Sio Uislam kama huu wa kwako.WC,
Uislam hauna ubaguzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio Uislam kama huu wa kwako.WC,
Uislam hauna ubaguzi.
Nina mashaka huyu si mwanafamilia na nyerere hata kidogo,anashindwaje kuwa na hata hotuba za marehem mzee wake?
Sio Uislam kama huu wa kwako.
Nimeipokea karibu yako mkuu wangu, lakini kamatulivyo wazanaki nilazima nimalize na kibwagizo chakuunena ukweli uliyohuru.Yericko,
Hebu kuwa mstaarabu mdogo wangu.
Nimekukaribisha jamvini kwa kikombe cha kahawa na
halua ya lozi kisha nimekutandikia kashda yangu ukalie..
Ijaza yangu ni kejeli na kunibeza!
Nitakusamehe tu ikiwa utanambia, ''Kaka mie hiyo halua ya
lozi siijui wala hiyo taadhima ''kashda'' sijua ni kitu gani.''
Hapo nitakusamehe vinginevyo nitakuona bado sana...
Hebu fikiri unamkirimu rafiki yako kwa kumfungulia chupa ya
pombe kisha badala ya kukupa ahsante anakukejeli ungejihisi
vipi?
My area of interest was from 1929 when AA was founded
to 1954.
Mwalimu came to Dar es Salaam in 1952 and was received
by Abdu Sykes.
I read all about Nyerere in Sykes' files.
But most important I did not want to embarass him.
I knew how sensitive he was to be associated with
his Gerezani past and TANU history.
Niliyasema siku nyingi sana. Huyu jamaa hana nasab na Mwalimu. Inawezekana akawa na jina "Nyerere" lakini udugu naye hana.
Tulitegemea ushahidi lukuki kutoka kwake, lakini hakuna lolote. Tunachoona ni mapovu, kejeli, utavu wa nidhamu and above all uweupe wa historia!
Wakati anaondoka mwaka 1946 kwenda Kusoma Uingereza aliondokea wapi?
You had no chance of embarassing him; ndio maana wengine tunacheka unapoita hii historia... How do you know he was sensitive to be associated with his Gerezani past?
Mzee kama kweli unadhamiria kuwaenzi viongozi wa uislamu Tanganyika waliopigania uhuru wa watanganyika wote bila kujali dini zao, basi simama kwanza na Shehe Issa bin Amir, sio hao wengine waliofuata nyayo za kiongozi huyu adhimu afrikaWC,
Nashukuru kuwa wewe yangu na ya Sivalon unayajua.
Kuna wenzako ndiyo leo wanayasikia.
Hawa ndiyo wananifanya nilale JF, niamke JF, nile JF.
Hakika Waislam wengi sasa wameelewa.
Nani alijua itafika siku vijana watataka kujenga msikiti
wauite ''Masjid Sheikh Hassan bin Amir,'' na wala hawakupata
kumuona Sheikh Hassan.
Wamemjua kwa kumsoma katika kitabu changu na kumsikia katika
mihadhara.
Leo kuna ''Sheikh Hassan bin Amir Award'' kwa wanafunzi bora
katika shule za Kiislam.
Fedha za award hii wanachanga Waislam wa nchi nzima.
Haya yote baada ya Sheikh Hassan kufariki miaka mingi.
Alhamdulilah.
Hii ni faraja kubwa.
Nimepata kuhudhuria mchezo wa kuigiza wa Maisha ya Sheikh Hassan..
vijana wanaigiza sheikh yuko darasani anasomesha...
wanaingia Abdu, Dossa na Nyerere...
Anawapokea...
Waikela anamsomea Nyerere ile khutba maarufu ya mwaka 1963
''Moto wa Waislam Ukiwaka.''
Machozi yalinitiririka...
na ni vitoto vidogo hivi...
Mzee kama kweli unadhamiria kuwaenzi viongozi wa uislamu Tanganyika waliopigania uhuru wa watanganyika wote bila kujali dini zao, basi simama kwanza na Shehe Issa bin Amir, sio hao wengine waliofuata nyayo za kiongozi huyu adhimu afrika
Mzee Mwanakijiji,Pole mzee mwezangu; tatizo la msingi hapa ni kuwa hubishani na mimi hata kidogo. Ninaijua historia ya Tanganyika kwa kiasi kikubwa sana kuliko historia ya wazee wa Dar. Katika hilo la wazee wa Kiislamu wa Dar sidhani kama kuna mtu anakupita. Lakini kwenye historia ya Tanganyika nzima tunaweza kuzungumza hadi mtondogoo. Lakini hili hapa wala sikuwa nakukejeli au kudharau mchango wa wazee wetu.
Miye naipenda historia sana na nimeisoma vizuri tu na ninaendelea kujifunza. Wewe ulisema ulimwambia mwalimu wako chuuoni kuwa ni Abdul Sykes aliyeanzisha TANU na yeye akapigwa na mshangao. Sasa hilo ni dai (claim). In argumentation sir, once you make a claim you need to give evidence of it to make it valid. You just don't make a claim and leave it hanging there na watu wapokee tu.
Vinginevyo you need to learn qualifying claims - don't give generalized claims which can me misconstrued as attempts at deception. Labda niulize swali ambalo jibu lake siyo simulizi refu na unaruhusiwa kuqualify: Unaamini Abdul Sykes ndiye aliyeanzisha TANU?
Jibu ni 'ndiyo' au 'hapana' au ukipenda unaweza kuqualify statement yako ya awali na itakuwa vyema tu.
Anaitwa YERICKO XNiliyasema siku nyingi sana. Huyu jamaa hana nasab na Mwalimu. Inawezekana akawa na jina "Nyerere" lakini udugu naye hana.
Tulitegemea ushahidi lukuki kutoka kwake, lakini hakuna lolote. Tunachoona ni mapovu, kejeli, utavu wa nidhamu and above all uweupe wa historia!
Huyu siyo mtoto wa Julius Kambarage Nyerere...ni mtoto wa Nyerere mwingine. watoto wa Kambarage Nyerere hawa hapa chini.
[TABLE="class: infobox vcard, width: 22"]
[TR]
[TH="align: left"]Spouse(s)
[/TH]
[TD]Maria Nyerere
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Children
[/TH]
[TD]
7
[/TD]
- Andrew
- Anna
- Magige
- John
- Makongoro
- Madaraka
- Rosemary
[/TR]
[/TABLE]
Yericko,
Huyu Shehe Issa bin Amir mbona hafahamiki?
Hebu tupe taarifa zake zaidi.
Vipi kuhusu haluwa ya lozi na kashda na kuniadhir.
Hutaki hata kuomba radhi?
Mods wapo makini sana, jf nitofauti sana na vijiwe vya facebook nk, huo ni udhalilishaji mkuu, hukusoma sheria za jf unapojiunga? naamini sheria itachukua mkondo wakeAnaitwa YERICKO X
Wakati anaondoka mwaka 1946 kwenda Kusoma Uingereza aliondokea wapi?
You had no chance of embarassing him; ndio maana wengine tunacheka unapoita hii historia... How do you know he was sensitive to be associated with his Gerezani past?
Anafahamika vema, taarifa zake zipo, makao makuu ya kanisa katoliki Tanzania wanamjua na wanamheshimu sana na kumuenzi, laiti angalikuwa mkatoliki angeshakuwa mtakatifu kama wengine waliojitolea kwa jamii zao.
Ninaamini Bakwata nao wanazo taarifa zake, hasa msikiti mkuu wa Zanzibar,
Ninashangaa kwa mtafiti wewe wa masuala ya dini na siasa leo unasema humjui mtu huyu aliyehudumu kuanzia miaka ya 1914-1953
Nimeipokea karibu yako mkuu wangu, lakini kamatulivyo wazanaki nilazima nimalize na kibwagizo chakuunena ukweli uliyohuru.