Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Nionyeshe jipya lolote la mzee wetu huyu mbali na nukuu za vitabu na machapisho yake mwenyewe na Padre Sivalon.

Wana macho lakini hayaoni, wana masikio lakini hayasikii.
 
Nyambala,

Kwanza itafsiri hii lugha uliyotubandikia kwa lugha ya kibinaadam:

- baadaye tutaendelea............
 
Na nani huyo aliyekunyima ruhusa? na wapi? Jee, unaweza kuweka ushahidi wa uliponyimwa ruhusa?
 
Maswali haya hayatakwisha tukiruhusu UDINI ututafune. Tutamalizana huku wewe uliyeko Uarabuni unabaki salama. Mwalimu alikuwa sahihi kuupiga UDINI tangu mwanzo wa TANU.
 
Mkuu Nyambala habari za siku nyingi.Mkuu wangu kubishana na MS plus mashabiki wake ni kupoteza muda bure hawa jamaa hawako hapa kujifunza/kujadili hoja wako hapa kubishana na kuharibu mjadala kila wanapokumbana na maswali magumu.MS ni bingwa wa kuruka viunzi haswa anapokumbana na hoja nzito.Mfano unaweza kumuuliza maswali ya msingi badala ya kujibu anakimbilia kunukuu kitabu chake ambaccho kina makosa kibao.

Last edited by a moderator:
Na nani huyo aliyekunyima ruhusa? na wapi? Jee, unaweza kuweka ushahidi wa uliponyimwa ruhusa?

Tatizo lako wewe na ndugu yako ni kukurupuka hujui hata huo mjadala ulianzia wapi, hoja hakuna bali ni kurukia rukia tu maneno kama ...., kitabu nilichokitaja hapo umewahi hata kukisikia????? Maana nyie mnafikiri vitabu vya historia ya Tanganyika ni vile anavyotaja mwalimu wenu tu. Tatizo lingine ni kwamba nyie mko hapa kiimani zaidi and that is the main problem, big problem. Toka huu mjadala umeanza hakuna chochote mnachochangia zaidi ya mipasho mkiamini MS anaonewa hahaha ahahahah!!!!!! Sorry I won't have time again kujibizana na wewe kama ndugu yako. Majidiliano na Mzee Said na wengine ambao wako objective.
 
Mkuu Ngongo poa tu. Du!!!!!! yaani huu mjadala kipindi hiki tofauti kabisa na wakati ule. Ms hawa vijana wake wao ni kurukia rukia tu ili mradi ni ile ya sisi na wao. Hoja na reasoning hakuna kabisaa.
 
Umeshindwa kuonesha ushahidi wa "sisi haturuhusiwi kurejea vitabu vya historia ila wewe tu" Unakuja na porojo.

Halafu katazame vizuri huko mjadala ulikoanzia utanikuta, bukheri wa afya, labda una matatizo ya ufupi wa kumbukumbu.

Zingine hizo porojo tu, sijui kitabu hiki umesoma kile hujawahi kukiona, hayo yote hayana msingi, cha msingi umeshindwa kuleta ushahidi kwa maana hiyo wewe ni mzushi. Kama ni mahakamani kesi yako inatupiliwa mbali.
 
zomba,

Na mie anitizame vizuri nimo humu na hapa tupo tena.
 
Last edited by a moderator:
Voices from Tanganyika: Great Britian, the United Nations and the Decolonization of a Trust Territory, 1946-1961.

Hili limenisikitisha sana, najiulza sipati jibu,

Udini huu unaopandwa na akina Mohamed Said na vibaraka wao akina Zomba, Ritz, Boko Haram nk unawanufaisheje?

Hivi ni watanzania kweli ama wazamiaje tu?
 
zomba, huyo Nyambala anadhani mjadala ule uliyopita mie na wewe hatukuwepo...Saizi lazima aone tofauti watu wamekuja kivingine. Labda amwambie Yericko ndiyo hakuwepo.

Huu mjadala wa sasa hivi ni uchochezi wa Mohamed Said watu wanatakiwa kuthibitisha.
 
Last edited by a moderator:
Nna wasiwasi huenda hata hujui computer inavyo-operate.

Wasiwasi huo ondoa, nnajivunia kusema, mimi ni Mtanzania pekee niliye hitimu chuo cha Bell Northern Research, Bellevue, Toronto Ontario, Canada, 1980s (sijui kama kuna wengine baada ya hapo), kakitafute ili ujuwe hicho chuo ni cha nini na nani wanao qualify japo kusoma tu hapo.
 
Huyo ndie Mohamed Said mchochezi namba moja kwasasa nchini
 
Hili limenisikitisha sana, najiulza sipati jibu,

Udini huu unaopandwa na akina Mohamed Said na vibaraka wao akina Zomba, Ritz, Boko Haram nk unawanufaisheje?

Hivi ni watanzania kweli ama wazamiaje tu?

Unasikitishwa na wewe ndio ulioleta huu uzi? maji ukishayavulia nguo uyakoge, Au hujuwi hilo?

Mohamed Said kitabu chake kimetoka Juliasi Nyerere yu hai.
 
Hili limenisikitisha sana, najiulza sipati jibu,

Udini huu unaopandwa na akina Mohamed Said na vibaraka wao akina Zomba, Ritz, Boko Haram nk unawanufaisheje?

Hivi ni watanzania kweli ama wazamiaje tu?

Wewe ulivyokuja na huu uzi wako kuwa Mohamed Said mchochezi ulidhani watu watakaa kimya.
 
Huko kwenye mifumokristo halisi mnajivunia sana kusoma, kualikwa na kutembelea vyuo na taasisi zao. Hapa Tanzania kwenye mfumokristo wa kufikirika na kubumba mh!
 
Hili limenisikitisha sana, najiulza sipati jibu,

Udini huu unaopandwa na akina Mohamed Said na vibaraka wao akina Zomba, Ritz, Boko Haram nk unawanufaisheje?

Hivi ni watanzania kweli ama wazamiaje tu?

Hili swala la udini litawatafuna sana watanzania siku zote na sema the founder is Nyerere yeye kashatangulia huko hii mbegu yake aliyoipanda ndio imeota
 
Hili swala la udini litawatafuna sana watanzania siku zote na sema the founder is Nyerere yeye kashatangulia huko hii mbegu yake aliyoipanda ndio imeota
Sasa hivi tunakosa UONGOZI unaoweza kusimamia KATIBA na sheria za nchi basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…