Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Ritz,

Yeye ndiye alikuwa mweka hazina wa TANU na Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika

.
Mzee Muddy!
Nisaidie kuhusu hii muslim assosciation of Tanganyika- Al Jamiatul Islamiyya
Hii bado ipo au ilikufa kama ilivyokuwa EAMWS huko mombasa?
kama ilikufa, je kulikuwa na mkono wa Nyerere na kanisa katoliki?
 
"Nyerere's second visit to the United States was sponsored by Maryknoll. Instrumental in arranging it were Fr. William Collins, Fr. Al Nevins and Fr. John Considine. Maryknoll paid for his passage from Europe to America and back. His air line ticket from Tanganyika to Europe and back was bought by money raised in Tanganyika from a number of sources including Fr. Richard Walsh W.F. The purpose of this trip was to enable Nyerere to appear before the Fourth Committee of the U.N. on December 20, 1956. Maryknoll also arranged a lecture tour for Nyerere to visit various universities to acquaint himself with the American educational system and to seek scholarships for Tanganyikans. He also made an appearance on television with Eleanor Roosevelt on the Mike Wallace show"

Son...,

Taarifa nzuri sana zitaboresha historia ya uhuru wa Tanganyika.
 
Mzee Muddy!
Nisaidie kuhusu hii muslim assosciation of Tanganyika- Al Jamiatul Islamiyya
Hii bado ipo au ilikufa kama ilivyokuwa EAMWS huko mombasa?
kama ilikufa, je kulikuwa na mkono wa Nyerere na kanisa katoliki?

Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika ilipigwa marufuku pamoja na EAMWS na Nyerere 1968.
 
Je mfadhiri namba moja wa baba wa taifa na aliyekuwa akimlpa mshahara kabisa wa shilingi 600 huku akiwa kaacha kazi akiwa Musoma Padre Art Wille anatajwa popote?

Nilkuahidi narudi sasa hivi.

Hapo kwenye nyekundu, usituharibie lugha yetu tamu na adhimu. Jifundishe kuandika Kiswahili vizuri. Juliasi alijifundisha alipokuwa Dar. akawa bingwa wa Kiswahili, wewe kinakushinda nini?

Huo usemi wako unatuhakikishia kuwa Nyerere alifanya kazi za Kanisa. Hivi father huo mshahara wa 600 wa kumpa Nyerere enzi hizo atautowa wapi?

Ahsante sana kwa kuyakinisha hilo.
 
Nakuuliza katika safari hii na mafao mengine je Shirika la Maryknoll Sister wanatajwa?

Je Edgar Arestde Maranta anatajwa?

Je Shehe Iss Bin Amir anatajwa?

Je mfadhiri namba moja wa baba wa taifa na aliyekuwa akimlpa mshahara kabisa wa shilingi 600 huku akiwa kaacha kazi akiwa Musoma Padre Art Wille anatajwa popote?

Nakufahamisha kuwa katika moja ya vibwagizo vya Mwalimu mwaka 1985 alitamka wazi kuwa Padre Wille ni BOSS wake halali! Hilo alilisema akikumbuka mbali sana hasa mazngira yake yakukatiwa tiketi ya kwenda na kurudi UNO

Kasisi Wille alikuwa ni mmoja ya wanajopo la wa Maryknoll Sister wakiwa sambamba kabisa na Pandre Maranta wakiunga mkono juhudi za ukombozi zilizokuwa zikiongozwa na Mwalimu Nyerere!

Hakuna tatizo kama kuna mchango wao ni vizuri uitaje alichofanya Mohamed Said ameandika kwa upande wake kuhusu wazee wake hizo habari ndiyo anazozijua.

Unaweza kutuambia huyu mfadhili wa Nyerere alikuwa anampa mshahara Nyerere Sh. 600 ilikuwa mwaka gani.

Tupe darsa Yericko.
 
Nanren,

Hatujapata kulala usingizi toka 1968 ukweli ulipotudhihirikia.

Ndiyo maana leo tupo hapa jamvini unasoma mengi yanakushangaza.

Jibu la haraka kutoka kwako ni ''uongo,'' ''hii haiwezi kuwa kweli,''
''huyu Mohamed ni mtu hatari nk. nk. nk.''

Watu wengi walipata mshtuko kwa mara ya kwanza waliposoma kitabu
changu.

Narudia kusema tena hapa mshtuko wa Prof. Haroub Othman.

Sikushangai wewe.

Lakini nakuambia yote niliyoandika ni kweli.

Kwa hiyo ukweli wa Nyerere na wakristo kuwakandamiza waislam ulidhihirika kwenu mwaka 1968. Je ulidhirika kwako moja kwa moja mwaka huo (ukiwa na miaka 16) au ulidhirika mwaka huo kwa wazee wako ambao ndiyo wamekuja kukusimulia? Hapa napata picha kuwa kumbe wazee waliokusimulia tayari walikuwa na hii dhana as far back as 1968!
I shouldnt be surprised then, like father like son!
 
Mwaka 1985 John Malecela alikuwa mbali kabisa na Ikulu ya Mwalimu. Alikuja okolewa na Ali Hassan Mwinyi kwa kumteua kuwa RC, baadae balozi, kisha WaziriMkuu na Makamu wa Rais. Usijiingize kwenye majungu ya vijiwe vya Kariakoo.

kumbe sio malecela!, ni nani basi!..
 
Hakuna tatizo kama kuna mchango wao ni vizuri uitaje alichofanya Mohamed Said ameandika kwa upande wake kuhusu wazee wake hizo habari ndiyo anazozijua.

Unaweza kutuambia huyu mfadhili wa Nyerere alikuwa anampa mshahara Nyerere Sh. 600 ilikuwa mwaka gani.

Tupe darsa Yericko.

pata darsa mwana mpotevu
"It was on his return from this meeting in New York that he had to make an important personal decision. Previously, Governor Twinning had made a law which forbad civil servants from being members of any political organization. Nyerere as a member of TANU had to make a decision to either resign from TANU or to resign from teaching. Since his salary as a teacher came from government even though he was teaching in a Catholic School, he was considered a civil servant. He resigned his teaching position at St. Francis, Pugu. He also realized that because of the increasing amount of time and energy he was devoting to TANU he could not do justice to his students as their teacher.
He returned to his village of Butiama with his wife Maria and his two children, Andrew and Anna. It was just at this time that Msgr. Grondin decided to open a new mission in Zanaki. Fr. Art Wille was assigned the job of starting this new mission. He and Msgr. Grondin went to see Nyerere in Butiama. He and his family were living in the small mud brick house that he had built and given Maria as a wedding present. He was delighted when Msgr. Grondin asked him to teach a priest Kizanaki and Julius immediately accepted the offer. He made arrangements to move into Mwisenge, a suburb of Musoma Town. He and his family moved in with his old and close friend Oswald Marwa. Oswald at this time was in charge of public works under Musoma District Council. Julius accepted a small salary of 600 shillings a month from Fr. Wille who came under criticism from some of his conferees for paying such a high salary. Years later Julius would jokingly introduce Fr. Wille as his former "boss". This was the beginning of a long and close friendship between Fr. Wille and Julius Nyerere and his family
 
Yericko,

Taarifa nzuri na zinajazia historia ya uhuru wa Tanganyika.

Kuna fedha katika vyanzo hivyo alipokea Idd Faiz kama mweka
hazina wa TANU?

Mimi na wewe kwa hilo tutakuwa na majibu tfauti, kwakuwa muhusika mkuu Idd Faiz alishafariki, lakini Mwalimu Nyerere kabla ya kufariki aliweka wazi hilo na halihaji uchunguzi wa TAKUKURU
 
Hapa ndio panapomfunga jela Mohamed Said

Son...,

Hapana siwezi kuingia kizimbani kwa taarifa hizo.

TANU ilikuwa kubwa sana na mchango wa wazee wangu hauwezi
kufunikwa kirahisi hivyo.

Nakuwekea hapa vipi Kanisa Katoliki lilipiga vita harakati za uhuru.

Hii ilikuwa mwaka wa 1955:

''Nyerere favoured the trip to Zanzibar more than travelling south to
consolidate the party.

Mpunga impressed on Nyerere the importance of his travelling to Lindi
which could become the spring board for Newala, Songea, Tunduru and
Masasi where there was great opposition to TANU.

The Catholic Church was preventing people from joining TANU.

Sheikh Suleiman Takadir, Said Chamwenyewe, John Rupia, Ali Mwinyi
Tambwe all backed the Lindi delegation on this issue.

After reaching an agreement, a letter confirming the Lindi trip by Nyerere
was given to Salum Mpunga and Ali Ibrahim Mnjale.
''

Ikiwa mwaka 1956 katika safari ya pili ya Nyerere UNO Kanisa likaona nalo
liunge mkono TANU bila shaka ipo sababu.
 
Hakuna tatizo kama kuna mchango wao ni vizuri uitaje alichofanya Mohamed Said ameandika kwa upande wake kuhusu wazee wake hizo habari ndiyo anazozijua.

Unaweza kutuambia huyu mfadhili wa Nyerere alikuwa anampa mshahara Nyerere Sh. 600 ilikuwa mwaka gani.

Tupe darsa Yericko.

hapo kwenye red ndicho tusikitaka kaka Ritz kwa lengo lipi hasa?

Kwani wakati wanagombania uhuru waligombania uhuru wa waislamu Tanganyika au uhuru wa Tanganyika?

Uoni kuwa huu ni ubaguzi?

Fine;
kama nia yake ilikuwa ni kuandika kwa wazee wake tu, asingewahusisha (tena kwa mabaya) wazee wa wenzake kama kina Nyerere, haoni kufanya kuna create chuki...
 
Last edited by a moderator:
pata darsa mwana mpotevu
"It was on his return from this meeting in New York that he had to make an important personal decision. Previously, Governor Twinning had made a law which forbad civil servants from being members of any political organization. Nyerere as a member of TANU had to make a decision to either resign from TANU or to resign from teaching. Since his salary as a teacher came from government even though he was teaching in a Catholic School, he was considered a civil servant. He resigned his teaching position at St. Francis, Pugu. He also realized that because of the increasing amount of time and energy he was devoting to TANU he could not do justice to his students as their teacher.
He returned to his village of Butiama with his wife Maria and his two children, Andrew and Anna. It was just at this time that Msgr. Grondin decided to open a new mission in Zanaki. Fr. Art Wille was assigned the job of starting this new mission. He and Msgr. Grondin went to see Nyerere in Butiama. He and his family were living in the small mud brick house that he had built and given Maria as a wedding present. He was delighted when Msgr. Grondin asked him to teach a priest Kizanaki and Julius immediately accepted the offer. He made arrangements to move into Mwisenge, a suburb of Musoma Town. He and his family moved in with his old and close friend Oswald Marwa. Oswald at this time was in charge of public works under Musoma District Council. Julius accepted a small salary of 600 shillings a month from Fr. Wille who came under criticism from some of his conferees for paying such a high salary. Years later Julius would jokingly introduce Fr. Wille as his former "boss". This was the beginning of a long and close friendship between Fr. Wille and Julius Nyerere and his family

Son...

Hivi unajua Nyerere akipokea fedha vilevile kutoka TANU katika kipindi hicho?
Unajua majina ya wachangiaji wa fedha hizo?
 
nyerere_departing_for_UNO.jpg

TANU Supporters accompany Nyerere to the airport before his departure to deliver a speech UNO

Cha kuchekesha hapa anatajwa Nyerere peke yake wakati hawa wote wanajulikana majina yao.

Na wengine wamejitolea nguvu zao pamoja na mali lakini wametupwa nje ya historia ya TANU pamoja na uhuru.

Hao waswahili wanywa kahawa ndiyo waliomsindikiza Nyerere uwanja wa ndege kwenda UN.

Asante kwa picha hii bro! bila shaka bi mkubwa mwenye hijabu ni Bibi Titi Mohamed au sio? na hao wengine ni akina nani?
Duh! kumbe Mchonga alikuwa mvuta fegi! nilini aliacha?
 
hapo kwenye red ndicho tusikitaka kaka Ritz kwa lengo lipi hasa?

Kwani wakati wanagombania uhuru waligombania uhuru wa waislamu Tanganyika au uhuru wa Tanganyika?

Uoni kuwa huu ni ubaguzi?

Fine;
kama nia yake ilikuwa ni kuandika kwa wazee wake tu, asingewahusisha (tena kwa mabaya) wazee wa wenzake kama kina Nyerere, haoni kufanya kuna create chuki...

Remote,

Katika yote uloandika ninachoweza kukujibu ni hili la ubaguzi lakini litahitaji
uzi mpya.

Uko tayari?
 
Hakuna tatizo kama kuna mchango wao ni vizuri uitaje alichofanya Mohamed Said ameandika kwa upande wake kuhusu wazee wake hizo habari ndiyo anazozijua.

Unaweza kutuambia huyu mfadhili wa Nyerere alikuwa anampa mshahara Nyerere Sh. 600 ilikuwa mwaka gani.

Tupe darsa Yericko.

Baada ya mwalimu kuacha kazi ya ualimu pale Pugu Dar mwaka 1952 na kurudi Butiama ndipo alipoanza kulipwa

Shilingi 600 ya wakati huo jiulize ilikuwa ni sawa na shilingi ngapi ya leo?

Hivyo uongo wa Mohamed wa kusema Mwalimu alikuwa na shida akitembea kutoka magomeni hadi kariakoo kwa miguu akisubiri kuotoa pesa za akina Mshume Kiyate umejidhihirisha wazi!

Nakufahamisha kuwa mwalimu aliacha kazi akiungwa mkono na wengi na hakuwa lazima wajitangaze ama kujikweza kwake kama wengine walivyotaka!
 
Asante kwa picha hii bro! bila shaka bi mkubwa mwenye hijabu ni Bibi Titi Mohamed au sio? na hao wengine ni akina nani?
Duh! kumbe Mchonga alikuwa mvuta fegi! nilini aliacha?

Watakuambia hizo ni ngano za waswahili wa gerezani.
 
Kwa hiyo ukweli wa Nyerere na wakristo kuwakandamiza waislam ulidhihirika kwenu mwaka 1968. Je ulidhirika kwako moja kwa moja mwaka huo (ukiwa na miaka 16) au ulidhirika mwaka huo kwa wazee wako ambao ndiyo wamekuja kukusimulia? Hapa napata picha kuwa kumbe wazee waliokusimulia tayari walikuwa na hii dhana as far back as 1968!
I shouldnt be surprised then, like father like son!

Nanren,

Ukitaka khasa kutafiti matatizo yalianza lini inabidi uanze na
ile khutba ambayo ni maarufu inaitwa, ''Moto wa Waislam
Ukiwaka.''

Khutba hii alisomewa Nyerere kwenye mkutano wa EAMWS
mwaka 1963.

Khutba hii iliweka kila kitu bayana kuhusu fitna iliyokuwa inaanza
kujitokeza dhidi ya Waislam.

Khutba hii ilikuwa nzito kwa sababu Waislam walimuuliza Nyerere,
''Baada ya sisi kupigania uhuru huu ijaza yetu ndiyo hii?''

Khutba hii aliisoma Bila Rehani Waikela muasisi wa TANU Northern
Province 1955 na katibu wa EAMWS kutoka Tabora.

Nanren historia ya Waislam ni kubwa sana.
 
Son...

Hivi unajua Nyerere akipokea fedha vilevile kutoka TANU katika kipindi hicho?
Unajua majina ya wachangiaji wa fedha hizo?
kama TANU walikuwa wana mpa hela mbona alikwenda musoma??? au yeye ndio alikuwa anawapa TANU hela,maana mshahara wake ulikuwa mkubwa?? kwa mshahara huo unanunua nyumba ngapi uswahilini????????
 
Back
Top Bottom