Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
- #4,821
Mmmmmh nabaki kushangaa tu! Sawa mkuu tusonge mbele mwanaharamu apite!Y,
Hilo ndilo jibu langu.
Ehee kitabu hicho kinaandikwa na nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmmh nabaki kushangaa tu! Sawa mkuu tusonge mbele mwanaharamu apite!Y,
Hilo ndilo jibu langu.
Mohamed Said,huu msikit wa maamur,upanga ndio upi au ndio wa tambaza?? Upanga ipi hasa ilikuwa mali ya tambaza,maana in many places upanga kuna nyumba za kijerumani which my take could not have belonged to Tambaza
Mmmmmh nabaki kushangaa tu! Sawa mkuu tusonge mbele mwanaharamu apite!
Ehee kitabu hicho kinaandikwa na nani?
nauliza kufahamishwa,kabla ya kuitwa muhimbili,hospital iliitwa sewa haji,baadaye ikaitwa princess margerat-sasa huyo TAMBAZA itakuwa mwaka gani?maana years dont add upKwa kukuongezea mpaka eneo la Muhimbili Hospital lilikuwa mali ya Tambaza.
Unauliza kubisha au unauliza kufahamishwa.
Sahib yangu Yericko Nyerere,
Mbona unaniangusha?
Baba yetu anaandikiwa kitabu na Kamisheni ya Sayansi na Teknolojia ndiyo
wafadhili wewe huna habari hii muhimu...
Mbona ilitangazwa kwenye Kigoda Cha Mwalimu Nyerere na wanaoshughulikia
hiyo ni Prof. Saida Othman Yahya na Prof. Issa Shivji.
Kitabu kipo njiani ndugu yangu.
Huenda nami nikafanyiwa mahojiano maana wameambiwa nina nyaraka na taarifa
nyingi kuhusu siku za awali za Nyerere Dar es Salaam.
Ndiyo nakuambia sahib wangu jitulize usome kwanza kisha ndiyo uingie katika mnakasha.
kitu kimoja nakusifu-you have got a way with words,you always cunningly wriggle out of tight cornersHapana si neno langu na Nyerere.
Ni neno la Nyerere na Abdu Sykes.
Ritz kama mkakati ulikuwa fursa ya kueleza, nadhani ni mkakati mbovu sana maana hata wale waliokuwa na shaka sasa hawana shaka tena!Naona umeamua kujifariji na kujiliwaza hakuna nondo za kumkimbiza Mohamed Said, hujui kama watu walikuwa wanatafuta hii nafasi ya kueleza haya.
Wewe upo hapa kutetea Ukirstu wako na Mohamed Said yupo hapa kutetea Uislam hakuna haja ya kutishana wasomaji ndiyo wataamua.
Mohamed Said kaamua kula JF, kulala JF, kushinda JF, halafu unasema bado kidogo akimbie wakati yeye kaamua kutoa dasra.
Watu wanatamani huu munakasha uendelee hata mwaka.
nauliza kufahamishwa,kabla ya kuitwa muhimbili,hospital iliitwa sewa haji,baadaye ikaitwa princess margerat-sasa huyo TAMBAZA itakuwa mwaka gani?maana years dont add up
Ritz kama mkakati ulikuwa fursa ya kueleza, nadhani ni mkakati mbovu sana maana hata wale waliokuwa na shaka sasa hawana shaka tena!
Ame adulterate kila kitu na kufanya watu wasome wakiwa na macho mawili. Hizi ndizo mbinu za ajabu sana halafu huyo mwenye mbinu hizi ndiye kiongozi wa waislam kwa mujibu wake. Please Waislam deserve better than that!
Ukitulia kwaumakini utagundua mengi sana yaliyopandwa bila kuwa halali katika historia ya nchi hii,
Mzee Mohamed Said amewapanda watu katika mkkumbo wa wapigania uhuru hata ambao hawakkushiriki tu, ilimradi tu walikuwepo enzi za harakati basi waiitwe wapigania uhuru!
Baadhi ya wazee anaowalilia Mohamed Said hawakusikika wala kuhisiwa kuwepo kwenye mbio za kuusaka uhuru, alichokifanya Mohamed ni kuwakusanya wale mashekhe waliokuwepo enzi za harakati na kuwachanganya na kundi la ukombozi kwamgongo wa dini tu!
wonders will never cease,yaani mohamed Said anaona Kissinger na Prof Mazrui wanampaka Nyerere siagi!!
"Dr. Henry Kissinger, an arrogant intellectual, acknowledged Nyerere's brilliance and was even outwitted by him during the Rhodesian crisis as documented by the author (see Appendix IV). He also got a potent "dose of African nationalism," as David Ottaway wrote in The Washington Post, when he met President Nyerere in Tanzania in 1976 to discuss the Rhodesian crisis. They differed on how to resolve it, prompting reporters to ask Nyerere if he thought Kissinger's mission to Africa was a failure. As David Ottaway who covered the event wrote in The Washington Post: "Nyerere responded professorially by saying, 'A mission of clarity is not a mission of failure.' " Kissinger, a former professor at Harvard, got a good lecture on African nationalism and the Rhodesian crisis from Nyerere, a man of immense intellect Africa will always be proud of. He was indeed a colossus who did bestride this narrow world, as Kenyan Professor Ali Mazrui put it in his moving tribute to one of the giants of this century.
Bw. Said, mke wa marehemu Abdul aliwahi kumsikia mumewe akimtuhumu Nyerere kuwa alikuwa na njama dhidi ya Uislamu au Waislamu?
Bw. Said, mke wa marehemu Abdul aliwahi kumsikia mumewe akimtuhumu Nyerere kuwa alikuwa na njama dhidi ya Uislamu au Waislamu?
Ame adulterate kila kitu na kufanya watu wasome wakiwa na macho mawili. Hizi ndizo mbinu za ajabu sana halafu huyo mwenye mbinu hizi ndiye kiongozi wa waislam kwa mujibu wake. Please Waislam deserve better than that!
MM,
Nimekuchoka.
Hata kukunyamazia pia huelewi.
Nimekuchoka.
Nyerere, Nyerere, Nyerere...
Nimeweka hapa paper ya Islam and Terrorism huna la kusema
nami nimeichambua Sheria ya Ugaidi na Kanisa?
Wewe umekuwa kichwa cha gramafoni na santuri yenye shimo?
Nyerere, Nyerere, Nyerere...
Ha ha haaaaaaaaaaaaaa mzee Mohamed umenifurahisha umemwambia bwana mdogo atulize baal kabla kuingia kwenye mnakashSahib yangu Yericko Nyerere,
Mbona unaniangusha?
Baba yetu anaandikiwa kitabu na Kamisheni ya Sayansi na Teknolojia ndiyo
wafadhili wewe huna habari hii muhimu...
Mbona ilitangazwa kwenye Kigoda Cha Mwalimu Nyerere na wanaoshughulikia
hiyo ni Prof. Saida Othman Yahya na Prof. Issa Shivji.
Kitabu kipo njiani ndugu yangu.
Huenda nami nikafanyiwa mahojiano maana wameambiwa nina nyaraka na taarifa
nyingi kuhusu siku za awali za Nyerere Dar es Salaam.
Ndiyo nakuambia sahib wangu jitulize usome kwanza kisha ndiyo uingie katika mnakasha.
MM,
Nimekuchoka.
Hata kukunyamazia pia huelewi.
Nimekuchoka.
Nyerere, Nyerere, Nyerere...
Nimeweka hapa paper ya Islam and Terrorism huna la kusema
nami nimeichambua Sheria ya Ugaidi na Kanisa?
haya majibu,haya majibu -inabidi ujue tofauti ya kariakoo shimoni na JF,street wise answers humu si mahali pake-lazima unajua kwamba watu wanafuatilia sana-either kaa kimya au jibu kiungwana,kebehi za kimjini hapa si mahali pakeMM,