Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Baada ya mwalimu kuacha kazi ya ualimu pale Pugu Dar mwaka 1952 na kurudi Butiama ndipo alipoanza kulipwa

Shilingi 600 ya wakati huo jiulize ilikuwa ni sawa na shilingi ngapi ya leo?

Hivyo uongo wa Mohamed wa kusema Mwalimu alikuwa na shida akitembea kutoka magomeni hadi kariakoo kwa miguu akisubiri kuotoa pesa za akina Mshume Kiyate umejidhihirisha wazi!

Nakufahamisha kuwa mwalimu aliacha kazi akiungwa mkono na wengi na hakuwa lazima wajitangaze ama kujikweza kwake kama wengine walivyotaka!

Yericko,

Husemi kweli.
Hili sina haja ya kulichangia.

Waungwana hawaelezi ikhsani walizofanyiana.
Tuishie hapa.
 
Baada ya mwalimu kuacha kazi ya ualimu pale Pugu Dar mwaka 1952 na kurudi Butiama ndipo alipoanza kulipwa

Shilingi 600 ya wakati huo jiulize ilikuwa ni sawa na shilingi ngapi ya leo?

Hivyo uongo wa Mohamed wa kusema Mwalimu alikuwa na shida akitembea kutoka magomeni hadi kariakoo kwa miguu akisubiri kuotoa pesa za akina Mshume Kiyate umejidhihirisha wazi!

Nakufahamisha kuwa mwalimu aliacha kazi akiungwa mkono na wengi na hakuwa lazima wajitangaze ama kujikweza kwake kama wengine walivyotaka!

Yericko Nyerere,

Nyerere kalipwa huo mshahara wa shilingi 600 kwa mwezi na Padri kwa muda gani.

Ninavyojua Padri ni mtumishi wa Kanisa mwaka 1952 Padri alikuwa anapata wapi kiasi cha hicho pesa kila mwezi kumpa Nyerere kuanzia mwaka 1952-1961 muda wa miaka tisa.

Haya maswali yanaitaji majibu ya kina siyo.

Hizo pesa ni nyingi sana kipindi kama Nyerere angekuwa na pesa hizo wala asingekaa kwa Abdul na wala John Rupia asingenunulia nyumba Magomeni mtaa wa Ifunda.

Yericko unajua Kariakoo mwaka 1952 nyumba ulikuwa unaweza kujenga kwa kiasi gani.

Hata Pope Benedict XVI kiongozi wa Kanisa hana uwezo wa kumlipa mshahara mtu wa milioni 1 kwa mwezi muda wa miaka tisa siyo mfanyabiashara ni mtumishi wa Kanisa.
 
Last edited by a moderator:
Watakuambia hizo ni ngano za waswahili wa gerezani.

Hapana. Sisi tunaomfahamu Mwalimu tunajua alikuwa chain smoker na akipiga whisky. Daktari wake alimwambia "at this rate hutaishi kuona matunda ya juhudi zako." Mwalimu alikwenda "cold turkey." Aliacha sigara hapo hapo kazi ambayo naona kwa Obama ilimchukua muda kidogo. In his older days, alikuwa akinywa chupa moja ya Safari baada ya kazi shambani kwake na akija New York tukipiga pamoja chupa ya Chardonnay. He only drank a glass and I finished the rest.
 
Yericko Nyerere,

Nyerere kalipwa huo mshahara wa shilingi 600 kwa mwezi na Padri kwa muda gani.

Ninavyojua Padri ni mtumishi wa Kanisa mwaka 1952 Padri alikuwa anapata wapi kiasi cha hicho pesa kila mwezi kumpa Nyerere kuanzia mwaka 1952-1961 muda wa miaka tisa.

Haya maswali yanaitaji majibu ya kina siyo.

Hizo pesa ni nyingi sana kipindi kama Nyerere angekuwa na pesa hizo wala asingekaa kwa Abdul na wala John Rupia asingenunulia nyumba Magomeni mtaa wa Ifunda.

Yericko unajua Kariakoo mwaka 1952 nyumba ulikuwa unaweza kujenga kwa kiasi gani.

Ritz,
Soma vizuri. Kuna uzi humu unaelezea kuwa Mwalimu aliporudi Musoma alikubali kumfundisha lugha ya Kizanaki padre mmoja kwa malipo ya shilingi 600 kwa mwezi. Na ukiuliza padri alipata wapi pesa hizo ni kwamba hujui kuwa Kanisa Katoliki ni one of the richest institutions in the world. Hebu Google upate darasa.
 
Hapana. Sisi tunaomfahamu Mwalimu tunajua alikuwa chain smoker na akipiga whisky. Daktari wake alimwambia "at this rate hutaishi kuona matunda ya juhudi zako." Mwalimu alikwenda "cold turkey." Aliacha sigara hapo hapo kazi ambayo naona kwa Obama ilimchukua muda kidogo. In his older days, alikuwa akinywa chupa moja ya Safari baada ya kazi shambani kwake na akija New York tukipiga pamoja chupa ya Chardonnay. He only drank a glass and I finished the rest.

Jasusi,

Mie sijaongelea mambo ya sigara mie naelezea hiyo picha ya waswahili wa gerezani kariakoo wanamsindika Nyerere kwenda UNO.
 
Last edited by a moderator:
Yericko Nyerere,

Nyerere kalipwa huo mshahara wa shilingi 600 kwa mwezi na Padri kh:uj hukhjybwa muda gani.

Ninavyojua Padri ni mtumishi wa Kanisa mwaka 1952 Padri alikuwa anapata wapi kiasi cha hicho pesa kila mwezi kumpa Nyerere kuanzia mwaka 1952-1961 muda wa miaka tisa.

Haya maswali yanaitaji majibu ya kina siyo.

Hizo pesa ni nyingi sana kipindi kama Nyerere angekuwa na pesa hizo wala asingekaa kwa Abdul na wala John Rupia asingenunulia nyumba Magomeni mtaa wa Ifunda.

Yericko unajua Kariakoo mwaka 1952 nyumba ulikuwa unaweza kujenga kwa kiasi gani.
Hapo ndio nakujuza kuwa Mwalimu hakuwa na dhiki kama anavyomzushia huyo mzandiki Mohamed Said,

Chohote alichopewa tambua kuwa hakupewa kwakuwa hana bali watu walizikubali harakati zake za ukombozi
 
Last edited by a moderator:
Ritz,
Soma vizuri. Kuna uzi humu unaelezea kuwa Mwalimu aliporudi Musoma alikubali kumfundisha lugha ya Kizanaki padre mmoja kwa malipo ya shilingi 600 kwa mwezi. Na ukiuliza padri alipata wapi pesa hizo ni kwamba hujui kuwa Kanisa Katoliki ni one of the richest institutions in the world. Hebu Google upate darasa.

Jasusi,

Najua kama Kanisa katoliki ni tajiri sana duniani. Hebu pitia bandiko la Yericko lipo tofauti na lako.

Hakuna anayepinga tunataka tu kufahamu hata tukiulizwa na watoto wetu tuwape majibu muruwa.

Labda nisaidie Nyerere alikuwa analipwa na Kanisa au analipwa na Padri. au alikuwa anafanya kazi.
 
Si anakusaidieni nyie msiojua Kiarabu!!
Kwani nyinyi mkiongea kisambaa kwa waswahili simnatoa tafsiri pia.

kwa nn asiongee kiswahili moja kwa moja badala ya kurudia rudia wakati wote tunajua kiswahili
 
Hapana. Sisi tunaomfahamu Mwalimu tunajua alikuwa chain smoker na akipiga whisky. Daktari wake alimwambia "at this rate hutaishi kuona matunda ya juhudi zako." Mwalimu alikwenda "cold turkey." Aliacha sigara hapo hapo kazi ambayo naona kwa Obama ilimchukua muda kidogo. In his older days, alikuwa akinywa chupa moja ya Safari baada ya kazi shambani kwake na akija New York tukipiga pamoja chupa ya Chardonnay. He only drank a glass and I finished the rest.

Jasusi,

Ahsante kwa hii info.

Nami ningependa kukuongezea nyingine iliyomfanya Nyerere aache sigara.

Hamza Mwapachu alipofariki mwaka 1962 sababu iliyoelezwa na madaktari
ilikuwa ni maradhi ya moyo ambayo yalisababishwa na chain smoking.

Baada ya kifo cha Mwapachu inasemekana ndipo Nyerere na yeye akaacha
sigara.

Info hii nimeipata kwenye kumbukumbu ya Mwapachu iliyochapwa na gazeti
la Dira tarehe sikumbuki.
 
Hapo ndio nakujuza kuwa Mwalimu hakuwa na dhiki kama anavyomzushia huyo mzandiki Mohamed Said,

Chohote alichopewa tambua kuwa hakupewa kwakuwa hana bali watu walizikubali harakati zake za ukombozi

Yericko,

Chunga ulimi wako.
Huna sababu ya kunitukana.
 
Ritz,
Soma vizuri. Kuna uzi humu unaelezea kuwa Mwalimu aliporudi Musoma alikubali kumfundisha lugha ya Kizanaki padre mmoja kwa malipo ya shilingi 600 kwa mwezi. Na ukiuliza padri alipata wapi pesa hizo ni kwamba hujui kuwa Kanisa Katoliki ni one of the richest institutions in the world. Hebu Google upate darasa.

Kwa hiyo mpaka Dar akaja nae huyo padre na akawa anaendelea na kazi ya kumfundisha kizanaki?

Watu wanaongelea ya Dar wewe unaongelea ya Musoma. Upo timamu kweli wewe?
 
Hili limewastua wote wanaomuunga mkono Shehe Muhamed kwani walishalishwa uongo
 
Hapo ndio nakujuza kuwa Mwalimu hakuwa na dhiki kama anavyomzushia huyo mzandiki Mohamed Said,

Chohote alichopewa tambua kuwa hakupewa kwakuwa hana bali watu walizikubali harakati zake za ukombozi

Tumia kauli nzuri utaeleweka tu mambo ya mzandiki yanatoka wapi.

Hakuna sehemu yeyote Mohamed Said amesema Nyerere alikuwa na dhiki.

kama alikuwa analipwa hizo pesa ndiyo unapinga hakusaidiwa chochote alivyokuja Dar es Salaam.

Ni uongo akukaa kwa Abdulwahid akupewa nyumba na John Rupia, Mama Maria Nyerere akupewa duka mchikichi.
 
Jasusi,

Najua kama Kanisa katoliki ni tajiri sana duniani. Hebu pitia bandiko la Yericko lipo tofauti na lako.

Hakuna anayepinga tunataka tu kufahamu hata tukiulizwa na watoto wetu tuwape majibu muruwa.

Labda nisaidie Nyerere alikuwa analipwa na Kanisa au analipwa na Padri. au alikuwa anafanya kazi.

Ritz,
The difference is the same. Kama alilipwa na padri ambaye alikuwa analipwa na kanisa chanzo cha fedha ni kile kile.
 
kwa nn asiongee kiswahili moja kwa moja badala ya kurudia rudia wakati wote tunajua kiswahili

Asalaam Aleykum. InshaAllah ntajitahid lakinI sidhanni kama itayumkini.

Kwi kwi kwi teh teh teh!
 
Kwa hiyo mpaka Dar akaja nae huyo padre na akawa anaendelea na kazi ya kumfundisha kizanaki?

Watu wanaongelea ya Dar wewe unaongelea ya Musoma. Upo timamu kweli wewe?
Nakubali, sipo timamu mimi!
 
Back
Top Bottom