Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

A-aa-a! Mohamed usihamaki huu ni mnakasha na sisi tuliofunza mbinu za mnakasha tuliambiwa hasira na matusi ni silaha hafifu za kukabiliana na hoja.
Tuliza moyo swahib wangu!
 
Unachanganya mambo ndugu yangu; Waasisi siyo sawa na Wapigania Uhuru. Waasisi wa TANU wote kwa haki wanaitwa wapigania uhuru; lakini siyo wapigania uhuru wote walikuwa ni waasisi wa TANU. Don't confuse the two.
.......

Tatizo lako unapambana na wale wanamuunga mkono Mohamed Said.

Mimi wala sichanganyi mambo hayo niliondika siyo yangu ni ya jamaa zako Mchambuzi na Yericko tatizo wewe unafuatilia post zetu hizo huwezi kupinga.

Bahati nzuri hayo majina yapo humu kwenye huu uzi na tumeambiwa hao ndiyo waasisi wa TANU na wapigania uhuru.
 

August Nimtz, hakuandika historia ya TANU acha kulazimisha mambo.
 

Analazimisha mambo na kwa bahati mbaya hakuna wa kumpinga.

Kama anasema kaandika historia ya TANU basi atupe vipande kutoka kwenye hicho kitabu watu wasome humu siyo kuja na maneno matupu anataka watu wamuamini kisa kasema Mwanakijiji.
 
Kitabu cha Historia ya TANU kipo kilichoandikwa na Ulotu Abubakar Ulotu miaka mingi kabla ya hizi hadithi za Mohamed Saidi
 
Kitabu cha Historia ya TANU kipo kilichoandikwa na Ulotu Abubakar Ulotu miaka mingi kabla ya hizi hadithi za Mohamed Saidi

Kinaitwaje na kimeandikwa lini tufahamishe tupate kujua historia yetu.
 
Mohamed Said
huyo mzeemwanakijiji hayuko hapa
katika mnakasha huu kwa ajili ya kuweka wazi ukweli
yupo katika kufanya ushindani na ubishani
kwa hiyo hutumia njia za uongo na upotoshaji
kama ilivyo kawaida yake,
ili baadae atangaze nimeshinda
Ni mtu mjinga sana,ameshazoea kuwadanganya vijana wadogo
wa o level.Na kinachomsumbua sana ni udini.
Ni vizuri kumpuuza,hana alijualo ktk historia ya tanganyika zaidi ya
ushabiki wa nyerere.Anachojua ni kuandika hadithi za kipuuzi,
sijui fulani kamvua nguo fulani akaanza sijui nini.....! upuuuzi mtupu
hicho ndo anachokijua

......
 
si katika historia; kwenye historia "inasemekana" ni namna ya kujificha kuwa huna ushahidi wa kile unachoenda kukiclaim. Inasemena wewe ndiye mchochezi wa machafuko ya kidini nchini...

Msome Herodotus utaelewa nini historia. Usifikiri historia ni vile vijarida vya mtandaoni vya udaku ana simulizi za mapenzi ya kufikirika.
 
Hivi kweli unaamini kilichofanywa na Warsha - inasemekana wewe ulikuwa miongoni mwao - unaita kweli ni utafiti? Au walitangaza tu matokeo ya kile walichokiita "utafiti"?

Jikumbushe:

 
Ahali yangu hi ni chuki ya iliyopandwa miaka mingi sana na imekuja ibuka hivi sasa.

Kama uliisikiliza vizuri hotba ya Rais wenu ya taarih 3 Feb 2013 kule kigoma alisema wazi kabisa suala la udini yeye alilikemea pale alipolifungua Bunge to mara alipoingia madarakani na Hata mbunge wa Chadema Zitto Kabwe aliungane naye mara alipochangia hotba ya rais Bungeni.

Siku zote waislam wamekuwa wapole sana wameweza na wanaendelea kukubali mapumziko ya wiki ya Serikali kuwa ijumaaapili ambayo ni siku ya Ibada kwa wakristo.
Ikumbukwe kuwa siku ya mapumziko kwa wislam ni ijumaa. Lakin wameweza kuwavimolia ndogu zao wakristo. Lakin wakristo wamekosa kabisa uvumilivu kwa suala la kuchinja ambalo nchi nyingi sana Duniani zinafuata utamaduni huo.


Ok kile kilichofichika sasa kinaonekana. Kutatua mgogoro huo kutaibua mengi sana kiichi na kiserikali. Sasa nangoje a useme kuna mkono wa Sheikh Ponda au Sheikh Farid hapo?

Tuvute subra tuone.
 
Hivi kweli unaamini kilichofanywa na Warsha - inasemekana wewe ulikuwa miongoni mwao - unaita kweli ni utafiti? Au walitangaza tu matokeo ya kile walichokiita "utafiti"?

Siku zote huwezi zuia hoja kwa kuipotezea na vile vile huwezi zuia malalamiko ya wananchi kwa kutumia ubabe. Kwani kila kitu kna mwisho.


malalamiko ya waislam huko Tanganyika yapo dahal na dahal na tafiti nyingi sana zimefanywa na wenyewe na kuziweka hadharani na hata kufikisha Serikalini lakin Serikali ndio inapotezea na kujifnay Kiziwi.

sasa madhara yake ndio haya sasa yanaanza kujitokeza.
Poleni sana
 
Ukitaka kupata idea mapadri walikuwa wanatoa pesa wapi jiulize; waliweza vipi kujenga mahospitali, mashule na makanisa (mishheni) kama Ndanda, Peramiho, Lushoto, Tanga n.k wakati huo? majengo ambayo mengine yanadumu hata leo hii?

Nafikiri ukitaka kupata data nzuri. Jiulize baada ya uhuru wenu Makanisa yeni yaliweza kujenga skuli ngapi, Hospital ngapi?

Jiulize kwanini hizo zote ulizo orodhesha zilijengwa kabla ua uhuru wenu?

 
Wanaochinjana sasa ni vijana wadogo ambao wengi wao wamezaliwa Mwalimu amekwishaondoka madarakani. Tunawahubiria ujinga ambao hata hauwahusu. Natumia neno ujinga ili nisivuruge mjadala vinginevyo kile tunachowahubiria vijana wetu hawa ni zaidi ya ujinga.
 
Swadakta ahali yangu.
Mzee Mohamed ni msemaji wa Waislam wepi? Mnaweza kuishusha hadhi na heshima ya Mwalimu? Hadhi yake ni Rais wa KWANZA Tanganyika na baadae Tanzania. Mtaishushaje hadhi hii? Siwashangai. Waislam wenzenu kungineko duniani wamewafanyia mazito zaidi marais wao akina Gadafi, Hosni Mubarak,...
 
Nanren nimemuuliza tangazo alilotoa Ali Maswanywa lilihusu Jamiatul ? plus hayo maswali mengine uliyobandika hapo
Nguruvi3
Inawezekana kabisa hii Al Jamiatul islammiyya never existed, but rather, it is a creation by the brain of the author. Au la kama ilikuwepo, it was not even significant Labda ilikuwa na wanachama hai wasiozidi 20 na wote walikuwa labda DSM na Tanga. Ndio maana Mzee Muddy halalamikii sana kufa kwake, ila analalamika kufa kwa EAMWS ya wahindi ambayo anaamini ingewaletea chuo kikuu. Ukimsoma, utaona kuwa anakumbushiakumbushia, kuwa so and so were members of Al Jamiatul islamiyya, ili tu kujenga msisitizo kuwa wapigania uhuru walisukumwa na uislam wao. He is a very clever old man, in a dangerous way, anyway.
Mohamed Said
Mzee, unaweza ukatusaidia kutuwekea malengo/katiba ya Al Jamiatul islamiyya?
 
Last edited by a moderator:

Mzee wangu ananidithia kwenye mazishi ya Abdulwahid, Nyerere alitembea kwa miguu kutoka Mtaa wa Lindi, Garezani hadi Msikiti wa Kitumbini, Nyerere alisimama nje ya Msikiti pamoja na Wakristo wengine kungojea maiti.

Mfanyabiashara mmoja wa kiasia kuona rais amesimama wima, kwa ajili ya heshima alileta kiti na kumuwekea Nyerere akae. Nyerere alikataa kukaa na akawa amesima pamoja na watu wengine.

Kutoka Kitumbini msafara uliendelea tena mpaka makaburi ya Kisutu. Wakati wote Nyerere alikuwa nyuma ya jeneza kichwa chake amekiinamisha chini huku akionekana kila wakati akifuta machozi na kitambaa akilia.

Watu walimpenda sana Nyerere zama hizo.
 
Jasusi,

Jibu nimekupa.

Kuna njama katika Wizara ya Elimu kuwabana Waislam.
Hili ni tatizo Waislam tumelisema sana.

Leo tuna tatizo la NECTA.
Katika hali kama hii kutaifisha shule hakukuwa na tija.
Heleza hapa jukwaani hizo njama sio kuishi kwa hisia tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…