Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Sykes alikuwa anataka kuandika kuhusu Waafrika walioshiriki katika harakati za Uhuru au alitaka kuandika kuhusu mchango wa Waislamu katika harakati za Uhuru? Maana hapo juu sioni suala la dini katika nia ya Abdulwahid Sykes; unless sijakupata vizuri.

Kwi kwi kwi teh teh teh, wanapoishiwa na hoja!
 
zomba,

Koboko kaingia mwenyewe kwenye mtengo wa uji wa ulezi wamoto kichwa kimeshindwa kutoka kwenye sufuria.
 
Last edited by a moderator:
Tungekuwa na watu kama mohamed said kama kumi hivi humu ndani basi j.f kungekuwa naheshima,mungu awajijie m.said na wanzake
 
zomba,

Koboko kaingia mwenyewe kwenye mtengo wa uji wa ulezi wamoto kichwa kimeshindwa kutoka kwenye sufuria.

Hao si unajuwa hawana la maana wao wanasema mradi wapinge tu. Wanatumia mbinu ya kizamani ya "character assassination" wakati media ilikuwa mikononi mwa wachache, leo jee? walikifungia hata kitabu cha Mwembechai Killings lakini nani asiokuwa nacho leo? labda wale tu wasiopenda kujisomea.
 
Mkandara kadandia daladala linaloelekea Tabata, kaingia ndani kabisa na kuka siti ya nyuma na kuanza kusoma gazeti lake huku anakunywa COCACOLA!
Abiria wanazidi kuingia na kujaza sehemu ya mbele! basi linaendeshwa na kukaribia Tabata, ghafla Mkandara anakurupuka na kumuuliza abiria mwenzake hivi basi laelekea wapi? anajibiwa kwani wewe wenda wapi? Mkandara anajibu Kimara! duh! mwenzake anaanza kucheka na kumshangaa Mkandara yaani umekaa ndani ya gari na kustarehe muda wote huo na nauli umelipa lakini hujui gari laelekea wapi!

Ushauri kwa Mkandara: anza kusoma topic hii tangu mwanzo ndipo uje kuchangia!
 
Zubeda unamchokoza Mkandara. Atakuja na habari ndeeeeeeeeefu ambayo inaelezeka kwa mistari mawili. Hapo sasa!
 
Last edited by a moderator:

Mzee Mwanakijiji, Nguruvi3, naona mzee mwenzenu Mag3, anawashikia akili huyo Martin Kayamba mmepata kumsoma historia yake, huyu Martin Kayamba alikuwa anafahamika pale Muheza kwa ufugaji wa kuku tu.
 
Last edited by a moderator:

Bi Zubeda,

Mimi nimeishi na watu hawa kwa miaka mingi sana kiasi
nawajua hadi saikolojia yao.

Mie siwezi kujua kitu.
Nitajuaje?

Kilipotoka kitabu wananiuliza, ''Hivi wewe umeandika kwa
Kiswahili kisha mtu akakufanyia tafasiri?''

Huyu hata kitabu hajasoma ila kilichomtatiza ni kitabu
kuandikwa kwa Kiingereza na Mswahili.

Nina mengi mengine nikiyaleta hapa jamvini mtapaliwa
na kahawa.
 
Mzee Mwanakijiji, Nguruvi3, naona mzee mwenzenu Mag3, anawashikia akili huyo Martin Kayamba mmepata kumsoma historia yake, huyu Martin Kayamba alikuwa anafahamika pale Muheza kwa ufugaji wa kuku tu.

Ritz,

Mie sikutaka kusema mengi katika post ile nilitaka Mag3
ajue tu kuwa mambo haya mie nayapata sana Alhamdulilah.

Allah hatoi vitu nusu nusu akikupa nakupa bila ya hata
kukuhesabia.

Namwachia Zomba akamilishe maana huo ndiyo uwanja wake.

Kuna kisa cha Dockworkers Union mwaka 1948 kisa ambacho
ndicho kilichomtumbukiza Abdu Sykes katika uongozi wa TAA.

Kama ni ''movie'' hiyo utaita ''blockbluster.''

Nitakiweka hapa Insha Allah kisha Mag3 afananishe na chama
cha Kayamba.
 
Sykes alikuwa anataka kuandika kuhusu Waafrika walioshiriki katika harakati za Uhuru au alitaka kuandika kuhusu mchango wa Waislamu katika harakati za Uhuru? Maana hapo juu sioni suala la dini katika nia ya Abdulwahid Sykes; unless sijakupata vizuri.

MM,

Utahangaika sana ndugu yangu.
Achana na hili suala la dini.

Halina maana yoyote.

Nimekuwekea hapo uone umuhimu
wa hizo nyaraka na uwasikie wenyewe
wakizungumza.

Hiyo nimetoa katika ''Under the Shadow
of British Colonialism...''
 
Weka picha ya Ali Hassan Mwinyi akiwa na Papa hapa Ikulu yetu. Hii ya Mwalimu ilipigwa Vatican. Kwa miaka yote 24 alioongoza nchi hii hakuna Papa aliyetembelea hapa kwetu.
 
Yaani zomba ni vile siijui namba yako ya simu ningekutumia vocha kwa uwezo niliokuwanao yaani kwenye topc zako bila kukupa like sisikii raha unaongea kwa hoja na ushahidi kama vile uislamu unavyotaka BIG UP KWA MARA NYINGINE
 
Weka picha ya Ali Hassan Mwinyi akiwa na Papa hapa Ikulu yetu. Hii ya Mwalimu ilipigwa Vatican. Kwa miaka yote 24 alioongoza nchi hii hakuna Papa aliyetembelea hapa kwetu.
Kwa taarifa yako nyerere alivyokuwa mdini papa alitaka kuja kipindi yeye ndie rais akakataa ndio akamwambia aje kipindi cha mwinyi sasa papa kuja kipindi cha mwinyi sio hoja hiyo ni mipango ya nyerere
 
Amma wewe husemi ukweli hapo juu, amma Yericko Nyerere aliyebandika hili hapa chini hasemi kweli, amma Mzee Juliasi Nyerere hasemi kweli.

Mtambuzi tambuwa nini maana ya kapu.

Katika hotuba ya kitaifa huwezi kuanza kusimulia yaliyojiri,

Mwalimu alilitambua hilo ndiomaana alisimamia hapo!
 
Last edited by a moderator:

zomba,

Soma hizi ngano za Mag3, anasema toka mwaka 1961 alikuwa hajui chochote kuhusu Dar es Salaam.

Halafu hapo hapo anataka kutueleza habari za Dar es Salaam za mwaka 1930.

Kashidwa kutuambia nyumba ya Matola ilikuwa mtaa gani ambapo ulifanyika mkutano.
 
Last edited by a moderator:
Weka picha ya Ali Hassan Mwinyi akiwa na Papa hapa Ikulu yetu. Hii ya Mwalimu ilipigwa Vatican. Kwa miaka yote 24 alioongoza nchi hii hakuna Papa aliyetembelea hapa kwetu.

Naona umejikita zaidi kujadili picha, vipi hayo maandishi hutaki kuyajadili.
 
Kwa taarifa yako nyerere alivyokuwa mdini papa alitaka kuja kipindi yeye ndie rais akakataa ndio akamwambia aje kipindi cha mwinyi sasa papa kuja kipindi cha mwinyi sio hoja hiyo ni mipango ya nyerere
Dah! Wewe kweli Boko Haram. Una taarifa za "uhakika" namna hii!
 
Ndio wimbo wako huu "nina mengi mengine, hamtaki kuyasikia?" Halafu hayaji! Au unataka kuyaleta kama tafiti na simulizi? Hauna na hautakuwa na jipya hadi upate wasimulizi wapya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…