na hakika ulikuwa less then average student,mpaka mfumo wa Nyerere wa kutaka mcatch up kielimu ukakusaidia-leo umesahau-unatukana
Mzee Muddy!Ritz,
Yeye ndiye alikuwa mweka hazina wa TANU na Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika
.
"Nyerere's second visit to the United States was sponsored by Maryknoll. Instrumental in arranging it were Fr. William Collins, Fr. Al Nevins and Fr. John Considine. Maryknoll paid for his passage from Europe to America and back. His air line ticket from Tanganyika to Europe and back was bought by money raised in Tanganyika from a number of sources including Fr. Richard Walsh W.F. The purpose of this trip was to enable Nyerere to appear before the Fourth Committee of the U.N. on December 20, 1956. Maryknoll also arranged a lecture tour for Nyerere to visit various universities to acquaint himself with the American educational system and to seek scholarships for Tanganyikans. He also made an appearance on television with Eleanor Roosevelt on the Mike Wallace show"
Mzee Muddy!
Nisaidie kuhusu hii muslim assosciation of Tanganyika- Al Jamiatul Islamiyya
Hii bado ipo au ilikufa kama ilivyokuwa EAMWS huko mombasa?
kama ilikufa, je kulikuwa na mkono wa Nyerere na kanisa katoliki?
Je mfadhiri namba moja wa baba wa taifa na aliyekuwa akimlpa mshahara kabisa wa shilingi 600 huku akiwa kaacha kazi akiwa Musoma Padre Art Wille anatajwa popote?
Nakuuliza katika safari hii na mafao mengine je Shirika la Maryknoll Sister wanatajwa?
Je Edgar Arestde Maranta anatajwa?
Je Shehe Iss Bin Amir anatajwa?
Je mfadhiri namba moja wa baba wa taifa na aliyekuwa akimlpa mshahara kabisa wa shilingi 600 huku akiwa kaacha kazi akiwa Musoma Padre Art Wille anatajwa popote?
Nakufahamisha kuwa katika moja ya vibwagizo vya Mwalimu mwaka 1985 alitamka wazi kuwa Padre Wille ni BOSS wake halali! Hilo alilisema akikumbuka mbali sana hasa mazngira yake yakukatiwa tiketi ya kwenda na kurudi UNO
Kasisi Wille alikuwa ni mmoja ya wanajopo la wa Maryknoll Sister wakiwa sambamba kabisa na Pandre Maranta wakiunga mkono juhudi za ukombozi zilizokuwa zikiongozwa na Mwalimu Nyerere!
Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika ilipigwa marufuku pamoja na EAMWS na Nyerere 1968.
Nanren,
Hatujapata kulala usingizi toka 1968 ukweli ulipotudhihirikia.
Ndiyo maana leo tupo hapa jamvini unasoma mengi yanakushangaza.
Jibu la haraka kutoka kwako ni ''uongo,'' ''hii haiwezi kuwa kweli,''
''huyu Mohamed ni mtu hatari nk. nk. nk.''
Watu wengi walipata mshtuko kwa mara ya kwanza waliposoma kitabu
changu.
Narudia kusema tena hapa mshtuko wa Prof. Haroub Othman.
Sikushangai wewe.
Lakini nakuambia yote niliyoandika ni kweli.
Mwaka 1985 John Malecela alikuwa mbali kabisa na Ikulu ya Mwalimu. Alikuja okolewa na Ali Hassan Mwinyi kwa kumteua kuwa RC, baadae balozi, kisha WaziriMkuu na Makamu wa Rais. Usijiingize kwenye majungu ya vijiwe vya Kariakoo.
Hakuna tatizo kama kuna mchango wao ni vizuri uitaje alichofanya Mohamed Said ameandika kwa upande wake kuhusu wazee wake hizo habari ndiyo anazozijua.
Unaweza kutuambia huyu mfadhili wa Nyerere alikuwa anampa mshahara Nyerere Sh. 600 ilikuwa mwaka gani.
Tupe darsa Yericko.
Yericko,
Taarifa nzuri na zinajazia historia ya uhuru wa Tanganyika.
Kuna fedha katika vyanzo hivyo alipokea Idd Faiz kama mweka
hazina wa TANU?
Hapa ndio panapomfunga jela Mohamed Said
Hakuna tatizo kama kuna mchango wao ni vizuri uitaje alichofanya Mohamed Said ameandika kwa upande wake kuhusu wazee wake hizo habari ndiyo anazozijua.
Unaweza kutuambia huyu mfadhili wa Nyerere alikuwa anampa mshahara Nyerere Sh. 600 ilikuwa mwaka gani.
Tupe darsa Yericko.
pata darsa mwana mpotevu
"It was on his return from this meeting in New York that he had to make an important personal decision. Previously, Governor Twinning had made a law which forbad civil servants from being members of any political organization. Nyerere as a member of TANU had to make a decision to either resign from TANU or to resign from teaching. Since his salary as a teacher came from government even though he was teaching in a Catholic School, he was considered a civil servant. He resigned his teaching position at St. Francis, Pugu. He also realized that because of the increasing amount of time and energy he was devoting to TANU he could not do justice to his students as their teacher.
He returned to his village of Butiama with his wife Maria and his two children, Andrew and Anna. It was just at this time that Msgr. Grondin decided to open a new mission in Zanaki. Fr. Art Wille was assigned the job of starting this new mission. He and Msgr. Grondin went to see Nyerere in Butiama. He and his family were living in the small mud brick house that he had built and given Maria as a wedding present. He was delighted when Msgr. Grondin asked him to teach a priest Kizanaki and Julius immediately accepted the offer. He made arrangements to move into Mwisenge, a suburb of Musoma Town. He and his family moved in with his old and close friend Oswald Marwa. Oswald at this time was in charge of public works under Musoma District Council. Julius accepted a small salary of 600 shillings a month from Fr. Wille who came under criticism from some of his conferees for paying such a high salary. Years later Julius would jokingly introduce Fr. Wille as his former "boss". This was the beginning of a long and close friendship between Fr. Wille and Julius Nyerere and his family
TANU Supporters accompany Nyerere to the airport before his departure to deliver a speech UNO
Cha kuchekesha hapa anatajwa Nyerere peke yake wakati hawa wote wanajulikana majina yao.
Na wengine wamejitolea nguvu zao pamoja na mali lakini wametupwa nje ya historia ya TANU pamoja na uhuru.
Hao waswahili wanywa kahawa ndiyo waliomsindikiza Nyerere uwanja wa ndege kwenda UN.
hapo kwenye red ndicho tusikitaka kaka Ritz kwa lengo lipi hasa?
Kwani wakati wanagombania uhuru waligombania uhuru wa waislamu Tanganyika au uhuru wa Tanganyika?
Uoni kuwa huu ni ubaguzi?
Fine;
kama nia yake ilikuwa ni kuandika kwa wazee wake tu, asingewahusisha (tena kwa mabaya) wazee wa wenzake kama kina Nyerere, haoni kufanya kuna create chuki...
Hakuna tatizo kama kuna mchango wao ni vizuri uitaje alichofanya Mohamed Said ameandika kwa upande wake kuhusu wazee wake hizo habari ndiyo anazozijua.
Unaweza kutuambia huyu mfadhili wa Nyerere alikuwa anampa mshahara Nyerere Sh. 600 ilikuwa mwaka gani.
Tupe darsa Yericko.
Asante kwa picha hii bro! bila shaka bi mkubwa mwenye hijabu ni Bibi Titi Mohamed au sio? na hao wengine ni akina nani?
Duh! kumbe Mchonga alikuwa mvuta fegi! nilini aliacha?
Kwa hiyo ukweli wa Nyerere na wakristo kuwakandamiza waislam ulidhihirika kwenu mwaka 1968. Je ulidhirika kwako moja kwa moja mwaka huo (ukiwa na miaka 16) au ulidhirika mwaka huo kwa wazee wako ambao ndiyo wamekuja kukusimulia? Hapa napata picha kuwa kumbe wazee waliokusimulia tayari walikuwa na hii dhana as far back as 1968!
I shouldnt be surprised then, like father like son!
kama TANU walikuwa wana mpa hela mbona alikwenda musoma??? au yeye ndio alikuwa anawapa TANU hela,maana mshahara wake ulikuwa mkubwa?? kwa mshahara huo unanunua nyumba ngapi uswahilini????????Son...
Hivi unajua Nyerere akipokea fedha vilevile kutoka TANU katika kipindi hicho?
Unajua majina ya wachangiaji wa fedha hizo?