Nashauri majibu ambayo mdau ameyadadavu ili kumjibu huyo mwandishi anayepandikiza udini ayatoa kwenye kitabu. Watanzania na watu wa dunia hii ambao wanaelimika na maelezo mazuri yenye ushahidi wa kina kuhusu hotuba ya mwalimu Nyerere ni wachahe. Lakini ukiweka pia katika kitabu...uongo, na hila zote anazozipandikiza zitamfanya aumbuke. Watu watakuwa na maswali mengi ya kumuuliza kwa mba, 'mbona umesema hivi lakini sauti ya Nyerere kwenye kanda/kaseti) inasema hivi? Daima penye uongo ukweli hujitenga. Je umesahau uongo wao waliotaka kuuleta katika jamii yetu kuhusu - serikali kuongozwa na mfumo kristu?uchambuzi ambao umezingatia utafiti umeanika uongo na uzushi wao hao wambeya...sasa wanaona haya na vichwa wameinamisha chini...baada ya kuulizwa wanaoongoza sekta zote nyeti Tz ni wakristo au waislamu? Sasa hivi wameufyata! maana wanaona haya...na wanajutia umbea waliouzusha...ukweli ukijulikana waongo wataona haya na wataogopa kuongopa...kwani watu TUTAWAZOMEA MCHANA KWEUPEEE!
NASHAURI ANDIKA KITABU... KIWE NI JIBU KWA UCHOCHEZI WA MOHAMEDI SAIDI NA DHIHAKA KWA WAPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR.... Ukweli huu ukisambaa, dunia yote itamzomea kwa umbea/uzandiki na ufirauni wote ambao yeye anataka kuiaminisha dunia kuwa waislamu sijui nini huko.... Ashindwe na alegeee!