Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Ukweli ukidhihiri,haki huchukua nafasi yake,
Heko mohammed said kwa kuupambanua ukweli huo,mungu akubariki sana.
Dr Magoti wa Kivukoni? Umemkubali katika hilo tu?
Sina utaalam hata chembe kuhusu UCHUMI. Nimeanza shule ya msingi enzi za utawala wake nikaenda hadi chuoni bila kukopa wala kulipa karo. Sera hii peke yake ndio iliyotugusa watoto wa masikini wa nchi hii. Nimemaliza chuo nikakuta AJIRA inanitafuta sio mimi natafuta ajira. Wakati ule ilikuwa ni vigumu kupata chumba cha kupanga kuliko ajira!
Nilianza kumpenda Mwalimu kwa sababu hizo. Aliwezaje kuzitekeleza sera hizi mimi sijui.
Kumbuka pia kwenda shule enzi hizo ilibidi tukamatwe kwa nguvu toka kwa wazazi wetu. Hali hii iliwakumba watoto wa jamii za wafugaji na hata Waislam hasa kwa watoto wa kike.
Nimeshaiweka pale juu kabisa ya thread husika mkuu hebu isome
Siwezi kujifananisha nawe MDINI wa kiwango hicho. Mimi namtanguliza Mungu sio DINI yangu katika mambo yangu yote. Mungu hana DINI. Tanzania pia haitakuwa na DINI.WC,
Weka kejeli zangu kwa Nyerere tuzijadili.
Hii ya kujikweza tuifatutie muda.
Nimekupa yale kukuonyesha kuwa sisi tunayo
ya kueleza katika historia ya nchi hii usijifananishenasi.
Mzee Mohamed,
Waliofanyiwa haya na Mwalimu ni wazee wako sio wewe. Wewe ulikuwa "toddler" mwaka 1953-54 wakati wa "transition" kutoka TAA kwenda TANU. Unavyosimulia ni zaidi ya Mwalimu aliyekuwepo! Miaka ile ya sitini ulikuwa sekondari na chuoni wakati wazee wako hawa wanapigania mfumoIslam uwekwe nchi hii. Hatutofautiani sana. Kuna mengi tunayafahamu na sisi ambayo wewe hauyajui. Tanganyika yako wewe ni hiyo ya Kipata kuelekea New Street. Wapigania uhuru wako wewe ni hao wazee wako wa Kariakoo. Wengi wao wakiwa ni WALOWEZI na WAKIMBIZI. Kiungo chako wewe na wao ni UISLAMU tu.
Hapa tuingie kwenye Filosofia kidogo. Wote hao uliwataja walipaswa kumjua? Maana unavyozungumza ni kana kwamba wao walipaswa kumjua. Lakini kwanini walitakiwa kumjua? Je hawa wote walimjua kila mtu mashuhuri jijini Dar? Lakini jambo jingine ambalo binafsi silioni kwanini umelifanya kuwa la muhimu sana; kama Nyerere alikuwa hajulikani mahali ambapo hakuzaliwa au kuishi ujana ulitarajia ajulikane vipi?
Maana wote hao uliowataja unafikiri walikuwa wanajulikana sehemu nyingine za Tanzania? Ukienda Tanga tu hapo utakuta kuwa baadhi ya hao uliowataja hawajulikani kabisa wakati huo au hata ukienda Songea, au Morogoro. Sasa kutokujulikana kwao ni kosa lao, ni jambo baya, au ni kukosa umashuhuri?
Unavyoandika unaashiria (imply) kuwa Nyerere kutojulikana kwa hawa basi hakuwa mashuhuri; swali liinaweza kuulizwa kinyume chake je wao walikuwa wanajulikana kwa Nyerere kabla hajaja Dar-es-Salaam? Jibu ni kuwa la hasha! Vinginevyo akiwa Makerere angeshawajua na badala yake alikuja kuwasikia tu kutoka kwa watu wengine. Je kwa vile Nyerere alikuwa hawajui ina maana hawakuwa maarufu Dar?
Hoja hii ya Nyerere kutokujulikana kwa baadhi ya wazee - maana ushahidi upo kuwa baadhi yao tayari walimjua kabla ya 1953 haina nguvu na kwa kweli ni mojawapo ya hoja dhaifu. Kutokumjua mtu kabla hujakutana naye si jambo la kujisifia na kujulikana siyo sifa kwani katika maisha watu wanajua na wengine hawajulikani. Kwa mfano, unafikiri wote wote Tanzania wanakujua wewe? Na unaweza ukaamini wewe ni maarufu kweli kumbe wanaokujua ni wale tu WALIOPASWA kukujua. Na hilo ni kweli kwa kila mtu.
Nyerere kutokujulikana Dar - kama unavyodai - siyo jambo la fedheha wala la kuonesha kuwa hakuwa maarufu. Inaonesha tu kuwa hawakuwa na nanafasi ya kukuutanishwa na kuthibitisha kuwa Nyerere alikuwa ni maarufu kweli ndio maana Sykes na Kasela Bantu wote walijitahidi kumtambulisha Nyerere kwa wazee hawa au - unaweza kuwaangalia kwa kona nyingine - ni wazee hawa waliotambulishwa kwa Nyerere kwani alikuwa hawajui japo waliamini wao ni maarufu zaidi. Na kuonesha nani alikuwa maarufu baina yao jibu ni jepesi.
Kwanini nasema Nyerere alikuwa maarufu zaidi kuliko wazee wa Dar ni kwa sababu moja - alikuwa ni maarufu zaidi kwa Tanganyika kuliko wazee wa Dar. Wao walikuwa maarufu mjini kwao Nyerere umaarufu wake ulivuka mipaka ya mji. Na historia imeshuhudia hivyo na ndio maana hata leo ukienda kuwauliza wazee wengine nje ya Dar hakuna anayemkumbuka Mshume, Sheikh Ameir na hata kina Sykes!
lakini waulize kama wanamkumbuka Nyerere....
Kama hujui ndiyo unafahamiswa chukuwa hii...
Kutofanikiwa
Siasa zake za ujamaa zilishindwa baada ya mwaka 1976.
Baada ya kuona kuwa uchumi wa Tanzania hautaweza kusimama kwa siasa za kijamaa na kutoweza kuvumilia kuendesha nchi kwa siasa ambazo yeye hakuwa muumini, Nyerere kwa maamuzi yake mwenyewe aliamua kustaafu nafasi ya uraisi baada ya uchaguzi wa mwaka 1985 na kumwachia usukani kwa Ali Hassan Mwinyi aliyetawala kwa siasa za uchumi wa soko huria.
Katika hali ya kukubali ukweli, Nyerere alitamka katika tafrija ya kumwaga juu ya siasa yake kiuchumi Nimefeli. Tukubali hivyo.
Siwezi kujifananisha nawe MDINI wa kiwango hicho. Mimi namtanguliza Mungu sio DINI yangu katika mambo yangu yote. Mungu hana DINI. Tanzania pia haitakuwa na DINI.
Bora hata ungekuwa mwanasayansi ningetamani kujifananisha nawe. Historia hii ulioandika kuna mtu anatamani kujifananisha na wewe!
Siwezi kujifananisha nawe MDINI wa kiwango hicho. Mimi namtanguliza Mungu sio DINI yangu katika mambo yangu yote. Mungu hana DINI. Tanzania pia haitakuwa na DINI.
Bora hata ungekuwa mwanasayansi ningetamani kujifananisha nawe. Historia hii ulioandika kuna mtu anatamani kujifananisha na wewe!
Ukristo wangu haunisumbui wala kuwasumbua watu wengine. Wakati wowote nikitaka kuubadili na kuwa Muislam nitafanya hivo. Sijapata tu binti mzuri wa Kimanyema hapo Kariakoo nikaridhika naye! Simthaminishi mtu kwa DINI yake.Wewe siyo mdini sababu ni mkiristu wadini uwa waislam peke yao...kwako wewe hakuna jema lolote lilofanywa na Waislam kwanza unawaona waislam hawajasoma wana matatizo wewe na ukiristo wako ndiyo wabora.
tunataka kuisikiliza sio kuisoma
Shari yako hii itaishia kulekule ilikoanzia. WATANZANIA ni waelewa sana. Hebu fikiria "dhulma" hii imekuwepo kwa zaidi ya nusu karne sasa na Tanzania na Watanzania tunapendana sana. Tunaishi "above our religious affiliation". Waislam ndio wanaochinja kwenye mabucha yote. Hatupati shida kula nyama. Waislamu tuko nao kwenye moja moto moja baridi. Waislamu tuko nao kwenye harusi, misiba, vipaimara, komunio, krismas, eid zote,..., Waislamu tuko nao mashuleni hata yale ya makanisa, Waislamu tunatibiwa nao Bugando, KCMC na kwenye ma-DDH kibao. Ndoa ya Muislam na Mkristo jambo la kawaida tu Tanzania hii. Hata mke wa Makongoro Julius Kambarage Nyerere ni Muislam safi!
Hii ndio TANZANIA alootuachia Mwalimu. Mzee Mohamed wewe utaondoka duniani na machungu yako muda wako ukifika na Tanzania itabaki.
Ukristo wangu haunisumbui wala kuwasumbua watu wengine. Wakati wowote nikitaka kuubadili na kuwa Muislam nitafanya hivo. Sijapata tu binti mzuri wa Kimanyema hapo Kariakoo nikaridhika naye! Simthaminishi mtu kwa DINI yake.
mzee wangu Mohamed Said naomba nikuulize swali moja
Majuzi ktk pita pita zangu,maeneo ya mwananyamala kwa mwinjuma ccm,
karibu na msikiti,kuna nyumba moja nje kuna kibao kinaonesha ndipo TANU ilipoanzishwa
vipi habari za hapo zikoje
yaani nimekufuatilia saa nyingi kwenye post zako sijawahi ona mtu ignorant kama ww wewe umeona mwanasayansi ni mtu wa maana sana lakini sio makosa yako kosa lako uko kwenye dini ya uremboSiwezi kujifananisha nawe MDINI wa kiwango hicho. Mimi namtanguliza Mungu sio DINI yangu katika mambo yangu yote. Mungu hana DINI. Tanzania pia haitakuwa na DINI.
Bora hata ungekuwa mwanasayansi ningetamani kujifananisha nawe. Historia hii ulioandika kuna mtu anatamani kujifananisha na wewe!
MM,
Ni baada na Nyerere na Kanisa kuanza vita ya chinichini dhidi ya Uislam
ndipo mambo yakaanza kuvurugika.
Kanisa likapata hofu baada ya uhuru kwa kuona mipango ya maendele
ya Waislam chini ya EAMWS na uongozi wa Sheikh Hassan bin Amir.
Waislam wakaanza kujenga shule na wakaja na mradi wa
Chuo Kikuu chini ya EAMWS hapo ikawa sasa Kanisa linashinikiza
EAMWS ivunjwe kwa usalama wa Ukristo.
Nguvu ya Waislam katika vita dhidi ya ukoloni walikuwa wameishuhudia.
Walijua kwa umoja ule Uislam utaimarika Tanganyika.
Hapo ndipo Nyerere na Kanisa wakaanza kuvunja misingi iliyokuwa
ikiwapa nguvu Waislam.
Akaanza vita na masheikh, Baraza la Wazee wa TANU, EAMWS kisha
akaunda BAKWATA...
Haya nishayaeleza sana hapa jamvini.
Unasema nizungumze na Pengo.
Nizungumze na Pengo mimi kama nani.
Pengo mtu wa hadhi yake ni Mufti wa Bakwata si mimi.
Mimi Muislam wa kawaida tu hata msikitini siswal ''safal awal.''
Protokali gani itatumika mimi nizungumze na Pengo na nizungumze
na Pengo kitu gani?
Hata hivyo ahsante kwa kuninyanyua kiasi hicho.
ndugu zangu hii ni nin sasa?
Hizi nazo ni hoja tena?
Unaturudisha kwenye hoja ya serikali ya kikwete hali ya kuwa unafaham fika hoja kuu ya mjadala huu hii ni haki?
Haipendezi namna hii,tuheshimiane.
hebu endelea mkuu, na mkapa aliurithi toka kwa nani?