Butyama na Watyama wapo. Ni ukoo mkubwa tu ndani ya WAZANAKI. Vizazi vingi tu wako pale. Au nawe ni muathirika wa NGANO za Mtikila? Kama walihamia pale kama KABILA itakuwa ni miaka mingi sana kama makabila mengi mengine nchi hii. Akina Sykes hawakuja kama kabila. Hawakuja nchi hii wakiwa Waislam. Ni ujanja wa Wabondei na Wamanyema uliowaingiza kwenye Uislam. Unacheza na mabinti wa Kimanyema?
Hoja yako nilishajadili kwa kirefu lakini mzee mwanakijiji akawapa somo zito zaidi ambalo wewe, zomba na mohamed said kwa pamoja mmeshindwa kujibu kwa hoja, na kwa mtazamo wangu na nadhani wa wengi humu, hoja hiyo ya mzee mwanakijiji per post number 3127 imefifisha hoja zenu za msingi juu ya suala husika. Kwa manufaa yenu, naomba niiweke tena hapa kwani nimewakumbusha vya kutosha lakini mmekuwa wakimbizi katika hilo. Mzee Mwanakijiji alisema hivi
Tatizo la ndg zetu Waislamu, ni kutaka kila kitu kiwe kwa misingi ya dini yao, na hasa kutoka Uarabuni. Waislam walio Uarabuni wanatumia elimu na teknolojia kutoka nchi za Magharibi kuijletea maendeleo. Waislamu wa hapa wanaendeleza udhaifu wao wa kutotaka kwenda shule. Ukiziangalia sehemu ambazo wegi ni Waislamu utakuta kiwango cha waliopata elimu bado ni ndogo. Pia kwa miaka kama hii bado kuna watu wanapita misikitini na kuwashawishi waislamu kutopeleka watoto shule za elimu ya kisasa. Hata hivyo wegi wa Waislamu wenye elimu nzuri na ya hali ya juu wamepita kwnye shule za wakristo. Bado waislamu wenye kuona mbele wanagoma kupeleka watoto wao kwenye shule za kiislamu. Je, kuna nini huko ambako tungetegemea wawe wanaenda lakini hawataki? Tatizo ni kuwa wakienda huko hupewa elimu ya dini badala ya elimu iliyolengwa. Hii hufanya watoto kufanya vibaya katika mitihani ya kitaifa. Nani wa kulaumu kama siyo wao?
Uchochezi ni kama tunaouona hapa chini...Kujaribu kumhusisha Nyerere/Kanisa na madhila yote wanayokumbana nayo waislam.Hahaha, somo lipi wakati halithibitishi usemi wowote wa kichwa cha mada. Mnakuja na mifano ambayo sisi tukiitumia hiyo hiyo kwa watu ambao walikuja wakawekwa majumbani na ilhali inajulikana wanawake ndio wanawekwa majumbani sijui mtajisikiaje?
Cha kushangaza ni kuwa hakuna mpaka sasa mmoja wenu anaekataa kuwa Abdul, Ali na Abbas walimwkeka nyerere kwao. Na wao ndio waliomkaribisha Nyerere na wao ndio walikuwa viongozi wa TAA na wao ndio walioibuni TANU. Nini cha ajabu hapo? huo uchochezi mnaoudai nyinyi uko wapi?
Ukweli leo kwenu umekuwa uchochezi? Hiyo TANU ilianzishwa nyumbani kwa nani? mbona hilo hamlisemi? au inauma.
Au hapa...In his last act in before his death in London, Prof. Malima took wudhu (ablutions) as if he was getting ready for salat (prayers).
Around 01:25 hrs in the morning he laid down in bed. At around 01:30, precisely five minutes, he rose suddenly as if from a deep
dream and said softly and pleasantly, Alhamdulillah. (All praise and gratitude is for Allah). He then fell back again in a sleeping
posture. He was gone. Polycarp Pengo head of the Catholic Church Dar es Salaam Region, issued a statement calling Prof. Malima
a highly dangerous individual who had to be contained
88
for his decision to stand as presidential candidate outside CCM.
Answers to all those questions will lead us closer to understanding the problem
which Muslims in Tanzania face. Answers to these questions will make us reflect and uncover reasons which caused Muslim
independence aspirations not to be realised. This is now the bone of contention between Muslims and the government. Muslims
without mincing words are now pointing an accusing finger to the Church particularly the Catholic Church which in connivance
with President Nyerere for being anti Islam and for frustrating the hopes and aspirations of Muslims in free Tanganyika, a country they liberated from colonialism in 1961.
Uchochezi ni kama tunaouona hapa chini...Kujaribu kumhusisha Nyerere/Kanisa na madhila yote wanayokumbana nayo waislam.
Au hapa...
Inaelekea hujawasoma watu vizuri au unajifanya huelewi. Soma vizuri. Siyo kila kitu watu wanampinga Mohamed Said.
hahaha, somo lipi wakati halithibitishi usemi wowote wa kichwa cha mada. Mnakuja na mifano ambayo sisi tukiitumia hiyo hiyo kwa watu ambao walikuja wakawekwa majumbani na ilhali inajulikana wanawake ndio wanawekwa majumbani sijui mtajisikiaje?
Cha kushangaza ni kuwa hakuna mpaka sasa mmoja wenu anaekataa kuwa abdul, ali na abbas walimwkeka nyerere kwao. Na wao ndio waliomkaribisha nyerere na wao ndio walikuwa viongozi wa taa na wao ndio walioibuni tanu. Nini cha ajabu hapo? Huo uchochezi mnaoudai nyinyi uko wapi?
Ukweli leo kwenu umekuwa uchochezi? Hiyo tanu ilianzishwa nyumbani kwa nani? Mbona hilo hamlisemi? Au inauma.
Reference niliyopewa na Mohamed Said ni hii hapa chini:Soma vizuri utakuta na reference ya hayo maneno ya Pengo, huamini kuwa Pengo kayasema hayo?
Majira, 24 July, 1995. Amidst this conflict between Muslims and the government, it was published by the press that Muslims were to embark on a systematic campaign to elect a Muslim president in the elections of 1995. This in its entirety was a mere psychological warfare unleashed by the Christian Lobby upon Muslim ministers in the cabinet who anyway were far from Muslim politics. The bombardment from the press and within the Parliament was so overwhelming to those Muslims ministers mentioned by Muslims as possible presidential candidates that they had to stand up in the Parliament as Muslims to deny their capability to lead the country and disassociated themselves from the Muslim movement. Prof. Malima refused to be humiliated; he was of the opinion that the move by Muslim ministers was un-called for and unnecessary. To him Muslim ministers were just as qualified as any Christian to aspire for the presidency. His signature was not among those which Muslim ministers issued to the press as binding document of their commitment not to aspire for the highest office in the land. Jakaya Mrisho Kikwete later to become president of the country was among the signatories.
hoja yako nilishajadili kwa kirefu lakini mzee mwanakijiji akawapa somo zito zaidi ambalo wewe, zomba na mohamed said kwa pamoja mmeshindwa kujibu kwa hoja, na kwa mtazamo wangu na nadhani wa wengi humu, hoja hiyo ya mzee mwanakijiji per post number 3127 imefifisha hoja zenu za msingi juu ya suala husika. Kwa manufaa yenu, naomba niiweke tena hapa kwani nimewakumbusha vya kutosha lakini mmekuwa wakimbizi katika hilo. Mzee mwanakijiji alisema hivi
Reference niliyopewa na Mohamed Said ni hii hapa chini:
Kwa hiyo gazeti la majira la tarehe 24 July ndilo lililochapisha habari hiyo?
Mchakato wa UTAKATIFU ni mrefu sana, kuna uchunguzi wa kina sana. Hata haya UDINI aliopakazwa na mzee wetu Mohamed yanachunguzwa pia. Yakithibitika, yanamwondolea sifa. Hajatangazwa kuwa mwenye heri ninyi mnamuita mtakatifu! Hamuyajui haya. Yaacheni. Ni ya Kikatoliki sana. Hayawahusu ati!Hakuna Uislaam wa namna, Muislaam ni Muislaam. Full Stop. Ikiwa walisilim basi waliuona ukweli uko wapi. Jee wewe? bado uko katika kuaminishwa kuwa Nyerere ni mtakatifu?
Unaonaje ndugu yangu ukinisaidia kuielewa hiyo reference!? Hapa hakuna kuaibika, tupo kujifunza. Mimi kiu yangu ni kujua kama ni kweli hii statement aliyoisema Pengo ilichapishwa kwenye gazeti la majira kwenye tarehe na mwaka husika!?Soma vizuri referenze za Mohamed Said, utakuja kuaibika.
Mchakato wa UTAKATIFU ni mrefu sana, kuna uchunguzi wa kina sana. Hata haya UDINI aliopakazwa na mzee wetu Mohamed yanachunguzwa pia. Yakithibitika, yanamwondolea sifa. Hajatangazwa kuwa mwenye heri ninyi mnamuita mtakatifu! Hamuyajui haya. Yaacheni. Ni ya Kikatoliki sana. Hayawahusu ati!
Ritz, unaiga kila kitu anachofanya Mohamed Saidi, alipoaga hapa jamvini na wewe ukaaga, aliporudi na mapovu kinywani na wewe ukarudi hapa! vipi huwezi kusimama kwa miguu yako?[TABLE="class: infobox vcard, width: 22"]
[TR]
[TH="align: left"][/TH]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]
Hawa ndiyo watoto wa Nyerere...
[TABLE="class: infobox vcard, width: 22"]
[TR]
[TH="align: left"]Spouse(s)
[/TH]
[TD]Maria Nyerere
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Children
[/TH]
[TD]
7
[/TD]
- Andrew
- Anna
- Magige
- John
- Makongoro
- Madaraka
- Rosemary
[/TR]
[/TABLE]
[/TH]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Ritz, unaiga kila kitu anachofanya Mohamed Saidi, alipoaga hapa jamvini na wewe ukaaga, aliporudi na mapovu kinywani na wewe ukarudi hapa! vipi huwezi kusimama kwa miguu yako?
Ni kweli kabisa mkuu, aina za ushiriki wa mijadala ya wazi kwa Mohamed Said hasa kwa anaoona wanaijua historia ya nchi hii huwa anaikwepa sana!
kikwete,s speech at Boston University
" Kikwete expressed a very positive view of all that Nyerere had done to achieve equity in the educational sector for the sake of religious tolerance, saying, "Drastic as they may seem, these steps went a long way toward promoting and projecting the larger cause of national unity and social harmony which has become the hallmark of Tanzania today."