Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Naona umezidi ngoja nikueleze kisa kimoja kilichonifanya nikufananishe na ABUU JAHAL huyu bwana skumoja walikuwawanapanga njama ya kumuua mtume muhamad (s.a.w) akawa anawaambia makafiri wenzake tuongeeni taratibu mungu wa muhamad asisikie mipango yetu kabla ya hapo makafiri walikuwa wanamuita ABUL HAKAM(BABA WA HEKIMA) mtume kuanzia sku hiyo akamuita ABUU JAHAL na wewe nilikua nakuona unaakili sana sasa hivi nakuona ni IGNORANT
 

Yericko,

Vuta subira kitabu cha Nyerere kipo njiani.
Huenda yeye mwenyewe kajitetea.

Tusiwe na haraka.
 

Naona darsa limekuingia mpaka umebadili msimamo kutoka kwenye uchochezi mpaka kwenye nadharia.
 
Ami,
Ndugu yangu upo.

Chukuwa haya maneno kama zawadi kutoka kwa ~ Ali Vyacheslav Polosin.

"Uislam ni dini ya Mapinduzi"
na huu ndo msingi mkuu wa aya za Mohamed Said kazi yenu ni mapinduzi kila uchao.
 
Last edited by a moderator:

MD25,

Wazee wangu waliishi na Nyerere kwa takriban miaka 10.

Wameniambia hata aina ya sigara alokuwa akivuta na bia
aliyokuwa akipenda kunywa.

Waliachana na Nyerere mwaka 1963 alipopiga marufuku Baraza
la Wazee wa TANU kwa kisingizio kuwa walikuwa wanachanganya
''dini na siasa,''

Hapo wazee hawa wakjiweka mbali na yeye na mmoja baada
ya mwingine wakafa mpaka wakesha wote.

Katika waliokufa mwisho mwisho miaka ya 1990 alikuwa Sheikh
Haidar Mwinyimvua baba yake Sheikh Ahmed Haidar Imam wa
Msikiti wa Mwinyi Kheri Akida uliopo Titi Street.

Nikikwambia kuwa Mwinyikheri Akida ni katika babu zangu wakuu
utasema Mohamed hebu punguza.

Huyu kafa mid 1880s na habari zake tunazifahamu.

Baadhi ya makaburi ya ndugu zake Mwinyi Kheri Akida yapo Ikulu
Magogoni.

Mengine yapo ndani ya Msikiti wa Maamur Upanga.
Ile Upanga yote ilikuwa ya kina Tambaza na vitukuu viko hadi leo.

Wazee wangu wameniachia hazina kubwa ya kumbukumbu.
 
Yericko,

Vuta subira kitabu cha Nyerere kipo njiani.
Huenda yeye mwenyewe kajitetea.

Tusiwe na haraka.

Mkuu swali langu lililenga mtazamo wako na matumizi ya nadharia juu ya Mwalimu Nyerere!

Ujio wakitabu cha Nyerere ni jambo lingine mkuu!
 
kumbe ndo maana nchi za kiislam haziishi vita.
Vita vitaishaje wakati watu wenyewe wapo kama hivi

By Ritz


Wala kujaribu tu kuingia hawawezi.
Hapo Ritz anatamba shehe wa Bakwata hawezi kuingia kwenye misikiti yao(Siyo ya Bakwata).
Vita haviwezi kwisha na hawa watabaki hivihivi mpaka tunatangulia mbele ya haki. Wanadanganyana eti tatizo lao ni Mfumo kristo kumbe hata kutengeneza umoja wao unaoleweka ni kazi kubwa. Jana tumesikia mbunge anataka mahakama ya kadhi wakati mahakama zenyewe zimeshaanzishwa na makadhi wanachaguliwa...yaani mpaka wanatia huruma...
 

Wewe una nini cha zaidi?
 
Mag3,

Huo mdahalo wa Nixon na Kennedy mwaka 1961 unasema ulikuwa unaufuatilia labda tujuze ulikuwa unaangalia kwenye TV gani.

imeandikwa wapi; mjadala unafuatiliwa kwenye TV tu??
 
Last edited by a moderator:
Congo, Rwanda, Haiti, Burundi, Uganda, Sierra Leone, hizi zote nchi za Kiislam.

kwahio wao wamefanya ujinga wa kuingiza mambo ya dini kwenye mfumo wa nchi na sie ndio tuwaige!? Acha kuwa na upeo finyu kama wa Illunga
 
Mohamed Said,huu msikit wa maamur,upanga ndio upi au ndio wa tambaza?? Upanga ipi hasa ilikuwa mali ya tambaza,maana in many places upanga kuna nyumba za kijerumani which my take could not have belonged to Tambaza
 
Last edited by a moderator:
Siliilii na kulalama hovyo kama 'jike'

Hapa ndiyo tofauti yangu na yako makuzi yetu tofauti nikikujibu naweza kuwa nawakosea heshima wazee wako siyo vizuri. Naheshimu fikra zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…