Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Kwa kweli Ritz kama umeweza kushabikia hayo ya zomba...! sina la kuongeza kwenye hilo...ila siku moja tusije kushtuka mtoto wa Sheikh Ponda akifuata nyayo za mtoto wa Salum Abdalla, naye akifanya utafiti aweze kuandika historia ya harakati za wazee wake katika mapambano ya kuupinga utawala wa Kikwete. Watoto wetu na wajukuu zetu nao watajikuta wakiikosoa hiyo histohisia kama tunavyokosoa histohisia ya Mohamed Said huku wajukuu wa Ritz na zomba nao wakimtetea mwalimu wao kama tunavyoshuhudia.

Ila wakati huo kutakuwa na tofauti, dhihaka na kejeli za wajukuu wenu hazitaelekezwa kwa Kikwete aliye madarakani akiiongoza serikali ya CCM bali zitajikita katika kuulaumu mfumo Kristo wakisahau kuwa shida na taabu walizozipata wananchi kutokana na uongozi dhaifu hazikuangalia dini ya mtu. Inasikitisha sana kuwa chuki zilizopandikizwa vichwani mwao kwa simulizi za barazani toka utotoni kutoka kwenye vinywa vya wazee wao, ndizo zilizowaongoza katika uandishi wao ingawa wenyewe watadai waliyoyaandika ndio ukweli.

Wewe umeandika nini na kipi? kama unao ukweli unaoujuwa wewe si uandike, mpaka sasa hoja zako hazina mshiko, eti nyumba, eti mgogoro. Mohamed Said alikwambia anaandika kuhusu migogoro ya nyumba?

Saa nyingine huwa najiuliza uwezo wenu wa kufikiri. Hapo ndipo ulipoishia?

Kivukoni waliyaandika hayo?
 
Udini wa Buseresere na Katoro umepandikizwa na Kikwete. Katuambia hapa hapa Mohamed jinsi Waislamu walivyokuwa wakinong'onezana misikitini katika uchaguzi wa 2010 wamchague muislamu mwenzao na siyo yule kasisi wa katoliki. Angekuwepo Nyerere upuuzi kama huu usingetokea. Lakini, but then, ulishatuambia kuwa huna akili kwa hiyo sishangai kwa kauli yako.

Jasusi,

Umekuwa nje miaka mingi.
Tabu sana kwako kujua hali ya mambo yalivyo hapa nyumbani.

Hebu soma hii kutoka mswada wangu kuhusu kitabu cha Prof.
Malima:

Mkapa was forced to pick his campaign committee
from people outside the inner circle of the party.

Two of newspapers publishers were in his committee
Damian Ruhinda and Jenerali Ulimwengu.

The special NEC Conference convened to elect one
CCM member to stand for presidential candidate
elected Jakaya Mrisho Kikwete in the first round with
Mkapa coming close second and Msuya was last.

But since he had not commanded an absolute majority
voting had to be repeated.

There was tension in the conference hall as CCM
delegates voted to choose between Kikwete and Mkapa.

Christians were heard to whisper to each other that they
should not again allow a Muslim to govern the country.

And when Mkapa won hymns were sung.

Jasusi ndugu yangu haya mambo yanatisha lakini huu ndiyo ukweli wa hali ya
mambo nchini kwetu.

Unasema Nyerere asingeruhusu haya.
Nyerere alikuwa katika ule ukumbi wa Chimwaga Dodoma.

Tumefikaje hapa?
 
Samahani kama kutumia neno "mwendawazimu" ni ghadhab. Nilitaka kusisitiza kwamba haingii akilini kwa mtu mwenye akili timamu kwamba Nyerere ataondoka Magomeni, achape mguu hadi Kariakoo kutafuta chakula cha wanae huku hana hata senti tano mfukoni. Ingeandikwa kwamba alikuwa amepungukiwa hela, ingeeleweka. Lakini kusema hakuwa na hela ni beyond imagination. Kuhusu hotuba, imo katika kitabu cha Nyerere, Freedom and Unity. Mohamed anao wajibu sasa wa kutuletea draft iliyoandikwa na Abdulwahid ili tulinganishe tuone ni maneno gani ya Abdulwahid ambayo Nyerere ali incorporate katika hotuba yake.

Kwanini wewe usiilete hiyo draft ungoje Mohamed Said akuletee? au hujasoma Mohamed Said kaandika nini kuhusu hiyo hotuba? rudia tena na tena, utaelewa. Na kama una uhakika kuwa haikuwa hivyo, wewe tuelezee ilivyokuwa.

Kuhusu la kuwa Nyerere anakwenda Kariakoo hana senti moja, hilo linakustuwa nini? hujiulizi kwanini alikuwa anaenda Kariakoo? kwani angekuwa na senti hayo mahitaji yake angeyakosa Magomeni? Fikiri!

Hilo la "wendawazimu" umelisema wewe, kama ni ghadhab kama ni kusudi utajaza wewe. Mimi nakukumbusha tu, ukoo wa Nyerere unajulikana, mazuri yake na mabaya yake.
 
Ndio maana kuna habari ambazo Mohamed hataki kuziongelea.
Mfano, ataongelea sana Nyerere kuishi kwa Sykes lakini hata jibu swali kuhusu mzozo wa umiliki wa Nyumba inayosemekana ilijengwa na Sykes.

Ameshindwa kukanusha yasijetokea yale ya Maryknoll na Mkutano mkuu wa AA 1946.

Mag3 ameuliza sana kuhusu Cecil Matola kilichofuata ni Mohamed kusema huyo alifariki mwaka 1939. Mohamed hakufanya utafiti kuhusu Cecil na jitihada zake kama kiongozi wa chama isipokuwa historia imeruka toka kwa Sykes kwenda kwa Sykes.

Mohamed antuambia role ya Mshume Kiyate( na tunaiheshimu sana) ni kubwa kuliko Cecil Matola.

Mohamed ameongelea kurasa nzima kuhusu Mwapachu na jinsi alivyotoka Makerere kiasi kwamba role ya Kyaruzi kama president wa TAA imekuwa kama haipo.

Ninarudia tena na tena Mohamed hajaweza kuthibitisha kuhusu sehemu kubwa ya historia na inabaki kuwa simulizi tamu la wahenga na malenga kama si ngano.

Mkuu Mkandara ameongelea vizuri sana jinsi wakoloni walivyotufanya tukawa hatujielewi na kwa bahati mabya miaka 50 baada ya wao kurudi makwao wametokea wakoloni wengine wanaotaka kutugawa kama wakoloni kwa kutumia dini.

Baada ya kusema hayo ‘’inasemekana’’ Mkandara si mwislam safi kwasababu hakubaliani na maoni ya viongozi wa dini ya kiislam, naye pia amekuwa BAKWATA!
Hakubaliani na maoni ya msemaji wa waislam bwana Mohamed anayeeleza upande wa pili wa waislam

Hiyo ndiyo philosophy inayotumika kutisha watu!

Nguruvi3,

Nimekusoma.
Mimi fikra yangu ni nyie kwa umoja wenu mkaja na kitabu.

Kitabu chenu kitaeleza uhuru ulivyopatikana kama mlivyotafiti.
Hii mistari kumi kumi na tano katika JF haiwezi kukidhi haja.

Tutakuwa tunazungushana humo kwa humo.
 
Jasusi,

Umekuwa nje miaka mingi.
Tabu sana kwako kujua hali ya mambo yalivyo hapa nyumbani.

Hebu soma hii kutoka mswada wangu kuhusu kitabu cha Prof.
Malima:

Mkapa was forced to pick his campaign committee
from people outside the inner circle of the party.

Two of newspapers publishers were in his committee
Damian Ruhinda and Jenerali Ulimwengu.

The special NEC Conference convened to elect one
CCM member to stand for presidential candidate
elected Jakaya Mrisho Kikwete in the first round with
Mkapa coming close second and Msuya was last.

But since he had not commanded an absolute majority
voting had to be repeated.

There was tension in the conference hall as CCM
delegates voted to choose between Kikwete and Mkapa.

Christians were heard to whisper to each other that they
should not again allow a Muslim to govern the country.

And when Mkapa won hymns were sung.

Jasusi ndugu yangu haya mambo yanatisha lakini huu ndiyo ukweli wa hali ya
mambo nchini kwetu.

Unasema Nyerere asingeruhusu haya.
Nyerere alikuwa katika ule ukumbi wa Chimwaga Dodoma.

Tumefikaje hapa?

Mohamed,
Nakubali Nyerere alikuwepo kwenye ukumbi wa Chimwaga. Nakubali pia kuwa Nyerere hakumtaka Kikwete, ambaye alikuwa chaguo la Mwinyi, kuwa rais, hasa kwa sababu, kama ukisikia hotuba yake ya 1995 kumnadi Mkapa, alitaka mabadiliko ambayo alikuwa na hakika Kikwete asingekuwa na uwezo wa kuyaleta. Mabadiliko hayo yalihusu kukithiri kwa rushwa na viongozi kujilimbikizia mali. Mkapa wakati huo hakuwa na mali yeyote na alionekana kwa Nyerere kuwa muadilifu, kumbe alikuwa ni chui tu ndani ya ngozi ya kondoo. Nyerere asingeruhusu watu wauane kwa sababu za kidini chini ya uongozi wake. Asingeruhusu makanisa yachomwe. Asingeruhusu Mwembechai itokee. Hilo nina hakika nalo.
 
Kwanini wewe usiilete hiyo draft ungoje Mohamed Said akuletee? au hujasoma Mohamed Said kaandika nini kuhusu hiyo hotuba? rudia tena na tena, utaelewa. Na kama una uhakika kuwa haikuwa hivyo, wewe tuelezee ilivyokuwa.

Kuhusu la kuwa Nyerere anakwenda Kariakoo hana senti moja, hilo linakustuwa nini? hujiulizi kwanini alikuwa anaenda Kariakoo? kwani angekuwa na senti hayo mahitaji yake angeyakosa Magomeni? Fikiri!

Hilo la "wendawazimu" umelisema wewe, kama ni ghadhab kama ni kusudi utajaza wewe. Mimi nakukumbusha tu, ukoo wa Nyerere unajulikana, mazuri yake na mabaya yake.
Siwezi kuleta draft ambayo sija- acknowledge kuwepo kwake. Hotuba ya Nyerere UNO imo kitabuni mwake. Sijui kama kulikuwepo draft au outline iliyoandikwa na Abdulwahid Sykes. Na kuhusu Nyerere na kwenda Kariakoo naona hapa tutazungushana tu kama ilivyokuwa kwa lile suala la Arafat na Moshe Dayan. Alamsiki.
 
Sasa unapinga nini? ikiwa unachokipinga hata hukijuwi, wewe ili mradi upinge tu?
 
Sasa unapinga nini? ikiwa unachokipinga hata hukijuwi, wewe ili mradi upinge tu?

Kwanza tuonyeshe hiyo draft ndipo nikufahamishe ninapinga nini. Wewe unataka nikubali tu kila kitu ninachoambiwa na Mohamed?
 
Kwanza tuonyeshe hiyo draft ndipo nikufahamishe ninapinga nini. Wewe unataka nikubali tu kila kitu ninachoambiwa na Mohamed?

Nikukumbushe nilikwambia mimi? jikumbushe hapa:

Sasa wewe andika Nyerere alitoka Magomeni akiwa na pesa mfukoni na hakukutana na Mshume. Na pia andika kuwa hotuba ile aliiandika Nyerere akiwa Pugu au vyovyote vile ujuavyo.

Kuna mtu alikulazimisha uyakubali aliyoyaandika Mohamed Said? aidha yakubali au usiyakubali, yaamini au usiyaamini, Mohamed Said kisha andika ajuavyo yeye. Wewe unaweza andika ujuavyo wewe kama unaona ya Mohamed Said hayakuingii. Mohamed Said kaona ya historia ya kivukoni hayamuingii akapekuwa makabrasha ya wazee wake na ya wengine wengi, akaja na kitabu kinachoeleza ajuavyo yeye wazee wake walivyopigania Uhuru.

Ulilazimishwa uamini? Unangoja nini kuandika unavyojuwa wewe kuwa ndio sahihi?

Unaonesha ni mwepesi wa kusahau.
 
Nikukumbushe nilikwambia mimi? jikumbushe hapa:

Unaonesha ni mwepesi wa kusahau.
Na mimi nilikujibu vipi vile? Kwamba Nyerere anakwenda sokoni Kariakoo kununua vitu vya matumizi ya kifamilia wakati huo huo hana senti mfukoni, ni ama Nyerere alikuwa mwenda wazimu au mimi nitakuwa na wazimu kuamini allegation hiyo. Sijasahau kitu. Au unataka turudi kule kwa Arafat na Moshe Dayan katika Camp David?
 
Mohamed,
Nakubali Nyerere alikuwepo kwenye ukumbi wa Chimwaga. Nakubali pia kuwa Nyerere hakumtaka Kikwete, ambaye alikuwa chaguo la Mwinyi, kuwa rais, hasa kwa sababu, kama ukisikia hotuba yake ya 1995 kumnadi Mkapa, alitaka mabadiliko ambayo alikuwa na hakika Kikwete asingekuwa na uwezo wa kuyaleta. Mabadiliko hayo yalihusu kukithiri kwa rushwa na viongozi kujilimbikizia mali. Mkapa wakati huo hakuwa na mali yeyote na alionekana kwa Nyerere kuwa muadilifu, kumbe alikuwa ni chui tu ndani ya ngozi ya kondoo. Nyerere asingeruhusu watu wauane kwa sababu za kidini chini ya uongozi wake. Asingeruhusu makanisa yachomwe. Asingeruhusu Mwembechai itokee. Hilo nina hakika nalo.

Jasusi,

Waislam tunamjua Nyerere.

Ndiyo maana leo unaona hadhi na
heshima yake kwetu imeshuka.

Ningeandika mengi lakini uzuri wa
jambo lolote ni kati kwa kati.
 
Mohamed Said anakuja na data na facts za kutosha katika kuelezea historia ya wazee wake nyie wengine mnakuja na maneno matupu.

Hii ndiyo tofauti yenu ndiyo maana nyie mnaepinga kila kitu mnaishia kumuuliza maswali huyo mnayempinga.

Kitu kikubwa mnacho mshinda Mohamed Said ni lugha za kejeli na dhihaka.
 
Jasusi,

Waislam tunamjua Nyerere.

Ndiyo maana leo unaona hadhi na
heshima yake kwetu imeshuka.

Ningeandika mengi lakini uzuri wa
jambo lolote ni kati kwa kati.

Sahihisho: Waislamu tunayo dhana juu ya Nyerere. Ndiyo maana leo hadhi na heshima yake kwetu imeshuka.
Ni dhana tu. Umejitahidi sana kutafuta uthibitisho lakini inaendelea kuwa dhana tu.
 
Mohamed Said anakuja na data na facts za kutosha katika kuelezea historia ya wazee wake nyie wengine mnakuja na maneno matupu.

Hii ndiyo tofauti yenu ndiyo maana nyie mnaepinga kila kitu mnaishia kumuuliza maswali huyo mnayempinga.

Kitu kikubwa mnacho mshinda Mohamed Said ni lugha za kejeli na dhihaka.
Data na facts huambatana na uthibitisho (vizibiti). Lakini kwa ndugu Mohamed vizibiti vyake vimekuwa ni "inasemekana."
Ukiuliza hiyo darft ya hotuba ya Abdulwahid unaambiwa ilinyofolewa.
 
Kwa kweli Ritz kama umeweza kushabikia hayo ya zomba...! sina la kuongeza kwenye hilo...ila siku moja tusije kushtuka mtoto wa Sheikh Ponda akifuata nyayo za mtoto wa Salum Abdalla, naye akifanya utafiti aweze kuandika historia ya harakati za wazee wake katika mapambano ya kuupinga utawala wa Kikwete. Watoto wetu na wajukuu zetu nao watajikuta wakiikosoa hiyo histohisia kama tunavyokosoa histohisia ya Mohamed Said huku wajukuu wa Ritz na zomba nao wakimtetea mwalimu wao kama tunavyoshuhudia.

Ila wakati huo kutakuwa na tofauti, dhihaka na kejeli za wajukuu wenu hazitaelekezwa kwa Kikwete aliye madarakani akiiongoza serikali ya CCM bali zitajikita katika kuulaumu mfumo Kristo wakisahau kuwa shida na taabu walizozipata wananchi kutokana na uongozi dhaifu hazikuangalia dini ya mtu. Inasikitisha sana kuwa chuki zilizopandikizwa vichwani mwao kwa simulizi za barazani toka utotoni kutoka kwenye vinywa vya wazee wao, ndizo zilizowaongoza katika uandishi wao ingawa wenyewe watadai waliyoyaandika ndio ukweli.

Mag3,
Alichokiandika zomba, kisha mie nikapiga Like wewe unaona ni kibaya.

Hebu jiulize mabandiko yako ya matusi na dhihaka kuna watu wamekupigia Like ujasema kitu.

Mtu mzima kama wewe unamwambia mtu mzima mwenzako muongo Waheed halafu bado unapinga ujatukana hapo ndiyo nakushangaa.
 
Last edited by a moderator:
Data na facts huambatana na uthibitisho (vizibiti). Lakini kwa ndugu Mohamed vizibiti vyake vimekuwa ni "inasemekana."
Ukiuliza hiyo darft ya hotuba ya Abdulwahid unaambiwa ilinyofolewa.

Labda nikuulize kitu Jasusi hivi hakuna chochote ulichojifunza kutoka kwa Mohamed Said.
 
Sahihisho: Waislamu tunayo dhana juu ya Nyerere. Ndiyo maana leo hadhi na heshima yake kwetu imeshuka.
Ni dhana tu. Umejitahidi sana kutafuta uthibitisho lakini inaendelea kuwa dhana tu.

heshima ingetakiwa ianzie kwake kama yeye alishindwa kuwapa kipaumbele waliompokea hayo ndio matokeo yake
 
Si anakusaidieni nyie msiojua Kiarabu!!
Kwani nyinyi mkiongea kisambaa kwa waswahili simnatoa tafsiri pia.
sasa hapo anatusaidia tusiojua kiarabu au anatufundisha kiarabu?
yaani wewe ukiongea na mtu asiyejua kiluga chako unataguliza sentesi ya kiluga then unaitafsiri kwa kiswahili? hhahahahahha, dah! hiyo ndo naipata leo, embu ngoja ni'practise hapa chini kwa kukupa salam,
''OSIE NZEZE''? yaani ''ALOO HABARI YAKO''?
 
MM ubishi wako wakitoto!
Kwahio kama baadhi ya watu hapa wanajua kiarabu plus wewe zisitolewe tafsiri kwa Kiswahili kwa wale ambao hawajui kiarabu?
Haya tuseme wewe umegraduate darasa la kiarabu, je umewafundisha wote hapa kiarabu kufanya kila mtu asihitaji tafsiri.
hhahahahaaha! mkuu wewe una mambo. sasa kwanini asingetumia kiswahili au kingereza tu kinachofahamika kwa wengi hapa jamvini? mimi ninachopinga ni hivyo anavyorudia rudia sentesi moja kwa lugha mbili tofauti.
 
Data na facts huambatana na uthibitisho (vizibiti). Lakini kwa ndugu Mohamed vizibiti vyake vimekuwa ni "inasemekana."
Ukiuliza hiyo darft ya hotuba ya Abdulwahid unaambiwa ilinyofolewa.

Sasa kwani ni uongo?
so,unakubali au unakataa?
na umelazimishwa kukubali na kuamini?
kama kuna unachokifaham kwanini sasa usiandike ukweli unaoufaham na kuueleza kwa umma??
 
Back
Top Bottom