Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Nashauri majibu ambayo mdau ameyadadavu ili kumjibu huyo mwandishi anayepandikiza udini ayatoa kwenye kitabu. Watanzania na watu wa dunia hii ambao wanaelimika na maelezo mazuri yenye ushahidi wa kina kuhusu hotuba ya mwalimu Nyerere ni wachahe. Lakini ukiweka pia katika kitabu...uongo, na hila zote anazozipandikiza zitamfanya aumbuke. Watu watakuwa na maswali mengi ya kumuuliza kwa mba, 'mbona umesema hivi lakini sauti ya Nyerere kwenye kanda/kaseti) inasema hivi? Daima penye uongo ukweli hujitenga. Je umesahau uongo wao waliotaka kuuleta katika jamii yetu kuhusu - serikali kuongozwa na mfumo kristu?uchambuzi ambao umezingatia utafiti umeanika uongo na uzushi wao hao wambeya...sasa wanaona haya na vichwa wameinamisha chini...baada ya kuulizwa wanaoongoza sekta zote nyeti Tz ni wakristo au waislamu? Sasa hivi wameufyata! maana wanaona haya...na wanajutia umbea waliouzusha...ukweli ukijulikana waongo wataona haya na wataogopa kuongopa...kwani watu TUTAWAZOMEA MCHANA KWEUPEEE!
NASHAURI ANDIKA KITABU... KIWE NI JIBU KWA UCHOCHEZI WA MOHAMEDI SAIDI NA DHIHAKA KWA WAPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR.... Ukweli huu ukisambaa, dunia yote itamzomea kwa umbea/uzandiki na ufirauni wote ambao yeye anataka kuiaminisha dunia kuwa waislamu sijui nini huko.... Ashindwe na alegeee!
 
Hilo ndilo dhumuni. Jee, ungeyajuwa hayo kabla hujamsoma Mohamed Said?
Kwa kweli nakiri nisingejua. Kwa mila na desturi za kwetu ninakotoka mtu mzima akikufadhili au kukusetiri namna hii hatangazi. Anajua una shida ambayo si ya kujitakia.
 
Asante sana mkuu, nitajitahidi kuwasiliana na wadu wenzangu tuliopo hapa jamvini ili tutengeze kitabu chenye ukweli uliosimamiwa na wengi na uliotafitiwa kwa kina!

Uongo huu utaumbuliwa tu na walimwengu wataujua!
 
Yericko,

Mkamia maji...
 
Inawezekana hauelewi maana ya uzi huu mkuu,

Nimeuleta hapa ikiwa ni sehemu ya kumuonya Mohame Said kwa Uchochezi wake!

Na mpaka dakika hii ninaamini nimeokoa watu wengi sana waliokuwa wafuasi wa NGANO za Mchochezi huyu!

kwa hiyo unataka niamini kwamba hata zile vurugu za jana Geita walisoma kitabu cha mzee Mohamed Said watanzania bwana hii ni laana na kutofuata mafundisho halali kutoka kwenye vitabu vitakatifu QURAN,INJILI, TORATI na ZABURI
 
Wacha uongo wewe vita vya Kagera ilikuwa ni chuki ya Nyerere juu ya Idd Amin kwa kutaka nafasi ile achukue Milton Obote na ukitaka zaidi ntakuleta ushahidi juu ya Obote alisoma wapi na mipango yote ya huyo mnae muita baba wa taifa
 
Asante sana mkuu, nitajitahidi kuwasiliana na wadu wenzangu tuliopo hapa jamvini ili tutengeze kitabu chenye ukweli uliosimamiwa na wengi na uliotafitiwa kwa kina!

Uongo huu utaumbuliwa tu na walimwengu wataujua!

mkuu Yericko Nyerere you are my mentor,unanielimisha sana hapa jf,napenda sana unavyofocus kwenye issues and not personal attacks,ikiwezekana kuweka kumbukumbu sawa/sahihi kwa kizazi cha leo na kijacho tu-share hicho unachokijua ndugu yangu in an official documented manner,kama alivyofanya ndugu Mohamed Said
 
Last edited by a moderator:

umenena kweli

sasa kazi kwao wapingaji
 
Asante sana mkuu, nitajitahidi kuwasiliana na wadu wenzangu tuliopo hapa jamvini ili tutengeze kitabu chenye ukweli uliosimamiwa na wengi na uliotafitiwa kwa kina!

Uongo huu utaumbuliwa tu na walimwengu wataujua!

mkuu Yericko Nyerere you are my mentor,unanielimisha sana hapa jf,napenda sana unavyofocus kwenye issues and not personal attacks,ikiwezekana kuweka kumbukumbu sawa/sahihi kwa kizazi cha leo na kijacho tu-share hicho unachokijua ndugu yangu in an official documented manner,kama alivyofanya ndugu saidi MOHAMMEDI
 
Last edited by a moderator:
Hiyo vita ndio hatuwezi kuongopeana kabisa uwadanganye hawa vijana waliozaliwa miaka ya '70 kuelekea '80. Uongo mzuri ni kama wa mzee Mohamed aliouficha kwenye kanzu na barghashia za wazee wake wa Kariakoo.

Hawa ndiyo wanapanga kujikusanya kuandika kitabu cha historia ya ukweli ya Tanganyika...duniani kuna vituko haya yetu macho hichi ndiyo kichwa cha Yericko.
 
Kwa kweli nakiri nisingejua. Kwa mila na desturi za kwetu ninakotoka mtu mzima akikufadhili au kukusetiri namna hii hatangazi. Anajua una shida ambayo si ya kujitakia.

Hiyo ndio historia ya Uhuru wa Tanganyika, lazima ukiri kuwa wako waliompokea na waliomfadhili Nyerere Dar yetu, akawasahau, sisi husema "wafadhilaka wapundaka".
 
Asante sana mkuu, nitajitahidi kuwasiliana na wadu wenzangu tuliopo hapa jamvini ili tutengeze kitabu chenye ukweli uliosimamiwa na wengi na uliotafitiwa kwa kina!

Uongo huu utaumbuliwa tu na walimwengu wataujua!

Alamat'l Munafik Thalatha. Alama za mnafik ni tatu. Jee, unazijuwa?
 
Nikushukuru kwakutambua mchango wangu hapa jamvini,

Nitawashawishi wenzanggu hapa jamvini tuufanyie kazi ushauri wako kadiri tuwezavyo!

Niukweli usio na mawaa kuwa historia yoyote ya nchi haiandikwi na mtu mmoja!

Kinachoandikwa na mtu mmoja na kikakubalika bila kupingwa ni utafiti wa kisayansi tu kwakuwa kila atakaetaka kuthibitisha, atathibitishiwa kisayansi!

Historia ya nchi huandikwa kwa kushirikisha fikra na kumbukumbu za wengi wanaoamua kuwekeza akili yao ktk lengo moja!

Mohamed Said hata kama awali alikuwa na wazo zuri, lakini alizdiwa na hiisia binafsi hasa zakiimani na hivyo kuharibu zaidi maana ya alichotaka kuueleza ulimwengu!
 
Last edited by a moderator:
Hili swala la udini litawatafuna sana watanzania siku zote na sema the founder is Nyerere yeye kashatangulia huko hii mbegu yake aliyoipanda ndio imeota

Acha uzushi, Nyerere hakuwa muasisi wa Udini. Na asingekuwa kidete kuupiga vita Udini tusingekuwa na kiamani hiki tumachojivunia. Watu hawana shukrani hata kidogo.
 
Asante sana mkuu, nitajitahidi kuwasiliana na wadu wenzangu tuliopo hapa jamvini ili tutengeze kitabu chenye ukweli uliosimamiwa na wengi na uliotafitiwa kwa kina!

Uongo huu utaumbuliwa tu na walimwengu wataujua!

Jina la kitabu

HISTORIA YA KWELI YA TANGANYIKA

Waadishi ni Yericko Nyerere, Mag3, Mzee Mwanakijiji, Nguruvi3, Nyambala, nyiondo, WildCard, kibol, Jasusi,

Kitabu kipo njiani wakati wowote kitatoka. Watanganyika jiandaeni kuisoma historia yenu jopo la waandishi vichwa wa JF kwa pamoja wanaunganisha nguvu kuandika kitabu.
 
Last edited by a moderator:
Nisahihi kabisa, labda kwakuongezea tu nikuwa tutawajumuisha watanzania wenzetu akina Mohamed Said, Ritz, Zomba, Boko Haram, Kichwangumu nk!

Sisi waswahili wauza kahawa wenye akili za madrasa tutakichafua kitabu chenu.
 
Pole mkuu; muwie radhi. Ila wakati mwingine itasaidia hamasa za watu kama utakuwa unajibu hoja vizuri na kwa heshima ile ile badala ya kupuuzia hoja huko ukiendelea kutoa madai ambayo hutaki kuyapa uzito wa uthibitisho.

hata ingekuwa mm sikujibu,

utaulizaje maswali huku unatoa lugha za Kibaradhuli???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…