Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mzee Mwanakijiji,

Hakuna anayekulazimisha kuamiani chochote kwenye kitabu cha Mohamed Said mbona wewe unaamini masimulizi mengi tu ya Nyerere hakuna aliyekumpinga.

Unaamini bila kuona wala kusikia kuwa Nyerere ndiyo kaleta uhuru Tanganyika.

Unaamini bila kuona wala kusikia Nyerere ndiyo muasisi wa TANU.

Unaamini bila kuona wala kusikia Nyerere ndiyo kaleta amani Tanganyika.

Unaamini bila kuona wala kusikia Nyerere ndiyo baba yenu wa Taifa.

Unaamini bila kuona wala kusikia Nyerere ndiyo kaleta kiswahili Tanzania.

Unaamini bila kuona wala kusikia wazee wa Dar es salaam wote walikuwa wasaidizi wa Nyerere.

Unakubali bila kuona wala kusikia wale wote waliokorofisha na Nyerere walikuwa na makosa.

Unaamini bila kuona wala kusikia Nyerere ndiyo kawafundisha ustarabu watu Pwani.

Unaamini bila kuona wala kusikia Nyerere aliunda TANU hakiwa TABORA.

Unakubali Nyerere kwako ni MTAKATIFU.
 
Last edited by a moderator:

Hint; NECTA
 


MWANAKIJIJI..
anaogelea kwenye bahari yenye kina kirefu cha UDINI,sion nani wa kumuokoa katika msiba huo uliomsibu.!
 

Nyerere alilazwa wapi vile kabla hajaonja umauti?

Kawawa alilazwa wapi vile kabla hajaonja umauti?
 

Bahati nzuri mimi nafanya kazi zangu binafsi. Ninao wadogo zangu wawili mmoja kamaliza chuo cha ardhi kaangaika sana kupata kazi UDINI. saizi yupo Japan anafanya kazi.

Mwingine kamaliza chuo mwaka jana kakosa kazi serikalini saizi yupo ubalozi mmoja hapa Dar anafanya kazi.

Wewe huwezi kuona udini sababu aukumbani nao sababu nyie ndiyo mmejazana karibia wizara zote za serikali mnakata majina yetu.
 

Kama unaona sina jipya si jiachie kunisoma?
 
Hivi wewe unataka picha ya machifu umoene Kiyate
Mshume?

Ndiyo maana nakupuuza.
Wewe umezoea nipe nikupe.

Mimi si katika hao.
Hii ni mara ya pili nakutahadharisha.
 


naam,swadakta kabisa..!

Umemjibu vema sana..

"akiwa mchoyo,asiwe mroho"
 
Wewe, Barubaru na Jakaya mlisomaje hadi Chuo KIkuu ndani ya mfumo huu? Mlibadili majina kwa muda? NECTA, NECTA, huko Lindi na Mtwara madarasa hayana wanafunzi!


ndio maanaunabainishiwa kuwa waislam walikuwa wanabaniwa sana na huko Maskuli tulikuwa wachache na Chuo kikuu ndio kabisaa. Sasa watu wanatakaukombozi wapelekwe watu kwaswifa zao sioDini zao.

Lazima kitaeleweka tu na dalili zote zimeshajibainisha.
 
Barubaru,

Hiyo orodha imetaja wajumbe wa kanda cha kuchekesha hata Oscar Kambona, Nsilo Swai, Kanyama Chiume, Hassan Suleiman, Ali Ponda, hawajulikani.


Ritz,

Hakika ashukuriwe sana Al Akhiy Mohamed Said kwa kutujuza mengisana ambayo tulikuwa hatuyajui na mengi yaliyofichwakwamakusudi maalum ya kumpaisha Juu Nyerere katikaHistoria ya Tanganyika.

Molaamzidishia Maalim Mohamed Said kwa ilmu yake na kuyujuza mengi mengine aliyofanyia utafiti.
 
naam,swadakta kabisa..!

Umemjibu vema sana..

"akiwa mchoyo,asiwe mroho"


Ni vizuri kumdarasisha mapema kwani alikuwa anapotoka na kutaka kuipotosha Qur'an ya Allah.Ni wajibu wetu kumsaidia kwakileasoujuzi nacho.

Shukran kwakulionahilo.

Tupopamoja sana
 
Nyerere alilazwa wapi vile kabla hajaonja umauti?

Kawawa alilazwa wapi vile kabla hajaonja umauti?
Mh! zomba, hata pa kulazwa Kawawa tena enzi hizi za Jakaya? Unashusha kiwango chako cha ufikiri kwa sababu ya UDINI? Rashid hakuwa mdini. Huyu ndie WaziriMkuu wa PILI TANGANYIKA huru. Mzee wetu Mohamed hataki hata kulisikia jina hili. Usitake kumuudhi.
 
Ngruvi mimi niliwakomesha waandishi wa Chuo Cha Kivukoni kwa kuandika
kwanza katika Africa Events nikaweka league na Dr Kiwanuka.

Nimekushushia rejea nadhani umeziona.

Baada ya hapo ndiyo nikawabamiza na buku.
Wamenywea mpaka leo.

Sasa nyie mmekalia jamvi tu mnabadilisha mikao.
Kwa humu tutakesha hamtaweza kunishinda.

Andikeni kitabu.
Hicho ndicho labda kitakunusuruni na shari yangu.

Jamaa wapo kazini hivi sasa wanaandika lakini jua
lishakuchwa.

Maghribi inaaingia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…