Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

sawa kabisa,hakuna matata mm,,
lakini yeye hakuishia kuchukua yale aliyoambiwa na wazee wake tuh kisha akakaa chini na kuandika,la hasha usipotoshe mzee mwanakijiji,tafadhali muogope mungu wako,,
moh said kafanya utaifit,kama muandishi lazima ukae chini ufanye literature review,na katika posts zilizopita huku kaonesha lists kubwa ya vitabu vya heshima na kuaminika ambavyo yeye amevipitia katika kuusaka na kuuthibitisha ukweli kuongezea na yale ambayo kaambiwa na wazee wake,,
well,mimi ninachokiona hapa ni kwamba watu mmejiandaa kuupinga ukweli kwa gharama zozote zile ikibid,sasa tujiulize,kwani tatizo ni nini??

Kama mtu kajaribu kuandika alchokindika na kuyasema yale ambayo ameyasema,wengine kama hawaamin kwani wamelazimishwa kuyakubali??
Na kama wanaona au mnaona anapotosha,je nani kawakataza na nyinyi kukaa chini kuandika yale mnayoyajua ili kuja kuepusha vizazi vyenu kuja kupotoka na hiki alichokiandika ndug moh said??

Ukweli huu kwa sasa hauwez kufutika eti tuh kwa kuwa nyinyi hamtaki au hamkubali,ni wakati wenu sasa nanyiny kukaa chini na kukiandika kile mnachohis kina ukweli na uhalisia mzee mwanakijiji,,
lakin katika hili la ndug moh said sisi tushajitangazia ushindi tayari,siyo siri ametufungua macho sana,yani turudi tena katika upotofu hali ya kuwa ukweli ushatubainikia??
Hilo haliwezekan,hamtatukamata tena..

victory won..!!

Sawa, kwani tatizo ni kutangaza ushindi. Hapa hatuko kwenye mechi kama ni ushindi basi chukueni (sijui wewe na nani). Lakini hapa tuko kwenye kupima hoja kisomi. Unaposema "M. Said amefanya utafiti" una uhakika? utafiti gani? Hivi unajua kanuni za kufanya utafiti wa kihistoria? Kwenda na kunukuu watu kuthibitisha dhana yako (hypothesis) unafikiri ndio 'utafiti'. Kukusanya taarifa, picha na kuziwekea tafsriri ndio unaamini ni utafiti? I hope sivyo wanafundishi kwenye hivi vyuo vyetu kuwa ukikusanya taarifa (data) - hata bila kujali umekusanya vipi au sample yako ipi - inatosha kukufanya uitwe mtafiti.

M. Said hajaandika kitabu cha historia, hajafanya utafiti wa kihistoria na kazi yake haikubaliki kuitwa ya kihistoria wala kupewa heshima ya kuwa imefanyiwa utafiti wa kutosha. Ni simulizi ambalo kwa kweli unaweza kuliita 'semi-fiction' yaani katumia matukio ya kweli kuweka chumvi ya porojo. Bahati mbaya watu kama wewe wameshindwa kutofautisha ukweli na porojo.
 
sijui ni reasoning ya namna gani hii; mtu anakuja na kukuambia "nyumba yako ina ufa" hutakiwi kumuuliza "uko wapi?". Akili inatakiwa ikutume umuulize 'uko wapi?" sasa ukimuuliza uko wapi yeye aseme 'well, miye nimesema na najua upo ni jukumu lako kuutafuta na kama haupo wewe utaamua"! Akili gani hizo?

Hata mahakamani mambo hayaendi hivyo; huwezi kwenda mahakamani ukamtuhumu mtu wizi halafu ukiulizwa 'kaiba nini" useme "muulize yeye aseme kama hakuiba"! Akili gani hizi? M. Said anasema historia imeandikwa kivukoni ni ya uongo; hajasema popote ni kipi kilichoandikwa au hata kuweka nukuu ya kilichosemwa na badala yake tunatakiwa kuamini. Ukiuliza ndio unakuja wewe na kusema "kwanini usitafute hicho kitabu"!

M. Said amedai kuwa nyerere alipozungumza na wananchi alisema hakumbuki nafasi aliyokuwa nayo abdul sykes sasa tunamuuliza weka hotuba hiyo ambapo nyerere anasema hivyo. Haweki na badala yake anasema "kaitafuteni muoneshe kama hasemi"! Na wewe unafikiri amesema la maana. Mzigo wa kutoa ushahidi hauoko kwa mtuhumiwa uko kwa mtuhumu! Wewe unayedai ndio uweke ushahidi!

Mlipaswa kumbana m. Said anapotoa madai ayatetee. Sasa wote mmeuziwa ati wanaohoji nao wakaandike vitabu; sasa kila mtu atakuwa anaandika kitabu na yeye akiandika mtakapokuta maswali mkimuuliza awaambie na nyie mkaandike kitabu kutafuta majibu.

Akili gani hizi?

punguza jazba kidogo..
 
HATUTAKUWA NA TATIZO HATA KIDOGO KAMA TUKISKIA WAKATOLIKI WANAMUITA NYERERE MTAKATIFU KULINGANA NA MIPAKA YA IMANI YAO,HATUTAKUWA NA SHIDA NA HILO HATA KIDOGO,

ILA SASA JULIUS KAMBARAGE AKIJA KWENYE MACHO YETU SISI WATANZANIA KAMA WANANCHI WAKE ALIOWAHI KUTUONGOZA KAMA RAIS WETU HATUWEZ KUMPA CHEO CHA UTAKATIFU,HILO HALIWEZEKANI KWETU,ILA AKIENDA KANISANI NA KWA WAUMIN WENZAKE WAKAAMUA KUMPA STATUS HIYO WALA HAINA SHIDA KWETU,WAMPE VYEO VYOTE VINAVOSTAHILI KULINGANA NA IMAN YAO INAVOWAAMBIA,,

Tangu lini utakatifu unatolewa na wananchi; utakatifu haupigiwi kura wala hawaulizwi Watanzania. Na wala Wakatoliki wote hawautoi. Sasa unachosema is absolutely redundant.
 
Miongoni mwa watu wachache sana utakaokutana nao ambao hatukuumbwa na jazba. Hasira kidogo yes! kwa sababu ni lazima tuhoji watu wanaojenga hoja namna hii wanatumia akili gani...

Hivi hii hoja (rejea kichwa cha habari) inafanana na utumbo mnaouleta?
 
Sawa, kwani tatizo ni kutangaza ushindi. Hapa hatuko kwenye mechi kama ni ushindi basi chukueni (sijui wewe na nani). Lakini hapa tuko kwenye kupima hoja kisomi. Unaposema "M. Said amefanya utafiti" una uhakika? utafiti gani? Hivi unajua kanuni za kufanya utafiti wa kihistoria? Kwenda na kunukuu watu kuthibitisha dhana yako (hypothesis) unafikiri ndio 'utafiti'. Kukusanya taarifa, picha na kuziwekea tafsriri ndio unaamini ni utafiti? I hope sivyo wanafundishi kwenye hivi vyuo vyetu kuwa ukikusanya taarifa (data) - hata bila kujali umekusanya vipi au sample yako ipi - inatosha kukufanya uitwe mtafiti.

M. Said hajaandika kitabu cha historia, hajafanya utafiti wa kihistoria na kazi yake haikubaliki kuitwa ya kihistoria wala kupewa heshima ya kuwa imefanyiwa utafiti wa kutosha. Ni simulizi ambalo kwa kweli unaweza kuliita 'semi-fiction' yaani katumia matukio ya kweli kuweka chumvi ya porojo. Bahati mbaya watu kama wewe wameshindwa kutofautisha ukweli na porojo.

1.CHOOSE YOUR TOPIC.

2.FIND BACKGROUND INFORMATION.

3.REFINE YOUR TOPIC.

4.FIND BOOKS ON YOUR TOPIC i.e LITERATURE REVIEW..

5.FIND CURRENT INFORMATION ON YOUR TOPIC.

6.EVALUATE WHAT YOU HAVE FOUND.

7.CITE WHAT YOU HAVE FOUND BY USING A STANDARD FORMAT.

ZIPI SASA KATIKA NJIA ZA UTAFIT UNAZOHIS WEWE HAZIKUTUMIKA KATIKA MAANDISHI YALE MARIDHAWA??
TUELEZEE..
 
Na hizo ni kanuni za uandishi wa kitu gani?
 
Tangu lini utakatifu unatolewa na wananchi; utakatifu haupigiwi kura wala hawaulizwi Watanzania. Na wala Wakatoliki wote hawautoi. Sasa unachosema is absolutely redundant.

Huo utakatifu unatolewa na papa? au mnautafuta muujiza? eti kuna dikteta mzuri (nyerere) dikteta mbaya (hitler). Wote hao wa kanisa katoliki. Na wote hao tazama sharubu zao:

Smiling_Hitler_by_mattsias.jpg
Julius+Nyerere.jpg
 
Wa vijarida vya intaneti kama vyako.

Hivi kile kitabu chako cha mahaba ulikuwa unakitangaza humu JF kiliishia wapi?

Kile mbona kipo kwenye duka la vitabu la Scholastic pale Mlimani city ila sina uhakika kama kinapatikana kwenye lile duka lao la mtaa wa Samora.

Mi tayari nishanunua kama kopi tatu hivi. Na wewe nunua bana.
 
Sijui ni reasoning ya namna gani hii; mtu anakuja na kukuambia "nyumba yako ina ufa" hutakiwi kumuuliza "uko wapi?". Akili inatakiwa ikutume umuulize 'uko wapi?" Sasa ukimuuliza uko wapi yeye aseme 'well, miye nimesema na najua upo ni jukumu lako kuutafuta na kama haupo wewe utaamua"! akili gani hizo?

Hata mahakamani mambo hayaendi hivyo; huwezi kwenda mahakamani ukamtuhumu mtu wizi halafu ukiulizwa 'kaiba nini" useme "muulize yeye aseme kama hakuiba"! Akili gani hizi? M. Said anasema historia imeandikwa Kivukoni ni ya uongo; hajasema popote ni kipi kilichoandikwa au hata kuweka nukuu ya kilichosemwa na badala yake tunatakiwa kuamini. Ukiuliza ndio unakuja wewe na kusema "kwanini usitafute hicho kitabu"!

M. Said amedai kuwa Nyerere alipozungumza na wananchi alisema hakumbuki nafasi aliyokuwa nayo Abdul Sykes sasa tunamuuliza weka hotuba hiyo ambapo Nyerere anasema hivyo. Haweki na badala yake anasema "kaitafuteni muoneshe kama hasemi"! Na wewe unafikiri amesema la maana. Mzigo wa kutoa ushahidi hauoko kwa mtuhumiwa uko kwa mtuhumu! Wewe unayedai ndio uweke ushahidi!

Mlipaswa kumbana M. Said anapotoa madai ayatetee. Sasa wote mmeuziwa ati wanaohoji nao wakaandike vitabu; sasa kila mtu atakuwa anaandika kitabu na yeye akiandika mtakapokuta maswali mkimuuliza awaambie na nyie mkaandike kitabu kutafuta majibu.

Akili gani hizi?

Inaonesha hujasoma kichwa cha habari. Halafu nyinyi ndio mliokuja na hii mada, halafu mnakuja kuuliza ushahidi wakati nyinyi ndio mnatuhumu. Jisome halafu tazama kichwa na utumbo wa hii mada, Jee, wewe umeshaleta ushahidi wa kile unachokituhumu?

cc Yericko Nyerere
 
Last edited by a moderator:
Kile mbona kipo kwenye duka la vitabu la Scholastic pale Mlimani city ila sina uhakika kama kinapatikana kwenye lile duka lao la mtaa wa Samora.

Mi tayari nishanunua kama kopi tatu hivi. Na wewe nunua bana.

Kasha pata mualiko wa kukitetea kwenye chuo kipi? usinambie chuo cha Sheikh Mzinga.
 
na hili pia unataka clarification??

Kumbe ndio maana moh said mara zingine huwachagulia ya kuwajibu,you are so antagonistic..!

la hasha; nimekuuliza kwa sababu ulichosema ni too general kiasi kwamba kinaweza kuhusiana na somo lolote. Hayo uliyotoa yanatofa kuwa mwongozo kwa mwanafunzi wa chuo kikuu au hata high school.

Sasa uandishi wa historia una kanuni tofauti kidogo. Nitakuwekea hapa kama zinavyopatikana kutoka HAPA

  1. the recognition of a historical problem or the identification of a need for certain historical knowledge.
  2. the gathering of as much relevant information about the problem or topic as possible.
  3. if appropriate, the forming of hypothesis that tentatively explain relationships between historical factors.
  4. The rigorous collection and organization of evidence, and the verification of the authenticity and veracity of information and its sources.
  5. The selection, organization, and analysis of the most pertinent collected evidence, and the drawing of conclusions; and
  6. the recording of conclusions in a meaningful narrative.

Sasa, Bw. Said yeye hakuanza vizuri kaanza na hitimisho ambalo alilipata kwa wazee wake. Kwamba - NYERERE ALIWADHULUMU WAISLAMU NA KUWATENGA. Kutoka hapo akatoka na kuanza kutafuta ushahidi wa kuthibitisha nadharia yake aliyopewa na wazee wake. Katika kufanya hivyo; akakusanya ushahidi ule tu wenye kukubaliana na nadharia yake. halafu mwishoni akaweka conclusion kuwa kweli Nyerere aliwadhulumu Waislamu. Hitimisho ambalo tayari alikuwa amelifikia kabla ya kufanya utafiti.

That my friend is an absurdity of the first category.
 
Back
Top Bottom