THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
la hasha; nimekuuliza kwa sababu ulichosema ni too general kiasi kwamba kinaweza kuhusiana na somo lolote. Hayo uliyotoa yanatofa kuwa mwongozo kwa mwanafunzi wa chuo kikuu au hata high school.
Sasa uandishi wa historia una kanuni tofauti kidogo. Nitakuwekea hapa kama zinavyopatikana kutoka hapa
- the recognition of a historical problem or the identification of a need for certain historical knowledge.
- the gathering of as much relevant information about the problem or topic as possible.
- if appropriate, the forming of hypothesis that tentatively explain relationships between historical factors.
- the rigorous collection and organization of evidence, and the verification of the authenticity and veracity of information and its sources.
- the selection, organization, and analysis of the most pertinent collected evidence, and the drawing of conclusions; and
- the recording of conclusions in a meaningful narrative.
sasa, bw. Said yeye hakuanza vizuri kaanza na hitimisho ambalo alilipata kwa wazee wake. Kwamba - nyerere aliwadhulumu waislamu na kuwatenga. Kutoka hapo akatoka na kuanza kutafuta ushahidi wa kuthibitisha nadharia yake aliyopewa na wazee wake. Katika kufanya hivyo; akakusanya ushahidi ule tu wenye kukubaliana na nadharia yake. Halafu mwishoni akaweka conclusion kuwa kweli nyerere aliwadhulumu waislamu. Hitimisho ambalo tayari alikuwa amelifikia kabla ya kufanya utafiti.
That my friend is an absurdity of the first category.
sawa sawa,,
ni haki yako wewe kuyasema hayo kama mwanakijiji,
na hupingwi kwa mawazo yako,na msimamo wako unaheshimiwa..!
Wewe kitabu kinaenda kwenye toleo la tatu sasa na kupata kupewa thamani na vyuo vikuu vyenye heshima hapa ulimwenguni et sasa wewe uje na hoja ya kusema kwamba ilianza conclusion kwanza kabla ya utafiti??
Katika utafit wowote ule lazima identification of the problem of the topic ipewe kipaombele mkuu,,
sasa naona unataka kupotosha na kuwajaza watu fikra zako useme hizo ni fikra za moh said,watu siku hizi hawako ivo,akili za kuambiwa wao wanachanganya na zao,,
katika hili hapa sisi tumeshachanganya na zetu mwanakijiji..