Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mantiki inabaki palepale kuwa maeneo hayo ni makazi ya Ngano tu!

Mimi ni ''product'' ya mazingira hayo.

Nimehadhiri kwingi na kuandika vitabu na publisher wenye hadhi duniani
kama Oxford University Press.

Unasemaje?
Bado unadharau majlis yangu ya kahawa?
 
Poor old man, you have never addaed any historical knowledge in this world, you only keep on barking like a toothless dog!

Did you know about Sheikh Hassan bin Amir and Tarika Quadiriyya before reading my book?

Did you know that it was this movement which gave support to Nyerere in the early days
of the struggle?

Did you know Abdulwahid Sykes and the role he and his brothers played in putting Nyerere
at the topmost job in Tanganyika?

Ulijua, ulijua, ulijua...

Ikiwa kama haya ulikuwa unayafahamu nifahamishe.
 

Usipoteze hoja. Mzazi hata akikukaripia huwezi kumwita jina lolote. Labda kama nyie watu wa "kariakoo" mnaweza kujibizana na wazazi wenu. Nimekupa maana mbili za neno "koko" kwa kiingereza. Nimebainisha kuwa nilipoandika kuwa Harith Ghassany ni "mwarabu koko" inaweza kumaanisha a "wild arab" au "unconventional arab" ambapo katika taratibu za kawaida za interpretation, hapa unafuata "Golden rule", na busara itakuonesha kuwa maana iliyotakiwa ni "unconventional arab".

Naomba yaishie hapa ili tusiharibu uzi huu wa Yericko Nyerere. Chochote utakachoandika, nitakubalina nacho ili tuache kubishana. Asante sana zomba aka "system at work"
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni ''product'' ya mazingira hayo.

Nimehadhiri kwingi na kuandika vitabu na publisher wenye hadhi duniani
kama Oxford University Press.

Unasemaje?
Bado unadharau majlis yangu ya kahawa?

Juu yako wala sina kikinza,

Utakumbuka kule nyuma nilieleza kuwa wanakualika ukawasimulie na wanafurahie NGANO zako zilizo zao la vibaraza vya kahawa kule Gerezani, sio KUHADHIRI historia ya Uhuru wa nchi hii, tena lifute kabisa kichwani na kinywani mwako kuwa NGANO zako ni Historia ya UHURU wa Tanganyika/Tanzania!

Nani kakudanganya kuwa historia ya nchi hii imeanzia na kuishia Gerezani hapo tu?
 
poor old man, you have never addaed any historical knowledge in this world, you only keep on barking like a toothless dog!

nadhan sasa yericko x,kawambia mje kwa style ya matusi zaid,na kejeli zaid ili muharibu mada yote hii lakin haitasaidia,ukweli wote ushasemwa hadi kufikia sasa,,
kinachofanyika sasa ni kusherehesha tuh,,
sasa punguzen basi hizi ngebe zenu ili mjadala upate tamati na hitimisho la kueleweka,,

aliaga ndugu moh said mkasema kawakimbia,na mkamuomba arudi na kwamba mna mmis,,

sasa amerudi kujibo hoja zenu mmeanza kuingiwa na stress,,vipi??
 
mada ilishawashinda kaka zomba
hivi mtu aliyezaliwa huko mwintongo
atajua habari za dar na mitaa yake?
Kina Yericko,walijua watu humu wamekuja dar
hawaijui kama wao.
Eti nawao wanataka kuhadithia harakati za uhuru
Uhadithie wakati hata dar mwaka 1980,ulikuwa hujafika
Wenzio tumezaliwa hapa hapa dar na tumeona harakati
za uhuru,wazee wenu wamekuja dar
wamepokelewa na wazee wetu
wamefundishwa ustaarabu wa pwani
pamoja na kuongea kiswahili fasaha
Nyinyi wakuja nanyi mwataka kujifanya
mwaijua dar ya wakati wa uhuru.
Tunayasema haya kwa sababu mmetufikisha hapo
wala hatukuwa na haja ya kuyaeleza hayo yote
twataka mjue tunapoelezea habari za wazee wetu
hatutanii,tupo makini kama anavyosema mwaanahistoria wetu Mohamed Said
mjadala huu ungeitwa mabush stars na ma borntown
teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Kumbe zomba ni mzee? Leo ndio nimefumbuka macho, dini(sio udini) ni bangi!

Ndebile, P. O. Box. Private Bag, Mwashilalage- Kwimba, MWANZA.
 

Na Picha nilizokuwekea huzioni?
 

Zomba,

1993.
Jana yake nimependa ndege kutoka Paris hadi London.
Nikitokea Le Havre Ufaransa.

Siku ya pili ni Eid Haj.

Asubuhi nimekwenda kuswali Regent Park Mosque msikiti mkubwa wa London.

Baada ya sala nimesimama nje ya msikiti nimepwelewa sina pa kwenda.
Mara nasikia makelele mtu ananita kwa jina langu la utani.

Nageuka namuona Shufaa na wanae na mkwewe Bi Asha (mama yake Yusuf, Kassu
na Mariam) wamesimama kando ya barabara.

Makelele yale akipiga Shufaa kuniita.
Nikapata pa kwenda na kupiga biriani.

Walikuwa wanakaa Surrey karibu na Wembley Stadium.

Huyu Tewa sikupata kumjua.

Mimi nimepata mengi katika historia ya Dar es Salaam kutoka kwa baba yangu.
Huyu Yericko msamehe.
 

Kwa Shufaa, Harrow on the hill, napaona machoni. Juzi juzi tulikuwa nae Dar., MashAllah. Mwenyeezi Mungu awarehem Bi. Asha na Yussuf.
 

Yericko,

Sijasema historia imeanza na kuishia mitaa ya Kiungani, Kipata, Somali, Kirk nk.
Mimi nimeeleza habari za wazee wangu.

Si zaidi si pungufu.

Nitafuta vipi historia hii na mimi nishangia Cambridge Journal of African History na Library of Congress
Washington, DC?

Na hapo Library of Congress nishafika na kitabu changu nakala chungu nzima zipo hapo.

Mtu unafutaje mambo haya?

Ndiyo nakwambia Yericko kusanya kundi la watu mfano wa wewe ndiyo labda...
Wewe peke yako huiniwezi ng'o.
 

Mohamed Said tambo,kiburi,jeuri na ututusa ni viinimacho vya binadamu mzandiki!

Sijui na siamini kama upo bereshi hilo! Lakini fikra zangu sahihi zinanipeleka mtazamo chanya!

Hivi nikikuuliza kuwa unapenda kuiona Tanzania ya aina gani mwaka 2015, unaweza kusemaje?
 
Kwa Shufaa, Harrow on the hill, napaona machoni. Juzi juzi tulikuwa nae Dar,. MashAllah. Mwenyeezi Mungu awarehem Bi. Asha na Yussuf.

Zomba kumbe ushafika pale.

Nilipokuwa mwanafunzi nikija London lazima nende nikamuona rafiki yangu
Yusuf mtu karim sana.

Mungu amlaze pema.
Amin.

Mimi aliniwekea simu ya bure nisitoe hela yangu ya uanafunzi kumpigia simu
nikawa simu nampigia ''toll free'' tunasogoa mastori ya Dar.

Masikini Shufaa siku ya kwanza nakwenda kwao address ninayo lakini kafanya
wasiwasi huyu mshamba wa Kariakoo asije hangaika hapa Surrey nimekutananae
njiani na wanawe wananifata train station.

Watu wema sana.

Nina miaka sijamwona Shufaa.
 

Mohamed Said usikatishwe tamaa na hawa watu waliooshwa akili na Nyerere! uzi huo huo na umma wa Wa TZ wapenda haki na ukweli uko na wewe sambamba mpaka historia yetu ikamilike! Allah akulinde na kila adui! kila ajae na shari aijua yake siri! ivunje yake dhamiri asiweze kusimama! AAAmin!
 
Vipi clip ya hotuba?

Hiyo ndiye msema kweli.
Imeshindikana kupatikana?
mzee ms kama unayo wewe si uiweke? Na vipi kujibu baadhi ya maswali mepesi kwako halafu yale ya maana unayapotzea?
Hebu mzee tutendee haki jibu maswali yote ya mmm, nguruvi3, jasusi, mag3, nk.
Tutendee haki mzee ms.
 
Mkuu THE BIG SHOW, wapi mzee wako Mohamed katukanwa?
 

Yericko,

Ala kutamba sifa ya yetu Wamanyema.
We ulikuwa hujui.

Si nimekuambia mtego wako umekamata chui.
Ulidhania natania.

Hilo la Tanzania itakuwaje 2015 hilo ni swali lenu nyie madhalim.
Mnadhulumu watu kwa dini zao halafu mnaleta jeuri, kejeli na kibri.

Tulia isome hii historia ya wazee wetu angalia walimpokeaje baba yako
na yeye aliwalipa nini...

Hivi wewe wa kumnanga marehemu Abdu Sykes?
Ati kashindwa kwenye uchaguzi na Nyerere...

Baba yako akimuheshimu.

Nimekuwekea post kuhusu uchaguzi ule wa 17 April 1953 kati ya Nyerere na
Abdu Sykes unajifanya hujaiona.
 
Kumbe zomba ni mzee? Leo ndio nimefumbuka macho, dini(sio udini) ni bangi!

Ndebile, P. O. Box. Private Bag, Mwashilalage- Kwimba, MWANZA.

MashAllah na AlhamduliLlah, March nikijaaliwa kufika ntakuwa 56 Gregorian na 58 Hijri. Cha kushangaza, I feel 26
 

Wamanyema wana kiburi kama gorila hivyo?

Uchaguzi ule wa 17 April 1953 ninaufahamu na ninaelewa kuwa Abdu Sykes alibwagwa kwa kishindo na ndio chimbuko la chembe za chuki za makundi ya Abdu wakitumia dini kama vile ufanyavyo wewe leo!

Kwahiyo unataka kusema Abdu alimuachia Nyerere ashinde uchaguzi huo kama sehemu ya mwendelezo wa fadhira zake kwa Nyerere?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…