kichwakigumu
Senior Member
- Oct 10, 2008
- 122
- 52
Kile cha Kivukoni hakikutokana na simulizi za jamii moja na kisha mtu akajifungia chumbani kwa mkewe kukiandika!
Unajua Ritz,
Utafiti wa mtu mmoja unaokubalika bila ubishi ni ule wa kisayansi kwa sababu unathibitishwa kimaabara na kujaribiwa kunakohusika.
Utafiti wa HISTORIA ni mgumu sana kuuthibitisha hasa ukiwa umefanywa na mtu mmoja na mashahidi wake wote ni MAREHEMU!
Utafiti wa mzee wetu Mohamed uliozaa kitabu chake kile utabaki kuwa simulizi tu na ndio maana kila anachoulizwa anakirudia kitabu chake hichohicho na mistari michache ya akina Padre Sivalon.
Niombe radhi bila kuifuta kauli yangu hii kwa wote niliowaudhi. Ukweli wakati mwingine unaudhi sana hata kuliko uongo.Kaka, sidhani kama hii ni lugha nzuri for a meaningful debate!
Mwalimu asingeweza kumjibu Mohamed kwa simulizi hizi. Hakuwa saizi yake. TANU inazaliwa Mzee Mohamed anajifunza kutembea!Natumai kitabu kinatoka majority waliotajwa, including Nyerere, walikua hai.
malizia mwenyewe sasa, haihitaji tochi from here
Mohamed, mbona unapenda kupewa hupendi kutoa?Yericko,
Wewe baba yako ndiye Baba wa Taifa na ndiye muasisi wa TANU.
Tuandikie kitabu vipi aliasisi TANU.
Hii itafuta ''ngano'' za Mohamed Said.
Utakuwa umetufanyia ihsani kubwa sana.
Mwalimu asingeweza kumjibu Mohamed kwa simulizi hizi. Hakuwa saizi yake. TANU inazaliwa Mzee Mohamed anajifunza kutembea!
Mzee Mohamed anasema Historia ya TANU inaanzia mwaka 1929 Mwalimu akiwa kinda tu hata darasa la Kwanza hajaenda! Hii yote ni katika jitihada za kumwondoa Mwalimu kwenye uasisi. Aonekane vitu vyote alivikuta vimeandaliwa!Mohamed, mbona unapenda kupewa hupendi kutoa?
Umeelizwa swali hajajibu. Kabala Yericko hajajibu hili tufahamishe, Je, Nyerere hakuwa mwasisi wa TANU na Rais wa TANU? Tukishapata jibu tutamuomba Yericko naye ajibu, lakini kwanza jibu wewe!
Tupe basi historia ya TANU.
Mzee Mohamed anasema Historia ya inaanzia mwaka 1929 Mwalimu akiwa kinda tu hata darasa la Kwanza hajaenda! Hii yote ni katika jitihada za kumwondoa Mwalimu kwenye uasisi. Aonekane vitu vyote alivikuta vimeandaliwa!
Wengi tumejaribu tulivyoweza ingawa JF sio kitabu. Simulizi za aina hii zilizoegemea kwenye DINI kali kama ya KIISLAM hauwezi kuziandikia kitabu bila kukumbana na yaliyomkuta Salman Rushdie. Bila kuhatarisha AMANI ya nchi.Sawa tujaalie alikua si wa size yake! (But huko nyuma, mlimtuhumu mzee Mohamed Said kuwa anawasemea walokufa)
But,
15 years down the line, "tuhuma" za mzee Mohamed Said kwa Nyerere, hazijapatiwa majibu, critique ya kimaandishi (kwa maana ya kitabu, journal articles and the like), huoni kuwa silence hii inatosha kuwa kuna ukweli ndani aliyoyasema mzee Mohamed Said?
Mzee Mohamed Said anabishana ki scholar zaidi, jaribuni kum-challenge ki-scholar pia. Kwa mfano "article X published by XX mwaka XXX inakuchallenge kazi yako Mohamed Said uliopublish mwaka XXXX"
Mtririko wa namna hii ndo anautaka mzee wetu. Mkija na maneno matupu, makavu, without any scholar holdings, mtatoka patupu
Mzee Mohamed anasema Historia ya inaanzia mwaka 1929 Mwalimu akiwa kinda tu hata darasa la Kwanza hajaenda! Hii yote ni katika jitihada za kumwondoa Mwalimu kwenye uasisi. Aonekane vitu vyote alivikuta vimeandaliwa!
Wengi tumejaribu tulivyoweza ingawa JF sio kitabu. Simulizi za aina hii zilizoegemea kwenye DINI kali kama ya KIISLAM hauwezi kuziandikia kitabu bila kukumbana na yaliyomkuta Salman Rushdie. Bila kuhatarisha AMANI ya nchi.
Mwalimu angeamua kujibu kwa kuwa yeye alikuwepo, hakusimuliwa, Tanzania isingebaki kama ilivyo. Mashahidi wa mzee huyu wote ni marehemu isipokuwa mdogo wake Abdu ambaye hata hivyo sijawahi kusikia akisema lolote juu ya kitabu hiki.
Historia ya kweli haiwezi kuandikwa na mtu mmoja tena ambaye amezaliwa akaikuta.
Hata kubatizwa alikuwa bado. MfumoKristo uliletwa na Wajerumani wakisaidiwa na akina Sykes.Nyerere alikuwa kisha anza kuasisi mfumokristo mwaka 1929? Au?
Mzee Mohamed anasema Historia ya TANU inaanzia mwaka 1929 Mwalimu akiwa kinda tu hata darasa la Kwanza hajaenda! Hii yote ni katika jitihada za kumwondoa Mwalimu kwenye uasisi. Aonekane vitu vyote alivikuta vimeandaliwa!
Wengi tumejaribu tulivyoweza ingawa JF sio kitabu. Simulizi za aina hii zilizoegemea kwenye DINI kali kama ya KIISLAM hauwezi kuziandikia kitabu bila kukumbana na yaliyomkuta Salman Rushdie. Bila kuhatarisha AMANI ya nchi.
Mwalimu angeamua kujibu kwa kuwa yeye alikuwepo, hakusimuliwa, Tanzania isingebaki kama ilivyo. Mashahidi wa mzee huyu wote ni marehemu isipokuwa mdogo wake Abdu ambaye hata hivyo sijawahi kusikia akisema lolote juu ya kitabu hiki.
Historia ya kweli haiwezi kuandikwa na mtu mmoja tena ambaye amezaliwa akaikuta.
Lakini Liverpool sio Everton kama ambavyo TAA sio TANU. Tena afadhali Liverpool na Everton zote zipo. TAA ilikufa kabisa baada ya TANU kuzaliwa. Liverpool leo wanacheza na ...Sasa kaka hapa utakua unakosea kaka
Mfano, ukiulizwa Liverpool FC imeanzia wapi? Utalipunja jibu kama hutotaja Everton FC, waasisi wake mwaka Everton ulioasisiwa, key people mpaka Everton inasimama, mpaka dispute yao na Liverpool
Sasa kaka hapa utakua unakosea kaka
Mfano, ukiulizwa Liverpool FC imeanzia wapi? Utalipunja jibu kama hutotaja Everton FC, waasisi wake mwaka Everton ulioasisiwa, key people mpaka Everton inasimama, mpaka dispute yao na Liverpool
Historia ya ndoa/harusi huwa inaanzia siku mlipofunga au siku mlipoanza kutongozana?
Lakini Liverpool sio Everton kama ambavyo TAA sio TANU. Tena afadhali Liverpool na Everton zote zipo. TAA ilikufa kabisa baada ya TANU kuzaliwa. Liverpool leo wanacheza na ...
Unakosea MM, hawa sio vijana ni mizee ya kutupwa ambayo imeamua kwa makusudi kuzuia akili zao zisifanye kazi kwa lengo maalum!Ndio tatizo lenu hilo vijana; usidhani hawajuiani hawa...