Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Nina mashaka huyu si mwanafamilia na nyerere hata kidogo,anashindwaje kuwa na hata hotuba za marehem mzee wake?

Niliyasema siku nyingi sana. Huyu jamaa hana nasab na Mwalimu. Inawezekana akawa na jina "Nyerere" lakini udugu naye hana.

Tulitegemea ushahidi lukuki kutoka kwake, lakini hakuna lolote. Tunachoona ni mapovu, kejeli, utavu wa nidhamu and above all uweupe wa historia!
 
Katika pitapita zangu hii hapa nimeitoa kwenye WIKIPEDIA ya Nyerere.

===Ukosoaji dhidi yake===
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere]] Mwl.Nyerere analaumiwa kwa siasa zake za kiujamaa kuwa zilichelewesha maendeleo ya kiuchumi wa Tanzania.

Pia kuna makundi ya waislamu wanaomtuhumu kwa kuendesha kwa siri vita dhidi ya uislamu na upendeleo wa elimu na madaraka kwa wakristo,japo wasomi wengi kwa kipindi cha utawala wake walikuwa wakristo.
 
Nimeipokea karibu yako mkuu wangu, lakini kamatulivyo wazanaki nilazima nimalize na kibwagizo chakuunena ukweli uliyohuru.
 
My area of interest was from 1929 when AA was founded
to 1954.

Mwalimu came to Dar es Salaam in 1952 and was received
by Abdu Sykes.

Wakati anaondoka mwaka 1946 kwenda Kusoma Uingereza aliondokea wapi?

I read all about Nyerere in Sykes' files.

But most important I did not want to embarass him.

I knew how sensitive he was to be associated with
his Gerezani past and TANU history.

You had no chance of embarassing him; ndio maana wengine tunacheka unapoita hii historia... How do you know he was sensitive to be associated with his Gerezani past?
 
Huyu siyo mtoto wa Julius Kambarage Nyerere...ni mtoto wa Nyerere mwingine. watoto wa Kambarage Nyerere hawa hapa chini.

[TABLE="class: infobox vcard, width: 22"]
[TR]
[TH="align: left"]Spouse(s)[/TH]
[TD]Maria Nyerere[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Children[/TH]
[TD]
7

  • Andrew
  • Anna
  • Magige
  • John
  • Makongoro
  • Madaraka
  • Rosemary
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Wakati anaondoka mwaka 1946 kwenda Kusoma Uingereza aliondokea wapi?

You had no chance of embarassing him; ndio maana wengine tunacheka unapoita hii historia... How do you know he was sensitive to be associated with his Gerezani past?

"haambiliki".
 
Mzee kama kweli unadhamiria kuwaenzi viongozi wa uislamu Tanganyika waliopigania uhuru wa watanganyika wote bila kujali dini zao, basi simama kwanza na Shehe Issa bin Amir, sio hao wengine waliofuata nyayo za kiongozi huyu adhimu afrika
 
Yericko,

Huyu Shehe Issa bin Amir mbona hafahamiki?
Hebu tupe taarifa zake zaidi.

Vipi kuhusu haluwa ya lozi na kashda na kuniadhir.
Hutaki hata kuomba radhi?
 
Mzee Mwanakijiji,

Na haya maswali yangu kuhusu historia ya Tanganyika naomba unisaidie.

1) Ofisi za Gavana Sir Donald Cameron zilikuwa wapi

2) Rais wa kwanza wa TAA alikuwa nani

3) Wakati wa TANU miaka ya 1950 kulikuwa na magazeti gani ya wananchi

4) Katibu Mwenezi wa TANU alikuwa nani mwaka 1958

5) TANU ilingia lini Mombasa.

6) Wanachama 20 wa mwanzo wa TANU na namba zao za kadi ukitoa namba moja ya kadi ya Nyerere hawa wengine 19

Tuanze na haya maswali machache kwanza ambayo siyafahamu.
 
Last edited by a moderator:
Anaitwa YERICKO X
 
Nakushukuru sana
 
Yericko,

Huyu Shehe Issa bin Amir mbona hafahamiki?
Hebu tupe taarifa zake zaidi.

Vipi kuhusu haluwa ya lozi na kashda na kuniadhir.
Hutaki hata kuomba radhi?

Anafahamika vema, taarifa zake zipo, makao makuu ya kanisa katoliki Tanzania wanamjua na wanamheshimu sana na kumuenzi, laiti angalikuwa mkatoliki angeshakuwa mtakatifu kama wengine waliojitolea kwa jamii zao.

Ninaamini Bakwata nao wanazo taarifa zake, hasa msikiti mkuu wa Zanzibar,

Ninashangaa kwa mtafiti wewe wa masuala ya dini na siasa leo unasema humjui mtu huyu aliyehudumu kuanzia miaka ya 1914-1953
 
Nakushukuru Yericko kwa kuuleta uzi huu,kwa hakika nimejifunza mengi sana,hasa haswa kutoka kwa Mohamed Said,
Nashukuru sana kwa Ilmu hii..
 
Wakati anaondoka mwaka 1946 kwenda Kusoma Uingereza aliondokea wapi?

You had no chance of embarassing him; ndio maana wengine tunacheka unapoita hii historia... How do you know he was sensitive to be associated with his Gerezani past?

MM,

Kwa kweli hili ni jambo nimelieleza kwa mnasaba wa majadiliano
yalivyokuwa yanaendelea.

Unaumizwa sana na habari ambazo wewe huzijui.
Hapana haja ya sie kunasa hapa.

Yapo mengine mengi ya kuzungumza.
Tuendelee Insha Allah.
 
Yericko,

Kweli sina taarifa za Sheikh huyu.
Nitashukuru endapo utanipa taarifa zake zaidi.

Bakwata hawana chochote katika historia ya Uislam.
Kweli niamini.

Ama kuna kitabu cha Shekh Abdallah Saleh Farsy kina
taarifa ya masheikh wa Afrika ya Mashariki huyu Shehe
Issa bin Amir hayumo.

Msikiti Mkuu wa Zanzibar ni upi huo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…