Ritz nasubiri jibu,Sewa Haji paroo katoa hela hospitali ikajengwa1897,sasa huyo Tambaza ali own hii ardhi ya muhimbili lini??????????????? Au na wewe mdomo unaenda kinywani kwa "hear say"
Siyo lazima uniamini kama unaona uongo basi unaweza kupuuza tu.
Halafu acha kufanya Palagrim maandishi yako karibia yote unayoweka humu jamvini ni Palagrim ukiwe sema ulipoyatoa watu wameumiza vichwa kuandika.
Data zako zote zinatoka Julius Nyerere Wikipedia halafu usemi acha hiyo tabia.
Ritz,
For your information Nyerere hajawahi kukiri kuwa siasa zake zilishindwa. Hiyo quote kutoka Wikipedia imepandikizwa na huwezi kuipata popote pale penye authoritative ya kauli za Nyerere, including hotuba zake na Radio Tanzania, na mahojiano na waandishi habari wa mataifa mbalimbali. Simply said, he has never said that or called himself a failure. Halafu hata kazini kwetu tulitahadharishwa siku nyingi kuitumia Wikipedia kama authoritative source kwa sababu mtu yeyote anaweza kupost kitu kule. Nimeona niliweke hili sawa kwa sababu ni mara ya pili au zaidi una claim Nyerere kakiri kuwa siasa zake zimeshindwa.
Siyo lazima uniamini kama unaona uongo basi unaweza kupuuza tu.
Halafu acha kufanya Palagrim maandishi yako karibia yote unayoweka humu jamvini ni Palagrim ukiwe sema ulipoyatoa watu wameumiza vichwa kuandika.
Data zako zote zinatoka Julius Nyerere Wikipedia halafu usemi acha hiyo tabia.
Mkuu tembelea tovuti ya Maryknoll Sisters ndiko utapata hayo sio wikipediae walikopandikiza uongo mwingiJulius Nyerere - Wikipedia.
Hizi habari ndiyo unazitoa huko tatizo unachagua habari za kuleta.
Wanaukumbi kuna habari zingine zipo huko Nyerere mwenyewe kakiri siasa zake zimeshindwa unaweza ku-google tu Julius Nyerere Wikipedia.
Jasusi,
Hayo maneno mwambie Son of Alaska, ndiyo anatujazia mabandiko ya Julius Nyerere - Wikipedia kama uamini ingia uone.
Kuhusu siasa za Nyerere kushindwa mbona lipo wazi amekiri mwenye tafuta hotuba yake ya kuaga mwaka 1985 kasema mwenyewe.
Hotuba yakuaga ya novemba 5. 1985 hiyo hapo juu ya rangi ya bluu, wapi aekiri hayo?Jasusi,
Hayo maneno mwambie Son of Alaska, ndiyo anatujazia mabandiko ya Julius Nyerere - Wikipedia kama uamini ingia uone.
Kuhusu siasa za Nyerere kushindwa mbona lipo wazi amekiri mwenye tafuta hotuba yake ya kuaga mwaka 1985 kasema mwenyewe.
Mkuu tembelea tovuti ya Maryknoll Sisters ndiko utapata hayo sio wikipediae walikopandikiza uongo mwingi
Are you really serious? Kweli M Said kawaweza; kawaaminisha kuwa watu hawa wote yeye ndio kawataja kwa mara ya kwanza katika historia. Na la kusikitisha zaidi ni kuwa mpo mnaoamini kabisa kuwa Mohammed Said ndiye mtu wa kwanza kuwataja watu hawa na nafasi yao katika historia. That is really sad. Ukiondoa majina machache ambayo labda yanahusiana na watu wa Gerezani na Kariakoo majina ya washirika wa harakati za Uhuru kutoka sehemu mbalimbali nchini yanajulikana kwa muda mrefu yameandikwa kwa kiasi kikubwa tu.
Alichofanya Mohammed Said katika kujaribu kuiandika upya historia hiyo ni kuwagawa wazee wetu kwa misingi ya dini (Waislamu Vs. Wakristu). Anafanya kile ambacho baadhi ya wazee wake wa Kariakoo walijaribu kukifanya mwaka 1958 walipojaribu kuzigawanya harakati hizo za uhuru kwa misingi hiyo ya dini na matokeo yake wakatimuliwa miaka michache baadaye.
Kama unaamini kuwa Mohammed Said ndiye anawataja hawa - tena kwa dharau kuwa hawakuwa na central role kwenye harakati hizo ila wanatajwa tu kama waigizaji kwenye mchezo wa kuigiza - it is in itself tragic.
ingia hapo Ritz,believe me utamgeuka MS, Maryknoll Africa - History: Buffaloes - National Church
MIMI naona unaathirika na "fall out ya madras" sasa world wide web kazi yake nini???si ni kushare knowledge hili hata mliochelewa, mu play catch upYericko Nyerere,
Kote huko mie nimepita na napita kila siku. Ninachokuambia huyu Son of Alaska, mwambie humu kuna watu wanachimba anachofanya anajidhalilisha siyo leo tu. Fuatilia maandishi yake yote ni kazi za watu halafu asemi kayatoa wapi mpaka hizo picha zote anazoweka humu najua anapozitoa au na mie nikuwekee uamini.
si vibaya ukitupatia ushahidi wa qalipotatwa hao amabao unadai sii mara ya kwanza kutajwa na mohammed said.
pole mkuu kwa kazi uliyonayo kubishana na hao watu ni wavivu wa kufikiri wanajua kukariri ile minyoo yuNdio ninaita uvivu wenyewe huo; tafuta vitabu vya historia ya Tanganyika.... kweli mnaamini Mohammed Said ndio mtu wa kwanza kuandika historia ya harakati za Uhuru? This is rather sad. Kama uko karibu na Maktaba yoyote nenda ulizia vitabu vya historia ya harakati za Uhuru wa Tanganyika.
Na ukitaka kutafuta vitabu vya baadhi ya wazee wa Kiislamu walioshiriki kwa kiasi kikubwa watu kama kina Shehe Mohammed Ramia wa Bagamoyo tafuta kitabu cha August Nimtz (kimechapwa mwaka 1980). Ungekuwa karibu yangu niingekuazima vya kwangu. Wengine tunamkosoa Mohammed Said kwa sababu tunajua amewataka nyara watu ambao hawajui kutafuta ukweli wa historia na badala yake wanasoma historia wakiongozwa na hisia.