Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Sina utaalam hata chembe kuhusu UCHUMI. Nimeanza shule ya msingi enzi za utawala wake nikaenda hadi chuoni bila kukopa wala kulipa karo. Sera hii peke yake ndio iliyotugusa watoto wa masikini wa nchi hii. Nimemaliza chuo nikakuta AJIRA inanitafuta sio mimi natafuta ajira. Wakati ule ilikuwa ni vigumu kupata chumba cha kupanga kuliko ajira!

Nilianza kumpenda Mwalimu kwa sababu hizo. Aliwezaje kuzitekeleza sera hizi mimi sijui.

Kumbuka pia kwenda shule enzi hizo ilibidi tukamatwe kwa nguvu toka kwa wazazi wetu. Hali hii iliwakumba watoto wa jamii za wafugaji na hata Waislam hasa kwa watoto wa kike.

Kama hujui ndiyo unafahamiswa chukuwa hii...

Kutofanikiwa


Siasa zake za ujamaa zilishindwa baada ya mwaka 1976.
Baada ya kuona kuwa uchumi wa Tanzania hautaweza kusimama kwa siasa za kijamaa na kutoweza kuvumilia kuendesha nchi kwa siasa ambazo yeye hakuwa muumini, Nyerere kwa maamuzi yake mwenyewe aliamua kustaafu nafasi ya uraisi baada ya uchaguzi wa mwaka 1985 na kumwachia usukani kwa Ali Hassan Mwinyi aliyetawala kwa siasa za uchumi wa soko huria.
Katika hali ya kukubali ukweli, Nyerere alitamka katika tafrija ya kumwaga juu ya siasa yake kiuchumi "Nimefeli. Tukubali hivyo."
 
WC,

Weka kejeli zangu kwa Nyerere tuzijadili.
Hii ya kujikweza tuifatutie muda.

Nimekupa yale kukuonyesha kuwa sisi tunayo
ya kueleza katika historia ya nchi hii usijifananishenasi.
Siwezi kujifananisha nawe MDINI wa kiwango hicho. Mimi namtanguliza Mungu sio DINI yangu katika mambo yangu yote. Mungu hana DINI. Tanzania pia haitakuwa na DINI.

Bora hata ungekuwa mwanasayansi ningetamani kujifananisha nawe. Historia hii ulioandika kuna mtu anatamani kujifananisha na wewe!
 
Mzee Mohamed,
Waliofanyiwa haya na Mwalimu ni wazee wako sio wewe. Wewe ulikuwa "toddler" mwaka 1953-54 wakati wa "transition" kutoka TAA kwenda TANU. Unavyosimulia ni zaidi ya Mwalimu aliyekuwepo! Miaka ile ya sitini ulikuwa sekondari na chuoni wakati wazee wako hawa wanapigania mfumoIslam uwekwe nchi hii. Hatutofautiani sana. Kuna mengi tunayafahamu na sisi ambayo wewe hauyajui. Tanganyika yako wewe ni hiyo ya Kipata kuelekea New Street. Wapigania uhuru wako wewe ni hao wazee wako wa Kariakoo. Wengi wao wakiwa ni WALOWEZI na WAKIMBIZI. Kiungo chako wewe na wao ni UISLAMU tu.

[h=3]Mafanikio[/h]kujenga umoja wa Taifa na utamaduni wa Kiafrika pamoja na lugha ya Kiswahili, kushinda ubaguzi wa rangi, kutetea usalama wa taifa katika vitani dhidi Idi Amin) Kutoa mchango kwa vyama vya ukombozi vya nchi za kusini ya Afrika kama; Zimbabwe {ZANU), Afrika Kusini (ANC na PAC), Namibia (SWAPO), Angola (MPLA) na Msumbiji (Frelimo)

Haya ndiyo mafanikio ya Nyerere.
 
Hapa tuingie kwenye Filosofia kidogo. Wote hao uliwataja walipaswa kumjua? Maana unavyozungumza ni kana kwamba wao walipaswa kumjua. Lakini kwanini walitakiwa kumjua? Je hawa wote walimjua kila mtu mashuhuri jijini Dar? Lakini jambo jingine ambalo binafsi silioni kwanini umelifanya kuwa la muhimu sana; kama Nyerere alikuwa hajulikani mahali ambapo hakuzaliwa au kuishi ujana ulitarajia ajulikane vipi?

Maana wote hao uliowataja unafikiri walikuwa wanajulikana sehemu nyingine za Tanzania? Ukienda Tanga tu hapo utakuta kuwa baadhi ya hao uliowataja hawajulikani kabisa wakati huo au hata ukienda Songea, au Morogoro. Sasa kutokujulikana kwao ni kosa lao, ni jambo baya, au ni kukosa umashuhuri?

Unavyoandika unaashiria (imply) kuwa Nyerere kutojulikana kwa hawa basi hakuwa mashuhuri; swali liinaweza kuulizwa kinyume chake je wao walikuwa wanajulikana kwa Nyerere kabla hajaja Dar-es-Salaam? Jibu ni kuwa la hasha! Vinginevyo akiwa Makerere angeshawajua na badala yake alikuja kuwasikia tu kutoka kwa watu wengine. Je kwa vile Nyerere alikuwa hawajui ina maana hawakuwa maarufu Dar?

Hoja hii ya Nyerere kutokujulikana kwa baadhi ya wazee - maana ushahidi upo kuwa baadhi yao tayari walimjua kabla ya 1953 haina nguvu na kwa kweli ni mojawapo ya hoja dhaifu. Kutokumjua mtu kabla hujakutana naye si jambo la kujisifia na kujulikana siyo sifa kwani katika maisha watu wanajua na wengine hawajulikani. Kwa mfano, unafikiri wote wote Tanzania wanakujua wewe? Na unaweza ukaamini wewe ni maarufu kweli kumbe wanaokujua ni wale tu WALIOPASWA kukujua. Na hilo ni kweli kwa kila mtu.

Nyerere kutokujulikana Dar - kama unavyodai - siyo jambo la fedheha wala la kuonesha kuwa hakuwa maarufu. Inaonesha tu kuwa hawakuwa na nanafasi ya kukuutanishwa na kuthibitisha kuwa Nyerere alikuwa ni maarufu kweli ndio maana Sykes na Kasela Bantu wote walijitahidi kumtambulisha Nyerere kwa wazee hawa au - unaweza kuwaangalia kwa kona nyingine - ni wazee hawa waliotambulishwa kwa Nyerere kwani alikuwa hawajui japo waliamini wao ni maarufu zaidi. Na kuonesha nani alikuwa maarufu baina yao jibu ni jepesi.

Kwanini nasema Nyerere alikuwa maarufu zaidi kuliko wazee wa Dar ni kwa sababu moja - alikuwa ni maarufu zaidi kwa Tanganyika kuliko wazee wa Dar. Wao walikuwa maarufu mjini kwao Nyerere umaarufu wake ulivuka mipaka ya mji. Na historia imeshuhudia hivyo na ndio maana hata leo ukienda kuwauliza wazee wengine nje ya Dar hakuna anayemkumbuka Mshume, Sheikh Ameir na hata kina Sykes!

lakini waulize kama wanamkumbuka Nyerere....

MM,

Ikiwa wewe unaona Nyerere alikuwa maarufu Dar es Salaam hakuna shida.
Tusivutane na jambo dogo kama hilo.

Tuachie kuwa alikuwa mashuhuri na wote akina Shariff Attas, Tatu biti Mzee,
Abdu Sykes, Sheikh Hassan bin Amir na wengine wote wakimjua na hakukuwa
na haja yoyote ya yeye kutambulishwa kwa wanamji.

Na hii inaeleza ule wepesi wa yeye kuasisi TANU na katika miezi 10 tu akenda
UNO, New York.

Huyu ni mwanamji mtu maarufu.

Wasaa, fedha, umaarufu alikuwanao ndiyo maana alipofika Dar tu kaanzisha chama
cha siasa na kapata wanachama wengi.

Ndiyo maana hapakuwa na sababu ya kumtaja Abdu Sykes na nduguze katika historia
ya TANU ya Kivukoni kwa kuwa mambo yote Nyerere kafanya kwa nguvu zake mwenyewe.

Nyerere alikuwa maarufu.
Hakuwa muhitaji kwa yeyote yule katika wenyeji wa Dar es Salaam.
 
Kama hujui ndiyo unafahamiswa chukuwa hii...

Kutofanikiwa


Siasa zake za ujamaa zilishindwa baada ya mwaka 1976.
Baada ya kuona kuwa uchumi wa Tanzania hautaweza kusimama kwa siasa za kijamaa na kutoweza kuvumilia kuendesha nchi kwa siasa ambazo yeye hakuwa muumini, Nyerere kwa maamuzi yake mwenyewe aliamua kustaafu nafasi ya uraisi baada ya uchaguzi wa mwaka 1985 na kumwachia usukani kwa Ali Hassan Mwinyi aliyetawala kwa siasa za uchumi wa soko huria.
Katika hali ya kukubali ukweli, Nyerere alitamka katika tafrija ya kumwaga juu ya siasa yake kiuchumi “Nimefeli. Tukubali hivyo.”

Hilo ni moja tu kati ya mengi aliyofeli. Naamini ipo siku utaanzishwa uzi humu wa kuorodhesha hayo.
 
Siwezi kujifananisha nawe MDINI wa kiwango hicho. Mimi namtanguliza Mungu sio DINI yangu katika mambo yangu yote. Mungu hana DINI. Tanzania pia haitakuwa na DINI.

Bora hata ungekuwa mwanasayansi ningetamani kujifananisha nawe. Historia hii ulioandika kuna mtu anatamani kujifananisha na wewe!

Wewe siyo mdini sababu ni mkiristu wadini uwa waislam peke yao...kwako wewe hakuna jema lolote lilofanywa na Waislam kwanza unawaona waislam hawajasoma wana matatizo wewe na ukiristo wako ndiyo wabora.
 
Siwezi kujifananisha nawe MDINI wa kiwango hicho. Mimi namtanguliza Mungu sio DINI yangu katika mambo yangu yote. Mungu hana DINI. Tanzania pia haitakuwa na DINI.

Bora hata ungekuwa mwanasayansi ningetamani kujifananisha nawe. Historia hii ulioandika kuna mtu anatamani kujifananisha na wewe!

WC,

Hebu soma hapa.
Hilo somo nasomesha ''daily'':

The second book is by Dr John C. Sivalon, who in his expose, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, [1] unmasks a conspiracy in the government to subvert Islam.

Sivalon revealed that the Catholic Church as far back as 1961 was worried by two prospects.

First, was the unity between the Muslim madhheb (sect) of Sunni, Bohora, Ismailia and Ithnasheri in Tanganyika; and the second, was the transfer of the headquarters of the East African Muslim Welfare Society (EAMWS) from Mombasa to Dar es Salaam.

The Church was worried that the resources in the hands of rich Asian Muslim community in East Africa, coupled with the political power of African Muslims, particularly in Tanganyika, would endanger Christian interests in East Africa.

The Church therefore declared Islam as its enemy in the country and plotted to thwart its progress.[2]


[1] John C. Sivalon, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, (Ndanda, 1992).

[2] Ibid. p 37.
 
Wewe siyo mdini sababu ni mkiristu wadini uwa waislam peke yao...kwako wewe hakuna jema lolote lilofanywa na Waislam kwanza unawaona waislam hawajasoma wana matatizo wewe na ukiristo wako ndiyo wabora.
Ukristo wangu haunisumbui wala kuwasumbua watu wengine. Wakati wowote nikitaka kuubadili na kuwa Muislam nitafanya hivo. Sijapata tu binti mzuri wa Kimanyema hapo Kariakoo nikaridhika naye! Simthaminishi mtu kwa DINI yake.
 
Shari yako hii itaishia kulekule ilikoanzia. WATANZANIA ni waelewa sana. Hebu fikiria "dhulma" hii imekuwepo kwa zaidi ya nusu karne sasa na Tanzania na Watanzania tunapendana sana. Tunaishi "above our religious affiliation". Waislam ndio wanaochinja kwenye mabucha yote. Hatupati shida kula nyama. Waislamu tuko nao kwenye moja moto moja baridi. Waislamu tuko nao kwenye harusi, misiba, vipaimara, komunio, krismas, eid zote,..., Waislamu tuko nao mashuleni hata yale ya makanisa, Waislamu tunatibiwa nao Bugando, KCMC na kwenye ma-DDH kibao. Ndoa ya Muislam na Mkristo jambo la kawaida tu Tanzania hii. Hata mke wa Makongoro Julius Kambarage Nyerere ni Muislam safi!

Hii ndio TANZANIA alootuachia Mwalimu. Mzee Mohamed wewe utaondoka duniani na machungu yako muda wako ukifika na Tanzania itabaki.

Du!

Ili Muislam awe Muislam mzuri akubali dhulma hii kwa kuwa ni ya muda mrefu...
na anatibiwa Bugando na kwa kuwa wanatumia ulevi sawa na wewe...

Mke wa Makongoro Muislam kwa hiyo hiyo ni sifa katika Uislam...
Sina hata la kuongeza...

Labda Zomba ataingia humu hizo ni anga zake.
 
Ukristo wangu haunisumbui wala kuwasumbua watu wengine. Wakati wowote nikitaka kuubadili na kuwa Muislam nitafanya hivo. Sijapata tu binti mzuri wa Kimanyema hapo Kariakoo nikaridhika naye! Simthaminishi mtu kwa DINI yake.

Labda angesema mtu mwingine lakini siyo wewe uliojaa kajeli na dhihaka dhidi ya Uislam.
 
mzee wangu Mohamed Said naomba nikuulize swali moja
Majuzi ktk pita pita zangu,maeneo ya mwananyamala kwa mwinjuma ccm,

karibu na msikiti,kuna nyumba moja nje kuna kibao kinaonesha ndipo TANU ilipoanzishwa
vipi habari za hapo zikoje

Nyumba ya Mzee Mwinjuma Mwinyikambi.

Mimi hilo likinishangaza siku zote.
Huyo mzee ni mzee wangu nikimfahamu hata mkewe.
 
Siwezi kujifananisha nawe MDINI wa kiwango hicho. Mimi namtanguliza Mungu sio DINI yangu katika mambo yangu yote. Mungu hana DINI. Tanzania pia haitakuwa na DINI.

Bora hata ungekuwa mwanasayansi ningetamani kujifananisha nawe. Historia hii ulioandika kuna mtu anatamani kujifananisha na wewe!
yaani nimekufuatilia saa nyingi kwenye post zako sijawahi ona mtu ignorant kama ww wewe umeona mwanasayansi ni mtu wa maana sana lakini sio makosa yako kosa lako uko kwenye dini ya urembo
 
MM,

Ni baada na Nyerere na Kanisa kuanza vita ya chinichini dhidi ya Uislam
ndipo mambo yakaanza kuvurugika.

Kanisa likapata hofu baada ya uhuru kwa kuona mipango ya maendele
ya Waislam chini ya EAMWS na uongozi wa Sheikh Hassan bin Amir.

Waislam wakaanza kujenga shule na wakaja na mradi wa
Chuo Kikuu chini ya EAMWS hapo ikawa sasa Kanisa linashinikiza
EAMWS ivunjwe kwa usalama wa Ukristo.

Nguvu ya Waislam katika vita dhidi ya ukoloni walikuwa wameishuhudia.
Walijua kwa umoja ule Uislam utaimarika Tanganyika.

Hapo ndipo Nyerere na Kanisa wakaanza kuvunja misingi iliyokuwa
ikiwapa nguvu Waislam.

Akaanza vita na masheikh, Baraza la Wazee wa TANU, EAMWS kisha
akaunda BAKWATA...

Haya nishayaeleza sana hapa jamvini.

Unasema nizungumze na Pengo.
Nizungumze na Pengo mimi kama nani.

Pengo mtu wa hadhi yake ni Mufti wa Bakwata si mimi.
Mimi Muislam wa kawaida tu hata msikitini siswal ''safal awal.''

Protokali gani itatumika mimi nizungumze na Pengo na nizungumze
na Pengo kitu gani?

Hata hivyo ahsante kwa kuninyanyua kiasi hicho.

wamekosa maswali ya kuuliza inabidi warudie waliyokwisha uliza.

tulieni na msome kwa utufu.
 
Mohamed katika post moja umesema waislam walianza kujenga mashule chini ya EAMWS. Ndipo njama za kuhujumu zikaanza.
Mimi huwa sikuelewi pale ambapo unaongelea general na hutaki kutoa specifics

Hebu tuambie shule gani na ngapi zilijengwa kati ya 1961-1968 ili tuone speed hiyo kwa ku-extrapolate hadi 2013.

Pili, tupe ushahidi wa kimazingira au matokeo uliokuwepo kuhusu kanisa kushiriki katika kuua EMWS. Nashangazwa sana unarudia jambo hili lakini ukitakiwa ufafanue hutaki.

Mohamed, Kenya kule Mombasa hali haina tofauti na Kilwa kule Tanzania.
Swali linabaki, je, na Mombasa nako Nyerere na kanisa walihusika?

Moani:
Mohamed, hivi unajua kuna shule zilikuwa zinatolewa nafasi za wananfunzi kwa kanda na katika shule hizo wanafunzi walishindwa kupatikana. I mean hata kuchaguliwa na si kufaulu bado ilikuwa taabu.

Mohamed, hivi mwaka 1966 Kulikuwa na mwamko gani wa elimu kule Kilwa kiasi cha kuamini kuwa hali ingekuwa tofauti na sasa ambako shule zinafungwa kwa kukosa wanafunzi.

Waambie watu ukweli wa tatizo usitafute sababu, miaka mingine 40 tangu 1968 itakwisha ukiwapa watu stori zisizowasaidia.
Vipi ungewaambia kuhusu madhara ya shule kufungwa.
 
Back
Top Bottom