Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

zomba,
Uhuru wa Tanganyika unapatikana mwaka 1961( sijui kama mzee wetu anaikubali tarehe hii, atakwambia uhuru tulikuwa nao vichwani na TANU yetu tangu mwaka 1929!) Mag3 alikuwa sekondari. Wewe kwa kukusoma humu unavyoandika, hata mimba yako haikuwepo! Hauwezi kujilinganisha naye. Endelea kuwa mfuasi mtiifu tu wa mzee wetu.
 
Last edited by a moderator:
Naona umejikita zaidi kujadili picha, vipi hayo maandishi hutaki kuyajadili.
Hakuna cha kujadili hapo. Msioufahamu UKATOLIKI mnadhani URAIS wa Mwalimu katika Tanganyika na baadae Tanzania ndio utakaompatia utakatifu. Actually, kazi hii ya Urais itamchelewesha au kumnyima kabisa utakatifu kwa kuwa kuna watu alitia saini wanyongwe kwa mfano.
 

Siku zote huwezi ficha pembe la ng'ombe.

haya sasa yale yaliokuwa yamefichikana sasahivi yapo dhwahir shahir. Je umesikia yale ya kule Buseresere na katoro?
ndicho alichopanda kwa kificho JKN. sasa kipo hewani.
 
Wewe mimba yako ilikuwa tayari?
 
Last edited by a moderator:

Pitia tena nyuzi utaukuta umri wangu humuhumu, inaonesha unarukaruka. Nimezaliwa kabla ya kuzaliwa TANU wacha Uhuru.

Mie nyumbani kwetu ni nyumba ya tatu kutoka ilipozaliwa TANU. Usione nakesha humu, wazee wengi wanaoelezewa humu nami ni wazee wangu amma wao nawafahamu amma watoto zao amma wajukuu zao ni marafiki zangu na tumekuwa pamoja Kariakoo. Labda huelewi mshikamano uliokuwa Kariakoo enzi za wazee wetu, wote walikuwa ni wazee wetu na sisi sote tulikuwa amma watoto zao amma wajukuu zao.

Hawakututofautisha nasi hatukuwatofautisha, kwa kabila zetu wala kwa rangi zetu wala kwa huyu wa fulani yule wa fulani, hili likumbuke na ujiulize, kwanini?

Kuhusu hili la mimba nadhani si lugha njema, na hapa tumepewa darsa na Maalim Mohamed Said aliyoakifundishwa na Maalim wake, Maalim Haruna nasi imetuingia vizuri sana, vipi wewe basi hata kidogo haijakuingia?
 
Last edited by a moderator:
Ndio wimbo wako huu "nina mengi mengine, hamtaki kuyasikia?" Halafu hayaji! Au unataka kuyaleta kama tafiti na simulizi? Hauna na hautakuwa na jipya hadi upate wasimulizi wapya.

Kwa kweli ni lazima ukiri kutoka moyoni katika Darsa hili tumejifunzamengi sana ambayo tulikuwa hatuyajui lakin ahali yetu Mohamed said ametujuza.

Hakika siku zote historia haiwezi fichika.
 

Sorry to say this, lakini MM, unapwaya sana siyo yule GT tuliokuzoea kwenye Political arena, unaquote kitabu lakini haukijui chimbuko lake, mwenzako MS anaeleza kwa undani juu ya kitabu hiko na chimbuko lake
 

Labda utujuze alikuwa na kazi ipi nyingine?
 

kama ulivyobainisha hapo nilipo BLUE.

wazungu walitumia Divide and Rule katika kuitawala East Africa na athari zake mpaka leo zinaonekana japo tanganyika mumejitahidi kuzificha.

Kifupi Kenya alitumia ukabila. jambo ambalo mpaka leo linawapeleka.
Uganda alitumia ukabila , jambo ambalo mpaka leo linajidhihirisha na wanalissema wazi wazi.

Tanganyika alitumia UDINI na sababu kubwa nchi ilikuwa na makabila mengi sana lakin dini kuu zilikuwa mbili tu. Na hili japo lilikuwa linafichwa japo akina Dr Silvalon na akina Mohamed said kulibainisha lakin sasa ndio limejitokeza kabisa hadhwarani. Je umesikia yale ya Buseresere?

haya siku zote huwezi kuficha ukweli hata siku moja.
 
Siku zote huwezi ficha pembe la ng'ombe.

haya sasa yale yaliokuwa yamefichikana sasahivi yapo dhwahir shahir. Je umesikia yale ya kule Buseresere na katoro?
ndicho alichopanda kwa kificho JKN. sasa kipo hewani.
Kwa nini yanatokea sasa miaka 14 baada ya kifo cha Mwalimu? Haya ni matokeo halisi ya UDINI ulioachwa kuhubiriwa na akina Mzee Mohamed kwa muda mrefu sasa. Mkristo anajiuliza: Kwanini Muislamu achinje tule sote lakini mkristo akichinja ale mwenyewe?

Haya, kulikuwa na haja kuivamia bucha ile ya nyama iliyochinjwa na Mkristo? Tatizo la kuelewa tu!
 

kama uliweza jiuliza suala hilo kwanini usijiulize pia kwanini waislam wapumzike ijumaamosi na ijumaapili na sio ijumaa?

kama nchi haina dini kwanini isiwe siku ya mapumziko ni ijumaa nne au ijumaatano?

Au kwa kuwa mliona waislam wajinga kila kitu hewaallah.

ndio yale yale kunya anye kuku, akinya bata ...
 
Ndio wimbo wako huu "nina mengi mengine, hamtaki kuyasikia?" Halafu hayaji! Au unataka kuyaleta kama tafiti na simulizi? Hauna na hautakuwa na jipya hadi upate wasimulizi wapya.

Unaonesha huusomi uzi, unakurupuka, anza mwanzo uone mtiririko wa nyundo zinavyoshuka, kila moja inaishinda iliopita, kila Mohamed Said akiuliza niishie hapa, watu kimyaaaa. Huoni? basi hata husikii?
 
Last edited by a moderator:
Kumbe hapa ni "nepotism" ya Kikariakoo na kidini inaendelea. Kuhusu lugha hata wewe zomba? Umesahau ile ya Abdu kumuweka ndani Mwalimu? Hongera kama mafundisho ya Maalim Haruna yamekuokoa.
 
Ngoja tukumbushane kidogo uzi wa 2010/2011,


Namna hii hata maana ya mjadala inapotea, hebu tujikumbushe!

Niliandika




MS Ukanijibu hapa chini


Nikajibu hapa chini kama ilivyoandikwa ulivyotanabaisha hapo juu, na ukakiri hujasoma kitabu hicho.


Mag3 akaandika hoja yake na ku-refer kitabu nilichoomba kukinukuu na ndugu MS ukakiri hujakisoma


Akaibuka moja ya mashabiki na hoja hii hapa chini

Mag3
Please usituletee data za kutengenezwa, TUMEZICHOKA; KWA SABABU ZIMETENGENEZWA. Tunataka credible sources please!!

Katika hali ya kustaajabisha na kuonekana wazi unaunga mkono hoja ya shabiki hapo juu MS ukaandika ifuatavyo WAKATI UMEKIRI KITABU HUJAKISOMA.

Jasusi, Habari nilizoelezwa na wazee wangu naziamini kuliko vitabu elfu vya wanahistoria ambao hawakuwapo wakati wazee wangu wanapambana na ukoloni wa Waingereza.

Sasa kwa mwendo huu ambapo sisi haturuhusiwi kurejea vitabu vya historia ila wewe tu kwa sababu uliambiwa na wazee wako tutafika kweli. MS umerejea vitabu vingi sana kwenye huu mjadala na hakuna liyepinga kwa kusema aah! Hao walioandika hawakuwapo wakati wazee wangu wanapambana na ukoloni wa Waingereza. Sasa iweje wewe uwe mwepesi kurukia upande huo. Mtazamo huu unakuondolea sifa kuwa mwanahistoria wa kuaminika na pia unaonekana wazi hauko sincere!! Hata nilichotaka kuandika kwa kurejea "Voices from Tanganyika: Great Britian, the United Nations and the decolonization of a Trust Territory, 1946-1961" By Ullrich Lohrmann inakuwa haina maana kama tayari kuna pre-emption.
 
Unaonesha huusomi uzi, unakurupuka, anza mwanzo uone mtiririko wa nyundo zinavyoshuka, kila moja inaishinda iliopita, kila Mohamed Said akiuliza niishie hapa, watu kimyaaaa. Huoni? basi hata husikii?
Nionyeshe jipya lolote la mzee wetu huyu mbali na nukuu za vitabu na machapisho yake mwenyewe na Padre Sivalon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…