Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Muhammad Ali:

"No, no, no. It was just me. You're not forced to believe or to be a follower. You just have to do what's in your heart."
 
Yangetimia haya, kitabu cha Sheikh Mohamed kisingekuwepo. Kama kingekuwepo angempamba kuliko wazee wake hawa. Mungu hakutaka. Imetusaidia kukutana na Mohamed humu.

Hehee kibaya zaidi bwana Mohamed Said ameviacha visa vingi sana vyakweli vyenye kumtukuza Mwalimu aambavyo vimetukia akiwa katikati ya kiwango cha juu kabisa cha siasa za ndani akielekea kulikomboa taifa,

Sijajua kaviacha kwa makusudi tu au havijui visa hivyo?

Namsifu sana Mohamed Said kwa usanifu wake uliotukuka, namuweka kundi moja na akina Musiba, Shaban Robert na wengine!
 

Sikujuwa kama Sal Davis ametowa Kitabu or was it an interview? Kuna wakati nilikuwa kwenye mambo ya music tulikuwa karibu sana, akinipa ideas na ushauri mwingi sana.
 
zomba, Mohamed Said, sweke34,

..lakini huu Uislamu wa kina Mohamed Ali, Elijah Mohamed, na the whole Nation of Islam, nadhani una mushkel kidogo.

..kiongozi wa Nation of Islam alikuwa akiitwa "Prophet" Elijah Mohamed, sasa sijui nyinyi wenzangu mnalichukuliaje suala hilo.

..Malcolm X alianza kuonyesha uelekeo wa kuachana na Nation of Islam na inasemekana ndicho kilichopelekea akauawa.
 
Last edited by a moderator:

Qur'an 17:15

Sahih International

Whoever is guided is only guided for [the benefit of] his soul. And whoever errs only errs against it. And no bearer of burdens will bear the burden of another. And never would We punish until We sent a messenger.

Swahili
Anaye ongoka basi anaongoka kwa ajili ya nafsi yake. Na anaye potea basi anapotea kwa khasara yake mwenyewe. Wala habebi mbebaji mzigo wa mwengine. Wala Sisi hatuadhibu mpaka tumpeleke Mtume.
 
Kama umekisoma 'The Autobiography of MALCOLM X' utajua kuwa Uislam wake ulikuwa wa 'kimagumashi' na hata hao akina Muhammad Ali waliingia mkenge tu.
 

So what?
 
OIC haina nia ya kusaidia waislamu, huo ni usanii tu, ingekuwa na nia kweli na waislamu ingeruhusu taasisi za kiislamu zijiunge, ila haitaki, inataka nchi ndio ijiunge, Kwanini itake nchi ambayo ina wasio waislamu kama kweli lengo lake ni kusaidia waislamu?, Lengo la OIC ni kupata nchi kwa mgongo wa waislamu, waislamu shtukeni.
 
Sikujuwa kama Sal Davis ametowa Kitabu or was it an interview? Kuna wakati nilikuwa kwenye mambo ya music tulikuwa karibu sana, akinipa ideas na ushauri mwingi sana.

Hiki ni kitabu tunakiandika.
Sal ana very interesting story.

Kuna wakati tukiishi milango yetu ya nyumba
ikiangaliana.

Hapo ndipo tulipojuana vizuri.
Kila nilipopata wasaa nilimdadisi kuhusu maisha yake.

Yeye katoka ukoo wa Kisharifu.

Kwa mara ya kwanza alikutana na Ali London kama
alivyoeleza.

Hii ni 1963.

Kisha akakutananae tena Frunkfurt Ujerumani na
walijenga urafiki mkubwa.

Nilipenda ku share hii na wana ukumbi.
 
zomba,

..kwa mtizamo wangu hili kundi la Nation of Islam lilikuwa kama CULT fulani, huku wakiwa wameweka msisitizo mkubwa ktk kumtukuza "Prophet" Elijah Mohamed. inabidi muwe waangalifu na makini kidogo kuihusisha Nation of Islam na Uislam.

sweke34,

..lakini Malcolm X alikuja kuwashtukia kina Elijah Mohamed.

..sasa kilichomtokea baada ya kuchukua muelekeo huo sote tunakijua.

..Mohamed Ali naye alitaka kuhamia kambi ya Malcolm X lakini sikumbuki ni kitu gani kilimzuia.
 
nimeshangaa tupo page ya 227 na bado hamna hoja inayojibiwa kwa hoja yenye mashiko, watu wanazunguka mlemle tu.

haya yote anasababisha mohamed utakuta mtu kajipinda kaandika hoja za msingi.. Hilo jibu atakalopewa!
 
haya yote anasababisha mohamed utakuta mtu kajipinda kaandika hoja za msingi.. Hilo jibu atakalopewa!
yaani wee acha tu! utasikia mara waulize wao,
mara niliishi naye karibu nmba zetu zikitizamana, yaani majibu na hoja tofauti.
 
THE BIG SHOW at work!!!
 
Kwakujikumbusha tu juu ya Tanganyika ilipowekwa chini ya utawala wa mfumo Kristu 100% ni hivi,

Maeneo yaliyoitwa baadaye "Tanganyika" yaliunganishwa mara ya kwanza tangu mwaka 1886 kama koloni ya Ujerumani iliyoitwa Afrika ya Mashariki ya Kijerumani. Kabla ya kufika kwa ukoloni kulikuwa na madola madogo mbalimbali na maeneo madogo ya kikabila. Kanda la pwani pamoja na njia za misafara kuelekea Ziwa Tanganyika vilikuwa chini ya athira ya Usultani wa Zanzibar.

Tangu 1885 Karl Peters kwa niaba ya Shirika la Ukoloni wa Kijerumani (Gesellschaft für Deutsche Kolonisation) alianza kufanya mikataba na watawala wa kienyeji katika maeneo ya Usagara, Nguru, Useguha na Ukami iliyoweka msingi kwa madai yake ya kuchukua utawala mkuu wa maeneo haya.

Uenezeaji wa Wajerumani uliendelea hasa baada ya kushinda upinzani katika vita ya Abushiri na vita inayoaminika kuwa ndiyo vita kubwa zaidi ya kijadi ilyowahi kupiganwa tangu ulimwengu uumbwe iliyoongozwa na Mkwawa Mnyigumba Mwamuyinga wa Uhehe.

Koloni ile ya kijerumani ilikuwa kubwa zaidi kuliko Tanganyika ya baadaye maana ilijumuisha pia maeneo ya Rwanda na Burundi pamoja na sehemu ndogo ya Msumbiji.

Wakati wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia (1914 - 1918) koloni hii ya Kijerumani ilitekwa na jeshi za Uingereza na Ubelgiji. Mkataba wa Versailles wa 1919 ulikuwa na kanuni za kuchukua koloni zote za Ujerumani na kuzikabidhi kwa mataifa washindi wa vita. Sehemu kubwa ya Afrika ya Mashariki ya Kijerumani iliwekwa chini ya utawala wa Uingereza, kasoro maeneo ya Rwanda na Burundi yaliyokabidhiwa mkononi mwa Ubelgiji.

Hao wote waliendelea kutawala kwa mfumo kristu,

Ni mwaka 1961 tu baada Mwalimu Julus Kambarage Nyerere yakulipatia Uhuru taifa letu takatifu, ndipo akaleta mageuzi ya pekee kwa KUUONDOA mfumo huo na kusimika mfumo wa usawa kwa wote!
 
haya yote anasababisha mohamed utakuta mtu kajipinda kaandika hoja za msingi.. Hilo jibu atakalopewa!
Wanamuangusha wafuasi wake hapa, lakini anajitahidi kujibu hoja zile zenye saizi yake!
 
Last edited by a moderator:



A short list of notable or famous, Anglo-Saxon and/or Caucasian Muslims throughout Islamic history and the world today. Please Note: Photographs are of the individual named directly ABOVE them.
Imam Shamil (Legendary Daghestani Resistance Leader)


Muhammad Ali, Pasha of Egypt (Ottoman Ruler of Egypt from Albania)


Nerkesi Muhammed of Sarajevo (Bosnian Scholar)

Colonel Donald S. Rockwell (Poet and Author)


Shaykh Mansur (Chechen Muslim Mystic and Warrior)

Lord Headley al-Farooq (British Statesman, Lt. Colonel, Ed. of Salisbury Journal)


Gen. Charles William Buchanan Hamilton (Royal Navy, nephew of former US President James Buchanan)


Safvet beg Basagic Redzepasic (19th century Poet and Scholar)


Haji Zeynalabedin Taghiyev (philanthropist, oil magnate)
Read about his life Here


Muhammad Asad Leopold Weiss (Austrian journalist, statesman, and one of the leading Muslim scholars of the 20th century)


Marmaduke Pickthall (Bristish Muslim and Translator of Qur'an into English)
Buy his translation of the Qur'an HERE


Muhammad Alexander Russell Webb (19th century Journalist/former US Diplomat to the Philippines)
Brother Webb is said to be the first white American convert to Islam


Dr. Murad Wilfred Hofmann (Former German Ambassador, Director of Information NATO)


Knud Holmboe (Early 20th Century Danish Journalist)


Yusuf Islam (formerly known as Cat Stevens)


Aminah Assilmi (Former radical feminist, American convert/lecturer)


Imam Hamza Yusuf (American Muslim Scholar, co-founder of the Zaytuna Institute)


Sheikh Yusuf Estes (National Muslim Chaplain of America, former Christian missionary)


Ibrahim Hooper (former Director of CAIR)

Dr. Gary Miller (former Christian missionary, mathematician, theologian, and writer)

Ruqayyah Waris Maqsood (Formerly known as Rosalyn Kendrick)


Nuh Ha Mim Keller (American writer, translator, and scholar)

Nancy Ali (Former Roman Catholic Nun)

Joe Ahmed Dobson (son of British Secretary of State for Health, chairman of the Muslim Council of Britain's Regeneration Committee)

Abdal Hakim Murad (Muslim Scholar)


Khalid Blankinship (Chairman of Religion Dept. at Temple University)


Mario Scialoja (former Italian ambassador to Saudi Arabia [1994-95], head of Italy's Muslim League)


Torquato Cardeilli (Italy's current ambassador to Saudi Arabia)

Micheal Wolfe (Author, Film maker)
Buy Micheal's book "The Hajj" (about his pilgrimmage to Mecca)

Abdul Lateef Whiteman (Musician)


Viacheslav Polosin (former archpriest of the Russian Orthodox Church)


Khadijah 'Sue' Watson (Former fundamentalist Protestant pastor)

Sahib Mustaqim Bleher (Co-founder Islamic Party of Britain, Ed. "Common Sense")


David Musa Pidcock (Co-founder Islamic Party of Britian, Institute of Rational Economics)


Eric Shrody, aka "Everlast" (Musician)


Dr. Martin Lings (Author/Scholar)

Dr. Vincent Mansur Cornell (Scholar/Historian)


Daniel Abdal-Hayy Moore (American poet)
Visit his poetry site


Christine Huda Dodge (Writer, Educater, Website Host "Islam at About.com")
Read the story of her conversion

Lady Evelyn Zeinab Cobbold (British convert, featured in the book "Islam Our Choice")

Jeffrey Lang (Speaker/Author/Mathematics Professor @ University of Kansas)


Hakim Archulletta (Traditional Islamic healer/Specialist in Homeopathic Medicine)

Dr. Ingrid Mattson (VP of Islamic Society of North America, Prof. at Hartford Seminary)


Peter Sanders (famous photographer)


Alan Godlas (Prof. of Islamic Studies at U of Georgia)

Sofia Godlas (Artist, Consultant for the reconstruction of the Prophet's Masjid in Madina)

Daniel Hill (former Afghan Mujahid, anti-terrorism agent)

Charles Yarborough (the current Earl of Yarborough)
Jonathan Birt (the son of former director of the BBC, John Birt)
Charles Le Gai Eaton (former British diplomat)

John Nelson (first Englishman to convert to Islam in the 16th century)
Shaykh Abdullah Quilliam (Famous British Muslim activist and religious leader)
READ about more about Shaykh Abdullah

Alex Kronemer (produced PBS documentary "Muhammad: Legacy of the Prophet")

Alija Izetbegovic (the former president of Bosnia, led Muslim resistance against Molosivic, and author)

Hedley Churchward (painter, set designer, first known British Muslim to make Hajj around 1910)

Amherst Tysson (British writer and poet, lawyer)
Yvonne Ridley (British journalist, formerly held captive by Taliban)

Sh. Umar Faruq Abdullah (founder of the Nawawi Institute in Chicago and scholar)

Aisha Bewley (translator, writer and poet; teacher of Islamic law in England)
Kabir and Camille Helminski (translators of Rumi's poetry, writers, artists)

Shaykh Mustafa Ceric (Chief Alim of Bosnia)
Read About Ceric

Julien Jalaleddin Weiss (Musician, performs with the al Kindi ensemble)

Shaykh Shahidullah Faridi (British Sufi Shaykh of the Sabriyya Chisti Order)
Ian Dallas, aka Abdulqadir al-Murabit (Scottish convert, actor and author)
Shems Friedlander (scholar, film maker)
S. Abdullah Schleiffer (poet, journalist)
Yahiya Emerick (scholar & author)
Suhayb Webb (scholar)
Dawud Wharnsby Ali (musician)

Dr. Jerald Dirks (scholar & author)

Rene Guenon (French intellectual & co-founder of Traditionalist School)
Frithjof Schuon (intellectual, artist, & co-founder of Traditionalist School)
As noted above, this is a list of famous and NOTABLE Caucasian Muslims, meaning not all of them are necessarily "famous" but have received attention because of their own unique stories or contributions to the Muslim community.
Have someone I should add to the list? e-mail me! whitemuslims_webmanager@yahoo.com
PLEASE NOTE: I started this website back in 2000, and no longer have the time to actively update it. So you can send me your suggestions but I may not respond or update the site. Sorry.
 

Sweke,

Unanisikitisha jambo moja.
Lugha yako.

Hapa kuna mada nzuri ambayo sote tungeweza kunufaika.
Hebu acha hizo lugha za "mkenge."

Kuna kitabu kipya cha Malcom X kaandika Manning Marable.
Hiki kitabu kimechapwa 2011.

Kinaitwa "Reinventing Malcom X.

Ni tofauti na kile cha Alex Hailey.

Kile cha Hailey kilitoka baada ya Malcom kuuawa na Hailey
akatumia mwanya ule kubadilisha mambo mengi.

Hiki kitabu kipya kina mengi kuhusu Malcom na ugomvi wake
na Elija Muhammad.

Lakini Malcom alibadilika sana baada ya kwenda Hijja huko ndiko
alipouona Uislam wa kweli na hata siasa zake zikachukua mwelekeo
mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…