Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mag3, Nadhani unaelewa sana kuwa huwa sijibu kila post.
Accepted, of course I understand. Very true to form...at least I expected that much. Your biggest mistake however, the one you will live to regret till the day you join your ancestors, was to underrate this forum. Endelea kuwajaza wasiokufahamu hizo ngano lakini kumbuka, from now on things will never be the same again. I know you wish you could take it all or some of it back but too late buddy, the jinn is outer the bag, just bear it and like it.
 

Hivi nitumie lugha gani unielewe ndugu yangu mimi siko hapa kumjibu yoyote.
Uniulize wewe kama nani na iwe nini khasa?

Kitabu kina miaka nenda miaka rudi.
Nenda kaulize maswali Kivukoni College walioandika historia rasmi.

Hao ndiyo wa kuulizwa.
 
Hivi nitumie lugha gani unielewe ndugu yangu mimi siko hapa kumjibu yoyote.
Understood, you are free to refuse to answer questions or give documentary evidence if the response may expose you to social disgrace and loss of status. The privilege against self-incrimination forbids us from compelling you to give testimonial evidence that would likely incriminate you...bravo!

But then the question arises, kwa nini uko hapa?
 

To deliver A Darsa to those who are in need of it..!
And forsure me,u and others we real value his time which he is spending with us over here..
 
Ni kawaida sana kwa Waislamu wanapoona udhaifu katika jambo lolote katika dini yao kuwabebesha lawama Wakristo! Quran yenyewe imejaa aya kibao zinazoonesha chuki za wazi wazi alizokuwa nazo Muhammad, mtume wa Waislamu kwa Wakristo!
Nyerere, pamoja na kuwajengea Msikiti huko Butiama, kwao Wauskamu si kitu!
Mzee Mkapa kuwapa Chuo cha bure cha Serikali -Tanesco, Morogoro, ambacho kina ubaguzi wa kufa mtu, huwasikii Waislamu wakishukuru - kazi yao ni chuki na lawama tu kwa Wakristo! Kama kuna Mkristo anahangaika "kuwafurahisha" Waislamu popote duniani bora atafute kazi nyingine - maana ipo siku watakulipua na mabomu! It is next to impossible! Huyo mzee Mohamed Said hafanyi jipya lolote kuhusu chuki zake dhidi ya Nyerere na Wakristo! Ni mwendelezo wa mafundisho ya chuki wanayofundishwa kuanzia madrassa, misikitini, kupitia hiyo Quran yao, mpaka mauti yatakapomfika!
 
Last edited by a moderator:
To deliver A Darsa to those who are in need of it..! And forsure me,u and others we real value his time which he is spending with us over here..
The only thing you seem to have learnt, not from Mohamed Said but from JF GT, is internet etiquette...congratulations! Those fonts were starting to get into our nerves! But Darasa? Oh come on, who are you kidding!
 
the only thing you seem to have learnt, not from mohamed said but from jf gt, is internet etiquette...congratulations! Those fonts were starting to get into our nerves! But darasa? Oh come on, who are you kidding!

thats reality,,

face it...!
 

Hapa tuingie kwenye Filosofia kidogo. Wote hao uliwataja walipaswa kumjua? Maana unavyozungumza ni kana kwamba wao walipaswa kumjua. Lakini kwanini walitakiwa kumjua? Je hawa wote walimjua kila mtu mashuhuri jijini Dar? Lakini jambo jingine ambalo binafsi silioni kwanini umelifanya kuwa la muhimu sana; kama Nyerere alikuwa hajulikani mahali ambapo hakuzaliwa au kuishi ujana ulitarajia ajulikane vipi?

Maana wote hao uliowataja unafikiri walikuwa wanajulikana sehemu nyingine za Tanzania? Ukienda Tanga tu hapo utakuta kuwa baadhi ya hao uliowataja hawajulikani kabisa wakati huo au hata ukienda Songea, au Morogoro. Sasa kutokujulikana kwao ni kosa lao, ni jambo baya, au ni kukosa umashuhuri?

Unavyoandika unaashiria (imply) kuwa Nyerere kutojulikana kwa hawa basi hakuwa mashuhuri; swali liinaweza kuulizwa kinyume chake je wao walikuwa wanajulikana kwa Nyerere kabla hajaja Dar-es-Salaam? Jibu ni kuwa la hasha! Vinginevyo akiwa Makerere angeshawajua na badala yake alikuja kuwasikia tu kutoka kwa watu wengine. Je kwa vile Nyerere alikuwa hawajui ina maana hawakuwa maarufu Dar?

Hoja hii ya Nyerere kutokujulikana kwa baadhi ya wazee - maana ushahidi upo kuwa baadhi yao tayari walimjua kabla ya 1953 haina nguvu na kwa kweli ni mojawapo ya hoja dhaifu. Kutokumjua mtu kabla hujakutana naye si jambo la kujisifia na kujulikana siyo sifa kwani katika maisha watu wanajua na wengine hawajulikani. Kwa mfano, unafikiri wote wote Tanzania wanakujua wewe? Na unaweza ukaamini wewe ni maarufu kweli kumbe wanaokujua ni wale tu WALIOPASWA kukujua. Na hilo ni kweli kwa kila mtu.

Nyerere kutokujulikana Dar - kama unavyodai - siyo jambo la fedheha wala la kuonesha kuwa hakuwa maarufu. Inaonesha tu kuwa hawakuwa na nanafasi ya kukuutanishwa na kuthibitisha kuwa Nyerere alikuwa ni maarufu kweli ndio maana Sykes na Kasela Bantu wote walijitahidi kumtambulisha Nyerere kwa wazee hawa au - unaweza kuwaangalia kwa kona nyingine - ni wazee hawa waliotambulishwa kwa Nyerere kwani alikuwa hawajui japo waliamini wao ni maarufu zaidi. Na kuonesha nani alikuwa maarufu baina yao jibu ni jepesi.

Kwanini nasema Nyerere alikuwa maarufu zaidi kuliko wazee wa Dar ni kwa sababu moja - alikuwa ni maarufu zaidi kwa Tanganyika kuliko wazee wa Dar. Wao walikuwa maarufu mjini kwao Nyerere umaarufu wake ulivuka mipaka ya mji. Na historia imeshuhudia hivyo na ndio maana hata leo ukienda kuwauliza wazee wengine nje ya Dar hakuna anayemkumbuka Mshume, Sheikh Ameir na hata kina Sykes!

lakini waulize kama wanamkumbuka Nyerere....
 
hapo sasa ndipo kwenye swali kuu..!
Then cha kushangaza zaid huyu leader mwenyewe anabatizwa utakatifu..!

What a shame..!

Big Show nitasema kitu kimoja ambacho sipendi sana kutumia; unapokejeli imani za watu unafungulia na wewe imani yako kukejeliwa. Suala la utakatifu ni suala la imani ya Wakatoliki (siyo Wakristu wote) na akiwa Mtakatifu hawi mtakatifu wa Tanzania bali wa Wakatoliki. Hivyo, huna sababu ya kukejeli imani hiyo ya wengine ukidhani kuwa una haki hiyo kwani wenzako nao wakianza kukejeli imani yako unaweza kuja juu na kuanza kulia kuwa unakashfiwa.

Tujadiliane kwa heshima.
 
Hivi nitumie lugha gani unielewe ndugu yangu mimi siko hapa kumjibu yoyote.
Uniulize wewe kama nani na iwe nini khasa?

Kitabu kina miaka nenda miaka rudi.
Nenda kaulize maswali Kivukoni College walioandika historia rasmi.

Hao ndiyo wa kuulizwa.

Kama hutaki kuuliza maswali kwanini usiamue kukaa kimya basi ubakia na mawazo yako kichwani? Unapotoa madai na hoja unategemea watu wazime wapokee kama makinda ya kasuku? Unapokataa kujibu maswali ya mambo ambayo wewe mwenyewe umesema unadhihirisha tu kuwa hauna uwezo wa kuyajibu na unaogopa kuyajibu kwani ukiyajibu utaharibu simulizi lako. Hiyo historia ya Kivukoni hadi leo hujaiweka hadharrani lakini unataka watu waamini kuwa ndivyo ilivyo kwa sababu wewe umesema.

Usipotaka kuulizwa maswali usiendelee kutoa madai. Sisi siyo watoto ambao wanaambiwa "baba kasema" na hawaendelei kuuliza. Lakini ukiendelea kutoa madai yasiyo na kichwa wala miguu au ambayo hayana ukweli katika historia tutaendelea kuwaonesha wasomaji kwa njia ya maswali na kuwafungua waelewe udhaifu wa madai yako na waaamue kama unasema kweli au unajaribu kuwachezea akili.
 


well said indeed,
ulichokifanya ni kujazia jazia nyama hoja hii ya ndug moh said,ni ukweli kabisa tena ukweli uliotukuka ya kwamba mtu hufahamika zaid pale alipozaliwa na kukulia kwa kias kikubwa,mara nyingi sana huwa hivo,
na ni kweli wengi wao sasa miongoni mwa wazee hapa mjin ukiwauliza kuhusu mshume,sheikh ameiry,bibi titi,kina sykes n.k,bila shaka sio wengi watakaokuambia ya kwamba wanawafaham watu hao japo kuwa ni wazawa hasa wa eneo hilo na washirika wakubwa katika harakati za ukombozi wa nchi hii,

lakini ukiwauliza kuhus julius kambarage utashangaa hakuna atakaelishangaa jina hilo hata kama si mzaliwa pale,na katika harakati nayeye alishiriki kama walivoshiriki wenzake ambao si maarufu kama yeye,ilihali wao ndio waliompokea sehemu hizo na kumjumuisha kwenye harakati za mapambano,,
na ndipo hapo sasa ilipobid watu wazame kwa undani kuelezea kwanini mambo yakawa hivo,kwanini tumefikia hapo?
Sasa wanapojaribu kuelezea uhalisia jins ulivyo tunashangaa wananyooshewa vidole eti ya kwamba wao ni wadini,alaah..!sasa kumbe mkitakaje?
Historia fichwa isifichuliwe??
 
Kitu cha ajabu ni hiki Kwa maneno yako umesema alikuwa hajulikani katika duru za siasa za Tanganyaika. Hayo ni maneno yako, sasa unasema alikuwa hajulikani Dar es Salaam! Angalia unavyojikanyaga mzee Mohamed, Dar es Salaam siyo Tanganyika hivyo ulipaswa kusema hakujulikana Dar es Salaam. Ulipotaja Tanganyika tu umeondoa maana nzima ya kile ulichokusudia.

Lakini basi kama hakujulikana Dar es Salaam kwa wazee wako maarufu, je alipohudhuria katika mkutano wa AA alikuwa ni katuni au boya.Tena bila haya au soni unasema yeyote, Khaa! Kasella Bantu je!

Mohamed, uandishi wako umejaa chuki na hapa ulikusudia kumuonyesha Nyerere kama mtu mshamba na asiyejua kitu aliyetokea kama uyoga na aliyefundishwa kuvaa na kula chapati kisha kupewa nchi.
Kuna mahali umemtukana hivyo kwa mantiki, haina shida, tatizo ni pale chuki ilipobobea hadi kusahau kuwa Narung'ombe na kipata siyo Tanganyika. Unamchukia Nyerere unambambikizia kila uchafu lakini mwenyezi mungu ankuadhiri mchana.

Ni makosa hayo hayo yaliyopo katika jalada la kitabu chako ukieleza historia ya Tanganyika halafu sasa unatuambia ni historia ya wazee wako wa Kipata na Mchikichi.
Tanganyika is more than Kipata, Mchikichi, New street and Narung'ombe dear Mzee.

Wanajamvi someni hizo quotation mbili kutoka kwa mtu mmoja.
Mwenyezi mungu mwingi wa rahma anazidi kumwanika mzee wetu hadharani, sisi tuliambia tuna husda, inda, kijiba!oneni
 


Inaonekana akili yako imekataa kabisa kukubali ukweli wa kihistoria. Nyerere hakushirikishwa na wazee wa Dar katika mapambano; alishaanza yeye mwenyewe nje ya Dar. Wazee wa Dar-es-Salaam walimhitaji Nyerere zaidi kuliko yeye alivyowahitaji wao. Hakuna kati ya wazee wote wa Dar aliyekuwa maarufu Tanganyika kuliko Nyerere. None. Siyo John Rupia, siyo Dr. Kyaruzi wala Sykes. Nyerere alikuwa maarufu zaidi na siyo maarufu tu alikuwa ameonesha uwezo zaidi wa kupambana na wakoloni kuliko wengine wote waliomtangulia.


Hapana; tatizo hawaelezi 'uhalisia' wanaelezea 'uhisia' kwani ili simulizi lao likubaliwe na watu kama wewe inabidi wafute katika historia ukweli wote ili kuupa kiti cha enzi uongo.
 
Ni makosa hayo hayo yaliyopo katika jalada la kitabu chako ukieleza historia ya Tanganyika halafu sasa unatuambia ni historia ya wazee wako wa Kipata na Mchikichi.
Tanganyika is more than Kipata, Mchikichi, New street and Narung'ombe dear Mzee.

Unajua ananikumbusha sana hapa Marekani ambapo mtu kakulia in 'the hood' kiasi kwamba anafikiria 'the hood' ndio Marekani. Kwa mtu kama huyo "point of reference" ni mtaa wake. Bw. Said kakulia hapo Dar na kasikiliza masimulizi ya wazee hawa wa Dar na bila ya kuyachuja wala kuyapima akayaamini kabisa na matokeo yake point of reference ya Tanganyika ni hapo tu. Wazee wakisema "hatukumjua Nyerere" basi anafikiri wamesema "Nyerere alikuwa hajulikani Tanganyika" na hivyo yeye anaandika "Nyerere hakuwa anajulikana Tanganyika"! Ukimuuliza kwanini anasema "wazee wangu waliniambia!"...

Na ukimuuliza zaidi anajikunyata pembeni...

"Miye sijibu maswali yote" anasema....
 
MM
Amesema kaandika anavyojua yeye!!
Hana haja yakujibu maswali.
Amekupa maelekezo kuhusu Kivukoni kwanini usichukue muda wewe kutuonyesha walichoandika Kivukoni.
Itakua rahisi wewe kuja na kitabu au facts nyingine zinazopinga kitabu chake itakua rahisi kuelewa sisi wafuatiliaji.
Kama mtu anakuambia 6+9 = 69 ni wewe kumkosoa na kile unachokijua nakuweka ushahidi kwamba 6+9 sio 69
 
 



sawa kabisa,hakuna matata mm,,
lakini yeye hakuishia kuchukua yale aliyoambiwa na wazee wake tuh kisha akakaa chini na kuandika,la hasha usipotoshe mzee mwanakijiji,tafadhali muogope mungu wako,,
moh said kafanya utaifit,kama muandishi lazima ukae chini ufanye literature review,na katika posts zilizopita huku kaonesha lists kubwa ya vitabu vya heshima na kuaminika ambavyo yeye amevipitia katika kuusaka na kuuthibitisha ukweli kuongezea na yale ambayo kaambiwa na wazee wake,,
well,mimi ninachokiona hapa ni kwamba watu mmejiandaa kuupinga ukweli kwa gharama zozote zile ikibid,sasa tujiulize,kwani tatizo ni nini??

Kama mtu kajaribu kuandika alchokindika na kuyasema yale ambayo ameyasema,wengine kama hawaamin kwani wamelazimishwa kuyakubali??
Na kama wanaona au mnaona anapotosha,je nani kawakataza na nyinyi kukaa chini kuandika yale mnayoyajua ili kuja kuepusha vizazi vyenu kuja kupotoka na hiki alichokiandika ndug moh said??

Ukweli huu kwa sasa hauwez kufutika eti tuh kwa kuwa nyinyi hamtaki au hamkubali,ni wakati wenu sasa nanyiny kukaa chini na kukiandika kile mnachohis kina ukweli na uhalisia mzee mwanakijiji,,
lakin katika hili la ndug moh said sisi tushajitangazia ushindi tayari,siyo siri ametufungua macho sana,yani turudi tena katika upotofu hali ya kuwa ukweli ushatubainikia??
Hilo haliwezekan,hamtatukamata tena..

victory won..!!
 

Sijui ni reasoning ya namna gani hii; mtu anakuja na kukuambia "nyumba yako ina ufa" hutakiwi kumuuliza "uko wapi?". Akili inatakiwa ikutume umuulize 'uko wapi?" Sasa ukimuuliza uko wapi yeye aseme 'well, miye nimesema na najua upo ni jukumu lako kuutafuta na kama haupo wewe utaamua"! akili gani hizo?

Hata mahakamani mambo hayaendi hivyo; huwezi kwenda mahakamani ukamtuhumu mtu wizi halafu ukiulizwa 'kaiba nini" useme "muulize yeye aseme kama hakuiba"! Akili gani hizi? M. Said anasema historia imeandikwa Kivukoni ni ya uongo; hajasema popote ni kipi kilichoandikwa au hata kuweka nukuu ya kilichosemwa na badala yake tunatakiwa kuamini. Ukiuliza ndio unakuja wewe na kusema "kwanini usitafute hicho kitabu"!

M. Said amedai kuwa Nyerere alipozungumza na wananchi alisema hakumbuki nafasi aliyokuwa nayo Abdul Sykes sasa tunamuuliza weka hotuba hiyo ambapo Nyerere anasema hivyo. Haweki na badala yake anasema "kaitafuteni muoneshe kama hasemi"! Na wewe unafikiri amesema la maana. Mzigo wa kutoa ushahidi hauoko kwa mtuhumiwa uko kwa mtuhumu! Wewe unayedai ndio uweke ushahidi!

Mlipaswa kumbana M. Said anapotoa madai ayatetee. Sasa wote mmeuziwa ati wanaohoji nao wakaandike vitabu; sasa kila mtu atakuwa anaandika kitabu na yeye akiandika mtakapokuta maswali mkimuuliza awaambie na nyie mkaandike kitabu kutafuta majibu.

Akili gani hizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…