zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,930
Nionyeshe jipya lolote la mzee wetu huyu mbali na nukuu za vitabu na machapisho yake mwenyewe na Padre Sivalon.
Wana macho lakini hayaoni, wana masikio lakini hayasikii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nionyeshe jipya lolote la mzee wetu huyu mbali na nukuu za vitabu na machapisho yake mwenyewe na Padre Sivalon.
By Mag3![]()
![]()
Kabla sijaendelea nawaomba wana JF mpitie hivi vipande vifuatavyo, myasome kwa umakini muweze kujua angalau kwa kifupi tu EAMWS East African Moslem Welfare Society anayodai Mohamed Said kwamba ilivunjwa na Mwalimu Nyerere ilikuwa ni nini hasa na ilianzishwa na nani halafu -
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Aliyeandika haya anaitwa Ulrich Lohrmann.
Sasa kwa mwendo huu ambapo sisi haturuhusiwi kurejea vitabu vya historia ila wewe tu kwa sababu uliambiwa na wazee wako tutafika kweli. MS umerejea vitabu vingi sana kwenye huu mjadala na hakuna liyepinga kwa kusema aah! Hao walioandika hawakuwapo wakati wazee wangu wanapambana na ukoloni wa Waingereza. Sasa iweje wewe uwe mwepesi kurukia upande huo. Mtazamo huu unakuondolea sifa kuwa mwanahistoria wa kuaminika na pia unaonekana wazi hauko sincere!! Hata nilichotaka kuandika kwa kurejea "Voices from Tanganyika: Great Britian, the United Nations and the decolonization of a Trust Territory, 1946-1961" By Ullrich Lohrmann inakuwa haina maana kama tayari kuna pre-emption.
Maswali haya hayatakwisha tukiruhusu UDINI ututafune. Tutamalizana huku wewe uliyeko Uarabuni unabaki salama. Mwalimu alikuwa sahihi kuupiga UDINI tangu mwanzo wa TANU.kama uliweza jiuliza suala hilo kwanini usijiulize pia kwanini waislam wapumzike ijumaamosi na ijumaapili na sio ijumaa?
kama nchi haina dini kwanini isiwe siku ya mapumziko ni ijumaa nne au ijumaatano?
Au kwa kuwa mliona waislam wajinga kila kitu hewaallah.
ndio yale yale kunya anye kuku, akinya bata ...
Ngoja tukumbushane kidogo uzi wa 2010/2011,
Namna hii hata maana ya mjadala inapotea, hebu tujikumbushe!
Niliandika
MS Ukanijibu hapa chini
Nikajibu hapa chini kama ilivyoandikwa ulivyotanabaisha hapo juu, na ukakiri hujasoma kitabu hicho.
Mag3 akaandika hoja yake na ku-refer kitabu nilichoomba kukinukuu na ndugu MS ukakiri hujakisoma
Akaibuka moja ya mashabiki na hoja hii hapa chini
Katika hali ya kustaajabisha na kuonekana wazi unaunga mkono hoja ya shabiki hapo juu MS ukaandika ifuatavyo WAKATI UMEKIRI KITABU HUJAKISOMA.
Sasa kwa mwendo huu ambapo sisi haturuhusiwi kurejea vitabu vya historia ila wewe tu kwa sababu uliambiwa na wazee wako tutafika kweli. MS umerejea vitabu vingi sana kwenye huu mjadala na hakuna liyepinga kwa kusema aah! Hao walioandika hawakuwapo wakati wazee wangu wanapambana na ukoloni wa Waingereza. Sasa iweje wewe uwe mwepesi kurukia upande huo. Mtazamo huu unakuondolea sifa kuwa mwanahistoria wa kuaminika na pia unaonekana wazi hauko sincere!! Hata nilichotaka kuandika kwa kurejea "Voices from Tanganyika: Great Britian, the United Nations and the decolonization of a Trust Territory, 1946-1961" By Ullrich Lohrmann inakuwa haina maana kama tayari kuna pre-emption.
Na nani huyo aliyekunyima ruhusa? na wapi? Jee, unaweza kuweka ushahidi wa uliponyimwa ruhusa?
Mkuu Nyambala habari za siku nyingi.Mkuu wangu kubishana na MS plus mashabiki wake ni kupoteza muda bure hawa jamaa hawako hapa kujifunza/kujadili hoja wako hapa kubishana na kuharibu mjadala kila wanapokumbana na maswali magumu.MS ni bingwa wa kuruka viunzi haswa anapokumbana na hoja nzito.Mfano unaweza kumuuliza maswali ya msingi badala ya kujibu anakimbilia kunukuu kitabu chake ambaccho kina makosa kibao.
Tatizo lako wewe na ndugu yako ni kukurupuka hujui hata huo mjadala ulianzia wapi, hoja hakuna bali ni kurukia rukia tu maneno kama ...., kitabu nilichokitaja hapo umewahi hata kukisikia????? Maana nyie mnafikiri vitabu vya historia ya Tanganyika ni vile anavyotaja mwalimu wenu tu. Tatizo lingine ni kwamba nyie mko hapa kiimani zaidi and that is the main problem, big problem. Toka huu mjadala umeanza hakuna chochote mnachochangia zaidi ya mipasho mkiamini MS anaonewa hahaha ahahahah!!!!!! Sorry I won't have time again kujibizana na wewe kama ndugu yako. Majidiliano na Mzee Said na wengine ambao wako objective.
Umeshindwa kuonesha ushahidi wa "sisi haturuhusiwi kurejea vitabu vya historia ila wewe tu" Unakuja na porojo.
Halafu katazame vizuri huko mjadala ulikoanzia utanikuta, bukheri wa afya, labda una matatizo ya ufupi wa kumbukumbu.
Zingine hizo porojo tu, sijui kitabu hiki umesoma kile hujawahi kukiona, hayo yote hayana msingi, cha msingi umeshindwa kuleta ushahidi kwa maana hiyo wewe ni mzushi. Kama ni mahakamani kesi yako inatupiliwa mbali.
Tanganyika's special status as a UN Trust Territory was a decisive factor in the timing, method and manner in which it became independent. This study investigates the interaction between Tanganyikan Africans, Great Britain and the UN in this process, and how the Africans exploited this status by means of petitions and manipulation of UN Visiting Missions. It provides unique insight into the UN's role in dismantling colonial empires, Great Britain's history as a colonial power and the development of political consciousness of modern Africans in a colonial and international context.
Kwa nini yanatokea sasa miaka 14 baada ya kifo cha Mwalimu? Haya ni matokeo halisi ya UDINI ulioachwa kuhubiriwa na akina Mzee Mohamed kwa muda mrefu sasa. Mkristo anajiuliza: Kwanini Muislamu achinje tule sote lakini mkristo akichinja ale mwenyewe?
Haya, kulikuwa na haja kuivamia bucha ile ya nyama iliyochinjwa na Mkristo? Tatizo la kuelewa tu!
Nna wasiwasi huenda hata hujui computer inavyo-operate.
Ngoja tukumbushane kidogo uzi wa 2010/2011,
Namna hii hata maana ya mjadala inapotea, hebu tujikumbushe!
Niliandika
MS Ukanijibu hapa chini
Nikajibu hapa chini kama ilivyoandikwa ulivyotanabaisha hapo juu, na ukakiri hujasoma kitabu hicho.
Mag3 akaandika hoja yake na ku-refer kitabu nilichoomba kukinukuu na ndugu MS ukakiri hujakisoma
Akaibuka moja ya mashabiki na hoja hii hapa chini
Katika hali ya kustaajabisha na kuonekana wazi unaunga mkono hoja ya shabiki hapo juu MS ukaandika ifuatavyo WAKATI UMEKIRI KITABU HUJAKISOMA.
Sasa kwa mwendo huu ambapo sisi haturuhusiwi kurejea vitabu vya historia ila wewe tu kwa sababu uliambiwa na wazee wako tutafika kweli. MS umerejea vitabu vingi sana kwenye huu mjadala na hakuna liyepinga kwa kusema aah! Hao walioandika hawakuwapo wakati wazee wangu wanapambana na ukoloni wa Waingereza. Sasa iweje wewe uwe mwepesi kurukia upande huo. Mtazamo huu unakuondolea sifa kuwa mwanahistoria wa kuaminika na pia unaonekana wazi hauko sincere!! Hata nilichotaka kuandika kwa kurejea "Voices from Tanganyika: Great Britian, the United Nations and the decolonization of a Trust Territory, 1946-1961" By Ullrich Lohrmann inakuwa haina maana kama tayari kuna pre-emption.
Hili limenisikitisha sana, najiulza sipati jibu,
Udini huu unaopandwa na akina Mohamed Said na vibaraka wao akina Zomba, Ritz, Boko Haram nk unawanufaisheje?
Hivi ni watanzania kweli ama wazamiaje tu?
Hili limenisikitisha sana, najiulza sipati jibu,
Udini huu unaopandwa na akina Mohamed Said na vibaraka wao akina Zomba, Ritz, Boko Haram nk unawanufaisheje?
Hivi ni watanzania kweli ama wazamiaje tu?
Huko kwenye mifumokristo halisi mnajivunia sana kusoma, kualikwa na kutembelea vyuo na taasisi zao. Hapa Tanzania kwenye mfumokristo wa kufikirika na kubumba mh!Wasiwasi huo ondoa, nnajivunia kusema, mimi ni Mtanzania pekee niliye hitimu chuo cha Bell Northern Research, Bellevue, Toronto Ontario, Canada, 1980s (sijui kama kuna wengine baada ya hapo), kakitafute ili ujuwe hicho chuo ni cha nini na nani wanao qualify japo kusoma tu hapo.
Hili limenisikitisha sana, najiulza sipati jibu,
Udini huu unaopandwa na akina Mohamed Said na vibaraka wao akina Zomba, Ritz, Boko Haram nk unawanufaisheje?
Hivi ni watanzania kweli ama wazamiaje tu?
Sasa hivi tunakosa UONGOZI unaoweza kusimamia KATIBA na sheria za nchi basi.Hili swala la udini litawatafuna sana watanzania siku zote na sema the founder is Nyerere yeye kashatangulia huko hii mbegu yake aliyoipanda ndio imeota