asili!
 

Yericko,

Hakika usione haya hata siku moja kusema kuwa umeshindwa tene kwa Knock out kuthibitisha tuhuma zako kwa Mohamed Said, nafikiri umejawa na ushabiki wa kutaka kumtetea babu yako kuwa yeye ndio alikuwa alfa na omega katika uhuru wa Tanganyika.

Mimi kwa kina sna naifahamu sana familia ya Nyerere na kama nilivyokubainishia hapo awali nilikuwa mara zote nikiipokea pale airport Mwanza wakti wakiwa wanaenda au kurudi kule kijijini kwao mwitongo, Butiama. Sijapatapo kusikia kuwa kulikuwa na mtoto wa Nyerere mwenye level ya Degree. Hakuweza kusomesha watoto wake.

Sasa kama wewe mjukuu umebahatika kusoma na kujua nini maana ya UTAFITI. basi una nafasi nzuri sana kuanza na wewe kufanya UTAFITI wa kuandika upya historia ya Babu yako kwa kutumia kitabu cha Kivukoni, Kitabu cha Mohamed Said, Kitabu cha padri Silvalon na vingine. Bibi yako yupo jaribu kuthibitisha kile kilichoandikwa na Mohamed Said.

Na vile unaweza hata kumkabili Mohamed Said kwa kumweleza akuonyeshe wapo source zake na kuwatembelea hao wazee kujiridhisha na kuweka Utafiti wako hadhwarani.

Nimekubainishia UTAFITI unajibiwa kwa UTAFITI na sio porojo. Changanka sasa kufanya utafiti.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…