Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Nimekusoma mara nyingi siku hizi mbili tatu unazungumza kama unajua hisia na mawazo yangu. Unajua ninachoamini moyoni na sasa unajua ninavyojisikia. Ukisoma vizuri hapo juu utaona tena niemandika kwa heshima zote ili kuwakwepa watu kama wewe wanaosoma haraka haraka. NImesema "Wazee wa Uswahilini"... sijui kama ulinotice nimetumia na herufi kubwa.
Usipende kujihisi victim sana... utakosa elimu bure..
Hata mimi nimekusoma zaidi ya mara nne kwenye huu munakasha ukinitaja kwa jina kwenye maandiko yako na kunitolea mifano katika kujenga hoja zako dhidi ya Mohamed Said kama vile unajua fikra zangu au wewe una ruksa za kujua hisia za wengine.
Tatizo unapenda ukubwa sana ndugu yangu mimi nipo hapa kujifunza kwa yeyote ambaye ataleta kitu kipya na chenye mashiko.
Mimi ninachoandika kutoka kwako kinatokana na maandiko yako wala si kingine.