Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar



Mwenyewe ndio unajiona umekuja na nondo kali sana? Nilifikiri utakuja kusema Abdul Sykes wa kubuni na hakuwepo, kumbe unakuja kudai id? Amma kweli kuna watu na viatu.
 
Mwenyewe ndio una jiona umekuja na nondo kali sana? Nilifikiri utakuja kusema Abdul Sykes wa kubuni na hakuwepo, kumbe unakuja kudai id? Amma kweli kuna watu na viatu.

wewe mbona huishi kuchezesha kimkia chako mm naongea na mwalimu wako plz kalale ebo!
 

Wewe kitabu chako kiko library ipi? Tanganyika Library?
 
wewe mbona huishi kuchezesha kimkia chako mm naongea na mwalimu wako plz kalale ebo!

Ya ngapi? Au cha ngapi? Inaonesha hiyo siyo ya chupa ni ya kwenye vifuko vya plastiki.
 
KARIAKOO Axis,utawajua tuu,shule zao za kuungaunga na majibu yao vyote vinafanana-wewe na uzee wake unapayuka tu,na wajukuu wako wanakusoma humu

Tena wako pembeni yangu hapa.

Kwa darasa langu, utapanda utashuka huliwezi kabisa, sisi tunaanza kusoma chuo nyie ndio mnaanza vidudu, wapi na wapi?
 
Wow, what hogwash and we are expected to believe this! What is this contest that we are told has become a legend... to who? Which contest are we talking about here;

The one in 1953 when Nyerere, an outsider who had no political base with no following among the majority Dar es Salaam Moslems who were in control of local politics wrested the leadership of TAA from its president Abdulwahid, the flamboyant and favourite local leader who who used to invite TAA activists to his house for lunches and dinners and this added to his popularity?

OR

The one in 1954 when Nyerere an educated-Christian perceived to be loyal to the colonialists who many thought would not even fit into Abdulwahid's shoes once again denied the local favourite Abdulwahid the chance to be the first ever President of the newly formed TANU he had helped found, in an election that many people used their vote to show their objection to Nyerere?

Believe this and you will believe anything...even Lady macbeth's lies would have been made of sterner stuff! Now, if I may be allowed to say so, this was not anywhere near the challenges ever faced by the Father of the Nation, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, this was if anything a landslide victory and as Abdulwahid's brother Ally Sykes said at the time; "Here was a man we had all been waiting for!"

And to imagine that there are people who truly believe this!

Ni kweli walikuwapo Waislaam ambao kawakuridhika na uongozi wa Mwalimu...na mwaka 1958 moja wa watu hawa Chaurembo, aliamua kuwaunganisha Wasilaam dhidi ya Nyerere kwa kuanzisha chama kilichoitwa AMNUT. Moja wa wanachama wa mwanzo kabisa wa AMNUT aliitwa Salum Abdalla...lakini AMNUT haikufanikiwa katika malengo yake na Waislaam walio wengi walikataa kuiunga mkono. Huyu mtu ndiye aliyemlea Mohamed Said na hizo simulizi zake zote ni matunda ya malezi aliyoyapata huyu mchochezi.
 
Wewe una nondo gani za kushindana na historia ya ukweli? Unaweza kuifuta? Unaweza kumyayusha Mshume, Tosiri, Plantan, The Sykes family, Bibi Titi? Unao uwezo huo?

Zomba,

Ahsante sana nadhani itabidi huyu ndugu yetu umpe darsa
kuhusu shirk.

Umfahamishe wa kuogopwa ni Allah SW.
Umfahamishe kuwa shirk haisamehewi ni tiketi ya Jahanam.

Mimi nikitishwa na mtu kama yeye na nikatishika Mungu apishie mbali...

Nitakuwa nimempa yeye darja isiyo yake.
 

And Nyerere still Abdul Wahid Sykes' guest at Stanley street, mbona hilo hulisemi?
 

Unajua hapa ndiyo ndugu yangu MS huwa unachokesha mjadala, ukiishiwa majibu juu ya hoja. Hujatoa majibu kwa maswali yangu ghafla umerukia kwenye kejeli za kienyeeji zisizo na mashiko za kijana wako amabazo wengine wakiandika unaita matusi. What's wrong with u guys?????????
 

Maalim, huyo saa hizi anaonesha kisha pata sharab, haoni hasikii. Kuna siku InshaAllah ntampa hilo darsa.
 

Wewe yale uliyoandika kwa fikra na mafundisho uliyopewa kwenu si matusi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…