Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Shahihisho kidogo siyo kujidharirisha "Kujidhalilisha"

Mkuu naona hoja zimeisha unaleta viroja. Kwa kuwaongelea wakatoliki ni lazima mpaka hujue katiba yao lakini wewe ruksa kuwaongelea waislam.

Kama roho inakuuma kuongelewa Dr.Slaa mwambie aachane na siasa. Hili jukwaa la siasa tunamjadili rais wa nchi sembuse Dr.Slaa.
 
Nguruvi3,kwenye ili ujamtendea haki Mohamed Said,kaulizwa swali na member mmoja atazipata wapi hizo DVD na CD. Hayo ndiyo yakawa majibu yake.
 
Last edited by a moderator:
Mnaochochea na kutafuta chokochoko zisizo na faida za udini ni mashetani wazi mmejiandaa kunywa damu za Watanzania wasio na hatia. Huwezi kuwa muuguzi kama haukufunzwa kutibu hauwezi kuwa mwalimu kama haujaenda shule tabia zenu za kukimbia shule ndy maana hata huyo mchochezi amekalia hayo tu hana sifa. Shetani daima habadiliki kuwa mwema. Sasa hv kila position wao nchi inakufa bado unataka nini uhuru uhuru mazingira ya tendo la kutafuta uhuru lilikuwa pwani sasa anatatka watu wote wakumbukwe anasitajaabisha... Eti ni waislamu Muovu na uovu huwezi kumtenganisha nyakati zenu kuvuma na kujaribu kuutawala ulimwengu. mungu wa dunia hii anajaribu kuchukua nafasi yake. Na wajumbe wake pia mapovu yanawatoka utabishana mpk asubuhi wanajua wanachofanya. Kote huko machafuko yanaenea wao tu tena waokwa wao. Kupata uongozi ni lazima liwe kwa wachache muwe wote viongozi hata msioenda shule. Mkumbukwe wote kivipi. Boko jitahidi utakuwa rais au waziri mkuu ua utakuwa daktari wewe kwakuwa umuislam. Udini wenu ni ubatili ambao Waktisto watazidi kuwa juu kwa kuwa Mungu wao atawatetea siraha zao za amani tu.
 

Ilunga ni ndugu yangu khasa siogopi wala sioni aibu kujinasibishanae.
Pili Ilunga ni sheikh wangu.

Ama hilo la kushawishi watu kununua DVD za Ilunga wala silikatai ukitaka iwe hivyo.
Ukitaka pia iwe nimeshawishi watu au kuhimiza watu kununua DVD za Ilunga na iwe hivyo vilevile.

Sina hofu na kwa kweli ningependa iwe hivyo.


Ila kwa hapa ukweli ni kuwa mtu kaniuliza humu ndani wapi anaweza kupata DVD za Ilunga ndipo nikaweka wapi zinapatikana.

Narudia tena sioni haya kunasibishwa na Ilunga wala sina hofu kuwaelekeza watu wapi
DVD zake zinauzwa.

Hayo mengine sioni haja ya kujibu.
 

Kama ni masahihisho basi tuanze na wewe, umeandika "Shahihisho" katika ujuvi wangu kwa lugha adhimu ya kiswahili hilo neno "Shahihisho" halipo katika kamusi ya kiswahili, labda umechanganya na lugha ya kikwenu mkuu!
 
Nguruvi3,kwenye ili ujamtendea haki Mohamed Said,kaulizwa swali na member mmoja atazipata wapi hizo DVD na CD. Hayo ndiyo yakawa majibu yake.

Ritz ahsante sana ndugu yangu kwa kuuweka ukweli wazi.

Lakini mimi ningependa iwe hivyo wanavyotaka wao iwe.
Kuwa nashawishi nk nk nk. watu wanunue DVD za Ilunga.

Hakika ningependa watu wengi wazinunue wamsikie anavyozungumza
kuhusu mfumokristo.

Faida kubwa itapatikana.
 

Hakuna tatizo lolote kununua CD na DVD za Ilunga Kapungu.

Mie nimepinga walivyokushambulia hujue ndugu yangu Mohamed Said, baada ya hoja zako kuwa na mashiko watu badala ya kushindwa kuzipangua kwa hoja wanatafuta makosa ya kibinadamu kuwa hoja husika katika huu munakasha.

Mie niendelee kukupongeza kwa mchango mkubwa unaoutoa humu kwenye majirisi.
 
Last edited by a moderator:
Mohamed Said,

..hivi umeiangalia hiyo DVD ya Ilunga aliyokuwekea Nguruvi3[originally niliileta mimi hapa JF]?

..mimi naomba iutizame halafu urudi hapa utueleze kile unachokubalina nacho, na kile usichokubaliana nacho, ktk DVD ya Shekhe Ilunga.

..Shekhe Ilunga kuwa ndugu yako, ni jambo tofauti na kumuunga mkono ktk mambo anayoyahubiri ktk DVD iliyoleta Nguruvi3.

cc: Ritz
 
Last edited by a moderator:
duh! Mzee Mohamed Said! kweli amani na umoja wetu vinachangamoto kubwa.
 

Wala sina nongwa kwa hilo, nongwa yangu inasimama kwenye dhamira yako kuu ambayo ni UDINI wako ndani ya nchi isiyokuwa na udini.

Kichekesho zaidi ni kuwa maandishi yako huko nyuma ulisema wazi kuwa uliowatetea na unaowatete kwa kuwaandikia kitabu na leo kukigeuza kuwa ndio historia kuu ya Uhuru ni wazee wako, tena ukakazia kuw ni wazee wako wa damu!

Lakin tena hapa unazidi kukazia kuwa Ilunga ni mzee wako wa damu,

Sasa mantiki kuu ya kitabu chako inasimama rasmi kuwa simulizi ya wazee wako tu (baba yako) sio ya watanzania 44.5milioni.

Kibaya zaidi umepotosha kwakuiita eti historia ya uhuru wa Tanganyika upande wapili, hivyo unatueleza kuwa BABA yako angewekwa kwenye historia asili ya uhuru leo hii waislamu wasingekuwa na ajiitae mtetezi wao Mohamed Said?
 
Jokakuu, nashukuru kwa kuliweka sawa hili na hakika ndiyo ilikuwa maana yangu.
Mohamed Said amenukuliwa mara zaidi ya tatu (nina ushahidi akitaka niuweke) akijihusisha na Sheikh Ilunga. Hakuna tatizo kwa hilo kwasababu hata yule Farid amekaririwa akisema ni ndugu yake. Hakuna tatizo kabisa katika hilo.

Tatizo ni pale alipoulizwa swali akasema hilo liachwe kwa sheikh Ilunga ambaye ni ''mtaalamu''(nukuu ipo)

Mkuu Ritz, katika watu wanomtendea haki Mohamed mimi ni mmoja wapo. Nimemtedea haki kwa kumuonyesha kuwa yeye kama mwanahistoria anavyodai hapaswi kujihusisha na uhamasishaji wa uuzwaji wa DVD kama hiyo.
Vinginevyo yale maneno yake tunayoyanukuu yanashabihiana sana na maudhui ya Sheikh Ilunga.

Tumeleta hiyo DVD iliyowekwa kwa mara ya kwanza na Jokakuu, na ipo you tube ili Mohamed apate kuona jinsi gani uhamasishaji wake unavyomweka mahali tata na tete.

Mohamed anaweza kutoka clean aki denounce baadhi ya maneno yasiyo na ukweli wa kiislam wala kulingana na maadili na ustarabu wa dunia kwasbabu amejinasabisha sana na Sheikh mwenye maneno kama hayo.

Hata hivyo ana nafasi ya kuendelea kushabikia DVD za namna hiyo akitaka.
Endapo zinamjenga au kumbomoa hatujui sisi tutaeleza kuwa ndani ya historia na ngano za MS kuna mengine zaidi ndiyo maana hukimbia kujibu maswali au hoja.

Jambo moja zuri ni kuwa kadri anavyojieleza ndivyo nchi na dunia inavyomuelewa.
Mohamed, toka hapa jamvini uyakatae maneno ya uchochezi na uhalifu.
Vinginevyo waambie wanajamvi huo ndio Uislam kweli kama ulivyo ndani ya Koran, sunna na hadithi?

Hivi kweli ndiyo daawa hiyo na ndio ulinganifu wa dini ya mwenyezi mungu? Kweli!
 
Nilikuuliza hivi

1. kabla hatujaenda mbali zaidi
aliyekujibu vibaya ni nani? bado kwanza hapa turekebishe hili jambo
2. kazi ya mungu huwezi kustaafu kwa katiba ya dini gani kama katoliki kifungu gani? (kumbuka neno kustaafu ni lako siyo langu)

mkuu wewe huwezi kuingia kwenye kanisa ndani kabisa nakuwatolea matamko wakatoliki wakati huijui katiba yao.

Naomba jibu kama Dr slaa ndiye aliekujibu vibaya, vinginevo nitakuunganisha na Mohamedi said anayemchafua hayati mwalim nyerere.

Niambie kama hayo mafundisho ya kurukia watu ndio kufuzu historia za mohamedi, Dr slaa hayupo hapa jukwanii vipi atukanwe?

majibu yako yalikuwa hivi

By Ritz

Mkuu mie sijui chochote kuhusu katiba ya wakatoriki.

Kujua Dr Slaa alikuwa Padri wala haitaji kwenda shule.

Ninavyojua mie Padri ni kiongozi wa kanisa kwa wakatoriki.

Kazi Mungu hata siku moja huwezi kustaafu.







Nilikuuliza maswali haya


By adolay
1. kabla hatujaenda mbali zaidi aliyekujibu vibaya ni nani? bado kwanza hapa turekebishe hili jambo
2. kazi ya mungu huwezi kustaafu kwa katiba ya dini gani kama katoliki kifungu gani? (kumbuka neno kustaafu ni lako siyo langu)

mkuu wewe huwezi kuingia kwenye kanisa ndani kabisa nakuwatolea matamko wakatoliki wakati huijui katiba yao.

Naomba jibu kama Dr slaa ndiye aliekujibu vibaya, vinginevo nitakuunganisha na Mohamedi said anayemchafua hayati mwalim nyerere.

Niambie kama hayo mafundisho ya kurukia watu ndio kufuzu historia za mohamedi, Dr slaa hayupo hapa jukwanii vipi atukanwe?


Majibu yako yalikuwa hivi

Kama kuna tusi lolote nililomtukana ripoti kwa Mods mkuu.

Tafurahi sana kama utaniunganisha na Mohamed Said, tena nashukuru kwa kunipa hii nafasi.







Conclusion, ukisoma hapo juu nani kioja kati yangu mimi na wewe, soma kwa makini halafu jipatie majibu
 
Mohamed,
As much as you blame Magoti for writing such a press release type of book, I blame you too. As a historian, you did not have to know Kawawa personally to seek him out. Once you got those notes from Ally Sykes, it was incumbent upon you to seek out Kawawa and get his version of things. You did not. Could it be because Kawawa did not come from Gerezani area? Could it be that he was not Manyema as your ancestors were? While you blame Magoti, you should take blame too for letting this unique opportunity pass by.
 
Ala hivi mie nishakuwa muhimu kiasi hiki kuwa mnataka nitoa fikra zangu kuhusu Sheikh Ilunga. Hiyo DVD naijua sana. Sasa mnataka niseme kitu gani?
 
Honestly it never crossed my mind to do a book on Kawawa.

Nasubiri majibu ya hoja zangu mkuu, zinahitaji majibu yako kwakuwa zimezaliwa kutokana na kile ukiitacho Historia ya Uhuru wa Tanganyika upande wa pili,

Na mimi nikiita ni uchochezi na uhaini!
 


Pia nilikuliza hivi haya maswali


By adolay
Mkuu Ritz

Neno padri ni cheo katika kanisa katoliki na kwa imani ya wakatoliki padri haruhusiwi kuoa nasikitika kwanini umwite Dr W.P slaa padri wakati anamke/mchumba vyovyote?

b) Wewe ni mwislam vipi kujishughurisha na kanisa katoliki umepewa huo usemaji lini mkuu na mamlaka ya kuteuwa mapadri?

c) Yeye amekujibu vibaya nani? unataka kutuambia Dr W. P slaa ndiye aliyekujibu vibaya kama siyo yeye vipi umshabulie yeye?

Tanzania itatawaliwa na mtanzania yoyote awe mpagani, mkritu au mwislam kama ilivo sasa kwa kuzingatia uwezo wake.

Fahamu hakuna Cheo cha rais kama padri au shekhe kwenye katiba na katiba hairuhusu upuu huo.


Naomaba ufafanuzi mkuu wangu.



majibu yako Ritz yalikuwa hivi
Mkuu adolay,

Na mimi naomba nikuulize kuna ubaya wowote kumuita mtu yoyote kwa Professional yake hata kama kastaafu. Upadri ni taaluma kama taalumu zingine mpaka uende shule.

Katiba haijakataza kugombea lakini ni busara kutokugombea sababu Watanzania tumechanganyikana dini mbalimbali.

Nadhani nimejibu vyema.

Mkuu wewe ni mkiristo vipi unajishughulisha na mambo ya waislam tena umekwenda mbali zaidi mpaka Somalia.​





Nikakuliza na kukujibu hivi

Mkuu

1.Hujajibu swali hata moja narudia alikujibu vibaya ni nani, Dr slaa?

2. Unafahamu katiba ya wakatoliki? kama unaifahau elezea upadri wa padri yoyete anaupataje?

3. Je kuna sifa zozote zinazoweza kumuondolea mtu upadri katika katiba ya kanisa na unaweza kuzitaja?

4. Je kunakustaafu upadri au kuacha katiba inasemaje ya wakatoriki na umri gani padri anapaswa kustaafu kama uliosema hapo juu.




Jibu Kuhusu waislam

Nani anakesha hapa kuleta hoja za mfumo kristo?, dhulma dhidi ya waislam?, Mou nk katika madai haya ungetaka nani akujibu?

a) mwislam na kama mwislam kwanini

b) mkristo na kwanini awe mkristo

tutaendelea mkuu Ritzs ukinijibu hapa, maana ndipo jibu lako lilipo.

Nifanyie uungwana kwa kujibu jibu sahihi kwa kila swali yaani mstari baada ya mstari.




Angalia majibu unayotoa hapo juu kwa kila ulichoulizwa, kisha tafakali kioja kipo wapi.

Ritz uwezo wako kusimamia hoja ni mdogo sana kama unavyojieleza hapo juu, haya ndiyo matokeo ya kuukumbatia uchochezi

kama ulivofuzu kozi za babu yako mohamed said za kichochezi mkiacha ukweli kule na kuamua kupotosha umma wa watanzania.
 
Hamjanifahamu katika maandishi yangu. Sitafuti umaarufu wala sifa. Jukumu langu ni kusomesha basi. Kwa ajili hii "kubomolewa" au kinyume cha hivyo si jambo linalonishughulisha. Ama kuhusu DVD ya Ilunga kama mnataka uchambuzi wake hilo ni suala la maulamaa na mie ilm hiyo sina.
 
Nasubiri majibu ya hoja zangu mkuu, zinahitaji majibu yako kwakuwa zimezaliwa kutokana na kile ukiitacho Historia ya Uhuru wa Tanganyika upande wa pili,

Na mimi nikiita ni uchochezi na uhaini!

Yericko

Mimi nakukubali mkuu kwasababu moja tu kubwa ya msingi ukweli uwekwe bayana ili tuepukane na hawa wachochezi

wanaotaka kulipeleka taifa la Tanzania kuzimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…